Pt1_USHUHUDA WA MCHUNGAJI ALIYEKATAA KUJIUNGA KWENYE MTANDAO WA FREEMASON|ASIMULIA KILICHOMPATA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 21

  • @oscarkalihamwe1621
    @oscarkalihamwe1621 6 หลายเดือนก่อน +8

    Kwa kweli Promover na mim nakili hata Mungu aniona nimeokoka kupitia promover nikaponywa magonjwa yote japo kutoka ukatoliki kwenda kwa walokole huwa ni ngumu kidogo ila nilipoamua TU nimeona Miujiza mikubwa so Promover Mungu awabariki endeleeni hivo hivo Sina cha kusema

    • @CherieDeDieu
      @CherieDeDieu 6 หลายเดือนก่อน +1

      Halleluyah!! Hongera! Kwa kweli Promover ni channel ya baraka sana.

  • @flm1530
    @flm1530 6 หลายเดือนก่อน +9

    Promover please msiwe mnaeka vionjo tunachangnyikiw weken tu ushuhuda moja kwa moja

  • @sarifusteven4634
    @sarifusteven4634 6 หลายเดือนก่อน +1

    Yesu niBwana songa mbele mtumishi nakupenda sana

  • @goyayilusangija6067
    @goyayilusangija6067 6 หลายเดือนก่อน +1

    Ubarikiwe mtumishi,ni kama ninavyopitia mim

  • @IsayaNyingi
    @IsayaNyingi 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu mkubwa God bless members of this media

  • @neemamwamini2
    @neemamwamini2 6 หลายเดือนก่อน +3

    Shuhuda ninzuri. Ila hatujui tunaanzia wapi nakumalizia wapi.
    Tafadhali tieni shuhuda zakuenea, hapana kutudokeza katikati. Bora hâta kufanya fupi fupi lakini zianze mwanzo sio Katikati.Maana tunakua tumeshasikia kichwa cha shuhuda and we loose interest in following on with the rest.

    • @LatiphaMwanga
      @LatiphaMwanga 4 หลายเดือนก่อน

      Start where you are my love🎉

  • @emmanuelsunday8325
    @emmanuelsunday8325 6 หลายเดือนก่อน +1

    Amina

  • @nunyabizactually6928
    @nunyabizactually6928 6 หลายเดือนก่อน +1

    Thank you🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @onesmolubinza9207
    @onesmolubinza9207 6 หลายเดือนก่อน

    Mmmh! Rangi ya nguo yako na rangi za material ulizotumia kwenye kanisa lako mtumishi inaonekana unapendelea sana

  • @BlandinaLukole
    @BlandinaLukole 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mbona hammaliz shuhuda zenu, mmeanzisha mpya

  • @mayanmlingwa4250
    @mayanmlingwa4250 6 หลายเดือนก่อน +1

    Pasto kapola,,prophet Malisa mtachagua wenyewe.

  • @annkim2690
    @annkim2690 6 หลายเดือนก่อน +1

    Mateso yalikua mengi Sana MTU anachanjwa live ana vuliwa nguo pia live hii nayo kali

  • @SelestinaHamis-dw1gs
    @SelestinaHamis-dw1gs 6 หลายเดือนก่อน +2

    Huu ushuhuda siuelewi hi part ngap mbona juzi mlipost

    • @alfredkuria7673
      @alfredkuria7673 6 หลายเดือนก่อน

      Nyamasa kama uelewi Wacha kusumbua ;ama vuatilia!

  • @mazulacelestine3038
    @mazulacelestine3038 6 หลายเดือนก่อน +4

    Hakuna dola ya elfu kumi

    • @geofreyjoel
      @geofreyjoel 6 หลายเดือนก่อน +2

      Umesikiliza vizuri??
      Kasema "dola, na elfu kumi kumi na elfu tano tano"

    • @onesmolubinza9207
      @onesmolubinza9207 6 หลายเดือนก่อน

      Hao wapo wengi wanakurupuka tu 😂😂😂

  • @jessicaanania6326
    @jessicaanania6326 6 หลายเดือนก่อน +1

    TH-cam unatumia jina gani mtumishi

  • @Jeremia9h
    @Jeremia9h 6 หลายเดือนก่อน +1

    Amina