Nakumbuka cheka tu tour mbeya nilitaka kukosa kwa ajili ya ujauzito nilihudhuria week moja baadae nkajifungua😂 these guys are legends in the making......
Ndaro kweli ni mwalimu, ametulia saaana, hakurupuki, simple n smart, Leonard ni mathematics Genius on his level, so simple but the mind works 100% more.
Coy mzungu alianzisha Cheka tu km maskhara tu ila asa ivi imkw 🔥🔥🔥🔥🔥Coy hajasoma ila amewaajiri wasomi akina Said maH.R dah dunia kwl akili,kwa iyo Coy hiki ni kipaji kutoka kwao mana hadi mama yake😂
Niseme tu haikuwa interview Ila ni sehemu ya show. Nimecheka sana na kujifunza pia😂❤
Huyu ndaro na Leonard wanamaliza sana mabando yangu
Coy you are the best,hongera sana kwa kuwainua vijana wa kitanzania,Mungu azidi kukutunza
Aise bundala unazungumza vzur sana na kwa kuvutia kabisa hongera mungu abariki kazi n
Koy kama ukijaliwa ridhiki fungua cheka tu zanzibar 😢❤
Nawapenda hawa watu..huwezi kaaa kinyonge ukikaa nao🤗
NAKUPONGEZA COY,,AO WASHKAJI UMEWATOA MBALI KICHIZ,,,ILA WEW MWENYEW SKUIZ UNAJIFANYA STAA UNACHEKESHA DAKIK 1,,,2 UNAONDOKA
Kwan dhambi ikwapii😂😂😂
@@goodluckmichael3492 UJAWAI MUONA COY AKICHEKESHA WW,,NENDA
Akitumia yy muda mwingiitakua shida kimtazamo kwa watu.
boss hatakiwi kufnya kaz kubwa kuliko wfnya kaz wake 😂
Sasa akikaa mda mrefu yeye wenzake itakuaje???? Au na wewe ni wale wenye chuki binafsi
Halafu mimi leonardo ndio ananichekeshaga sana.
Mimi pia jamaa anaweza sana
Hunishindi mm hatumii nguvu
Napenda sana cheka tu.. From kenya
Nakumbuka cheka tu tour mbeya nilitaka kukosa kwa ajili ya ujauzito nilihudhuria week moja baadae nkajifungua😂 these guys are legends in the making......
Mungu ni mwema sana
experience is the best teacher🙌🙌🙌🙌🙌
Brother sky kweli coy ana madini Sana,
#simulizinasauti mnajua Sana, hongera saaana
I like the chemistry between them
namsikia suno at the end of the video singing,hongera sana kwa mtumizi mazuri ya tech bro
Coy hata kama hujamaliza shule lakini una upeo mkubwa sana alafu una roho ya dhahabu 🎉🎉🎉Mungu akutunze
Interview nzuri sana✌️
casual talk, full of funny,,, sjataman iishe yan 👍🏽
Iviii hii interview ni saa moja au dk kumi wakuu mbn imeenda chapu😅😅
Dakika kumi😂 du hiyo kumi umeitoa wapi!!
😅😅😅ni utamu tuu
Daah eliud simuoni mkuu😢
Ila kweli pange pendeza zaidi angekuwepo Eliud😂😂
Nawapenda Sanaa 🎉🎉🎉🥰
Bro mungu utakusaidia tu utakuja kuwa radio yako
Good interview 👍
Aise jeshi kikofia yuko wapi ☹
Ndaro na Leonard 😂😂😂
Coy mzungu big up sana umetoa ajira kwa wengi
😂😂 Haloo leo mambo ni motooo, aisee exclusive interview
Kaka sky worker kitambo sana toka radio victoria musoma
Loveeee
Jamaa wanajua🎉
Na Raha ya mlimani ni ufike kileleni
Mjeshi kikofia aise anachekesha balaa😂😂😂😂
Ndaro kweli ni mwalimu, ametulia saaana, hakurupuki, simple n smart, Leonard ni mathematics Genius on his level, so simple but the mind works 100% more.
Hawa kweli macomedian aise 😂😂😂
Nom San awa
Ndaro anafanana na comedian Eddy Griffin 😃
No1
Jamaa wameroastiana hapo hapo na jokes zao zinaenda 👊
Leonard naona kakitambi 🤣🤣 kwa Mbaali
Leanord nakupenda
Brother sky hawa watu muhimu sana tuletee hawa na round nyingine tom dakitar
Waoo
😂😂😂interview nzuri sana❤
Aise kumbe alichelewa 😂😂😂
So fun
Amekosa Eliud jamani
Anafany kaz na kipotoshi😅😅😅
Eti mi ndo boss apa😂😂😂
Ati mama Said ana vituko tu 😂😂😂
Kiukweli nmefrah sana
Bei gan tiketi
Interview ya saa moja ila utafikiri niya dakika 20 daaah😂😂😂
Nimekupenda,IG yako wajiitaje nikutumie DM?
@@criminalminds7723😂😂😂😂😂wueeeh
@@ASHAKARAMA-lb1tn 😂🤣😂wewe pia nimekupenda naomba IG yako😂🤣😂 serious lakini
Mimi nawatafsiri hawa watu kama Madaktari
Safi
hii interview nilitakiwa nikae na pen na karatasi
Mimk nae ni msoma na kigoma😂😂😂😂
Tx Dulla aje mjengoni
leonardo bila D mbili huwez kumwelewa😂😂😂😂😂
Ndaroooooo KAMA MWANAUME PIGA watakuua wanajeshi😂😂😂
❤❤😂😂
Sky ni fundi wa interview
Ndaro ameanza kuchelewa kwenye interview
🎉🎉🎉
Tuletee Bibi chala
Hawa jamaa wanajikuta walilala wakaamka wanajua 😅
Nawakubali sana wakuu
Mamb
Kama huna D² huwez elewa😂😂😂
Haha 😂😂 keje ya kae wee akaaa ?
Kuna uyo Said hana mic control
😂😂😂😂😂wangapi wamecheka kama mimi
Sema nn mnachekesha sana ..
Naomba huyo mtangazaji anitafute ana kitu nakiona
Kaka zangu muna Tisha this is @sugar Igaufe from Congo 🇨🇩 to Tanzania 🇹🇿
Vituko NACHO NI KIPAJI 😂
Ndaro mshenzi nimecheka
Aisee Bonge la Interview 😂😂😂😂😂
Sky vipi video mixer
Uyo mkaka mwembamba ndo anaweza et
Camera man kazingua camera inagandaa upande mmoja sanaa
Amna alie gundua😅😅
Eti ukiwatoa walioko apa😂😂
Coy mzungu alianzisha Cheka tu km maskhara tu ila asa ivi imkw 🔥🔥🔥🔥🔥Coy hajasoma ila amewaajiri wasomi akina Said maH.R dah dunia kwl akili,kwa iyo Coy hiki ni kipaji kutoka kwao mana hadi mama yake😂
Wanachekesha 😂😂
Coy mpenzi naomba tufungue platform ya motivations sio kwa ubaya ila u have words to comfort people and save broken souls
I love u😍😍😍😍
ningependa kuolewa na mchekeshaji
Kithembe kinasababishwa na nini??
haka kadogo kenye cap ya blue kanaongea sana kanakosa stala yaani hakana utulivu kabisa
Ya green sio blue
Ukijua rangi
Njoo tuongee😂
@@Saidaaid 😀😀😀ila said sisi tunakupenda hvyohvyo mwaya
Na kakithembe kake
Tuletee Eliud kaka Sky
Siku ambayo una muda tumseme leonardo😂😂😂😂
kumbe ndaro alichelewa kuingia
Mwambie afanye kama leornad ajib hesab sianawez kila anachowez kiumb hai @ndaro
Coy unaongea sana
😂😂😂😂
Maskini coy itakua ana pumu pole kaka
Leonardo huyo ni Mwamba since nasoma nae O-level
Kaka angu kabo
Uyo saidi ana ukihelele flani ivi kene maiki ka mshambaa wengine awajamaliza kashalukia kama kachawii
Mshamba bibi ako mwaya
😂😂😂😂😂
@@Saidaaidjifunze kujituliza kama Coy
@@imanwilliam4073 sio kama ww unavotulia kwa mmeo?😂
@@Saidaaid 😀😀😀limemkuta.jamboo
Yaan nyie mmenivunja mbavu
Saidi na kithembe chake dah
Mama mawigi ndo mamaake koy au?
ndiyo mwaya mama ake mzazi
Camera man afahi video anachukua kwa mt ambayo ahojiwi
Kumbe sio mimi tu nimeliona hilo....
Huyo mwingine mbona haonekani au camera man ana bifu na mwana