Lil Wayne "The Best rapper Alive"...kupitia hii simulizi wengi wakijiifunza kuhusu record labels , partnership and all that it is easy to relate wanavyofanya Wasafi na Cash Money records to Young Money ENT to OvO sound; lil Wayne ndo msanii pekee alietoa wasanii Bora na walioshika numbers both kimfuko na charts
Lil Wayne ni rapper bora wa siku zote Mirror with Bruno Mars ni ngoma ninayoikubali na ni ngoma yangu bora ya karne Big up Lil Wayne and Big up Jamal April
Umekosea sana na umeukosea utamaduni wa hip-hop duniani mzeee kusema lil Wayne mfalme wa rap kwa kigeze kipi na influence gani endelevu alioifanya mitepesho,vipuli,aseeee Mchambuzi badilisha kichwa Cha abari ulimwengu wa hip-hop unamjua mtu mmoja Anaitwa Rakim ndio alie shape style ya Rap/Hip-hop
Lil Wayne """ The best rapper Alive""".... Professor kuna kipengelee kimoja 👆👆👆 kidogo lakini kikubwa kwa mantiki ..... Wakati unazitangaza nyimbo zilizofanya vizuri ilipendeza ungekuwa unazipinga ili tuzikumbuke hiiii itasaidia kwa wale ambao wanajuwa nyimbo zak kwa kuzisikiya tu na sio kwa majina 📝📝📝📝
Profesor kuna kipengelee kimoja kidogo lakini kikubwa kwa mantiki ..wakati unazitangaza nyimbo zilizofanya vizuri ilipendeza ungekuwa unazipiga ili tuzikumbuke hii itasaidia kwa wale ambao wanajua nyimbo zake kwa kuzisikia tu na sio kwa majina
Hiiii story ujaitendeaaaa hakiiiinkabisaaaaa ....umeachaaaa alot Especially the coming of like father like son 2 Beef ya birdman na lilwayne Kunusurikaaa kifoooo na majambaz walio tumwaaa na Birdman.... Lakin congrats
Hii story ya huyu mwamba liltunech hujatutendea haki umemzungumzia kwa ufupi sana kuna mengi tulikua tunahitaji kusikia kumuhusu yeye na wasanii wake maisha yake ya jela mafanikio yake inabidi utuletee muendelezo
Nawakubali Sana wasafi munatufanya tujuwe mengi Kama tuko wengi tunayo ikubali wasafi gonga like tujuwe the story book ni 💯💯💯💯💯💯
Nusu saa haijamtosha kumwelezea Wayne, Hongera Prof. Jamal kwa kuiandaa hii🙌🙌
my all time favourite rapper, nilikua napenda nyimbo zake hadi watu walinibatiza jina la “ I Wayne “
I love the way you narrate the storybook. Following from Kenya.
Lil wayne the true boy of the game to world
Lil Wayne "The Best rapper Alive"...kupitia hii simulizi wengi wakijiifunza kuhusu record labels , partnership and all that it is easy to relate wanavyofanya Wasafi na Cash Money records to Young Money ENT to OvO sound; lil Wayne ndo msanii pekee alietoa wasanii Bora na walioshika numbers both kimfuko na charts
Jay z aliwatoa mabillionea kama Rihanna Kanye west
El professor......hii simulizi ya Lil wayne yahitaji documentary kwa kweli.... iko fiti sana
Jamal ukitoa story mimi binafsi napenda nakuelewa vizuri sana mungu Akubariki kwa kazi yako Ameen 🤲🇹🇿🇬🇷
Anybody watching this in April 2024
Tuko
@@victorkemei-uq5ii nkbl🫡
Prof. Jamal on his comfort Zone. I adore you Professor
Mr, hata wew pia one day inatakiw utolewe ctor kama legend mcmulizz Tanzania,respect to u man
You are the best history presenter ever .Move with same pace-Paul Vincent from Kenya🇰🇪
Lil Wayne Best Rapper Forever ❤️❤️ #Congratulation Mr Proffessor Jamal April
Lil Wayne the true 🐐 of the game✊🏽
7@Razzy Mkali Official zw10
Lil Wayne ni rapper bora wa siku zote Mirror with Bruno Mars ni ngoma ninayoikubali na ni ngoma yangu bora ya karne Big up Lil Wayne and Big up Jamal April
kando na lil wayne, suti lenyewe jameni...hongera
I’m an addict, I’m addicted to success. Thankfully, there’s no rehab for success. - Lil Wayne
#official_tella
Watu wamealikiwa bwana,,👏👏👏 kwako Mwandishi wa habari hii. Kwan nimependa sana kusikia story tam kama hiii
Lil wayne. My mentor. Asante prof. Kubwa sana hii. Ametu inspire wengi sanaa
My favorite Rapper!😍❤ Weezy Baby!🔥
Tunech🫡
I think Young D was inspired by Lil Wayne too
You can hear the flow and rhythm in his lyrics 🙌🇹🇿
Jamaal professir mkalii hakikaa lily wyne mkali wa hizi kazii ulingo wa hipop Tng media inatazama
Actually there are bigger names too such as 2pac Shakur, Snoop Dogg, Nelly etc but lil wayne made a mega hit *MIRROR* ft Bruno Mars in his lifetime 🙌👏
Pac is dead and Lil Wayne is bigger than everybody you just named
The artist who made me love hip-hop music #Tunchi
Have been missing you so much Jamal
Welcome back my 💓
Itakuwa vyema zaidi ukiandaa historia za Kendrick Lamar na J Cole they are also among the best rappers.
Jay z has a great history on hip hop I think he's among the greatest
kwani nani hajui??
Keep the joyful/learning story telling alive Prof. Jamal
Uko
Rudi Class bro, #Lil Wayne Siyo mfalme wa Muziki wa HIP HOP Dunian,
Rapper not hip hop,
.qweli
Huyo ni rapper sio hiphop huu jui mziki wew kasilize singerii
Safi sana my brother Jamaal kazi nzuri sana
Ujaongelea story kubwa Lil Wyn Marakadha moyo wake huua unasimam nanitatizo linalo msumbua sana
Nakukubali sana mr. NYOKA. The prof. Jamal
Huyu jamaa ni jini lil Wayne is a number one rapper namkubali kinoma
Umekosea sana na umeukosea utamaduni wa hip-hop duniani mzeee kusema lil Wayne mfalme wa rap kwa kigeze kipi na influence gani endelevu alioifanya mitepesho,vipuli,aseeee Mchambuzi badilisha kichwa Cha abari ulimwengu wa hip-hop unamjua mtu mmoja Anaitwa Rakim ndio alie shape style ya Rap/Hip-hop
🚮
Mfalme wa rapper sio hiphop
Mfalme wa rapper sio hiphop
jamal you are the best story teller
Lil Wayne """ The best rapper Alive""".... Professor kuna kipengelee kimoja 👆👆👆 kidogo lakini kikubwa kwa mantiki ..... Wakati unazitangaza nyimbo zilizofanya vizuri ilipendeza ungekuwa unazipinga ili tuzikumbuke hiiii itasaidia kwa wale ambao wanajuwa nyimbo zak kwa kuzisikiya tu na sio kwa majina 📝📝📝📝
Prof jamal unatishaaaa🔥🔥🙌🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿
JAMAL tunaitaji kumuona eminen Pia , just prepare it for us brother ....kazi nzuri
Tunaomba sana story book ya pop smoke thanks 🙏🙏 professor Jamal April mustapha
Proffesor ungeweza kutuonjesha vionjo vya nyimbo unazozitaja ingebamba sana
Hongera profesal jamali kwa story book
Namkubali sanaa huyu jamaa kiukweli uwa akiwa kwenye kazi zake uwa hakosei
Pro jamal doing his best....keep it G...more IQ's for real
Following from Kenya...👏👏👏
Prepare for the worst bt still praying for the best
Professor 🔥🔥🙌
Weezy Baby! Namkubali sanaaa,lil Wayne..😊👍
Leo umenikosha...✊✊✊
The iconic lil Wayne
Napenda sana stori za huyu kaka kiukwel anajua sana kusimulia❤❤
@@mohamedslh5478 😁😁 yaan ww
@@mohamedslh5478 Aya bn
Mi best rapper Tunchi,
Much love from Zambia 🇿🇲🇿🇲
Mnyama Lily Wayne penda sana uyoo m2 ni mo🔥🔥🔥🔥
👍👍 imetulia sanah
Hawa watoto wakutelekezwa huwa na barka sana jamal naomba utufanyie ya R. KELLY
Profesor kuna kipengelee kimoja kidogo lakini kikubwa kwa mantiki ..wakati unazitangaza nyimbo zilizofanya vizuri ilipendeza ungekuwa unazipiga ili tuzikumbuke hii itasaidia kwa wale ambao wanajua nyimbo zake kwa kuzisikia tu na sio kwa majina
Point
It's good but I think because of copyright
💥💥💥
💘💘💘😓😓
Copyright issues
Jamal April thanks sanaaa
Lily wyne my best rapper ever 💪💪💪💪
Upo smart sana nakaziyako
saf saf ..sana jamal..nmekua wakwanz leo ku comment
Tuna kupenda sana jamal❤
Brother kwel umetuamulia saiv back to back
Nice storys , I like thm
Keep it my brother jamal
He is my favorite raper in the world💯💯
My favourite ❤
Mbona mnacomenti kwa kiingereza sanaa.. mnaboa sanaa
Yes sir ✌️
Baba hii umekomeshaaa🔥🔥🔥
hapo umenigusa vilivyo💪🔥
Kaka Jamal hauna mpinzini tunashukuru kwakutujuza yale ambayo hatukuwa tukiyafahamu hongera sana
Nakubali sikupingi by weezy baby
Hiiii story ujaitendeaaaa hakiiiinkabisaaaaa ....umeachaaaa alot
Especially the coming of like father like son 2
Beef ya birdman na lilwayne
Kunusurikaaa kifoooo na majambaz walio tumwaaa na Birdman....
Lakin congrats
If i die today remember me like john legon lil wayne
Back to back thanks Jamal
Hongera kaka kwa kazi nzuri unayoifanya
Tunech 👑legend 💥
Naomba umuungalie na mwandishi nguli na mashughuli wa AFRICA (CHINUA ACHEBE)
napeda. sana👏
Father of new generation
Christopher Dorsey aka B.G huy jamaa noma
Hongera kwa storii nzuli
Thankful for better history of that rapper
Zipi sasa wanastory gani awajalelewa maisha ya kutunza kumbu kumbu
nakubali wajina✊✊
Jamal napeda simuluzi zako from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Jamaaa namkubali sn Wayne
Mnaonaje katikati ya the story book mnaweka na tangazo la wasafi bet
Bado history book inaitaji muda ko aina haja yatangazo bado inaitaji kuongeza mashabik
Acha uchawa
@@kulwalikombe4307😂😂😂
Namkubali saan huyu mwamba Lilly Wayne
Hii story ya huyu mwamba liltunech hujatutendea haki umemzungumzia kwa ufupi sana kuna mengi tulikua tunahitaji kusikia kumuhusu yeye na wasanii wake maisha yake ya jela mafanikio yake inabidi utuletee muendelezo
Hustler Musik ,👍👍👍
Kira siku wa mwisho mm aha! Bs mnipe tu like kwa mchelewaj bola
Following from Kenya,
Biggup Jamal I appreciate your work bro ✊✊✊
Never give up Jamal aplir
Hii iwe na part 2 bhana
Imemaliza kindezi sana kuna vingi hatujaviskia kutoka kwa lil Wayne
Pekua zaidi uko Jamal utuletee tafadhali
Nairobi tuko pamoja
Nakuball Sana professor
My all time best rapper.
Hatari #official_tella
Follow from Burundi 🇧🇮