Pumzi ya Uhai wako Yesu ipite kwa mataifa yote,pumzi ya uzima wako iponye Tanzania na watu wake. Pumzi ya Uhai wako ni ukombozi wetu. Harufu yako ienee Tanzania,mkoa kwa mkoa,nyumba kwa nyumba,mtaa kwa mtaa. Ubarikiwe Mtumishi John Lissu.
Asante Mungu kwakunibariki ,asante kwakuachilia fadhila zako nakuachilia rehema na neema zako katika kila eneo la maisha yangu wewe tu ndio ngome na kimbilio langu nakutumainia nakukutegemea wewe tu ,asante Mungu maana hujawahi kuniacha wala kunipungukia hata pale ambapo sikustahili ulinishika mkono na kugusa maisha yangu nikurudishie nini Bwana sifa na utukufu ni vyako wewe maana unastahali Mungu wangu umetukuka Nakupenda Mungu wangu sitaacha kuushuhudia ukuu wako ndani ya maisha yangu.
Ujumbe wa wimbo,mpangilio wa vyombo,mpangilio wa sauti za waimbaji hakika ni baraka tupu,oooooh we Bwana ni mzuri sana,unisamehe sana makosa yangu ili nikutane nawe katika maisha yangu yote.
Hizi video zinae ukungu zirudiwe kama hizi hizi jamani ama apatikane msafishaji mzuri azisafishe tuzione vizuri kwani hizi nyimbo za kitambo zina fanya tubadilike na kumgeukia mungu, SIKU ZOOTE ZA MAISHA YANGUU 🙏🙏🙏🙏
AMEN. I LIKE THIS WORSHIP SONG TOGETHER WITH "YU HAI JEHOVAH"; I LIKE JOHN LISU WITH HIS GROUP BECAUSE THEY "GIVE CHEERFULLY" AND GOD LOVES A CHEERFUL GIVER [2 COR. 9:7]; GREETINGS FROM KIGALI RWANDA. WE LOVE TANZANIA.
Mtumishi wa mungu John Lisu mungu akubariki kwa kazi njema ya kumtumikia mungu kwa njia ya uimbaji. Roho mtakatifu azidi kukuinua . Wimbo huu ni mpya kila siku. Ubarikiwe
Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU....... MUNGU ni Yule Yule Jana hata Leo ,MILELE habadiliki ❤the song still powerfully uwepo wa MUNGU UNASHUKA kila nikisikiliza....🔥🔥
who is here with me 2024
❤
G😂😂
😂😂😂
I heard this song recently in a Uber I had to tell the driver to replay coz it took me back when I was going through alot
❤
March 2024❤ Mungu ni yule yule: Jana Leo na Mpaka MILELE❤
This song blessing me in 2024
Still one of favourite song in 2024
Anyone 2024 🙌🏾
Finally found this one...
Nikuone Wewe siku zote za maisha yangu 🙌🏼🙏🏼!
Nadhani huu wimbo unashika namba moja katika nyimbo nilizosikiliza since 2011 mpaka sasa ....be blessed Lissu
Listening this in 2024 & still this is a very underrated gospel song! ❤🔥
Amen, Glory to JESUS CHRIST FOR HIS MERCY AND GRACE
Sijawahi kuuchoka kuusikiliza huu wimbo
2023 Bado nyimbo ni Halisi sana. 🙌🙌🙌🙌🙌
Who is here 2021listening and watching this song.....
Achaarufu yako iyendee kwamataifa yoteeeee tuonee uzuri wakooo bwanaaa barikiwa saan kaka lisu👏
Tuko hapa April 2021 .... yesu utusimamishe hata kwa wakati mgumu kama huu.... 🤷♂️
Pumzi ya Uhai wako Yesu ipite kwa mataifa yote,pumzi ya uzima wako iponye Tanzania na watu wake. Pumzi ya Uhai wako ni ukombozi wetu. Harufu yako ienee Tanzania,mkoa kwa mkoa,nyumba kwa nyumba,mtaa kwa mtaa.
Ubarikiwe Mtumishi John Lissu.
Ameen... Kama umekuja kumuona lissu baada ya Interview ya Wasafi fm Gonga like
Jamani nimeota naimba sana huu wimbo hata niliposhtuna nikaendelea kuimba 🙏🙏 barikiwa sana
Asante Mungu kwakunibariki ,asante kwakuachilia fadhila zako nakuachilia rehema na neema zako katika kila eneo la maisha yangu wewe tu ndio ngome na kimbilio langu nakutumainia nakukutegemea wewe tu ,asante Mungu maana hujawahi kuniacha wala kunipungukia hata pale ambapo sikustahili ulinishika mkono na kugusa maisha yangu nikurudishie nini Bwana sifa na utukufu ni vyako wewe maana unastahali Mungu wangu umetukuka Nakupenda Mungu wangu sitaacha kuushuhudia ukuu wako ndani ya maisha yangu.
Hallelujah huu wimbo nikiimba nasikia UPAKO WAHALI YA JUU.......!!
AMEN
Hii nyimbo, naipenda sana, inanipa vibe sana, ata nikiwa mpweke
Ooh haleluyaa, huu wimbo ni mpya kila siku! Barikiwa mtumishi wa Mungu!
7:32.".siku zote za ujana wangu"...a prayer well answered and which i make my portion. Thank you servant of God for living the song.
Sala tosha hii mbele za Mungu ubarikiwe John Lisu
2024 bado nyimbo yangu pendwa
Sidhani kama inapita siku bila kuuangalia na kuusikiliza wimbo huu
1 Desemba 2024 Nimebarikiwa sana kupata faraja mbarikiwe sana
Oooh Bwana nisimamishe katika hii safari ya wokofu. Siwezi bila wewe
Yesu naomba shusha Roho wako watu waimbe kwa jinsi ya Rohoni namna hii Mungu mbariki mtumishi wako John akuimbie ivi nakuzidi
Ubarikiwe sn mungu ajalie ufike mbal Zaid coz unatubarik sn
Ujumbe wa wimbo,mpangilio wa vyombo,mpangilio wa sauti za waimbaji hakika ni baraka tupu,oooooh we Bwana ni mzuri sana,unisamehe sana makosa yangu ili nikutane nawe katika maisha yangu yote.
And it’s April 2024❤
Hallelujah🙌
Yan Kuna mda nataman hata nirudi nyuma niexperience tena this moment of this man...
Nisimamishe katika mlima wa utukufu wako nikuone ukipanda na kushuka siku zote za maisha yangu
Ee BWANA mbariki sana mtumishi wako, John Lisu
Pumzi ya uhai wako ni uponyaji! Yesu!
Hizi video zinae ukungu zirudiwe kama hizi hizi jamani ama apatikane msafishaji mzuri azisafishe tuzione vizuri kwani hizi nyimbo za kitambo zina fanya tubadilike na kumgeukia mungu, SIKU ZOOTE ZA MAISHA YANGUU 🙏🙏🙏🙏
2023 and this song is still a blessing, be blessed
Wimbo usiochuja masikioni mwangu kila iitwapo leo
NISIMAMISHE KATIKA MLIMA WA UTUKUFU WAKO
Yesu umejivika Hakiliiiii
2024 and still a blessing to me in Nairobi.
Kwa kweli unanibariki mno najion Niko mbinguni ubarikiwe Kaka yangu
Blessed with this song 2023❤
Asante
AMEN. I LIKE THIS WORSHIP SONG TOGETHER WITH "YU HAI JEHOVAH"; I LIKE JOHN LISU WITH HIS GROUP BECAUSE THEY "GIVE CHEERFULLY" AND GOD LOVES A CHEERFUL GIVER [2 COR. 9:7]; GREETINGS FROM KIGALI RWANDA. WE LOVE TANZANIA.
Wimbo huu wanisongesha karibu nauwepo wa Mungu. Mungu akutiye nguvu ndugu John.
Yesu umejivika haki!! Hakika wewe umekuwa na huu moyo wa kusifu na kuabudu Mungu akuinue ktk huduma 🙏🙏
Wimbo huu huwa unanibariki mno..barikiwa sana🙏
Mtumishi wa mungu John Lisu mungu akubariki kwa kazi njema ya kumtumikia mungu kwa njia ya uimbaji. Roho mtakatifu azidi kukuinua . Wimbo huu ni mpya kila siku. Ubarikiwe
JARIBU KUTUMIA MUNGU SIO mungu
Yesu Umejivika Haki na Heshima .... Punzi ya Uhai wako ni uponyaji kwa Mataifa yote .....🙌🏿🙌🏿Thank Jesus 2022
Perfect track to welcome 2025
Yesu nisimamishe ktk mlima wa utukufu wako, nikuone ukipanda na kushuka Sikh zote za maisha yangu,barikiwa sana hii huduma under John lisu
Asante YESU ni mwaka mwingne bado tunabarikiwa na nyimbo za mtumish wako
Nikuone ukipanda na kushuka siku zote za maisha yangu..
This song bessed me alot 🙏Mungu nisimamishe katika mlima wa utukufu wako
God bless your voice and message of your song NISIMAMISHE katika mlima wa utukufu wako
Wimbo unanikumbusha 2007 October to December.
ACHENI MUNGU AITWE MUNGU
Nabarikiwa sana na huu wimbo, God bless You Brother John lisu 🇹🇿💯🇹🇿
2024 after listening this ft joel, og version still the best
Awwww😍😍😍kumbe live recording zilianza kitambo Tanzania: kweli hakuna kipya chini ya jua. Bali Utukufu wa Mungu ni wa MILELE
Huyu ni miongoni mwa waimbaji wa nyimbo za injili wa kwanza kuimba live na anaendelea hivo hadi leo aisee namwelewa sana
Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU....... MUNGU ni Yule Yule Jana hata Leo ,MILELE habadiliki ❤the song still powerfully uwepo wa MUNGU UNASHUKA kila nikisikiliza....🔥🔥
Kazi hii hunipa utulivu wa akili na kunisogeza mbele za Bwana Mungu. Barikiwa Lisu!!!
2021 hii praise kama vile ndy imetoka leo kila ninapoisikiliza.
Ahsante Yesu kwakuendelea kunipigania
Wangaoi tumekuja Kwa hii org song baada ya kusikiliza acoustic aliyofanya na Joel .
Jesus is Real
YESU nisimamishe ktk mlima wa utukufu wako
Whether I understand or not but every song by John Lisu blesses me so much.keep on keeping on brother.
Love from SA
RIP the man on trumpet 😢
ubarikiwe sana
2025 woteee hapaaa
Naomba Mtumishi Lisu uzidi kubarikiwa na kikundi chako.Wimbo mzuri umejawa baraka
Good performance! Mungu akubariki br. J. Lisu
Ee Mungu niongoze katika magumu nipitiayo usianiache Baba nataka nikuone ukipanda na kushuka katika Mlima wa Utukufu wako
God is good
Hii albamu ilijaa utukufu wa Bwana, barikiwa mtumishi John Lisu
Asante YESU
Nyimbo yako innibariki Sana mungu zaidi kukuinua
Mungu asikuache lisu❤
My favourite song! Nisimamishe katika mlima wa utukufu wako Yesu!
Its 2022 still listening to this
I can't get enough of this song... Nisimamishe katika mlima wa utukufu wako..
This song gives goosebumps.......the worship in on another level.....wish y'all blessings as you are crossing to 2022🤩
AmenAmen my favorite song every morning oooooh Hallelujah 🙌🙌🙌🙌
Naupenda sana huu wimbo
♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♦️♦️♦️♦️onlove with this song forever
2021 and still humming to this beautiful tune. Blessed
Amen I’m feeling blessed 🙏❤
Mungu anawatu🙌🏾
❤songs upako yaani.
One of my best praise songs 🙌
Safiiiii ubarikiwe
I'm here 10/ 2024
Naipenda Sana hii nyimbo ,
Ameen....Nakupenda Lissu😘
Ameeen
Naupenda xana wimbo huu
Hallelujah! Thank you Lord for this worshipping song from your Servant...
Ubarikiwe
Nisimamishe katika mlima was utukufu wako Yeshuah
❤
Ameni
Thank you lord.
April 2024🙏🙌
John lissu upo wapi kaka hatukusikii
I absolutely love this song