UMEJITADI KULEZEA ILA BADO KIUYANGU SPECIFICATIONS ZA NDANI KWA UPANDE ENGINE UMEGUSA KIDOGO SANA HATA FUEL TANK CAPACITY, ACCELERATION YAKE AINA GEAR BOX INAYOTUMIA,UZITO WAKE,UMBALI UNAWEZA KUTEMBEA KWA LITA, ENGINE PERFORMANCE NINGEOMBA REVIEW NYENGINE UTUDADAVULIE KIUNDANI ZAIDI
eeeebwanaaaaaa daaah umetisha kinomanoma kaka ila ushauli wangu kaka tunaitaji camera kubwaa kidogo brother ila nime elewa zaid ulicho kifanya #techinswahili
My comment kwa nilivoona 32min ni nying sana mtu kuangalia maximum hii video ingekuwa 10 min unagusa Key Area kwenye hili gari 10mins Ni perfect time jaribu kufupisha muda mfano Super carblondie ana video mpaka 4min ni maoni tu kazi nzur
Review mbovu kuliko zote ulizowah kuzifanya, cha kwanza ni specifications ambapo tunaanzia engine namna ina consume, maintenance, na ndo mbwembwe zingine zifuate. B.i.g up snash unafanya vyema ila kwa hapa kidogo naona chenga
Oya snash....range rover washafanya yao uku..new range rover sport 22/23 kuna mambo mengi sana kwenye iyo range rover embu fanya mazingila utupe review
Nakuona Super Car Blonde wa Tanzania 😃💯Hongera sana Kiongozi
Snash umetisha sana ndio my first time nime enjoy review kuhusu gari na kuelewa vizuri hii Rav 4 blessed bro 🖐🔥
Kwaiy ujui kama doctor strange Malte vase of madness imetoka
Sema broo hii review umetumia mda mrefu Sana tofaut na nyingine ambazo tumezoea ulituzoesha review ambazo ni short na clear keep it up 💪💪unajuw san
UMEJITADI KULEZEA ILA BADO KIUYANGU SPECIFICATIONS ZA NDANI KWA UPANDE ENGINE UMEGUSA KIDOGO SANA HATA FUEL TANK CAPACITY, ACCELERATION YAKE AINA GEAR BOX INAYOTUMIA,UZITO WAKE,UMBALI UNAWEZA KUTEMBEA KWA LITA, ENGINE PERFORMANCE NINGEOMBA REVIEW NYENGINE UTUDADAVULIE KIUNDANI ZAIDI
Mbona ela nyingi namna hiyo.Tumezoea 28,30,ndio juu sasa hii Mamilion haya duh.Asante kaka yangu.
Snash you are the best kwa review za magari bongo so far. Keep it up..the future is bright
Super car blondie in Tanzania big up bro
Nakuona mbali mzee, unajua
Umetisha kinoma noma mr snash
eeeebwanaaaaaa daaah umetisha kinomanoma kaka ila ushauli wangu kaka tunaitaji camera kubwaa kidogo brother ila nime elewa zaid ulicho kifanya #techinswahili
My comment kwa nilivoona 32min ni nying sana mtu kuangalia maximum hii video ingekuwa 10 min unagusa Key Area kwenye hili gari 10mins Ni perfect time jaribu kufupisha muda mfano Super carblondie ana video mpaka 4min ni maoni tu kazi nzur
Presentation nzuri,lakin Rav4 hajawafanya kitu cha ajabu. Wamecopy features za Range rover yani kila kitu. Hao ndio toyota bwana
Inapatikana kwa sh ngapi ukiagiza
Bro I like ur review ..,just improve ur camera lights....advice tu
Bei
Mshikaji wangu umefanya kazi kubwa ila kt pekee ulichotunyima uhuru n location uloitumia Giza sana Mzee kwa nn ungeiweka pahala poa mzee
Asante sana boss kwa kazi nzuri natambua kwamba unajitafuta lakini kwa sisi wengine tunao kufuatilia unatupa madini sana kaka
Safi kabisa snash lakini naomba review ya rang rover ya 2022
Ataipata wapi labda afanye kwakupitia mat Watson wa carwow jamaa ndo world one yani
Umeonaee mie pia nishamuomba Sana zaidi ya Mara 10
Broo jitaidi sana kwenye review zako za magari zisizidi dk15 au 20 ili zisimchoshe mtazamaji
Kabsa yan
Ni kweli ila kwa review ya namna hii ndo ya kwanza kuifanya kwahyo tusimlaumu sana👊👊
Apana banah iyo gali ina mambo meng dakk 20 hazitoshi
Kitu kizur huwa hakichoshi
sinaga wasiwasi nawewe big up brotheee keep it up
Kaka umetisha
I just advice uwe unaweka subtitles uwenda Kuna watu kutoka nje wakawish kusikiliza
Umetisha kinomanoma tech in swahili
PAMOJA KAKA KUITANGAZA TECHNOLOGY KWA LUGHA ADHWIM YA KISWAHIL❤
Hii gar ni mnyama sana nimeiona moja tu mpk sasa nayo ni STJ
Endapo naihitaji gari hii bei yake ya Ununuzi ni tshs Ngapi hadi Dsm na inalipwaje
Nakubali mwamba,unanilaisishiaga mambo
Ndoto yako imetimia hongera bro
umetisha sana snash,
Nice work what's the price
Umenifanyia favel Sanaa hii kitu mpaka nimekuelewa
Review mbovu kuliko zote ulizowah kuzifanya, cha kwanza ni specifications ambapo tunaanzia engine namna ina consume, maintenance, na ndo mbwembwe zingine zifuate. B.i.g up snash unafanya vyema ila kwa hapa kidogo naona chenga
Oya snash....range rover washafanya yao uku..new range rover sport 22/23 kuna mambo mengi sana kwenye iyo range rover embu fanya mazingila utupe review
Nice bro but something to improve is on light enhancement on your video somehow not perfect work on it 🤜🤛
Nakubali Sanaa kaka
Tunaomba kujua bei ya gari hili kwa sasa ni tshs ngapi
Sawa kaka tupe mareview ayo tuliyamic knoma nomaa
Review nzuri sana, am going to buy it soon 🙏
umetisha sana mkubwa
Fanya review ya honda vezal
Nauliza Vipi kuhusu RAV4 ya zamani...nayo ngumu au vip
Tunaomba review ya ford wildtrack 2021
Naomba review ya Dodge Challenger SRT
MY Dream Car
utishaaaaa sanaaaaa broo
Bigup mzee baba
Safi
vifaa vyake vinapatikana ta?
Iko bomba sana sema haujatuambia nini maana ya cruiser
Brooo umetisha lkn vp movie review sasa iv umepoa xana
Snash big up sana, naomba review ya Nissan patrol
Unazo namba zake
Bei ndo iyo milion 140 ?
Smash we mkal knoma nkubal kazi zako san a(take in Swahili)
Hiki chuma balaa huyu designer nyokoo
Uyu jamaa ni noma
Bei gani hiyo
Big up big bro.
Ungetaja na bei bro
Bro umesahau Bei y RAV4 haukutuambia
Pamoja Sanaa kaka
Yeah nakkubari mzee
hii gar ina fanan na kulger ya 2020 kila kitu karibia
Naomba utuletee pikipiki aina ya skuta kaka
Unajua Boss 🙌
The video is Too long brother max duration weka 15 min
Bei ya iyo Rav4
Wanasemaga tako la nyani 11:12
Sio Tako la nyani hiii...Tako la nyani ni harrier
Brother unavoelezea, nimejikuta Natamani kuinunua, mifukoni Nina Buku 2 hapa🥴🥴😁
Gud to gooo
Huo umeme siku ukizingua utawaleta waliotengeneza
Nzur kaka ila kamera inakiza san
Ni SIDE MIRROR sio SITE MIRROR
P1 sana
Gari yangu pendwaa hii 😂😂nitakuwa hata jambazi ili ninunuee
Bro sorry ni side mirror sio site mirror
Haujatuelekeza kamera
Inauzwa Bei gani
Gharama yake n shi ngapi mpaka nipate hapa bongo
Good job bro💯💯
Review nzuri sana ila imechukua muda mrefu sana
Mkn xan xnaxh umetixh
140m si bei ya brado 2020 au🏃🏃🏃🏃🏃
Brado ndo gari gabi
safisana
Umelezea vizuri kaka angu ila bei gani?ikifika huku TZ?
TZS 135,000,000
🙌🙌🙌
💯💯💯
Gari leji
Hakika RAV4 ni gari ngumu sana
Oya snashtz hiyo 140M ni mPaka Usajiri au
Hapo kila kitu
@@snashtz 👍😄Aiseee Bei Tamu Sana Hii
Speed yake
😍😍😍
bado range rover
tuma MBA yako ya cm
sio rava 4 ni rav4
Snashi yan me sio m2 wakukoment sana lakin me niko ma ww toka Instagram na tiktok na kukubali sana kaz yako
Umetisha kinoma noma mr snash