Duniani watu mnaabudu viziuri hivi mbinguni itakuaje Sasa kwa mfano?? Sitamani nikose hiyo ibada mbele ya mwanakondoo...malaika watakatifu...wenye uhai wanne...wazee 24 wote tukiinua sauti zetu kwake yeye asiyeweza kufa milele tukiimba "wasatahili" 😭😭😭😭
Natamani niwe hapo mbele Simba wa Yuda pamoja na viumbe wanne waliohai .God help me to be there please. I 🙏 pray Lord that you may help me to be there with the Angels and you Jesus Christ 🙏 🙏 Amen
Wimbo huu hunibariki mno, kiasi kwamba sina maneno ya kuelezea uweza wa Mungu kwangu. Umeimbwa kwa unyenyekevu mkubwa? Mungu awajalie sana msiige Wasanii wa Injili walio wengi ambao wanavutwa na dunia huku wakijidanganya kwamba bado wanamtangaza Kristo.
Psalms 27:4 [4]The one thing I ask of the lord- the thing I seek most- is to live in the house of the lord all the days of my life, delighting in the lord’s perfections and meditating in his Temple.
Mimi ni Shahidi wa Uwepo wa BWANA. BILA YEYE YESU KRISTO , BILA YA SISI BINADAMU KUISHI ndani YAKE haya maisha yetu duniani hata yawe Na utajiri wa Mali za DUNIANI vipi yote ni bure tu ! MUNGU NAOMBA KUTEMBEA NAWE SIKU ZOTE ZA MAISHA YANGU DUNIANI KOTE UTAKAKONIWEZESHA, KATIKA JINA KUU LA YESU KRISTO, AMINA !
In your presence ooh Lord is where I want to be there is peace, joy and fulfilment...I don't want to be elsewhere during my times of gain and loss...🙏😭
I strongly agree that in his presence there is alot of peace. Oh my! The kind of peace that no one else can provide. Napenda nikae nawe bwana so that I enjoy this kind of peace for the rest of my life. Thank you God for using this team to minister to us. To me..... Amen
It's the first time I'm listening to this song and I can sense the anointing!🌷🌹🙏...it's so powerful! It's been my prayer to always be found in the presence of God!🌹your song has been my prayer, my desire each day🌹🔥🔥I feel like listening to this song over and over again
Haleluya ee Yesu wangu uweponi mwako nisiondoke. Uwe mdhamini wangu sasa na hata milele. Leo ninapoadhimisha miaka 19 ya ndoa Yesu natamani kukaa zaidi uweponi mwako ili nikawe chachu ya ndoa ktk dunia hii. Haleluyaaa Utukufu ni kwako sasa na hata milele amina
ALL MY SUCCESSES BOUND BY THE EVIL ONES IS RELEASED IN JESUS NAME, NA KUTA ZA JERICHO ZIMEVUNJIKA KATIKA JINA KUU LA YESU, HAPANA KILIO TENA NIMEPATA USHINDI MKUU KUTOKA MBINGUNI, SHAARAYABALARABAILAAAAAAAATOOOO. WE ARE VICTORS IN JESUS NAME CHRIST OUR FATHER OUR GOD IN HEAVEN THANK YOU. NGUVU ZA GIZA TUNAZIKEMEA KATIKA JINA LA YESU KRISTU, UTUKUFU WOTE NI KWAKO BWANA MKUU WA YOTE MKUU WA VITA, NDANI YAKO NI USHINDI NA MWANGAZA HAPANA GIZA TENA, AS YOU LISTEN TO THIS SONG MAY GOD HAVE MERCY UPON HIS PEOPLE, LORD YOUR PEOPLE HERE WE ARE HUMBLY SERVING YOU MY GOD MY FATHER, TRANSFORM THE LIVES OF YOUR PEOPLE, INCREASE YOU PEOPLE IN VERY MAGNIFICENT WAYS THAT THEY WILL WONDER AND SAY WHAT HAPPENED. THANK YOU LOOOOOOORD
I am blessed with the song and i thank GOD because he has been there for me.This song always give me hope and peace because UWEPONI MWAKO YESU KUNA AMANI.
Jehova make me a vessel and minister in me ....I pray to be used by you and I surrender all....this is my prayer this morning that I will deliver and I will be broken for the work of God ....thanks for ur mercies
the original song is called ombi langu by John Lisu from the Album Ombi langu its the last song. He sings it with Christina. Its the first time i experienced deliverance while singing
Siku hizi waimbaji hawaabudu, they simply entertain onlookers. They are concerned about the styles and the organization of the sounds, light and the likes. But Mungu awabariki.
Who is listening 🎧 to this song in 2025
Duniani watu mnaabudu viziuri hivi mbinguni itakuaje Sasa kwa mfano?? Sitamani nikose hiyo ibada mbele ya mwanakondoo...malaika watakatifu...wenye uhai wanne...wazee 24 wote tukiinua sauti zetu kwake yeye asiyeweza kufa milele tukiimba "wasatahili" 😭😭😭😭
😭😭😭😭😭,natamani kuwepo kwenye hiyo ibada.Mungu nisaidie nakuhitaji maishani mwangu
Ndgu yangu umeongea kitu kikubwa sana
🙏🙏
Natamani niwe hapo mbele Simba wa Yuda pamoja na viumbe wanne waliohai .God help me to be there please. I 🙏 pray Lord that you may help me to be there with the Angels and you Jesus Christ 🙏 🙏 Amen
Kweli kabisa!
This is one of the songs that have stood the test of time in my life 😭. I wish one could hit the like button multiple times
❤
It's my worship everyday
Back up team so amazing
Two people singing like 17 people
I love this song. Guys mumenyamaza tuleteeni song zingine kama hizi.
songs zinakujanga na Gods guidance si bure tu.
the back up (and the back up ni ya watu wawili, its unbelievable) plus the anointing just takes you to a new level
I knowwww.nimeshangaa sana
Nyimbo imenigusa Sana 😭😭😥😥 MUNGU nikumbe siku ya mwisho
Napenda sana jamani nyimbo nzuri inaingia ndani ya moyo
Mungu unaposhuka kuhudumia wengine usiniache
Wimbo huu hunibariki mno, kiasi kwamba sina maneno ya kuelezea uweza wa Mungu kwangu. Umeimbwa kwa unyenyekevu mkubwa? Mungu awajalie sana msiige Wasanii wa Injili walio wengi ambao wanavutwa na dunia huku wakijidanganya kwamba bado wanamtangaza Kristo.
Amina. Sifa na utukufu wote kwa Mungu
Amazing song am happy to see one of the back up singers who we schooled with still strong in the Lord be blessed.
This is great am blessed.. listening from Kenya
God bless u and kaa ndani ya uepo wa yesu kila siku nayy atakuonyesha mambo ya ajabu
Powerful message napenda nikae naww yesu siku zote ooooh Amen
Psalms 27:4
[4]The one thing I ask of the lord-
the thing I seek most-
is to live in the house of the lord all the days of my life,
delighting in the lord’s perfections
and meditating in his Temple.
Make sure u like my comment i come to watch again 😅
It's been 2 years and I never get enough of this song😭😭🙏 indeed in the presence of God there's fullness peace and joy ❤️.
Nimeamini palipo wawili au watautu uwepo wa Bwana uko katikati yao🙏🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌
I can't even put into words, but God is good, his mercies are new every morning
Ooh Lord give me strength and wisdom to walk with you all the time as I'm nothing without you.
Uweponi mwako hallelujah, lhave never heard this song wow I'm blessed 🙌
Mimi ni Shahidi wa Uwepo wa BWANA. BILA YEYE YESU KRISTO , BILA YA SISI BINADAMU KUISHI ndani YAKE haya maisha yetu duniani hata yawe Na utajiri wa Mali za DUNIANI vipi yote ni bure tu !
MUNGU NAOMBA KUTEMBEA NAWE SIKU ZOTE ZA MAISHA YANGU DUNIANI KOTE UTAKAKONIWEZESHA, KATIKA JINA KUU LA YESU KRISTO, AMINA !
This song can be on loop for hours without getting boring! Because of the glorious atmosphere it beckons!
In your presence ooh Lord is where I want to be there is peace, joy and fulfilment...I don't want to be elsewhere during my times of gain and loss...🙏😭
I strongly agree that in his presence there is alot of peace. Oh my! The kind of peace that no one else can provide. Napenda nikae nawe bwana so that I enjoy this kind of peace for the rest of my life. Thank you God for using this team to minister to us. To me..... Amen
The message 😢😢😢😢😢😢❤❤. Uweponi mwako Kuna amani ,napenda nikae nawe bwana🙏🙏😭😭
Back From❤❤Natamani nikuone niuone uso waako....🎉🎉🎉😊
😢uwepo ni mwako Kuna uponyaji 😊napenda nikae nawe bwanah .....katika majira yote niishi ndani yako 😢ni haja ya maisha yangu ndani yako yesu .
Kila Kona baba wetu tuna kutegemea ❤baba wewe ndo Mungu jina lako rmlitukuzwe
Uweponi Mwako Kuna Amani Napenda Nikae Nawe BWANA🙌🙌🙌🙏🙏🙏
What a Spirit filled song! It takes me to where Abba wants me to be. I am blessed
My every early morning song I always feel blessed 🙏
As am listening to this song ☺️am really blessed..being in the presence of my papa daily there is alot of peace in deed ♥️
Uwepo wako ni kila kitu Mungu wangu
It's the first time I'm listening to this song and I can sense the anointing!🌷🌹🙏...it's so powerful!
It's been my prayer to always be found in the presence of God!🌹your song has been my prayer, my desire each day🌹🔥🔥I feel like listening to this song over and over again
L
Napenda nikae nawe Bwana. --- Ahsante for the compilation blessed team.
My heart desires always lord remember me please 🙏
May the Lords presence lead me😢😢😢😢
So beautiful ❤️, how I love this song, glory to Almighty God 🙏
Uweponi mwako kuna Amani napenda nikae nawe bwana
Haleluya ee Yesu wangu uweponi mwako nisiondoke. Uwe mdhamini wangu sasa na hata milele. Leo ninapoadhimisha miaka 19 ya ndoa Yesu natamani kukaa zaidi uweponi mwako ili nikawe chachu ya ndoa ktk dunia hii. Haleluyaaa Utukufu ni kwako sasa na hata milele amina
❤️
❤❤❤❤❤ I find myself singing this worship song. What a wonderful one
Uweponi mwako Yesu Kuna amani ya kweli Mungu wangu
Your presence in my life . Is only thing I want Jesus
This songs brings the presence of holly spirit and cools our minds and souls
The song has very simple but deep words, this is what a gospel song looks like.
ALL MY SUCCESSES BOUND BY THE EVIL ONES IS RELEASED IN JESUS NAME, NA KUTA ZA JERICHO ZIMEVUNJIKA KATIKA JINA KUU LA YESU, HAPANA KILIO TENA NIMEPATA USHINDI MKUU KUTOKA MBINGUNI, SHAARAYABALARABAILAAAAAAAATOOOO. WE ARE VICTORS IN JESUS NAME CHRIST OUR FATHER OUR GOD IN HEAVEN THANK YOU. NGUVU ZA GIZA TUNAZIKEMEA KATIKA JINA LA YESU KRISTU, UTUKUFU WOTE NI KWAKO BWANA MKUU WA YOTE MKUU WA VITA, NDANI YAKO NI USHINDI NA MWANGAZA HAPANA GIZA TENA, AS YOU LISTEN TO THIS SONG MAY GOD HAVE MERCY UPON HIS PEOPLE, LORD YOUR PEOPLE HERE WE ARE HUMBLY SERVING YOU MY GOD MY FATHER, TRANSFORM THE LIVES OF YOUR PEOPLE, INCREASE YOU PEOPLE IN VERY MAGNIFICENT WAYS THAT THEY WILL WONDER AND SAY WHAT HAPPENED. THANK YOU LOOOOOOORD
Powerful worship song 🔥 uweponi mwako Kuna amani napenda nikae nawe Bwana🙌🙌🙌🔥🔥🔥🔥
This song has forever be my comfort
Am blessed by your ministry.more grace to you
Amen🙏🙏🙏Lord I just want to be found in your presence all the days of my life😭😭😭😭my heart desire God🤲🤲🤲🤲
Just lost my mum now 😢😢😢😢😢😢❤❤God you know the reasons
Outside God's presence, am nothing
How much do I desire to be in the presence of God. When you give yourself in the presence it's when you get to know God and his power of his character
Huu wimbo unanibariki sana,Mungu awabariki
Past midnight. Woken up to listen to this! Fresh anointing! In your presence Lord,I find all my peace,all my restoration.
Thanks for your presence Lord
Haleluya haleluya haleluya natamani Sana niwe uweponi mwa Yesu Kristo siku zote nisimtende Mungu wangu dhambi 😢😢😢😢
this is nice song
When you come again Lord, please remember me. I don't wanna miss the great worship in our eternal home😭😭😭
Hallelujah,,napenda nikae uweponi mwako milele🙏🙏🙏🙏
Deep inside feelings!!😭😭
Lord, come close plzzz
I am blessed with the song and i thank GOD because he has been there for me.This song always give me hope and peace because UWEPONI MWAKO YESU KUNA AMANI.
In the presence of God there is peace indeed 🙏
Amazing God i choose his presence all the time Good Job Segond my son
Uweponi mwako Yesu Kuna amani, napenda nikae nawe
Am blessed and I can feel God's presence, I have been prying for my life patner God I know you will provide the chosen on yr time
GOD will give u the right one just do what is right
I feel God's presence... Be blessed man of God
May God give you the desire of your heart this year in Jesus name
A day can't end without listening to the song.It's my prayer to dwell in His presence all the days of my life.
Lp
Lpl
Pllp
Jehova make me a vessel and minister in me ....I pray to be used by you and I surrender all....this is my prayer this morning that I will deliver and I will be broken for the work of God ....thanks for ur mercies
wonderful praise 👏👏👏🙏
Can't get enough of this song😢! Oooh the anointing from this song ❤
Thanks God I need you Jesus Christ
Unirehemu Eeh Yesu wa Msalaba🙏🏻🥲
This song has been on my heart from yesterday
am here today because of you lord🙏🙏🙏🙏
🙏 na barikiwa sana na huu wimbo god blessings yours life
Uweponi mwako Bwana kuna kila kitu ninachohitaji
I desire to be in your presence my Father, there's fullness of joy in your presence.
Touching worship. May God help me to worship him in truth and spirit Amen.
Katika majira yote wakati wote niishi ndani yako Bwana 🙌
I love the song nikae uweponi mwa Bwana
Halleluah utukufu na heshima kwa Mungu Baba yetu mubarikiwe wapendwa Bwana awe nanyi, asanti kunisogeza tena uweponi mwa Mungu Baba yangu.
Mungu awaepushe na mabaya,awape neema ya kushinda majaribu
Asante Yesu majira yote nikae uweponi mwako
Natamani kukaa tu uweponi make bwana nisaidie. Nice song
This song deeply minister's to my heart.
Feeling blessed 🙏🙏🙏OOH MY GOD!😭
the original song is called ombi langu by John Lisu from the Album Ombi langu its the last song. He sings it with Christina. Its the first time i experienced deliverance while singing
Lord I need more of your presence
The presents of God is all I need.Glory to God, hallelujah.
Amen Amen Amen am much blessed and humble before God
Uweponi Mwako Bwana kuna Amani🙌🙌
😭😭😭nkitafakar machoz yananitoka kumbe bila ww cna uzima
YES JESUS. THANK YOU JESUS WE CELEBRATE JESUS, HE HAS VICTORY OVER THE WORLD. IN YOU LORD I SHALL FIND PEACE THANK YOU MY LORD
haiya
this are the original. owners of this song
I here it Sang .but now av watch it physically
God bless you guys
MWENYEZI MUNGU BABA WA MBINGUNI twaomba uyajibu maombi YETU ya wale WOTE hupenda Na KUTAMANI kutii Sheria zako Na KUISHI uweponi Mwako.
hakika napenda nikae uweponi kwako..mana kuna amani
I just can't get enough of this. Uweponi mwako Yesu
Napenda nikae nawe Bwanaaaa
Uweponi mwako ndio natamani kuwa.
Thank you my brother God bless you en your team
I have searched for this song for a long time,... thank you Jesus
Natamani kila bianadamu aelewe na ajuwe ni wajibu wake kuomba kuwa uweponi mwa Mungu.
So blessing ❤ it's my prayer tonight and the rest of my life.🙌
Siku hizi waimbaji hawaabudu, they simply entertain onlookers. They are concerned about the styles and the organization of the sounds, light and the likes. But Mungu awabariki.
Ombi langu kwako baba nikae uweponi mwako siku zote za maisha yangu.
Can't hold my tears while listening to this song oh God ueponi mwako nataka nikae