Many children with single parents go through such things... it's always good as a father to make sure u raise your children yourself, and with their biological mother regardless of any differences existing between u. the
Haki kaka hii story yako ni kama Ambae naona hilo tukio leo, yaani wewe niwe Kumshukuru Mungu sana tu tena sana Devi star Hongera kwa kazi Nnzuri 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💪💪💪
Jamaa anaonekana mstaarabu sana huyu doh.......ukiliona lako kubwa tambua la mwenzako ni zaidi ila ww mtani wangu ni mtumish wa mungu hujajuatu hapo kwenye uchungj hapo nkamkumbuka labani na yakobo
Ila alisema kazaliwa mwaka 84 hadi mwaka 98 ,hapo alikuwa na umri wa miaka 14,na sio miaka 9,labda alipitiwa kidogo ila kwa kweli ukuaji wake ulikuwa na misukosuko sana kila hatua. mara wachawi, mara watu wenye roho mbaya,
Davister jaribu kuwa unawavika mic ndogo kwenye t shirt itakusaidia pia maana naona kushikilia kwenye mkono inachosha na istoshe story uwa zinakuwa ndefu ..... just ushauri tu otherwise unafanya vizuri kwenye kazi yako.
Brother uwe unamsaidia kweny ku-arrange miaka naona hapo kwa tunaofuatilia kwa fact ndo anajisahau so uwe unamkumbusha... Au kama recorded jitahidi kwa wengine unao wahoji wapange... All in all mkasa ni wa kusisimua maana kausimulia radio free Africa kitambo sana na mazingira anayoyasimulia yapo na nimeyafika karibu yote.... Hata habari ya kukatana mapanga ni kama asili ya wazawa. Good story
Duh ni nyumbani lakini duh panasumbua af tunauhaba wa vituo vya polisi labda hii itasaidi sisi nyumbani mpaka ufike kituo cha polisi ni km15 sasa hii ni tatizo
Niliwahi kusikia Kama mikoani watoto wa umri Kama huo hiambiwa wakatafutie maisha wemyewe na mdio wengi wao hukimbilia Dar. Sijathibitisha Hili lakini linafanana
Hila uyu jamaa Ana akili Sanaa uyu yaan anakumbukumbu hadi Ya majina Ya watu Ya miaka Ya 90 uko mpk Leo bado anawakumbuka mpk mitaa mpk milima na majina yake aise ongera sana kaka
This guy amepitia magumu ,I hav shed my tears God bless you forever mwati.
Doh haki amepitia sana Mungu amuonekanie haki
Many children with single parents go through such things... it's always good as a father to make sure u raise your children yourself, and with their biological mother regardless of any differences existing between u. the
Haki kaka hii story yako ni kama Ambae naona hilo tukio leo, yaani wewe niwe Kumshukuru Mungu sana tu tena sana Devi star Hongera kwa kazi Nnzuri 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💪💪💪
God had a purpose for him to pass through all those difficulties, that's why he saved him on every situation. God wanted him to be a testimony.
Haki Zablon hope umeoka nakumpea Yesu maisha yako Cox doh una ushuda mzito sana Mungu akutie nguvu
Life is full of surprise and temptation may God bless you man
Kun wat wanapitia Maisha magumu kushinda yangu ....Pole Sana muendelezo tafadhal
Yani nilichojfunza ukiyaona maisha yako magum shkr tu maana hujakutana na maisha magumu, yani ukiliona lako zito hujaliona la mwenzio
Bado nipo Mr.facts 👍👍 Nafuatilia 🔥
Nipo
Jamaa anaonekana mstaarabu sana huyu doh.......ukiliona lako kubwa tambua la mwenzako ni zaidi ila ww mtani wangu ni mtumish wa mungu hujajuatu hapo kwenye uchungj hapo nkamkumbuka labani na yakobo
Broo big up sana . 8 years old na una kumbu kumbu sana I say . Mungu tuu akusaidie
Baadhi ya matukio hayaondoki akilini asilan
Hatar sana rafiki zako siwaliambiwa hko namizim kuwa watakufa wee utapona
Nice job Davis, we really learn alot through your programme keep it up bro.
Umepitia maisha Magumu wakati upo umri mdogo mwache mungu aitwe mungu
Yan kwel kila mtu ana majarbu yake yan mm had machozi kbsa duuuh
Am imagining a boy 8yrs old and so far gone through what seems a whole lifetime!!
Aise pole sana
This guy jamani😔, halafu alikuwa mnyenyekevu, may God bless him
Kaka anajielezea vizurii mpaka rahaa 😘😘
Ulikua na msimamo mzuri sana
Aliwai kuisimuliwa katka kipind cha redio moja na kumbuka iko kipindi kilikuwa kibaitwa(STOSAHAU GAMBUSH) bro pole sana kwa matatizo yalio kupata
Kweli name kama niliifatiriaga kama hadi nambar 8 nikaachana nayo
@@kawtharsaleh9229 mm niliimaliza yote mpaka alipotoka katka mji wa gambush(
Me ilinitia uvivu zilikua hazina mpangilio niliishia sijui alikwemda sumba wanga kutafuta mganga wakumrudishia kivuli sijui
Pole sana kaka
Watching from Dubai
Mungu azidi kukurinda pole kwamagumu urio pitiya
Daah pole sana jaman umepitia meng
Hii story hta part 100 hatuchoki coz tamuuu mnooo
Sasa nguo pair moja mshaharaa miezi inne mbona anarohoo mbaya hivyoo
Davista brother from another Mama. Congola sana kazi nzuri.
Duuu kweli maisha ni safari
Well
Uliyo pitia ni magumu lakini Mungu alikua pamoja nawe wacha tumshukuru Mungu kwa kukulinda
AMEN
Ipoooooo vzr sanaaaa
Ila alisema kazaliwa mwaka 84 hadi mwaka 98 ,hapo alikuwa na umri wa miaka 14,na sio miaka 9,labda alipitiwa kidogo ila kwa kweli ukuaji wake ulikuwa na misukosuko sana kila hatua. mara wachawi, mara watu wenye roho mbaya,
Davister jaribu kuwa unawavika mic ndogo kwenye t shirt itakusaidia pia maana naona kushikilia kwenye mkono inachosha na istoshe story uwa zinakuwa ndefu ..... just ushauri tu otherwise unafanya vizuri kwenye kazi yako.
@@mashiassu5766 kabisaa
Shukran kwa muendelezo, bro pili Musa bado uko busy na job 🤔
🌝
Ndiyo nimefika kipenzi changu.
@@aishahassan9812 😃😃😃😃
@@pilimusa7770 😘
@@pilimusa7770 mx sana
Pole na mihangaiko
Congrats davi ,watching from Dubai
Dubai????
Nice but painful
Brother uwe unamsaidia kweny ku-arrange miaka naona hapo kwa tunaofuatilia kwa fact ndo anajisahau so uwe unamkumbusha... Au kama recorded jitahidi kwa wengine unao wahoji wapange... All in all mkasa ni wa kusisimua maana kausimulia radio free Africa kitambo sana na mazingira anayoyasimulia yapo na nimeyafika karibu yote.... Hata habari ya kukatana mapanga ni kama asili ya wazawa. Good story
Nilidhani nimeliona peke yangu suala la miaka. Maana tangu awali hakuwa na miaka minane ni zaidi ila nimesahau mingapi
Haya twende kazi
Pole kwa yote 😥😥🤔😋🇯🇴🇯🇴🇯🇴
mh maisha jaman
Pamoja #mtumakini🤝
Uzuri huyo mzee hakukunyanganya hata peni Mungu amubariki
Nimewahi leo 🇴🇲👍
Daa pore sana kaka😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏
Duh ni nyumbani lakini duh panasumbua af tunauhaba wa vituo vya polisi labda hii itasaidi sisi nyumbani mpaka ufike kituo cha polisi ni km15 sasa hii ni tatizo
Mwendelezo plz
Hongera @sabra_said 👏🏽
Uko ni wapi Hio wall iko sawa
Jamani amepitia mambo magumu kwaumri mdogo na Mungu akampa hakili
Kaka umepitia maisha magumu du noma kama muvi
Kabisaa. Utadhani movie
Naomba kuuliza hamnapolisi
Nashangaa jinsi alivyopitia maisha ya mtu mzima akiwa mtoto. Mapito magumu kweli.
10 in Kenya
Mi nakupa pole kaka umepitia magumu san
pamoja sana
Ni mlokole naadhulumu mtoto haki Mungu amuone
Tupo pa1 #Davistar mata 🇴🇲🇴🇲🇴🇲
Mtu makini katika ubora wako pamoja sana kaka angu wa ukweli nimekuja kuitika jina ticha nipo jana na leo
Inavyoenesha zabron anapenda chai sana
Huyu kaka jamani....simulizi yake ni kama hadithi. Aisee huyu kweli sio binadamu wa kawaida.
😂😂😂😂😂🤣🤣🤣
Hatakua Zombie huyu
Kma majini na vifo vya kutisha,mauaji,mizimu,daaa wwe cio binadamu wa kawaida
Vijijini raha sana. Maskini mjeshi wa watu
Waa ifeel like am watching a horror movie 😢🇰🇪🇰🇪
Hatariiii
Wa14 nipongezeni kwa like jamani leo
Ipoooo vzr sanaaaa jmn
History iyi ni ndefu kabisa
12 leo
Masiki urikuwa unaroo zuri sana😭😭😭😭
Zablon unasema ulipewa sh 2000 ya kenya ukaibadilisha ukapewa Tsh 30000 umesahau chenchi ilikuwa 95 kwa 1000 mwaka 1998
Jamani hii ni story ndefu kweli msasal
Kuchelewa nayo🙄🙄😍😍🇯🇴🇯🇴🇯🇴🇯🇴
Maskini daaah pole sana
Pamoja
Mzigo umetuwa 💃💃
You have to focus first and stop using your sell phone during the interview mr Davister
Hatr xna duuuh..
Maskini kapitia mengi akiwa na umri mdogo,inasikitisha sana
Wa kwanza
Hongera
Duhhh maiti 50 wangapi ndani?
Afadhali sahii unamuona uso mwanzo nilikuwa simuini
Ya ya zimekua nyingi
Usicheleweshe story
Halafu watu50 wengi lazima polisi ingekuja nakutangaza
Ni kenya sio Tz
Duuh wa 26,
Watano leo
Hongera
Hongera
Sinaga tabia ya.kuchelewaga
Ila shileni ulikuwa mchelewaji Sana 😂😂
Namuonea huruma huyu Kaka jamani mungu akurehemu
Amrehemu kwani kafa? Hahaha
Kipindi chote hiko hata baba yako hakua na wasiwasi mtoto kaenda wapi looo wazazi wengine ni wapuuuuuuzi saaaana naisi alikuwa baba was kambooooooooo🙄
Niliwahi kusikia Kama mikoani watoto wa umri Kama huo hiambiwa wakatafutie maisha wemyewe na mdio wengi wao hukimbilia Dar. Sijathibitisha Hili lakini linafanana
Loooo unavaa inform iliusiplipe gari jamani😂😂😂😂😂😂😂😂watu wanaakili kweli
🇰🇪🎤🎤🎤
Kazi yakuchunga ngombe wallah.ningumu nikama hixi kazi zawarabu 😂😂😂😂😂
Kama kaziza warab kila san jikon sanaaaa
Nuru how old are you? Natamani kukufahamu my dear
Duu lkn hiyo pesa nikidogo jamani Mia tano😨😨😨😨😨😨alikuonea bn sahii hixo zakuchunga nanjia hamna vile sahii mwendo niwakukata nyasi tuu ukibwagia ngombe kwa crush elfu tano yako mkononi
Duuuuu
@Rose Uwambe
Rose zasiku
Hixo visu vawamasai 😂😂😂😂😂😂😂😂Jina sime halisi ukiona utadhani fimbo kumbe kisu
Pole sana Kaka yote nimapito
Hvyo Mura Damu ya binadamu uliinywa ukahisi radha gani?!.
😂😂😂😂😂😨😨😨😨😨🤣
😁😁😁
Na mm nna stol yangu
Sasa polisi kenya hamna
Hebu tuone na kadr tunaendlea kuiskliza a hii stry tunafanya pia analysis pengne badae ttapata ukwel zaid
Hila uyu jamaa Ana akili Sanaa uyu yaan anakumbukumbu hadi Ya majina Ya watu Ya miaka Ya 90 uko mpk Leo bado anawakumbuka mpk mitaa mpk milima na majina yake aise ongera sana kaka
Labda huko mliko kwenda kukoga wameenda kuzim
Ka