Part3_Ajali za meli na lori la Morogoro hakufa mtu tuliwachukua|ALIYEKUWA CHIFU WA KABILA LA KICHAWI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 115

  • @blessedlovedandfavoured4129
    @blessedlovedandfavoured4129 2 ปีที่แล้ว +14

    Hivi kuwa mkristo vuguvugu na bado hujachukuliwa msukule... Ni neema ya Bwana... Mungu tusaidie

  • @shamim-shammy
    @shamim-shammy 2 ปีที่แล้ว +14

    BARIKIWA . NATAMANI ANGETUAMBIA MBINU ZA NAMNA WANAVYOWAFATILIA WALOKOLE NA KUWAANGUSHA

  • @marianachriss2444
    @marianachriss2444 2 ปีที่แล้ว +7

    YESU KRISTO ni BWANA na mwokozi na zaidi ya yeye hapana Mungu mwingine

  • @peninahkariuki1136
    @peninahkariuki1136 2 ปีที่แล้ว +10

    Damu ya Yesu itufunike aki. Asante kwa ushuhuda huu unazidi kutufungua Kiroho🙏🇰🇪

  • @jonathanndururutse286
    @jonathanndururutse286 2 ปีที่แล้ว +8

    Duuu! Mambo haya yanatisha, ila sasa Mwokozi wetu Yesu Kristu anatupenda na ana nguvu Sanaa

  • @milkahwambuinjengambothu6173
    @milkahwambuinjengambothu6173 2 ปีที่แล้ว +12

    And this man must be very bright. The way he is flawless in his Swahili speech. Very deep and insightful. To God be the glory and honor. Keep on brother, through you the Church should know a lot to be vigilant.

    • @kennethogonda2947
      @kennethogonda2947 2 ปีที่แล้ว

      All of them are good Swahili speakers. I mean all Tanzanians.

  • @aaronswai6935
    @aaronswai6935 2 ปีที่แล้ว +2

    Huyu mtumishi anaongea kweli sana na alikuwa kweli kwenye ulimwengu huu wa giza! Ni bahati mbaya sana Wakristo wengi hawafahamu vizuri nguvu ya Kristo. Kimsingi vitu vingi anavyovisema kama vile kubadilika kwenye roho, n.k vimeandikwa kwenye Biblia isipokuwa hatusomi. Mungu akubariki sana mtumishi🙏

  • @baya7067
    @baya7067 2 ปีที่แล้ว +10

    Yesu ni mfalme wa wafalme Moto ulao

  • @marykilila8786
    @marykilila8786 2 ปีที่แล้ว +6

    Eeeeeeeee kwa hiyi siri kubwa zaidi mwambie huyu ndugu asimame imara imara kweli ,akipepesuka kadogo tuu atajikuta wanamchukuwa tena.Mungu amjalie neema na ushindi. Asante JACKTAN

  • @daisymuthoni675
    @daisymuthoni675 2 ปีที่แล้ว +11

    Asante Mungu kwa kuwa umetupatia Jina lilokubwa zaidi ya majina yote duniani
    Linalotushindia..Amen

  • @emmanuelhatangimana3431
    @emmanuelhatangimana3431 2 ปีที่แล้ว +4

    Emungu wetu tunaomba utusaidie,kwasababu dunia hii inamambo mengii kabisa amina.

  • @elizalaya7887
    @elizalaya7887 2 ปีที่แล้ว +6

    Jina la YESU KRISTO jina lenye nguvu kupita majina yote,MUNGU atuwezeshe kumtumaini yeye peke yake katika maisha ya ulimwengu huu tukiongozwa na Roho mtakatifu hakika tutayashinda ya dunia hii iliyojaa kila aina ya uhalibifu

  • @johnbosconiyibigira7811
    @johnbosconiyibigira7811 2 ปีที่แล้ว +6

    Ina details nzuri na articulate safi hii itakuwa ya mwaka maaana imetufunza sana

  • @YusuphMalale
    @YusuphMalale 10 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu akubariki mtumishi napenda sana shuda zako tangu nimeanza kusikiliza ushuda wako much amieli nimejifunza mengi kuhusu maisha ya kiroho

  • @mariamgaya4206
    @mariamgaya4206 2 ปีที่แล้ว +9

    MUNGU atusaidie Sana tuishinde Dunia ktk ulimwengu wa ROHO Kuna Mambo mengi sana.

  • @aminaally4163
    @aminaally4163 2 ปีที่แล้ว +7

    BWANA YESU ATUWEZESHE KUYASHINDA YA DUNIA HII .

  • @dokasa9176
    @dokasa9176 2 ปีที่แล้ว +6

    Mungu wangu nisaidie inua kiwango changu cha maombi hili nikaweze kushinda hila na nchama za muovu shetani,barikiwa kaka Jacktan

  • @miria659
    @miria659 2 ปีที่แล้ว +6

    Huu ushuhuda ni wa maana Sana kwangu nazidi kuelewa vita za kiroho Asante Sana promoter TV mkiongozwa na jactan God bless you

  • @re.emmanuelmdoe3345
    @re.emmanuelmdoe3345 5 หลายเดือนก่อน +1

    ☑️☑️☑️☑️😋 hallelujah Hallelujahs hallelujah ‼️

  • @linkreuben3108
    @linkreuben3108 2 ปีที่แล้ว +7

    Siri nzito za shetani ,zinafunuliwa. ASANTE YESU!!

  • @UkweliMinistries
    @UkweliMinistries 2 ปีที่แล้ว +4

    Amen Mungu ni fundi.

  • @lukresiajohn3939
    @lukresiajohn3939 2 ปีที่แล้ว +2

    Ushuhuda mzuri sana ubarikiwe mtumishi wa Mungu jactan kutuletea ushuhuda

  • @nundebeats6754
    @nundebeats6754 2 ปีที่แล้ว +3

    Habari Inasisimua,nimejifunza vitu vingi

  • @ivonaevarista4654
    @ivonaevarista4654 2 ปีที่แล้ว +2

    utukufu kwa Bwana Yesu mwokozi wa maisha yetu hakika nisingeokolewa na BABA ningekua nyama ya shetani ila Yesu ashaniokoa eee Mungu utusaidie

  • @jackstanley8029
    @jackstanley8029 ปีที่แล้ว

    Mungu akulinde mtumishi wa mungu.

  • @isaacsenaji6065
    @isaacsenaji6065 2 ปีที่แล้ว +1

    Ushuhuda mkubwa, ambia mtumishi utuonyeshe mbinu za kupambana na wachawi,barikiwa

  • @jossyayielo7576
    @jossyayielo7576 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante Jacktan naendelea kujifunza Sana......Bibi yangu ameaga juzi lakini kifo chake naamini si cha kweli.....🇰🇪🇰🇪

  • @ezekieljob8679
    @ezekieljob8679 2 ปีที่แล้ว +1

    Asante Yesu kufunua sri za adui

  • @batulimabewa6953
    @batulimabewa6953 2 ปีที่แล้ว +3

    Ushuhuda wa sheikh Omar niliuona kweli

  • @naomimunanga6363
    @naomimunanga6363 2 ปีที่แล้ว +4

    Waah ulimwengu wapili unamambo kweli mungu atusaidie, nami sitawai kumwacha mungu hata siku moja, alafu Jacktan haya mambo yanatisha kwani wewe hauogopi jamani mimi nimeanza kuogopa sana, kumbe warogi wanatuchunguliaga kama tumelala, waa maajabu hayo.

  • @violethbagila905
    @violethbagila905 2 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akubariki endelea kutufundisha tunaomba party 4

  • @carolinederi5690
    @carolinederi5690 2 ปีที่แล้ว +4

    The world is weaked...May God help us

  • @janethmalando4086
    @janethmalando4086 2 ปีที่แล้ว +1

    Hakuna Jambo lisilostirika ambalo halitafunuliwa yesu ni jiwe kuu Lina ponda ponda

  • @JosephatJohn-qr7lx
    @JosephatJohn-qr7lx ปีที่แล้ว

    Ndgu watumishi wa mungu nisaidieni kujua kutokana na mafundisho haya ni nini faida na hasara ya kuwapa vichaa na wale omba omba pesa Kwa huruma

  • @irineochieng2455
    @irineochieng2455 2 ปีที่แล้ว +2

    Ahsante kwa mtumishi wa Mungu. Lakini usitucheleweshe sana hivyo

  • @lilymwashumbe4890
    @lilymwashumbe4890 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akutie nguvu

  • @helmashimba7761
    @helmashimba7761 2 ปีที่แล้ว +2

    Much love💖

  • @florencendatila9183
    @florencendatila9183 2 ปีที่แล้ว +2

    Uwiii jamani ningetamani izo mbinu 21 nizijue wachawi wanazo tumia kuturaghai walokole

  • @frankinspired6486
    @frankinspired6486 2 ปีที่แล้ว +1

    Ungesema hizo mbinu 30 Za kujikinga na walokole, pia ni vyema kueleza kila jambo pasipo kusita, elimu hio itatusaidia jinsi ya kupambana kimaombi, kama hio jini vina saba vile latengenezwa, kafara ya hio meli ilkua ya tawala gani etc

  • @josephmutemi7494
    @josephmutemi7494 2 ปีที่แล้ว +1

    Amen nawafuatilia sana watumishi BWANA awabariki

  • @MekitildaKitambi
    @MekitildaKitambi 6 หลายเดือนก่อน

    Promover mbarikiwe Sana kwa kuturushia habari hizi zimetufungua macho ya kiroho lkn shetani hapendi tuzijue nimeshagundua lkn Damu ya Yesu Kristo ni moto,napenda kujua Mch Amiel sasa hivi anasubiri wapi ili niendeko

  • @francoisecirezi672
    @francoisecirezi672 2 ปีที่แล้ว +1

    Yesu Christo ananguvu zakuokowa anayependwa

  • @mgangaruban9383
    @mgangaruban9383 2 ปีที่แล้ว

    asante Mungu kwa uxhuhuda unaojenga

  • @egospeltz9486
    @egospeltz9486 2 ปีที่แล้ว +4

    Mwambie atuambie kuhusu mbinu za kupambana na walokole, atatusaidia tuliokoka kuwashinda.

    • @millicentnaliaka
      @millicentnaliaka 2 ปีที่แล้ว +2

      Neno linasema kesheni mukifunga na kuomba kwa kumaanisha hakuna jambo gumu na lolote muombalo kwa JINA LA,YESU mtapewa na BABA YANGU WA MBINGUNI sasa hapa nikukaa karibu kwa MUNGU kwa uwaminifu

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว

      Unataka ukaloge??omba saana

    • @egospeltz9486
      @egospeltz9486 2 ปีที่แล้ว +1

      @@trophywilson7211 nikamroge nani.? Nataka kuwashinda wachawi kama wewe😂😂 rudia kusoma uelew sio kukurupukia kujibu, yy kasema walifundishwa mbinu zaidi ya 30 za kuwashinda walokole, biblia inasema watu wangu wanaangamia kwakukosa maarifa sio kukosa kuomba. Binafsi hizo mbinu zingenisaidia kuzijuwa hila za shetani na kuziepuka.

  • @happinesskitali164
    @happinesskitali164 ปีที่แล้ว +1

    Yaan anaongea ukweli mtupu juzi juzi nilisikia watu wanalalamika maiti inatokwa jasho

  • @starluzenja9861
    @starluzenja9861 2 ปีที่แล้ว

    Kwa muda mrefu nimekua nkiota dada flani tulisoma pamoja.Aliaga 2018 but kwenye ndoto kila nikimtambua ama nikigundua amekufa.Anakimbia mbio sana haniangaali Mara mbili.Hunisumbua sana.

  • @sophiarichard8469
    @sophiarichard8469 2 ปีที่แล้ว

    Mungu atusaidie

  • @maxmillahnafula8279
    @maxmillahnafula8279 2 ปีที่แล้ว +1

    Eeeeeh MUNGU wangu tusaidie kwa kila jambo,,mbona ii inatisha🙏🙏🙏🇰🇪

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 ปีที่แล้ว

    Ajali ya roli Morogoro lwanda magere ndie aliyeisababisha. Malori na mabus mengi ni ya mawakala wao

  • @sharonwalubengo7628
    @sharonwalubengo7628 2 ปีที่แล้ว +1

    Mara nyingi watu wanasema ooh ng'ombe pia analia marehemu kumbe ni haya

  • @josephinanikwelimdacki3330
    @josephinanikwelimdacki3330 2 ปีที่แล้ว

    Mmh simama sana

  • @dianawebala9381
    @dianawebala9381 2 ปีที่แล้ว

    Waaah

  • @mariosbunguko4145
    @mariosbunguko4145 2 ปีที่แล้ว +1

    Sasa kutokana na hayo mafundo uliyokuwa unawafunga watu,kwasasa unaweza kuwasaidia VP?

  • @marykilila8786
    @marykilila8786 2 ปีที่แล้ว +3

    Sasa muulize zile shanga anazozivaa mkono wa kulia zinamaanisha nini ??? Mambo makubwa anayaeleza lakini anabaki na kachombo ka ibilisi? wachawi watampata tena kwa hako hako.

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว

      Hahahaha anasali makanisa yanayotumia vifaa vya Kiroho kwanza hao huwa wengine wametumwa ili mjimwage

    • @Faraja2023
      @Faraja2023 2 ปีที่แล้ว

      Amesema ni nembo ya kuipenda Tanzania

    • @marykilila8786
      @marykilila8786 2 ปีที่แล้ว +1

      @@Faraja2023 Asante ila maandiko yanatueleza upendo unaonekana kwa matendo sio nembo .Na nembo ya MKRISTO ni BIBLIA . Waganga , wachawi na wale wasio mwamini YESU ndio vitu vyao . Na wengine waliisha shuhudiaga shanga zinatumika kuzimu.

  • @estasage498
    @estasage498 2 ปีที่แล้ว +1

    Mungu wangu, mbona dunia hii ni mtego?

  • @gestinabunganiekuya6300
    @gestinabunganiekuya6300 2 ปีที่แล้ว +2

    Amina nimebarikiwa na nimejifunza ila jactan mwambie huyu mtumishi avue hiyo shanga mkononi ili huu ushuhuda ufike moyoni mwetu moja kwa moja bila shaka lolote

    • @millicentnaliaka
      @millicentnaliaka 2 ปีที่แล้ว

      Haha atisikue anakumulika Yesu ni mkuu atatutetea hawatatuona wataona moto vile alisema hehee

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว

      @@millicentnaliaka wanaona saana tu walokole tunajichanganya mno hivyo kupotexa line ni vyepesi tu ,uongo tu unafuta nguvu

    • @millicentnaliaka
      @millicentnaliaka 2 ปีที่แล้ว +1

      @@trophywilson7211 kweli kaka

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว

      @@millicentnaliaka ni Mama mimi,Barikiwa

    • @millicentnaliaka
      @millicentnaliaka 2 ปีที่แล้ว

      @@trophywilson7211 ooh samahani mama asante kwa kunifahamisha

  • @odhiaodhia9898
    @odhiaodhia9898 2 ปีที่แล้ว +3

    Au ni yule Omary mnyashani

    • @simonnsengiyumva1000
      @simonnsengiyumva1000 2 ปีที่แล้ว

      Kweki kabisa niyuleyule Mnyeshani Omari !!!

    • @noelashaoona
      @noelashaoona 2 ปีที่แล้ว

      @@simonnsengiyumva1000 uyo uyo

    • @faze_narq6890
      @faze_narq6890 2 ปีที่แล้ว

      😂😂I Never heard about that one, Mnyeshani could be Mushetani 😁, I am still learning! Thanks Odhia odhia!

    • @Mazoea
      @Mazoea 2 ปีที่แล้ว

      Yes ndio yeye

  • @الوردالورد-ز4غ
    @الوردالورد-ز4غ 2 ปีที่แล้ว +1

    Jacktan mwambie aandike kitabu asije akayasahau mambo haya na siri hizi nilimsikia sheikh Omar akisema amesahau mambo mengi

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว +2

    Waislamu wanabisha tu kumbe dini yao inafundisha na kufuga uchafu wa Roho

    • @kennethogonda2947
      @kennethogonda2947 2 ปีที่แล้ว +5

      Ni dini ya Shetani. Kwani hujawahi kujua. Mohammed alikuwa nabii wa Shetani na Allah si Mungu wa kweli wa Israeli.

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว +1

      @@kennethogonda2947 sasa wafuasi zinawatosha kweli??

    • @kennethogonda2947
      @kennethogonda2947 2 ปีที่แล้ว +3

      Wafuasi wao wote hawataingia mbinguni wasipotubu na kuwa wafuasi wa Yesu Kristo

    • @faze_narq6890
      @faze_narq6890 2 ปีที่แล้ว

      @@kennethogonda2947 preach my brother!! That’s nothing but the TRUTH!! John 14:6!! Jesus is the WAY, THE TRUTH AND THE LIFE!! Blessings always in Jesus name Amen 🙏

    • @miltonjohn9779
      @miltonjohn9779 9 หลายเดือนก่อน

      Uislam ni dini ya ibilisi hyo Haina ubishi. Watakuja kugunduwa muda ushaenda

  • @Deedee88110
    @Deedee88110 2 ปีที่แล้ว +3

    Anaongea vitu vya kweli mno
    Ndugu tuombe

  • @augustinetarimo8031
    @augustinetarimo8031 2 ปีที่แล้ว

    shetani anatesa watu sana lakini Yesu anaweza hakika

  • @dadaz4653
    @dadaz4653 2 ปีที่แล้ว +2

    Funguka mtumishi tunaendelea kujifunza

  • @samwelnaal7952
    @samwelnaal7952 ปีที่แล้ว

    Endelea kuwadanganya baba😅

  • @mabulamasunga7378
    @mabulamasunga7378 2 ปีที่แล้ว +1

    Du kumbe kuna siri kubwa hivi wakati wa msiba?

  • @IANA2030
    @IANA2030 2 ปีที่แล้ว +1

    Eeeh Yesu tutetee

  • @thelivingwordchannel9027
    @thelivingwordchannel9027 2 ปีที่แล้ว +2

    Huu ndo ushuhuda wa maana

  • @milkahwambuinjengambothu6173
    @milkahwambuinjengambothu6173 2 ปีที่แล้ว +2

    Waaah!! This is an eye opener. Walokole needs to be in prayer in and out of season.
    Msukule should be a zombie right?

    • @kennethogonda2947
      @kennethogonda2947 2 ปีที่แล้ว +1

      Msukule si zombie. Ni mtu aliyedhaniwa amekufa ila huwa hajafa, amechukuliwa kichawi hadi kuzimu kuenda kuteswa. Huko kuzimu mara nyingi wanakatwa ulimi na kufanyishwa kazi usiku. That is what msukule means.

    • @kennethogonda2947
      @kennethogonda2947 2 ปีที่แล้ว

      But even zombies are as a result of the work of the Devil. They have been bewitched.

    • @faze_narq6890
      @faze_narq6890 2 ปีที่แล้ว

      So you can pray for the captives and Our Lord Jesus Christ can bring them back? So is it right to pray and fast for some of our family members who died in mysterious situations? You wonderful man of God,the Lord had hand picked you to educate us for the Bible says that my people perish for lack of knowledge!! God bless you mightily! like why didn’t we know this before Lord? Why nobody ever said pray for the dead because some of them aren’t even dead they’ve been taken into captivity? But you know what God makes everything beautiful in His Time. Maybe we still have a chance to pray for them. I always stood with this word, that it is ordained for a man to die then judgment! So now this is a game changer in our prayer life, the lord will always leave for himself a witness who comes to reveal the great and unsearchable things we do not know! So glory be to His name for His mercies endures forever!

    • @emmanuelsamwel741
      @emmanuelsamwel741 2 ปีที่แล้ว

      Msikilize josephat gwajima

    • @milliardere9177
      @milliardere9177 9 หลายเดือนก่อน

      no

  • @samuelkasamba226
    @samuelkasamba226 ปีที่แล้ว

    Mnisaidie na namba yake

  • @christinamsigwa804
    @christinamsigwa804 2 ปีที่แล้ว +1

    Jesus Christ

  • @millicentnaliaka
    @millicentnaliaka 2 ปีที่แล้ว

    Waah makubwa hayo vipi mimi baba yangu kakufa 2008 ila jana nikamuota eti alikua amekufa na ako kwenye sanduku sasa anasema mikono yake yaugua na mimi nikimgusa hiyo mikono anaskia afadhali ama mama yangu mzazi nikawa nimeamka hivo na pia alipokufa watu wa upande wake walikua wakiingia kuona mwili angefura afike kwa kioo hivi wakitoka tu anarudi kuwa wa kawaida inamaana pia alichukuliwa msikule?

  • @Priscakihiyo4352
    @Priscakihiyo4352 2 ปีที่แล้ว +1

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏 naomba namba ya mtumishi wa Mungu

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  2 ปีที่แล้ว +1

      Fatilia mpaka tamati utapata

    • @Priscakihiyo4352
      @Priscakihiyo4352 2 ปีที่แล้ว

      Ameeeeeeen mtumishi wa Mungu ubarikiwe sanaaaaa

  • @trophywilson7211
    @trophywilson7211 2 ปีที่แล้ว

    Je shetani akishindwa mtu wako anaweza rejea duniani??Namtaka Baba mkwe wangu jamani

  • @reginanyabenda5378
    @reginanyabenda5378 2 ปีที่แล้ว

    Shalom pasta nahitaji namba yako

  • @susanmuthiani9213
    @susanmuthiani9213 2 ปีที่แล้ว

    Vina saba ni nini?

  • @highzacknnko9685
    @highzacknnko9685 2 ปีที่แล้ว +1

    Nitapataje namba ya huyu mtumishi wapendwa?

    • @PromovertvTz
      @PromovertvTz  2 ปีที่แล้ว

      Endelea kufuatilia mpaka tamati ya ushuhuda wake atataja

  • @lugendodaniel5266
    @lugendodaniel5266 2 ปีที่แล้ว

    Maneno mazuri Sana

  • @josephonkendi1906
    @josephonkendi1906 6 หลายเดือนก่อน

    Number yako please