JOHN LISU ft TIMOTH KABERIA -INUKA BWANA (official video)(SMS SKIZA 7637637 send to 811)
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
- #JohnLisu #InukaBwana #NgommaTz
©2020 Administered by Ngomma VAS Limited.
Connect with John Lisu's Ministry +255713240397 TIGOPESA/Remit/Wave +255768154948 MPESA /Remit/NALA/Wave, Be blessed 🙌
Ewe Mungu wangu nakupenda....na vyote vilivyondani yangu.
Mungu awabariki sana Watumishi wa Mungu na awaongeze
Ooooh my God niliitaka saaana hii nyimbo ,Coz mwaka 2016 niliitumia saaana na Bwana Yesu nilimuona akinipigania na waliokuwa wakinipinga nisiolewe .Mungu alinipa mme on that year na kunifungulia milango ya baraka na mafanikio na huu mwaka ni mwaka wangu wa neeema Bwana anaenda kujisibitisha kuwa yy ni Bwana na hakuna aliekuwa kama yy na kila aliemtumainia hajawahi kumiacha . Hakika hakuna jambo gumu kwa Mungu alieziumba mbinu na nchi. Kila anaeusikiliza huu wimbo imba kwa kumaanisha na utamuona Mungu ktk maisha yako
Nimekumbuka Nikiwa chuoni...Nimejiona Humu....nikiabudu.. Blessings Lisu sasa tumekua.
This was and still is one of the next levels, yaani - Ushukuriwe Bwana..... John Lisu, Yesu aendelee kukukumbuka tu.
An atmosphere of Spirit filled worship. God bless you servants of the Most High God. Blessings Tim Kaberia and John Lisu
Ubarikiwe sana Mtumishi John Lisu. Hakika nyimbo hii imejaa Nguvu za Mungu
Mungu akubariki sana kwa namna ya kipawa ambacho Mungu kaweka ndani yako. Mungu akubariki sana!.
Asante kwa utumishi wako huu!..
Yesu, usalama uko kwako, nitakuwa salama nikiwa na wewe
Sikia maombi yangu bwana,nitakuwa salama nikiwa na wewe,oooh haleleyah to the lord!
Waimbaji wawili ninaowapenda saaana!! John Lisu na Timothy Kaberia. Barikiweni saaana!
Mungu akubariki sana kaka Kwa kusikiliza maombi yetu Kwa kwel nimebarikiwa kuupata wimbo huu nilikuwa nausubir Kwa hamu
Always you're real worshipper... Mungu apendezwe nawe Alifanye Jina lako kusimama katika vizazi
Asante Sana mtumishi finally tumepata hii. Tunaomba na Ile ya mataifa yatetemeka kwa ajabu zako.
Haleluyaa
Kazi KUBWA
Wow,how comes am finding this song today! Am blessed.
I can't get enough of this song... There is an atmosphere that it carries and I can't get enough...
wow! this is wonderful! a collabo with Kaberia of aflewo kenya.
Tunasubili kwa hamu your new albamu
Asante Bwana Yesu, this prayer song resonates with my soul! Blessed are the holy vessels burning the incense..🙌🙏
I remember my universiry life. Nlikuwa na uko hapa DVD 1 and 2, it contributed alot mimi kufika mahali nlipo sasa. Be blessed man of God. One word, nakumbuka uliwahi kuja praise event kwa mtokambali TAG bethel revival, ukasema kpindi cha maandalizi ni mhimu sana kuliko cha kufanya kazi
Unaweza nielekeza penye naweza pata hizo CD. Yuhai Jehovah....hizo nazitaka zote
@@Farmer737 uko mkoa gani wewe?
One song that I truly love.. I one of my favourites over the years
Powerful
Haleluya haleluya
Asante,kumbe sikujua jina la wimbo!
Barikiwa!
Mi huwa sisikilizi tu maneno mpk vyombo,guitar nk
One of my best John Lissu's worship songs..followed by Roho mtakatifu
Am refreshed
What a wonderful, inspirational and blessing song! Brother Lisu, I pray that God keeps you high and even lifts you higher and higher in this ministry. You hold on the Spirit of God and I pray you maintain that spirit of humbleness and humility to God the source of your power. I am refreshed and you be blessed. Amen
Inuka Bwana. Zaburi 44.
Mbarikiwe na bwana
Nitakuwa salama nikiwa nawew
Blessed song
powerful brethren
Good
heavenly 🔥🔥
It's so good to hear you Kaberia on this really timely message. God bless you and Pst Lisu ❤️❤️
Wimbo unagusa Kila kiungo unabibariki Sana
Powerful 🙌🙌
Sana
tunaiomba audiomark plz
Amen