MTU MWENYE TABIA HIZI NDIO HUPENDWA NA MAJINI/UKITAKA KUWAONA MAJINI AU KUTOKEWA NA MAJINI FANYA HIV

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 178

  • @griezmannmhalaka4338
    @griezmannmhalaka4338 4 ปีที่แล้ว +7

    Broo unafurahisha Sana et sio mm ni wao ndio wanauliza
    Et mtombo 😀😀😀😀

  • @mariechristinahernandez2656
    @mariechristinahernandez2656 ปีที่แล้ว +1

    Huyo jamaa smart sana. Anajua anachosema.

  • @omarsharifa5606
    @omarsharifa5606 4 ปีที่แล้ว +2

    👏👏👏👏👏👌👌👌 wanikosha davista nikikosa nafanya homa congratulations

  • @mapundaharuna8078
    @mapundaharuna8078 4 ปีที่แล้ว +2

    @davista Mata ebu muhulize kwanini ukizaa nae jini mtoto habaki huku anakwenda kuishi ujinini

  • @asingakanimwanapotoyakala8053
    @asingakanimwanapotoyakala8053 4 ปีที่แล้ว +3

    Ido really love uyu MZEE anaongea vizuri saaana , mzee dar nakuja tufanye kazi

    • @naythardarling1115
      @naythardarling1115 4 ปีที่แล้ว

      Mm uwa simuelewagi kabixa

    • @euniceeunice7680
      @euniceeunice7680 4 ปีที่แล้ว +2

      @@naythardarling1115 utakua lbd unamatatizo lbd una majini so awataki uyu mzee atoe siri maana anaongea ukweli kuusu ulimwengu wa kiroho...

  • @jeaninemugisha6395
    @jeaninemugisha6395 4 ปีที่แล้ว +1

    Hongera sana kwa sistory zahuyu Mutu

  • @denismirumbe-fl6ri
    @denismirumbe-fl6ri ปีที่แล้ว +1

    Safi

  • @annkitiria943
    @annkitiria943 4 ปีที่แล้ว +2

    Mm nataka jini wa kudai deni ka mtu amekataa kulipa ww mtaalam nijibu suraa

  • @davidkizito6900
    @davidkizito6900 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante Sana Davista kwa kazi nzuri unayoifanya eh bwane niulizie mtalam Kwa kuna majini makristo maana nasikia yanahusishwa sana na uislam

    • @davidkizito6900
      @davidkizito6900 4 ปีที่แล้ว

      Nimekusoma nilikua sijamalizia, +966/256 pamoja Sana

  • @HabibaRamadhan-r6w
    @HabibaRamadhan-r6w 3 หลายเดือนก่อน

    😊😊Dah nakubarii

  • @camilaali9635
    @camilaali9635 4 ปีที่แล้ว +4

    Leo nimewahi wa kwanza,Davista kaz nzuri

    • @alisufian1781
      @alisufian1781 4 ปีที่แล้ว

      Camila nimekupenda sana.

    • @credo7837
      @credo7837 3 ปีที่แล้ว

      😋😋

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 7 หลายเดือนก่อน +1

    Ndio zipo dawa za kuwaona wachawi wengine mbazi nimepatia nimetaja mbaazi. Na yeye kautaja

  • @abdulhalimhumud1917
    @abdulhalimhumud1917 4 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂 Mr Facts unatusakizia Sasa wewe Kwani hutaki akutokeee kaka

  • @jamesadrian4557
    @jamesadrian4557 3 ปีที่แล้ว +3

    Mr DM mbona kama unaogopa kutokewa na Jini...? Eti kuna watu wanauliza?

  • @gwizalandkingaru6732
    @gwizalandkingaru6732 4 ปีที่แล้ว +1

    Mwambie akuonyeshe japo jini moja ili uexpriance kitu awe akuonyeshe wachawi au wale wanga wanao wanga mchana ili ujue upate uhakika fanya ya wanga itakuwa easy kukuonyesha

  • @ruthjohn4317
    @ruthjohn4317 4 ปีที่แล้ว +4

    Napensa sana kaka yang unavyo mjibu...kwamb jibu yote😃😃😃

  • @omarsalim6330
    @omarsalim6330 4 ปีที่แล้ว +3

    Nataka kweli kuona jini ila hayo masharitii ni magumu ...mpaka mtombo hhhhhhh Bora ikaee tu

  • @credo7837
    @credo7837 3 ปีที่แล้ว +2

    Hilo jina la hiyo daw duuh

  • @LEO-uq6el
    @LEO-uq6el 4 ปีที่แล้ว +2

    Atokewe mtangazaji sisi watazamaji hatujasema

  • @ibrahimrukundo3064
    @ibrahimrukundo3064 4 ปีที่แล้ว +3

    huyu mtaaalam iko vizuri ila Aache ushirikina.

  • @richardonderi4288
    @richardonderi4288 4 ปีที่แล้ว +2

    Nataka kuwaona wachawi tena ni wajabe itawesekana?

  • @saadiaali5609
    @saadiaali5609 4 ปีที่แล้ว +1

    Davista muoga kweli unaulizwa ww kisha unasima unaulizia wenzako

  • @mesasaid2128
    @mesasaid2128 4 ปีที่แล้ว +2

    254 ukitaka tiba kutoka kwakk ni pesa ngapi

  • @FlashBoy-qs6zv
    @FlashBoy-qs6zv 6 หลายเดือนก่อน

    nakukubali kaka

  • @kassimabdul5274
    @kassimabdul5274 4 ปีที่แล้ว +1

    Muongo uyo mungu kashasema majini hatuwaon ila wao wanatuona ndyvy walivyo umbwa huwezi muona jin ktk umbile lake hata utumie dawa yoyote

  • @blackman7532
    @blackman7532 3 ปีที่แล้ว +6

    Mbona unauliza vitu vyepesi muulize kuwa wazungu na wachina wajapani wanaongea na majini kuwapa tecknology ni kweli Sasa ninyi hamjui kuuliza vitu vipana.

    • @anwarabdallah7095
      @anwarabdallah7095 8 หลายเดือนก่อน

      Kiboko mwanangu swali lako zuri

    • @geoffreygabriel8417
      @geoffreygabriel8417 4 หลายเดือนก่อน

      unataka kujuwa au unataka kuhakikisha kama kweli

  • @ericklukumay1777
    @ericklukumay1777 4 ปีที่แล้ว +1

    Uko vzr

  • @Chekibob
    @Chekibob 3 ปีที่แล้ว +2

    Kwa hiyo mtangazaji ulitaka tu arudie mtombo

  • @levywekesa1240
    @levywekesa1240 2 หลายเดือนก่อน

    Naeza pata vipi huyu mtaalamu, kindly inbox

  • @michaelivitusi4810
    @michaelivitusi4810 4 ปีที่แล้ว +2

    Daah nyote mbilii

  • @wantangosaimon5295
    @wantangosaimon5295 4 ปีที่แล้ว +3

    Jini ya kikirixto hyo ipo ila kuna vitabu ambavyo vina mambo hayo hatuluhusiw kuvixoma hasa vya agano la kale kwa wenzetu Islamic wengi wao wanapewa uhulu wa kuvisoma

  • @abdallahrenatus6677
    @abdallahrenatus6677 4 ปีที่แล้ว +8

    "Mtombo" braza Davister Naona umefrahi.

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 7 หลายเดือนก่อน

    Ndio zipo dawa za kuwaona wachawi wengine mbazi

  • @emmanuelmwananzila776
    @emmanuelmwananzila776 4 ปีที่แล้ว +1

    Davista mchokozi umewaza vingine

  • @winnierichardmwalyego8942
    @winnierichardmwalyego8942 ปีที่แล้ว

    Akuna jini Wala mapepo yesu ni zaidi ya jini

  • @violinenyakara5028
    @violinenyakara5028 4 ปีที่แล้ว +2

    Huyu jamaa hunibamba
    Davista yuacheka ati mtombo 🤣🤣

  • @farhadhassansaid1297
    @farhadhassansaid1297 4 ปีที่แล้ว +1

    Kk Davi ww hutaki kutokewa na majini😂🤣🤣🤣

  • @shabansumaiya4770
    @shabansumaiya4770 ปีที่แล้ว

    Dah huyu jamaa nimkweli japo haifai kufanya shirki

  • @farhadhassansaid1297
    @farhadhassansaid1297 4 ปีที่แล้ว +2

    Tupo makini kk Davi lete story za kijini tu sai

  • @marysellawanza2315
    @marysellawanza2315 4 ปีที่แล้ว +1

    Are you safe Davistar??

  • @evelyneakech2677
    @evelyneakech2677 4 ปีที่แล้ว +6

    Representing +254

  • @p.matabaro
    @p.matabaro 4 ปีที่แล้ว +1

    Una mkosha mtu nyota aje ambaye ana ishi mbali?

  • @FatmaAli-i5h
    @FatmaAli-i5h 11 วันที่ผ่านมา

    Mpaka hapo😂😂😂😂

  • @zuhuramuhanga5400
    @zuhuramuhanga5400 4 ปีที่แล้ว +1

    hapo kusafisha nyota ufanye nini

  • @latifahissa8581
    @latifahissa8581 4 ปีที่แล้ว +1

    #MTAALAM 😇

  • @bittebitte5431
    @bittebitte5431 4 ปีที่แล้ว +2

    😂😂 🤔🤔nishawahi kuyaona hayo majini sema nliona sura tu eeeh Mwenyez Mungu wasije wakarudi nitakufa mana unaweza ukafa presha na kufufuka

  • @kelvinkatende3871
    @kelvinkatende3871 4 ปีที่แล้ว +1

    Yuko powa Sana mzee

  • @benahgrafix
    @benahgrafix 4 ปีที่แล้ว +1

    Fanya kuileta iyo bro

  • @swaumujuma6333
    @swaumujuma6333 4 ปีที่แล้ว +2

    👌👌👌👍👍👍

  • @frankngajilo7137
    @frankngajilo7137 2 ปีที่แล้ว

    Ye mbona masikini tumieni akili

  • @lifeinmiddleeast8179
    @lifeinmiddleeast8179 ปีที่แล้ว

    🤔🤔ndo maaana uarabuni washirikina Sana au na Mimi naswali weeee lakin hayaniachii

  • @usedthings7875
    @usedthings7875 4 ปีที่แล้ว +1

    Davi umecheka sana le

  • @goodgood9370
    @goodgood9370 4 ปีที่แล้ว +5

    Aslimia 100% huyu kaka anaongea ukweli kabisaa huezi ona jini akakuacha salama

    • @euniceeunice7680
      @euniceeunice7680 4 ปีที่แล้ว +4

      Nilisema mimi uyu baba anaongea siri mzito tusizo zijua nashangaa watu wanamkataa eti kisa kasema jicho la uchawi lipo ktk Qran 😂😂😂😂😂basi watu wamemsusa awaangalii video zke tena....ila nashukuru davst anatutupia mavideo kama yotee..

    • @vaghoghontweki9827
      @vaghoghontweki9827 4 ปีที่แล้ว +2

      Ss tuskize tunopenda kjua mambo

    • @chepason7212
      @chepason7212 2 ปีที่แล้ว

      Sio majini yote unaweza ukaona jini na lisikufanya chochote unategemea unakutana najini wa aina gaani kunawengine hawana shida

  • @roseuwambe8089
    @roseuwambe8089 4 ปีที่แล้ว +2

    Mtaalam kavinjwa mkono najin🤣🤣🤣🤣🤣😅😅😅😅😅😅😂😂😂

  • @sarahmichael7538
    @sarahmichael7538 4 ปีที่แล้ว +2

    Kaka Dav naomba ufikie mahali naww umkabidhi Yesu Kristo maisha yako ili uwe salama... maana sio kwa story hizo.,nawaza isije ikafika siku na ww ukapagawa na hizo roho, maana story zako zote Ni Tisha sana

    • @minglytv3044
      @minglytv3044 2 ปีที่แล้ว +1

      sio yesu amkabidhi Allah mungu wa kwel pmj n ww ulokua hujui nani ni mungu wako!

  • @maulididjuma4494
    @maulididjuma4494 4 ปีที่แล้ว

    Am on top 1st number 10 leo

  • @isayawalonde329
    @isayawalonde329 4 ปีที่แล้ว +1

    Umeuliza kwaajili ya watu nimechek Sana 🤣🤣🤣

  • @edwinchananga5772
    @edwinchananga5772 2 ปีที่แล้ว

    Hy

  • @wantangosaimon5295
    @wantangosaimon5295 4 ปีที่แล้ว +1

    Nmeamini kila mti hapa duniani ni dawa mpaka mizizi ya mpunga duh, hata majani ni Dawa ila hatujui yanatibu nn ndo maana inafika mda mbwa au simba au chui wanakula majani nasikia huwa wanahic vibaya tumboni

    • @juliusjustin4813
      @juliusjustin4813 3 ปีที่แล้ว

      Kabsaa ndiyo maana inabidi tutunze asili yetu

  • @mamskiumbe4057
    @mamskiumbe4057 4 ปีที่แล้ว

    Duuuu atr sna

  • @tatuallysaid5060
    @tatuallysaid5060 4 ปีที่แล้ว +1

    Davista unanichekesha mm jmn hahahahahahahah kwahyo unalazimisha ataje iyo mtombo

  • @VickKulekana-si1ib
    @VickKulekana-si1ib 7 หลายเดือนก่อน

    Anakuwa anakusaodia

  • @mishibaron5021
    @mishibaron5021 4 ปีที่แล้ว +3

    Hapo kwa jini mkristo napinga...hakuna jini mkristo. .jini haezi kaa akisikia jina la yesu

    • @dunianitv7510
      @dunianitv7510 2 หลายเดือนก่อน

      Uelewa wako ni mdogo sana, majini hata humo makanisani wamo.kwenye nyumba yako ww unamoishi pia wamo. Kama huna elimu usibishane. Njoo darasani tukupe elimu ndugu. Hii haihusiani na Dini yoyote majini wapo kama unavyowaona Ng'ombe na mbuzi na wanadamu basi pia wapo hvyo

  • @matheothomas1891
    @matheothomas1891 4 ปีที่แล้ว +1

    Kuona majini mbona simpoo we tembea usiku kuanzia saa sita hadi saa kumii asubuhi

  • @aishabeka5562
    @aishabeka5562 4 ปีที่แล้ว +1

    My davistar unajua kuruka viunz hahahaha eti wanataka watokewe

  • @beatricekweka6683
    @beatricekweka6683 4 ปีที่แล้ว +2

    Wee misitaki kutokewa nitazimia...😭😭

  • @marudrawsweetheartsweethea7336
    @marudrawsweetheartsweethea7336 4 ปีที่แล้ว +1

    Dev 😅😅😅 alivyosikia mtombo amechek

  • @mrsochu-hv7bm
    @mrsochu-hv7bm 4 ปีที่แล้ว +1

    Duuh uyu kaka ajamaliza tyuuu mh

  • @rehemabakari4150
    @rehemabakari4150 ปีที่แล้ว

    A😅😅😅😅 hapo kwenye kiingreza

  • @zaytunhijja6771
    @zaytunhijja6771 4 ปีที่แล้ว +1

    Mimi sitak kutokewa

  • @JoelChangai-gq1zl
    @JoelChangai-gq1zl 10 หลายเดือนก่อน

    Namuhtaj anapatkana wap

  • @fatmafatoom6553
    @fatmafatoom6553 4 ปีที่แล้ว

    Babu hb huyu bas tuu

  • @HappyJohn-kk1pr
    @HappyJohn-kk1pr 4 หลายเดือนก่อน

    Mi nilishakutana nayo mala nne

  • @fatmafatoom6553
    @fatmafatoom6553 4 ปีที่แล้ว +3

    Mtombo hahaha

  • @aminaismail4221
    @aminaismail4221 4 ปีที่แล้ว +1

    Mbona imeishia pazuri

  • @mwanaidijiran3296
    @mwanaidijiran3296 2 ปีที่แล้ว

    Mtombo!

  • @mrdorjan4646
    @mrdorjan4646 2 ปีที่แล้ว

    Hamnaga majini kaka niuongo

  • @bornifacecharles9555
    @bornifacecharles9555 3 ปีที่แล้ว

    Achukue bmtombo

  • @Kabangakig
    @Kabangakig ปีที่แล้ว

    Hana lolote huyo njaa tu

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 4 ปีที่แล้ว +1

    Hapo Kwa mtambo juuuu nmecheka🤣🤣🤣🤣

    • @credo7837
      @credo7837 3 ปีที่แล้ว

      Mtombo sio mtambo

  • @estasage5506
    @estasage5506 4 ปีที่แล้ว +3

    Who wants to be liked by the jin? Jin is a demon/falling angels. You have to be weaked to be liked by those spirits. Davistar you need to pray because I can tell you are interested by those weaked spirits. Watch out boy.

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 4 ปีที่แล้ว +2

    Ni muhimu kutuoa sadaka ili kuilinda hela isichukuliwe na majini. Km hutoi sadaka pesa zako zitakuwa zinaibiwa kirahisi.

  • @HappyJohn-kk1pr
    @HappyJohn-kk1pr 4 หลายเดือนก่อน

    Jamani mtombo😅😅😅😅😅

  • @omarmkendwa1254
    @omarmkendwa1254 4 ปีที่แล้ว +1

    Nipe 5 ndio namba yangu leo

  • @danielmboya6690
    @danielmboya6690 4 ปีที่แล้ว +1

    Hujawai kosea Dm

  • @marymamakevj3227
    @marymamakevj3227 4 ปีที่แล้ว

    Bona hapatikani wasap jamani nataka kuongea naye

  • @merycharles2707
    @merycharles2707 4 ปีที่แล้ว +1

    Hahaaaahaaa

  • @pilimusa7770
    @pilimusa7770 4 ปีที่แล้ว

    Duh wa 6 leo. 😃😃😃😃

  • @naythardarling1115
    @naythardarling1115 4 ปีที่แล้ว

    Ka davista mm nimependa ilo shat lako jaman

  • @naifatcharles9247
    @naifatcharles9247 2 ปีที่แล้ว

    Eti watokewe nyooo🤣🤣🤣

  • @eshalibaba1195
    @eshalibaba1195 4 ปีที่แล้ว +1

    Mtomboo 😀😀😀😀

  • @zamotomototv4609
    @zamotomototv4609 4 ปีที่แล้ว +2

    Mtombo kama Mtombo😂😂

    • @nasraabdallah850
      @nasraabdallah850 2 ปีที่แล้ว

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣tokalini mtende unamtombo😆😆

  • @mwashumcubwa1928
    @mwashumcubwa1928 4 ปีที่แล้ว +2

    Mtombo 🤣🤣🤣😆😬

  • @rosecruiz4348
    @rosecruiz4348 4 ปีที่แล้ว

    No ten

  • @romeocyrill6635
    @romeocyrill6635 4 ปีที่แล้ว +1

    Davistar mbona umeshtuka ulipoulizwa unataka kuona majini😂😂😂 na ukaturushia mpira kwani sisi tumesema tunataka kuyaona😂😂😂

  • @vaghoghontweki9827
    @vaghoghontweki9827 4 ปีที่แล้ว +2

    Mtombo🙉

  • @irambonaelkhamissi3443
    @irambonaelkhamissi3443 4 ปีที่แล้ว +1

    Duuh
    Hamlali cmn

  • @maryogotiny5033
    @maryogotiny5033 4 ปีที่แล้ว

    Pesa ni shetan, hilo neno linanipa ukakasi kabsa, maan pesa ina matukio mengi mabaya

  • @abbyadams8691
    @abbyadams8691 4 ปีที่แล้ว +1

    Nazani anazungumzia imani ya dini ingine,ila kwa Wakristo hakunaga urafiki na majini

    • @meisme7540
      @meisme7540 4 ปีที่แล้ว +2

      Wachungaji kibao wanafanya kazi na majini, wew unayesema hivyo upo dunia gani? Na wengine watoto au watu wengine wanatoaga ushuhuda hapahapa. Jini hana dini hii wala ile wale wenyewe wapo kama binaadam madhenebu tofauti. Na wameumbwa na MUNGU pia. Kama hujui kitu ni bora kunyamaza

    • @euniceeunice7680
      @euniceeunice7680 4 ปีที่แล้ว +1

      Points

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 4 ปีที่แล้ว

      Yeye kazungumzia namna anavyofahamu na anavyovizungumzia ni vipo ulimwenguni na avionekani kiwepesi so sasa sijui nawe unauwelewa wanamgani kuhusu mambo ya hivyo viumbe visivyoonekana kiwepesi

    • @meisme7540
      @meisme7540 4 ปีที่แล้ว

      @@Mpakauseme Kama mtu hana elimu na kitu ni bora kunyamaza au kuuliza period! Lakini sio unajisemesha kwa kitu ambaco huna elimu nacho. Hata kama havionekani vitabu, elimu pia zipo someni.

    • @euniceeunice7680
      @euniceeunice7680 4 ปีที่แล้ว

      me wacme wachungaji wa uongo wapo kibao ndo mana Yesu alituonya..amna mausiano yyte ya jini na binadamu ilo lzm ujue ayo majini au wachungaji wote ni shetani....ila bible Yesu katupa mamlaka ya kutoa mapepo na kukanyaga nyoka..Mungu ajaumba majini Bali aliumba malaika ila majini wao wameasi. So amna jini zuri ata 1 wote wapo kwa ajili ya kuua watu..na majini wana dini ambayo ni waislam maana ata Qran yenu imesema Allah kawaumba binadamu na majini ili wamuabudu Allah so usikatae. Uyu baba anaongea ukweli tupu ktk Qran yenu kuna uchawi. Ndo mana waganga wotee wanakitumia iko kitabu. Na tunaona apa kila ushuhuda watu wanasema majini wanaenda msikitini muswali so nn unakataa?jini ukiona yy ni mkristo jua sio ukristo huo Bali ni ule ukristo wa mpinga kristo..sio man yote ya Mungu Bali yapo ya shetani maana maandiko yamesema ivyo watatokea manabii wa uongo na kudanganya watu so injili imetuonya kuusu fake pastor. Na aturuhusiwi wakristo kua kalibu na majini ata siku 1...ndo mana mwenye majini akiingia kanisani lzm apige kelele.yula mama anae sumbuliwa na jini ujasikiliza story zke?

  • @selemanronne9702
    @selemanronne9702 2 ปีที่แล้ว +1

    Uongo mtupu