UNABII || FARASI WAWILI KUELEKEA UCHAGUZI 2025 || Prophet Edmound Mystic

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
  • FOLLOW US BY CLICKING THESE LINKS BELOW:
    INSTAGRAM:
    / prophet.edmound_mys. .
    TH-cam:
    / @edmoundmystic
    AUDIO PODCASTS:
    player.fm/seri....
    FACEBOOK ACCOUNT
    web.facebook.c....
    him.or.tz
    himchurch.or.tz

ความคิดเห็น • 76

  • @ThomasMwarukaKeya
    @ThomasMwarukaKeya 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Barikiwa sana Nabii wa BWANA Yesu Kristo Edmound Mystic, napenda Sana huduma yako..!

  • @OlivaMHANDO
    @OlivaMHANDO 11 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Tunamuomba sana mora asiturudishie hiki chama tena,,ee mora tusikilize sara zetu, kapige teke shetani kira kona akanyagapo, akashindwe kabisa kwa kira kitu,ww ndo mtetezi wetu, tegemeo letu, na tumaini letu la mwisho, tunakutumainia ww kwa kira vita itakayo kumbana nayo,ww ndo ukawe nguzo ya moto mbele yetu aminaaaaaaaaa aaaaaaaaaaaaaaaaaa

  • @luseshelomwashambwa5809
    @luseshelomwashambwa5809 9 วันที่ผ่านมา +11

    Tuna kazi ya kuomba kwaajili ya nchi Na uchaguzi mwakani

  • @aminielyusufu4351
    @aminielyusufu4351 7 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu aliyehai akubariki Sana baba. Ninakufuatilia Kwa karibu na NINAAMINI Sana katika AHADI za MUNGU Kwa Manabii Amos 3:7& 2 nyakati 20:20

  • @neemamwakasape1630
    @neemamwakasape1630 3 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu simama mapenzi yako yatimie❤

  • @bonjibugeni8996
    @bonjibugeni8996 8 วันที่ผ่านมา +3

    Tunahitaji kuomba sana jmn! Mungu atisaidie

  • @PascalPascual-rn6fx
    @PascalPascual-rn6fx 8 วันที่ผ่านมา +16

    Atashinda Rais kutoka CCM ila siyo Samia. Keep this comment.

  • @JOSHUAMWAKALAGO
    @JOSHUAMWAKALAGO 9 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu akubariki Mtumishi.

  • @Apstmakungu
    @Apstmakungu 9 วันที่ผ่านมา +2

    Amen Amen Prophet

  • @ebenezermachange-zp4es
    @ebenezermachange-zp4es 9 วันที่ผ่านมา +1

    Amen.Glory to God

  • @DaurdCharles
    @DaurdCharles 4 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu akubariki baba

  • @franciswillfred9763
    @franciswillfred9763 8 วันที่ผ่านมา +2

    Mungu atusaidie atupe mtu sahihi

  • @STEPHANOSANGA-m9m
    @STEPHANOSANGA-m9m 5 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu ajalie haya

  • @MichaelMatiku-v7o
    @MichaelMatiku-v7o 4 วันที่ผ่านมา +4

    Wakijichanganya ccm wakamuweka samia wamekishwa hii aina kipingamizi

  • @EsterCosmas-g8t
    @EsterCosmas-g8t 7 วันที่ผ่านมา +1

    Mapenzi ya Mungu yakatimie katika Jina la Yesu

  • @maxlesijila6598
    @maxlesijila6598 4 วันที่ผ่านมา +1

    Chakuombea HAPA ni Mungu Mwenyezi asimame kabisaa kwenye UCHAGUZI ili HAKI ISIMAME TU !! kwa vyovyote iwe kwa HAKI ili TAIFA LIKAINULIWE

  • @luseshelomwashambwa5809
    @luseshelomwashambwa5809 9 วันที่ผ่านมา +4

    Mungu akubariki Sana nabii wa Mungu

  • @FadhilaMarltine
    @FadhilaMarltine 8 วันที่ผ่านมา +1

    🇹🇿 Mungu atusaidie🙏

  • @ibrahimucharlessatto3449
    @ibrahimucharlessatto3449 7 วันที่ผ่านมา +1

    Mungu aliye hai atupe nguvu ya kusimamia hili

  • @eliezersifuel3304
    @eliezersifuel3304 2 วันที่ผ่านมา +1

    Ni lini MUNGU ataikumbuka Nchi yetu kwa kutupatia Rais kutoka chama tofauti na kijani?
    Tumeibiwa sana BABA YETU WA MBINGUNI, naomba utuonee huruma!

  • @margaretgilbertdantes1167
    @margaretgilbertdantes1167 8 วันที่ผ่านมา

    Amen Amen Mpakwa mafuta

  • @herbertntanyungu675
    @herbertntanyungu675 9 วันที่ผ่านมา +3

    Mungu akubariki na kukulinda nabii wa Bwana

  • @edwinmbunda6709
    @edwinmbunda6709 8 วันที่ผ่านมา +1

    Bwana aingilie kati

  • @elishamartine4572
    @elishamartine4572 9 วันที่ผ่านมา +2

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @nyandichearts
    @nyandichearts 6 วันที่ผ่านมา +2

    Majaliwa i see akiwa presedent

  • @Leeeeeeee-96
    @Leeeeeeee-96 7 วันที่ผ่านมา

    amina mtumishi

  • @lulanjamd3886
    @lulanjamd3886 7 วันที่ผ่านมา +5

    Tunamtaka Gwajima,Hamfrey polepole, tunamtaka speaker ndugai hawa watatu mmoja wapo akigombea tutashinda CCM.

    • @salumsaid4456
      @salumsaid4456 7 วันที่ผ่านมา +1

      Gwajima anachukua Amna wa kumzuia

    • @PrinceHendry-hp8vv
      @PrinceHendry-hp8vv 7 วันที่ผ่านมา +1

      Kwaiyo hata nyie hamumtaki kizimkazi

    • @wisdomfolks
      @wisdomfolks 6 วันที่ผ่านมา

      Mnamataka na nani? Nyie niakina nani ?

    • @hafsalucky1088
      @hafsalucky1088 3 วันที่ผ่านมา

      Ndugai hayuko strong, Mungu atusaidie

  • @HAAM670
    @HAAM670 8 วันที่ผ่านมา +3

    Prophet nakazana kuunganisha Unabii wa January na huu wa September. Kidogo nachanganyikiwa, kidogo tu, kidogo tu.

    • @farajaMezza-qn4be
      @farajaMezza-qn4be 7 วันที่ผ่านมา +1

      Ukiunganisha huu unabii na WA prophet Rolinga unajua kabisa Mungu yupo kazini! Ni wakati wa Mungu kulitembelea Taifa kwa habari ya kiongozi mkubwa wa nchi hii!

  • @margaretgilbertdantes1167
    @margaretgilbertdantes1167 8 วันที่ผ่านมา

    Amen Amen

  • @yusuphalinani5432
    @yusuphalinani5432 5 วันที่ผ่านมา +1

    Ameni ameni

  • @oscanyakunga
    @oscanyakunga 8 วันที่ผ่านมา

    Ameeen

  • @eliudmartine03
    @eliudmartine03 9 วันที่ผ่านมา +4

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @kelvinmushubiro8187
    @kelvinmushubiro8187 2 วันที่ผ่านมา +1

    namuona january makamba

  • @patrobamalema8631
    @patrobamalema8631 5 วันที่ผ่านมา

    AMEEEEEEEEEEEN

  • @kennedymshangila264
    @kennedymshangila264 8 วันที่ผ่านมา +4

    Mpinzani ambaye atatumika kuwauza wenzio ni Zitttttto.

    • @pastorgodwinchengula7848
      @pastorgodwinchengula7848 8 วันที่ผ่านมา +1

      Hata asipowauza wenzie bado Upinzani hawachukui Uraisi katika nchi hii kwa kipindi kirefu kijacho.

    • @jasonwatz7457
      @jasonwatz7457 6 วันที่ผ่านมา +1

      ​@@pastorgodwinchengula7848watachukua eventualy, ni suala la muda but si uchaguzi ujao

  • @austinmwainyekule8773
    @austinmwainyekule8773 8 วันที่ผ่านมา +1

    Mapenzi yako yatimie Bwana

    • @kabwanga83
      @kabwanga83 5 วันที่ผ่านมา

      Mimi simjui huyu Nabii,lakini hiki alichosema ni ukweli kabisa alichosema.Nimesikia kama manabii Sita ninao waamini duniani wanasema Mama apiti hata afanyeje kwa maana Mungu kamkataa

  • @rukiaismail
    @rukiaismail 3 วันที่ผ่านมา +1

    Kweli wakiristo mmevurungwa nashetani nakutafuta sifa

    • @adrianomaulaga1599
      @adrianomaulaga1599 2 วันที่ผ่านมา

      Mungu akusamehe maana hulijui usemalo

    • @rukiaismail
      @rukiaismail 2 วันที่ผ่านมา

      @@adrianomaulaga1599 ungelijua ungesema kpndi chemarehemu jp mbona mlikua hamuonekan

    • @adrianomaulaga1599
      @adrianomaulaga1599 วันที่ผ่านมา

      @@rukiaismail kipindi cha Magufuli kama hakuambiwa angesema ya kutoka wapi

  • @lugelosanga5798
    @lugelosanga5798 8 วันที่ผ่านมา

    Zitoooooo

  • @NesiasJastin
    @NesiasJastin 4 วันที่ผ่านมา

    Kwaakili zetu hatuwezi ila kwa neema yamungu tuta vuka

  • @evaulomi3174
    @evaulomi3174 4 วันที่ผ่านมา

    Ufunuo wa Yohana 6

  • @anthonyjoseph1675
    @anthonyjoseph1675 8 วันที่ผ่านมา +4

    Kwa kumbukumbu zangu Kuna unabii unafanana na huu kuhusu risasi na ulitolewa na yule nabii wa Iringa na alisema atakaepigwa nisasi ni PM

    • @farajaMezza-qn4be
      @farajaMezza-qn4be 7 วันที่ผ่านมา

      Duuuh! Ukisema hivyo tumbo linauma maana kuna kipindi mtumishi huyu hapa alisema anamwona huyo ulomsema akiwa dhaifu sana uwanjani! Mungu atusaidie, tusichoke kuomba Mungu atupe viongozi wenye hofu ya Mungu!

  • @salumualoyce5620
    @salumualoyce5620 7 วันที่ผ่านมา +2

    Msanii tu huyu hamna kitu unabii gan unausoma kwenye makaratasi badala ya kuutoa kichwani?

    • @emmanueljoseph3815
      @emmanueljoseph3815 7 วันที่ผ่านมา +1

      na wewe kasome ya kwako

    • @siscoministry8400
      @siscoministry8400 7 วันที่ผ่านมา

      ​@@emmanueljoseph3815 usingemjibu , bando lake na ufinyu wa kufikiri kwake😢

    • @MesiaMtui
      @MesiaMtui 6 วันที่ผ่านมา +1

      Ameandika aliyoyaona

    • @miriamwinston9908
      @miriamwinston9908 6 วันที่ผ่านมา

      😂😂😂😂watu bhn

    • @valeriamtenga3384
      @valeriamtenga3384 6 วันที่ผ่านมา +1

      Tuupe wakti muda
      Sio kitambo waaala

  • @santennko1195
    @santennko1195 4 วันที่ผ่านมา

    Hakuna Nabii aliyewahi kutabiri urais na ukawa hivyo .Mrema walitabir atakuwa awe rais 1995 ,UKAWA ndo ilikuwa highest compitition lakin nae wapi licha ya Nabii wa Nigeria kuhiji hapa wapi .Hivyo hakuna interest ya kiroho ya Tanzania ktk Nabii hizi .

    • @mayanmlingwa4250
      @mayanmlingwa4250 วันที่ผ่านมา

      Kuna kupata maona na Kuna kuibiwa kura,,,yaani kwa uelewa wako unahs kabsa LOWASA 2015 alishindwa.

    • @santennko1195
      @santennko1195 วันที่ผ่านมา

      @@mayanmlingwa4250 kanuni ya kama ni Mungu amekutuma(nabii) ni kutokea jambo hilo. Kama haikutokea Mungu hakukutuma umetabiri kwa akili yako. Hivi Mungu ni mwanadamu hata aseme uwongo? TAFAKARI!

  • @oscanyakunga
    @oscanyakunga 8 วันที่ผ่านมา

    Ameeen