UNITALENTSHOW|GRAND FINALE|SEASON 03|UNTOUCHABLE|SEMA NAO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 19 พ.ค. 2022
- Untouchable ni aliamua kutoa hii ngoma inaitwa SEMA NAO wimbo huu umemaliza ubishani nani anazingua kwenye mahusiano ila pia kuna jumbe nzito sana kwenye huu wimbo
#kipajichakokiwandachako #unitalentshow #grandfinale
G Nako ajifunzee kwako fantastic ❤❤❤
Unajuaaaaasaa mwaamba ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Yaan
Unitalent mnazingua bhana ifutwe tu maana mnawapa ushindi watu wa ajabu sana huyu jamaa sijui Kwa nn mmemtema kama mna watu wenu ms3me
Tatizo haya masindano wanawaandaa washindi wanao wajua wengine wanahitimisha ajenda
Show kali kwa zote usiku wa Uni talent 🙌🏽
Kama Huyu jamaa Untouchable hakushinda hii Final basi Unitalent ifutwe kbs
Mziki mgumu sana huu unaweza umeuwa 🙌🏾
Daaaa anajua jamaaa
This guy is just amazing just like the name untouchable..He's the one who makes me to follow the channel
This is great sir
Sks beibe🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Cpat picha nareeel kampgia beat Untouchable
Huyu jamaa anajua sijui majaji hapa waliojaje ila mimi hii video lazima niicheki kila siku kistali yamoto sana
One day yes🤲🤲
Fantastic performance❤❤❤
Achen upuuz bn mlipanga kumuangusha mwanetu tu Hamna jipya labda mmekula rushwa
Jamaa ana mistari safi sana. Ni untouchable kweli kweli.
Hatar huyu mtu bas tuu haikua rizk
Sk yes baby haikua ridhik tuh mwana anajua