REV. DR. ELIONA KIMARO: ZINAA ILIYOLETA UKAME, UKAUFU NA JANGWA WAKATI WA ELIYA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 6 ก.ย. 2024
  • KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH
    IBADA YA MORNING GLORY: THE SCHOOL OF HEALING
    'HII NI KWARESMA:SIKU YA 9
    23/ 02/ 2024
    MADA:
    NIDHAMU NI HATIMA
    DISCIPLINE IS DESTINY
    SOMO LA LEO: ZINAA ILIYOLETA UKAME, UKAUFU NA JANGWA WAKATI WA ELIYA
    SEXUAL TRANSMISSION CURSE - STC
    1 Wafalme 18 : 41 - 46
    Habakuki 2 : 9 - 11
    2 Wafalme 4 : 40 - 41
    1 Wakoritho 6 : 18
    NENO KUU:
    "Zitafakarini njia zenu"
    (Consider your ways)
    Hagai 1:7
    1 Wafalme 18 : 41 - 46
    41 Naye Eliya akamwambia Ahabu, Haya! Inuka, ule, unywe; kwani pana sauti ya mvua tele.
    42 Basi Ahabu akainuka ili ale na kunywa. Naye Eliya akapanda juu mpaka kilele cha Karmeli; akasujudu kifudifudi, akainama uso mpaka magotini.
    43 Akamwambia mtumishi wake, Kwea sasa, utazame upande wa bahari. Akakwea, akatazama, na kusema, Hakuna kitu. Naye akanena, Enenda tena mara saba.
    44 Ikawa mara ya saba akasema, Tazama, wingu linatoka katika bahari, nalo ni dogo kama mkono wa mtu. Akanena, Enenda, umwambie Ahabu, Tandika, ushuke, mvua isikuzuie.
    45 Ikawa, muda si muda, mbingu zikawa nyeusi kwa mawingu na upepo, ikanyesha mvua nyingi. Ahabu akapanda garini, akaenda zake Yezreeli.
    46 Mkono wa Bwana ulikuwa juu ya Eliya; akajikaza viuno, akapiga mbio mbele ya Ahabu mpaka kuiingia Yezreeli.
    Habakuki 2 : 9 - 11
    9 Ole wake yeye aipatiaye nyumba yake mapato mabaya, ili apate kukiweka kioto chake juu, apate kujiepusha na mkono wa uovu!
    10 Wewe umeifanyia nyumba yako kusudi la aibu, kwa kukatilia mbali watu wengi, nawe umetenda dhambi juu ya roho yako.
    11 Kwa maana jiwe litapiga kelele katika ukuta, nayo boriti katika miti italijibu.
    2 Wafalme 4 : 40 - 41
    40 Basi wakawapakulia hao watu ili wale. Ikawa, walipokuwa katika kula chakula, wakapiga kelele, wakasema, Mauti imo sufuriani, Ee mtu wa Mungu. Wala hawakuweza kula.
    41 Lakini yeye akasema, Leteni unga. Naye akautupa ndani ya sufuria; akasema, Wapakulie watu, ili wale. Wala hakikuwamo kitu kibaya sufuriani.
    1 Wakoritho 6 : 18
    18 Ikimbieni zinaa. Kila dhambi aitendayo mwanadamu ni nje ya mwili wake; ila yeye afanyaye zinaa hutenda dhambi juu ya mwili wake mwenyewe.

    Mhubiri: Rev. Dr. Eliona Kimaro
    Kwa maombi na ushauri :
    Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
    Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053

ความคิดเห็น • 38

  • @divinehaibei9801
    @divinehaibei9801 6 หลายเดือนก่อน +2

    Nimebarikiwa sana na somo la maarifa...Mungu nisaidie nishinde dhambi ya zinaa.

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu AKUBARIKI sana Baba DR. Eliona Kimaro. Umetugusa wengi na wengine tumebadilika mfano mkubwa.

  • @lucresacareen8332
    @lucresacareen8332 6 หลายเดือนก่อน +3

    Praise God. Bwana nipe neema ya kubadilika hii kwaresma nisirudi nyuma tena kwa zinaa

  • @miriamalute1540
    @miriamalute1540 6 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu naomba Neema yako pekee yanguu siwezi

    • @GOZBERTMTASINGWA
      @GOZBERTMTASINGWA 6 หลายเดือนก่อน +1

      Mimi nina tabia ya ujeuri na hasira na sipendi kuwa hivyo, nifanyeje?

  • @user-dz3rl1ki6u
    @user-dz3rl1ki6u 6 หลายเดือนก่อน +1

    Asante bretheren rev. Eliona Kimaro Bwana Mungu akutie nguvu am being reviled that Tanzania our country is redeemed by the holly blood of Jesus Christ Our savior

  • @theresiamwanamkejasiri6510
    @theresiamwanamkejasiri6510 หลายเดือนก่อน

    Mungu Akubariki sana,

  • @nellylewa4457
    @nellylewa4457 3 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏 🙏

  • @MrDamas84
    @MrDamas84 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu akubariki sana Baba Mchungaji Eliona Kimaro. Zaidi sana akulinde na kukuongoza ili watu wabaya wasije wakaharibu huduma yako. Mwenyezi Mungu na alinde wito wako na ailinde huduma yako. Amen. Amina. Amin

  • @tracychesoli2900
    @tracychesoli2900 5 หลายเดือนก่อน

    God have mercy on me and my household,restore us once more and give us power to overcome sin

  • @antoniakileo9304
    @antoniakileo9304 5 หลายเดือนก่อน

    Baba Eliona Mungu azidi kukupa hekima nabarikiwa sana na mafundisho yako

  • @rehemasuleman6720
    @rehemasuleman6720 6 หลายเดือนก่อน

    Sema tupone Baba. Hakika hii ni Kwaresma na Tunasimama na NIDHAMU. Ameeeeeeen

  • @user-lu6vb2xj3m
    @user-lu6vb2xj3m 6 หลายเดือนก่อน

    Nimemuelewa mch. Vilivyo
    Mungu. Akubariki sana mch. Unasaidia sana kumtoa binadamu kwenye Giza Nene.

  • @safiselemani8235
    @safiselemani8235 6 หลายเดือนก่อน

    Baba Mungu wa huruma ninaomba unirehemu nimewa kahangia vatoto wangu zina baba unisamehe

  • @RichardGidale-fj7xs
    @RichardGidale-fj7xs 6 หลายเดือนก่อน

    Asante na ubarikiwe sana mchungaji roho wa MUNGU awe juu Yako amina

  • @collinslyimo448
    @collinslyimo448 6 หลายเดือนก่อน

    Ameeeen Mungu azidi kukubariki na Kukulinda Mtumishi 🙏🙏

  • @atkamlowe5379
    @atkamlowe5379 6 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa Mtumishi wa Mungu very powerful

  • @elesiagama2230
    @elesiagama2230 5 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe sana Mtumishi

  • @irakazaeriekim4753
    @irakazaeriekim4753 6 หลายเดือนก่อน

    Asante sana 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @DosianaLulakuze-bv7fg
    @DosianaLulakuze-bv7fg 6 หลายเดือนก่อน

    Mungu nionekanie nakuhitaji jehova

  • @fredrickmichael2317
    @fredrickmichael2317 6 หลายเดือนก่อน

    Ameen..

  • @marthasabokwigura4955
    @marthasabokwigura4955 6 หลายเดือนก่อน

    Ubarikiwe 🙌

  • @jeremiaisowe4443
    @jeremiaisowe4443 21 วันที่ผ่านมา

    1wakoritho 6:18

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 6 หลายเดือนก่อน

    Ameen

  • @susankamanga7116
    @susankamanga7116 6 หลายเดือนก่อน +1

    Sema Mtumishi kanisa lipone….

  • @mercylineneema205
    @mercylineneema205 6 หลายเดือนก่อน

    I understand you very much Pr

  • @elizabethmuli5911
    @elizabethmuli5911 6 หลายเดือนก่อน

    Am the first to day karibuni kwa ibada🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @user-dq4ik7zo8w
    @user-dq4ik7zo8w 6 หลายเดือนก่อน

    Balikiwa mtumishi

  • @user-dz3rl1ki6u
    @user-dz3rl1ki6u 6 หลายเดือนก่อน

    Haya mahubiri kiukweli yafanyike ukombozi kwa ajili ya nchi yetu na vizazi vingi vilivyopotea Mungu wetu wa Mbinguni mimina roho ya mguso wa neno lako kwa kizazi cha Leo tuponeeeee tupone kwakweli!!?

  • @JonasJohas-zk5lk
    @JonasJohas-zk5lk 6 หลายเดือนก่อน

    Amen namba yako jamani siipati mchungaji mwenye namba ya mchungaji yeyote anitumie

  • @aivanntomi9484
    @aivanntomi9484 6 หลายเดือนก่อน

    Amen 🙏🙏

  • @GraceShayo-mj3oc
    @GraceShayo-mj3oc 6 หลายเดือนก่อน

    Piga kelele mtu wa Mungu uwahubiri watu makosa na dhambi zao Dunia ipone

  • @WendoDaudi
    @WendoDaudi 6 หลายเดือนก่อน

    Ameen🙏🙏

  • @lusajomwakalinga5813
    @lusajomwakalinga5813 6 หลายเดือนก่อน

    Hapana usijihukumu hiyo ni tafsiri ya neno la Mungu cha msingi usizini Mungu hapendi Ila hapo kuhusu watoto Mungu anajua ....ndo maana Kuna jina la Yesu na damu ya Yesu inayotakasa Kama si hivyo laana za wazee wetu tusingetoboa

  • @dottomayala255
    @dottomayala255 6 หลายเดือนก่อน

    Eee Mungu nirehemu mimi, maana

  • @estherlemburismollel5901
    @estherlemburismollel5901 6 หลายเดือนก่อน

    😭😭😭

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 6 หลายเดือนก่อน

    Ibilisi asisake namna hiyo jamani

  • @RichardGidale-fj7xs
    @RichardGidale-fj7xs 6 หลายเดือนก่อน

    Asante na ubarikiwe sana mchungaji roho wa MUNGU awe juu Yako amina