VILIO! VIJANA WENGINE 3 WATOWEKA DAR KATIKA MAZINGIRA YA UTATA, FAMILIA HAIJUI WALIPO MIEZI 5 SASA!

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 292

  • @arafakiloli749
    @arafakiloli749 2 ปีที่แล้ว +7

    Subhannahllah poleni sana ndugu na jamaa Allah awape subira katika kipindi hiki kigumu. Allah awalinde huko waliko.

  • @saidhassan7779
    @saidhassan7779 2 ปีที่แล้ว +12

    Mama,Mama,Mama nakuomba sana Mama Jitahidi nakuomba Sana hemu naomba nipe hata Ukuu wa Wilaya ya Temeke nakuomba sana,

  • @GfgGgh-v5z
    @GfgGgh-v5z 5 หลายเดือนก่อน

    Subhana Allah poleni sana haki nimelia 😭😭 ndio naona leo sijui kama walishapatikana au laa Allah awatie nguvu na subra

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan2499 2 ปีที่แล้ว +22

    Poleni sana wanawake wenzangu, kiukweli inauma sana, nimelia 😭😭😭😭😭

    • @kisakim5660
      @kisakim5660 2 ปีที่แล้ว

      Kiukweli viatuvyao hawa wamama vinabana aisee😭😭😭😭 Mungu awape ujasiri tu na awafanyie wepesi

  • @shu-r3r
    @shu-r3r 5 หลายเดือนก่อน

    poleni sana mungu atawafanyia wepesi ;a awape ya rabb

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 2 ปีที่แล้ว +8

    Subuhanallah
    Kupotezwa watu kwa makundi Tena wanaojuana kwanini jamani piammechelewakutoa taarifa mlikua wapi wapenda poleni Allah Awape subra kipindi hikikigumu Allah atawalehesha hi siyo bule kunakitutuu hapa kimefanyika wametekwa sijuiwamepelekwawapi Tz Amani imetoweka😭😭😭😭

  • @roseatieno6691
    @roseatieno6691 2 ปีที่แล้ว +19

    Jamani hii tabiya ya vijana kupoteya sasa imefika wakati ukome . Sio Kenya sio Tanzania na kwingineko . Familia wanaumia . Mungu simama na watu wako baba .

    • @mamumiyaskitchenvlogs5858
      @mamumiyaskitchenvlogs5858 2 ปีที่แล้ว +1

      Kwa kweli inahuzunisha na Keenya sana sana ni Mombasa kila uchao wavulana wapotelea Mungu simama na sisi wazazi na ndugu ni uchungu kwa kweli

  • @mariamissa4029
    @mariamissa4029 2 ปีที่แล้ว +2

    😭😭😭😭,poleni sana ndugu zangu allah awalinde popote walipo warudi salama

  • @azizamohamed7692
    @azizamohamed7692 2 ปีที่แล้ว +2

    Poleni wanawake wenzangu Mungu atawalinda wataludi salama inshaallah

  • @waheedahtanzania4912
    @waheedahtanzania4912 2 ปีที่แล้ว +28

    😭😭😭😭 Tanzania yetu 💔💔💔🇹🇿 Mmhu Allahu yaalam,kauli ya kumtanguliza Mungu itarejea kweli?? kama kwa Rais magufuli mmhu Astaghfirullah laadwim yaa Allah nisamehe mimi na wote tulokukosea najua kuna sehemu tunakukosea mola wetu ila naomba utusamehe sisi viumbe wako dhaifu, tunaomba utusamehe ili uturejeshee Amani kama zamaani kwenye Nchi yetu 😭 naomba utufanyie wepesi walopotea wapate kurejea katika familia zao ili familia zao na jamii zipate faraja 😔 maana kwasasa Tanzania yetu ina mtihani na bila wewe mola wetu hatuwezi kuondoa mtihani huo yaa Allah yaa kareem yaa kaharu yaa dhaljalali wal Ikram nakuomba utuokowe😭😭😭💔💔💔🇹🇿👏

  • @hlimaabdullah9565
    @hlimaabdullah9565 2 ปีที่แล้ว

    Poleni ndugizetu wa TZ mm nmkenya bt nafuatilia haya matukio poleni sana mungu awatie nguvu🙏🙏🙏

  • @sarajohninsoni2288
    @sarajohninsoni2288 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu nilindie mumewangu polen xn jmn jmn mungu tusaidie

  • @geraldmakalala6091
    @geraldmakalala6091 2 ปีที่แล้ว

    Inauma sana.

  • @OmanCom-ky8tn
    @OmanCom-ky8tn 2 ปีที่แล้ว +3

    Poleni xana wanawake wenzangu

  • @aishaamwalimu2887
    @aishaamwalimu2887 2 ปีที่แล้ว

    Poleni Sana,Wimbi la watu kupotea limekuwa kubwa, eee mungu tusaidie.

  • @didahadam9530
    @didahadam9530 2 ปีที่แล้ว +2

    Allah atupe subra wazazi wote poleni kwa vijana wetu Allah awalinde kila mahali wanapoelekea kwa kazi zao chuo kila mahali ulimwegu wa shetani Allah tulinde tunalia sana kila ichi vijana wetu

  • @monicamhina9926
    @monicamhina9926 2 ปีที่แล้ว +5

    Poleni wanawake wenzangu

  • @florahthamson8257
    @florahthamson8257 2 ปีที่แล้ว +17

    Mungu ni wewe tu mwenye majibu ya taifa hili pekee yetu hatuwezi

    • @rukiaosman18
      @rukiaosman18 2 ปีที่แล้ว

      Subhanallah Tanzania wallah nimbaya
      Sana kabisa

    • @rukiaosman18
      @rukiaosman18 2 ปีที่แล้ว

      Kiwa wao kwawao wana tesana hivohivo
      Je ss wa kenya omg tusiende huko ndugu zangu

    • @rukiaosman18
      @rukiaosman18 2 ปีที่แล้ว

      Tanzania ni wauwaji sana maskin watu wanaliya hivo subhanallah

    • @rukiaosman18
      @rukiaosman18 2 ปีที่แล้ว

      Hao polis wanawajua walipo haovijana maumbwa hao

  • @merryabiaza711
    @merryabiaza711 2 ปีที่แล้ว +1

    Duuuh mungu wangu yaoneachozi ya watu wako twakuomba mungu wetu

  • @ShakoKalama
    @ShakoKalama 4 หลายเดือนก่อน

    Pole dada

  • @tausimbuguni5134
    @tausimbuguni5134 2 ปีที่แล้ว

    Poleni sana inauma sana

  • @gracegrace6200
    @gracegrace6200 2 ปีที่แล้ว +10

    Angekuwepo Hayati Magufuli wangesema anateka watu. Hii inaweza kuwa watu wachache wanafanya mbinu kuichafuwa nchi. Inasikitisha sana wakati wa Hayati Magufuli serikali ili kaa kimya bila kusema kitu wala kumutetea Rais. Makosa hayo hayo kwa sasa yanajirudia. Kuna wanasiasa wanaweza kufanya kila njia kuwachonganisha wananchi na serikali. Lazima serikali iwe makini sana,.

    • @juliethhouseofdesigns147
      @juliethhouseofdesigns147 2 ปีที่แล้ว

      Sikuzote matukio mabaya yakitokea anayeonekana anafanya ni Raisi ila kutakuwa kuna kundi la watu wahuni wanafanya haya ili Raisi aonekane mbaya kwasababu wanajua wakishafanya kama kawaida vyombo vya habari vitarusha habari jamii itaingia hofu na wote watamnyooshea vidole Raisi
      Jeshi la Polisi wanatakiwa wafanye uchunguzi kuanzia lile tukio la vijana watano waliopotoea na hawa wachunguze waweke doria ata ya undercover kufatilia si kwa siku moja wafanye ata kwa miezi ukute wale waliokuwa wanavamia watu kibiti wameanza tena jamani polisi tunajua mnakazi sana ila hili la watu wazima wanapotea hivi hivi jamani

    • @godfreymasele8853
      @godfreymasele8853 2 ปีที่แล้ว +1

      Kwa Jicho la tatu watu wamekuwa na tamaa ya utajiri wa harakaharaka , waweza kuta wanajiunga na makundi ya kigaidi hili ni bomu Jeshi la polisi na wanandugu wajaribu kufanya utafiti wa kina maeneo mazungumzo yao na marafiki walokuwa wakiwa pamoja. Tabia zao zilikuwaje,walikuwa wanapendelea nini. Akiri zao zilikuwaje. Laweza gundurika jambo kwa haya matukio ya kupotea kwa vijana

    • @mkuluwaukae2221
      @mkuluwaukae2221 2 ปีที่แล้ว

      @@godfreymasele8853 uko sahihi kabisa kaka, tamaa inamaliza vijana wengi sana,

  • @junuferjinu1444
    @junuferjinu1444 2 ปีที่แล้ว +1

    Mtihani huu

  • @mwanzajosephine468
    @mwanzajosephine468 2 ปีที่แล้ว

    Kila chozi lina maana mbele za Mungu ee Mungu fanya wepesi katika hili

  • @pilimtukane4800
    @pilimtukane4800 2 ปีที่แล้ว +3

    Hili ni ombi langu kwako ehe Mungu wangu,Tusaidie wanawake ,hawa binadamu siyo kuku mpaka wapotee hovyo

  • @eliza486
    @eliza486 5 หลายเดือนก่อน

    Mungu awatangulie mbele

  • @samiramahmud406
    @samiramahmud406 2 ปีที่แล้ว

    😭😭😭😭
    Inasikitisha Sana
    Poleni sana Ndugu
    Allah SWT
    Awalinde warudi
    Nyumbani Salama
    Toeni Sadaka kwa wingi
    Na kumuomba
    Allah SWT kila Dakika
    Allah SWT
    Azisikie Dua zote
    na Azipokee Dua zote
    Yaa Rabbi 🤲

  • @ashachuma6168
    @ashachuma6168 2 ปีที่แล้ว +3

    Mtihani mkubwa Mwenyezi Mungu tusaidie

  • @magrethmbuma3045
    @magrethmbuma3045 2 ปีที่แล้ว

    Mmmmmmh hii dunia hii🙌

  • @azizaabeid2055
    @azizaabeid2055 2 ปีที่แล้ว +1

    Mhh mtihani wallahy inahuzunisha poleni sana Allah atafanya wepec watapatikana

  • @agneswilbard9059
    @agneswilbard9059 2 ปีที่แล้ว +6

    Jamani tz tuombe sana mungu hili tatizo kubwa

  • @odiliamathias5424
    @odiliamathias5424 2 ปีที่แล้ว +1

    Pole shangazi angu mjomba yetu kapotea Abdala wetu atujamuona Tena miezi inapita tunaumia wote shangazi angu, pole Odo Khadija pacha wako kapotea jamani Inshallah Mungu atawarudisha Salama tuwaombee tu Ingawaje tunaumia sana, Abdala wetu jamani

  • @alcherausmalinzi2033
    @alcherausmalinzi2033 2 ปีที่แล้ว +2

    Poleni sana.Mungu awape ulinzi popote walipo.Kama walikamatwa kwa lolote basi jeshi la polisi liseme.
    Lakini pia tunapotoka majumbani tutoe maelezo sahihi kwa familia tunakoenda ili hata tukipata tatizo wapate pa kuanzia.
    Kwa hali hii usalama wa raia uko mashakani.

    • @teddyoscar6876
      @teddyoscar6876 2 ปีที่แล้ว

      Umeona eee hawa wameondoka majumbani kwao kiutata kana kwamba walikua na siri zao, si kawaida hiyo safari yao ya ghafla

  • @petromwinnyipembee9793
    @petromwinnyipembee9793 2 ปีที่แล้ว +1

    Poleni xana wapendwa mungu kasikia kilio Chen nasi tnawaombea msjali wataptikan nasi tnaumia pia san

  • @jamilajamila4572
    @jamilajamila4572 2 ปีที่แล้ว +2

    Poleni sana inauma kwakweli😭😭😭

  • @mwanamwendy9265
    @mwanamwendy9265 2 ปีที่แล้ว +3

    Mungu awalinde warudi wazima inshallaah

  • @vanessadahnilly8551
    @vanessadahnilly8551 2 ปีที่แล้ว +7

    Jamani kwani imekuaje tena 😭😭😭😭😭 huu mbona mtihani sasa dah nihuzuni kwakweli 😭😭

  • @lameckmbelle8128
    @lameckmbelle8128 2 ปีที่แล้ว +1

    Msijali wa mama kiza kingi kupambazuka kumekaribia

  • @saumsaum1916
    @saumsaum1916 2 ปีที่แล้ว

    Mungu atajalia watapatikana

  • @francinenahimana7289
    @francinenahimana7289 2 ปีที่แล้ว +1

    magufuli kwenye yuko ana uzuni sana kwa ajili anayo yaona inchini kwake

  • @naphisaolouoch5993
    @naphisaolouoch5993 2 ปีที่แล้ว

    Gari haikuwa na cartrack?

  • @girbertntinda3798
    @girbertntinda3798 2 ปีที่แล้ว

    Poleni sana akina mama

  • @yaelijoseph8742
    @yaelijoseph8742 2 ปีที่แล้ว

    E Mungu tuponye watanzania

  • @joyanambuya4486
    @joyanambuya4486 2 ปีที่แล้ว

    Poleni jaman

  • @nyamwinukankwera3749
    @nyamwinukankwera3749 2 ปีที่แล้ว

    Polenì sana jamani duuh inauma sana

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 2 ปีที่แล้ว

    Jamani, serikali iko wapi

  • @husseinshabani9522
    @husseinshabani9522 2 ปีที่แล้ว

    Allah Awafanyie Wepesi In sha Allah.

  • @gayanimwansasu
    @gayanimwansasu 2 ปีที่แล้ว

    Hao wamenda kwa yule anae jua. ni Mungu

  • @mariamuhamedmmbaga2011
    @mariamuhamedmmbaga2011 2 ปีที่แล้ว

    Mungu awasaidie

  • @ukhutfatumah1154
    @ukhutfatumah1154 2 ปีที่แล้ว

    Wallah nimejikuta nalia mimi km mwanamke viatu vyenu vigum mno wallah 😭😭😭😭 pole sn family Dada wa Abdallah umejua kuniliza wallah 😪😥😢

  • @mwandegetechs8026
    @mwandegetechs8026 2 ปีที่แล้ว

    Subhanallah 😭😭😭

  • @mwastimsingi9373
    @mwastimsingi9373 2 ปีที่แล้ว

    Poreni sana

  • @anethsubeth8895
    @anethsubeth8895 2 ปีที่แล้ว +4

    Tanzania tunakwenda wapi?

  • @mariamrogha3601
    @mariamrogha3601 2 ปีที่แล้ว +1

    Polen mama zangu

  • @eshyndibalema1529
    @eshyndibalema1529 2 ปีที่แล้ว +1

    Poleni akina mama kwa mazito yaliyo wakuta

  • @ashilafubaganda9233
    @ashilafubaganda9233 2 ปีที่แล้ว +2

    Ifike mahali vijana tuwe wawazi kwenye maisha na tufanye shughuli halali ambazo hata familia zitajua kwa uwazi lakin vijana wengi wanamambo mengi ya gizani matokeo yake ndugu wanalazimika kulaumu serikali

    • @teddyoscar6876
      @teddyoscar6876 2 ปีที่แล้ว

      Thank u, umeona eee vijana wana mambo yao kibao maovu na ni siri yao familia hazijui kitu, ila unakuta wanalaumu serikali haifanyi kitu, utadhani ni kitu rahisi kumuona mtu aliepotelea kusikojulikana, kwani serikali ndio imewatuma, mimi hua nashangaa nikiona wanalaumu serikali, basi wangelaumu Mungu mana ndio anaeona matukio serikali haioni anachofanya binaadamu wala haijui mipango yao.

  • @fatmabhai2812
    @fatmabhai2812 2 ปีที่แล้ว +1

    ALLAHU AKBAR..yaa rabby 🤲 yaa rabby 🤲 yaa rabby.wafanyie khushui hawa walimwengu wenzangu wanaoumia kwa mtihani huu na uwafanyie wepec hao wenzetu walipotea Yuko waliko km wako hai bac tunajua ww mwenyezmungu ndie muweza wa kila kt warudishe nyumbani wakiwa salama na afya zao ili waungane na familia zao..wape nguvu hawa wanopitia mtihani mzittoooo.nac tunakuomba utulinde na kutukhifadhi na mabalaa mazito.😭😭😭😭😭😭😭 Nimelia wallahy.

  • @عائشةعيوش-ظ9ل
    @عائشةعيوش-ظ9ل 2 ปีที่แล้ว

    Poleni jamani

  • @zeenathmsellem9465
    @zeenathmsellem9465 2 ปีที่แล้ว

    Jamani😥😥😥😥😥 daah

  • @eddytheophil7626
    @eddytheophil7626 2 ปีที่แล้ว +3

    Soo sad 😭😭😭 what is this?

  • @jamilajamila4572
    @jamilajamila4572 2 ปีที่แล้ว

    Jaman tz sasaimeingiliwa

  • @catherinejanken7697
    @catherinejanken7697 2 ปีที่แล้ว +4

    Hii kitu jamn imekithiri but muwe mnahoji pia waume zao au hao vijana walikuwa wakijishughulisha na nini?maana mda mwngn biashara pia huchangia kupotea kwa mtu ....ila pole kwa familia ambzo zinapitia hii hali mungu awasimamie poleni sana

    • @deomaiko9632
      @deomaiko9632 2 ปีที่แล้ว

      Ukosawa ndugu waojiwe kwanza

  • @leilaalii3109
    @leilaalii3109 2 ปีที่แล้ว

    Dah maumivu yake hayaelezeki kwakweli 😭..pole sana nduguzetu

  • @shakilaburhan9552
    @shakilaburhan9552 2 ปีที่แล้ว

    Kwann mnakaa kimya ivi

  • @singidaone5628
    @singidaone5628 2 ปีที่แล้ว +5

    Haya Mambo yasikie tu kwa watu usiombe yakukute

    • @nyamwinukankwera3749
      @nyamwinukankwera3749 2 ปีที่แล้ว

      Kabisaa

    • @mimahmimah1595
      @mimahmimah1595 2 ปีที่แล้ว

      Wallahy ni jambo zito sana Allah awafanyie wepes wanawake wenzangu duuh moyo unaniuma najiuliza ni uchungu kias gan hawa wanawake wanaopitia

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 2 ปีที่แล้ว

    INATISHA SANA. INAONYESHA KAMA WAKO WATU AU WAFANYA BIASHARA WAKUBWA SANA NAO WANAUSIKA NA WAFANYAKAZI SERIKARINI. WATU WABAYA SANA. WAMEWAFICHA SEHEMU MBAYA WANATESWA NI WAKUBWA. WANAJUA WASHAPEWA PESA. ZAMBIII WAACHIENI WATOTO NYIE WATU

  • @zainabwage4658
    @zainabwage4658 2 ปีที่แล้ว +2

    Aya mambo yanaumiza sana ifike mahal viongoz wetu watoe tamko kal km tunavyoizuia corona kila sk watu hupotea mazingra tatanish

    • @happyelenest6607
      @happyelenest6607 2 ปีที่แล้ว

      Jamani vijana wanapotea kila siku inauzunisha sana jamani 😭

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 5 หลายเดือนก่อน

    😢

  • @halimahimba4049
    @halimahimba4049 2 ปีที่แล้ว +8

    Rais Samia nchi hii sasa so salama hivi kweli Hali hii serikali yetu haioni mambo haya Kama ni majambazi Sheria zipo sasa magereza ya nini na mahakama za nini lakini viongozi wetu kazi yenu nini...haki haki haki

    • @AlAl-sd9pl
      @AlAl-sd9pl 2 ปีที่แล้ว

      Kweli kabisa husikii hata chochote

  • @esterkiyongo2316
    @esterkiyongo2316 2 ปีที่แล้ว

    Sauti ya Mungu ni sauti ya mwisho tunaisubiri hiyo

  • @jimjam4148
    @jimjam4148 2 ปีที่แล้ว

    YARABI nakuomba jaaliya vijana wa izi familiya wapatikane wakiwa salama . amin amin YARABI amin.

  • @sheriibrahim6753
    @sheriibrahim6753 2 ปีที่แล้ว

    Mtihan tanzania

  • @mjige9088
    @mjige9088 2 ปีที่แล้ว

    Wanayo jiitaa usalama wataifa wasiokuwa na ujuzi wowote ilianza awamu ya tano tena ni wengi sana wakati wa nyerere uslama wa taifa wanatoka jeshini na ilikuwa wilayani mmoja mkoani moja na mpakani mmoja siku hizi mji mdogo usalama wa taifa zaidi ya ishirini bila ujuzizi wowote we need a change

  • @lovergar3833
    @lovergar3833 2 ปีที่แล้ว

    Inauma sana jmn😢😢 maumivu yake at ayaelezeki

  • @ashuuuaisha9122
    @ashuuuaisha9122 2 ปีที่แล้ว

    Jamani Jamani jamanii nini hiki jamani eeee mwenyezi mungu tunusuru waja wako

  • @baysuraoman7910
    @baysuraoman7910 2 ปีที่แล้ว +1

    Dar

  • @zachariakepha1111
    @zachariakepha1111 2 ปีที่แล้ว

    Polen Sana,mtumainin tuuu mungu Ni your ktk yote

  • @superwomanmwenyeheri.1367
    @superwomanmwenyeheri.1367 2 ปีที่แล้ว +4

    Watu wengi wameuwawa kinyama sana,
    Uchunguzi umefanyika kwa haraka, na wahalifu wamekamatwa.
    Swali langu ni hawa vijana mbona imekua vigumu kupatikana? Au wamechukuliwa na majini?????

  • @celinealex1247
    @celinealex1247 2 ปีที่แล้ว

    Poleni Sana Ila hii nchi jamani

  • @craraaizack9072
    @craraaizack9072 2 ปีที่แล้ว

    Jamani serikali ya sasa inatupeleka wapi jamani

  • @happykajeli5453
    @happykajeli5453 2 ปีที่แล้ว +10

    Tanzania yetu jamani hili nalo ni pepo fanyeni maombi tumlilie Mungu wetu

  • @alfarsialfarsi2754
    @alfarsialfarsi2754 2 ปีที่แล้ว +1

    Innalilah 😭😭😭 jamaniii

  • @fatumakimaro4328
    @fatumakimaro4328 2 ปีที่แล้ว

    Jamani poleni ila watapatika

  • @leinaamos
    @leinaamos 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamani na mkumbuka Wana Hayati wangu

  • @luluwhite3818
    @luluwhite3818 2 ปีที่แล้ว +5

    Mbona naogopa mie jamani mume wangu yasijeyakamkuta haya

    • @jescajulius8023
      @jescajulius8023 2 ปีที่แล้ว +1

      Siyo mume t hata ww yaweza kukuta mungu atusaidie uwiiii

  • @annasarungi5848
    @annasarungi5848 2 ปีที่แล้ว

    Ooh jamiii😭inauma sn

  • @neema_mollel
    @neema_mollel 2 ปีที่แล้ว

    Duuuuh Mungu tuhurumie

  • @leinaamos
    @leinaamos 2 ปีที่แล้ว

    Daaaaa. Dora kumaliza misafara ya viongozi

  • @godymbanyi1878
    @godymbanyi1878 2 ปีที่แล้ว +1

    Mmmmh, haya mambo yana siri nyuma ya pazia. Huku sio kupotea kwa kawaida. Upelelezi wa kina ufanyike.

    • @teddyoscar6876
      @teddyoscar6876 2 ปีที่แล้ว +1

      Inaonyesha hawa walikua na mipango yao ya siri ambayo familia zao hazijui

  • @RoseKitoka
    @RoseKitoka 4 หลายเดือนก่อน

    Poleni wa ndugu zangu mu ende ngomeni kwa kuhani musa muta wapata

  • @nadrahassan5241
    @nadrahassan5241 2 ปีที่แล้ว +1

    😭😭😭💔💔nalia jamani naumia dada mtu kaniliza hadi hame nami nime mkumbuka kaka yangu alivyo kufa sijamuona ili nim age

  • @FatumaSaid-t4r
    @FatumaSaid-t4r 5 หลายเดือนก่อน

    Musical Ana zoom tu.hana hofu.

  • @zabubamudy126
    @zabubamudy126 2 ปีที่แล้ว

    inasitisha

  • @modestersalmon7764
    @modestersalmon7764 2 ปีที่แล้ว

    Labda Mimi naona Kama watu wetu wakitaka kusafiri wattoe taharifa kituo Cha poris kwamba wanaenda nje ya mkoa jamani ingekuwa raise mungu wangu

  • @asiakheir8684
    @asiakheir8684 2 ปีที่แล้ว +2

    Yaa Rabbiy, wachukuwe hawa wanaofanya haya mambo ya kupoteza watu

  • @craraaizack9072
    @craraaizack9072 2 ปีที่แล้ว

    Na kwann wapoteze malafiki haya wale watano jamani kaz ipo Mungu tuone wajawako

  • @airinsumeno2490
    @airinsumeno2490 2 ปีที่แล้ว

    Wengine Tena? 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @unknownafrica5568
    @unknownafrica5568 2 ปีที่แล้ว +2

    Gari mbona hawajatoa pucha njiani waweza kuna raia wema wameliona Ikasaidia

  • @dadaagnes4483
    @dadaagnes4483 2 ปีที่แล้ว

    Mimi mdogo wangu wa kiume amepotea mwezi wa 12 mwaka jana ametafutwa mahopitalini vituo vya polisi mpaka leo hii inauma sana kwa kweli tena sanaaa

    • @hamidaala2832
      @hamidaala2832 2 ปีที่แล้ว

      pole.mimi.mdogo.waNgu.WAKIUME.ALIPOTEA.AKIWA..NA.MIAKA.3.MWAKA.83.HADI.LEO.2022.ALLAH.ANATISHA

    • @dadaagnes4483
      @dadaagnes4483 2 ปีที่แล้ว

      @@hamidaala2832 Jaman inauma sana kwa kweli

  • @judithmakuto3612
    @judithmakuto3612 2 ปีที่แล้ว

    Tanzania,Salama uko chini