Huyu jamaa histor yake nilkuwa naiskiliza kwenye simuliz za redio free Fm mwanza ktk kile kipind cha sitosahau kilchokuwa kinarushwa kila j2 kuanzia saa nne asbh. lkn leo namuona live mm ntahitaj kitabu( s)chake nikirejea Tz in sha llah
Huyu msimulizi ni mnoma sana kwenye kusimulia. Ananyoosha maelezo hadi wewe mwenyewe unauvaa huusika.vitu anavyovitaja ni vya ukweli na hata vingine nimevisoma katika Sayansi kwa mfano THE BERMUDA TRIANGLE.Ndege na meli zimewahi kuripotiwa kupotea eneo hilo👍👍
Daahh najifunza vitu vingi Sana...Asante kijana M/Mungu akulinde na mabaya.... Unaweza usiamini kumbe yapo nikuomba Mungu kwa kwelii..🤨🤨 Nitakua na hiyo Alama aisee nkimuona mtu..🙇🙇👊👊👊
Niliisubiri Sana ,Hadi nikapitiwa na usingizi...Tumchangie hela ya Mbs Mr .Fact afanye kuapload miss wote.......Zabroan nilichagua mrembo wa kiafucast .....alivyo ingia .MR.D ITAENDELEA .....mimi Ahaaaaa Mr.D weka Ep ya 18 ,19 na 20 ☺️☺️ God bless you Mr Fact.
Weka vipande vi3 kwa siku asubuhi mchana na usiku ili umalize haraka maana kupitia huyo utapata watu wengi sana wenye hadithi kama hizo na ndefu bas harakisha kidogo 😍😍😍#Davistar mata tunakipenda sana kipindi chako
Ayo yote yapo ktk bible...mateso ya kuzimu maisha tunayo ishi adi siku za mwisho vyotee vimeandikwa ktk bible..Mungu anatuambia tumpinge shetani nae atatukimbiaa...majini mapepo waganga wachawi na kila uchafu vyote ni vya shetani. Akuna jini zuri woteee ni wa kuzimu woteeeee ni maadui zetu. Nawashangaa mnao sema kuna majini mazuri tukiwauliza uzuri wao nn amna majibu..unashangaa eti jini nae anaenda kufanya ibada jamani anaenda kumuabudu Mungu gan???wkt wao ni wa kuzimu...??nyie mnao mkataa Yesu kuzimu mtafika tuu...uyu jamaa kasema kbs kaambiwa asitaje jina la yule mtu ...yan kuzimu anae ogopeka ni Yesu kristo sio mwingine..nyinyi msio mjua Yesu jueni kuzimu inawasubiliaaa..mti mkavu anazidi kusambaza sumu na watu wanafurahia...mimi nilizani izi story tutajifunza kumbe wengi wapo apa kwa ajili ya burudani tuu ila wanashindwa kutafakari ukweli halisi kuusu mbinguni na kuzimu yan Yesu na shetani maana hii ndio vita kuu 1...shetani anatutumia wanadamu na mateso makali bila kupumzika..kuzimu akuna maji wala chakula wala kulala..tumpokee Yesu jamani yy ndie mkuu wetu wanadamu wotee duniani amna mkuu zaidi ya Yesu..yy ni mwenye huruma upendo upole unyenyekevu...mwenye sikio na asikie na mwenye kubisha abishe ila ukweli utabaki pale pale bila Yesu basi jua mbinguni uwezi ingia
Davista kaka pole na hekaheka zetu watazamaji ila tukuombe uwe unatuekea hata episode 3 hadi 4 kwa siku,coz hili week umekua slow sana tunakaa sana kusubiri na episode zinakua fupi mno,hebu sikiliza maoni yetu wadau..
Na ule mti wa cristmas tree ndio ule mti wa gambush ila hawajuwi to au kwa jina jingine ni timberland upo ktika kiatu.umechorwa . Na hiyo minara yote dunian ndio mfano wa huo mti wa gambush
Ila waliopitia uchawi wote story zao zinafanana sana hii kipande cha karatasi nilishawai kusoma kitabu flani kikaelezea hvy hvy kuwa uchawi uliopo ni karatasi moja sasa hiko kitabu kingekuwepo sijui huo uchawi ungekuwajee
Wachawi duniani wanakutana Gambushi ina maana sisi ni wachawi kuliko nchi yoyote ila sishangai siku moja nilikuta faili USA ya lawyer mmoja mkubwa sana huku amefanya uchunguzi akagundua kuwa Tanzania ndio nchi superstitious duniani nimeliona hilo faili
Hata hado DW wenyewe walirecord tu mazingira ya kijiji tu cha kawaida kinachoonekana kwa macho hapo kwenye haburi ambapo hapaoti nyasi DW wameonesha kuna nyasi na kuna mti kwahiyo walimbwela tu.
Let’s support Davistar for good story na pia nadhani watu wamepanua akili kwamba kuna Dunia nyingine binadamu hawajui. LIKES ZIKUJE
Mr Facts pamoja from 🇸🇪🇸🇪🇸🇪🇹🇿🇹🇿🇹🇿❤️ Kazi mzuri bro
Huyu jamaa histor yake nilkuwa naiskiliza kwenye simuliz za redio free Fm mwanza ktk kile kipind cha sitosahau kilchokuwa kinarushwa kila j2 kuanzia saa nne asbh.
lkn leo namuona live
mm ntahitaj kitabu( s)chake nikirejea Tz in sha llah
Big up Davistar Mata tupo pamoja hila Zabron anatupele Deep ktk ulimwengu mwingine, Respect
Location sio nzuri tafuta sehemu ambaz zimetuli..!!
Kelele kibao yan
Huyu msimulizi ni mnoma sana kwenye kusimulia. Ananyoosha maelezo hadi wewe mwenyewe unauvaa huusika.vitu anavyovitaja ni vya ukweli na hata vingine nimevisoma katika Sayansi kwa mfano THE BERMUDA TRIANGLE.Ndege na meli zimewahi kuripotiwa kupotea eneo hilo👍👍
Daahh najifunza vitu vingi Sana...Asante kijana M/Mungu akulinde na mabaya....
Unaweza usiamini kumbe yapo nikuomba Mungu kwa kwelii..🤨🤨
Nitakua na hiyo Alama aisee nkimuona mtu..🙇🙇👊👊👊
Pili violine somoe mimi mimi njoooon mambo tayar💃😍😍🙄
Ndiyo nimefika. Asanteee😂😂😂
Asante mpenzi mm ndio huyu 😘
@@somoeawadh7774 karbu mpezi😍😍😍😍
@@pilimusa7770 karbu🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Zabloninizaidi yashujaa mungu akucmamie kwakila kitu
Daaaaah mzee Davy unachelewesha sanaaa babu yngu🇩🇪
Kabisaa
@@pilimusa7770 mbembeleze davista
Niliisubiri Sana ,Hadi nikapitiwa na usingizi...Tumchangie hela ya Mbs Mr .Fact afanye kuapload miss wote.......Zabroan nilichagua mrembo wa kiafucast .....alivyo ingia .MR.D ITAENDELEA .....mimi Ahaaaaa Mr.D weka Ep ya 18 ,19 na 20 ☺️☺️
God bless you Mr Fact.
Weka vipande vi3 kwa siku asubuhi mchana na usiku ili umalize haraka maana kupitia huyo utapata watu wengi sana wenye hadithi kama hizo na ndefu bas harakisha kidogo 😍😍😍#Davistar mata tunakipenda sana kipindi chako
Leo mm wapili like zenu
Tumo tu!!!! tukistuka ni kuwasha data tu ili kuona kama mzigo umesoma🤣🤣🤣🤣... Ahsante kaka kwa kutufanyia ivi
Hahahaha hahahaha sasa mm boss aje azime Wi-Fi nanuna utadhani nalipia mimi
@@aishasaid6749 😂😂😂😂😂😂😂
@@aishasaid6749 aiseee nmecheka kama mazuri vile 🤣🤣🤣
Masofaaa yabei chafuuuu mbayaaa 🤪🤪🤪🤗🤗🤗duuuuu hapo kwakuchagua mwanamke hahaha eti bint fln shombwe shombwe ukajichagulia 🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️🚶♀️ mwendo wakula kuku hadi bata waone wivu
Nashkuru nmekua w kwanza leo🙄💃🇪🇭🇪🇭
Hey
Hongera Ayshaaaa.
@@bragajohn8944 Hi
@@pilimusa7770 shkuran chidada changu😍😍
Ayo yote yapo ktk bible...mateso ya kuzimu maisha tunayo ishi adi siku za mwisho vyotee vimeandikwa ktk bible..Mungu anatuambia tumpinge shetani nae atatukimbiaa...majini mapepo waganga wachawi na kila uchafu vyote ni vya shetani.
Akuna jini zuri woteee ni wa kuzimu woteeeee ni maadui zetu.
Nawashangaa mnao sema kuna majini mazuri tukiwauliza uzuri wao nn amna majibu..unashangaa eti jini nae anaenda kufanya ibada jamani anaenda kumuabudu Mungu gan???wkt wao ni wa kuzimu...??nyie mnao mkataa Yesu kuzimu mtafika tuu...uyu jamaa kasema kbs kaambiwa asitaje jina la yule mtu ...yan kuzimu anae ogopeka ni Yesu kristo sio mwingine..nyinyi msio mjua Yesu jueni kuzimu inawasubiliaaa..mti mkavu anazidi kusambaza sumu na watu wanafurahia...mimi nilizani izi story tutajifunza kumbe wengi wapo apa kwa ajili ya burudani tuu ila wanashindwa kutafakari ukweli halisi kuusu mbinguni na kuzimu yan Yesu na shetani maana hii ndio vita kuu 1...shetani anatutumia wanadamu na mateso makali bila kupumzika..kuzimu akuna maji wala chakula wala kulala..tumpokee Yesu jamani yy ndie mkuu wetu wanadamu wotee duniani amna mkuu zaidi ya Yesu..yy ni mwenye huruma upendo upole unyenyekevu...mwenye sikio na asikie na mwenye kubisha abishe ila ukweli utabaki pale pale bila Yesu basi jua mbinguni uwezi ingia
12:13 uck...dhooo dav umetisha am da one oohhh💪💪💪
Shukran kwa kazi nzuri 🤝
Davista mata hii stori ni ndefu sanaa kwa jinsi unavyo zirusha hizo episode tutafika mwakan
Well done ilikua nasubiri sana hii
Ila ukitafakali sana dunia inamambo mengi sana ila solution ni mungu tuu
Duuuuuh! Naweka sim ili iwe full charge mmm nasubiri #17..........♥
Sitoki youtube kwaku subiri tu nda weka kiti TH-cam ili ni subiri
😂😂😂😂😂
Nafuatilia !! Mr.facts 👍
Woooyoooo bado tupo machoo Davistar👌👌😍
Tunafarijika sana na hizi story asante sana broo
Nikwel, hua wanakul unga na mifupa.
Eti Mungu alishuka duniani🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️lini jamani
Srory nzuri sana Zabro asante sana kwa story na pia pole sana kwa mapito ya mateso
Nimegundua davista anapenda wa mama 😂😂😂😂😂
Hiyo alama niya mpinga kristo imeandikwa kwenye ufunuo wa yohana, 666. Nikweli yoteanayosema zabroni shetani anamiliki dunia
Oohh👌👌👌
Wa1 leo🤗
Hongera
Davista kaka pole na hekaheka zetu watazamaji ila tukuombe uwe unatuekea hata episode 3 hadi 4 kwa siku,coz hili week umekua slow sana tunakaa sana kusubiri na episode zinakua fupi mno,hebu sikiliza maoni yetu wadau..
Kabisaaaa
Mmmh eti mungu akashuka akalia sana mungu alie mmmh
Fatm alrshd up wap? Nimekutangulia 💪
Nice
Wah!! Hii story si kidogo ... still tuned
duh kwel gamboshi noma
Mmmhhh zabroni umepitia mengi sana dooo AISSEH pole
💃💃💃Kwan amulalu
Pamoja Sana bro
Naskia kabisa naona mambo duniani yanavoenda eeeh aiseee mungu baba tulinde watoto wako😢
Kuna kipande kimeruka baana. Kutoka moshi teck mpka kwenye nyamaa. Hyo card imezingua
Dunia kwel imeisha
Duuh hamjalala mpaka napata number 37🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂
Anatak awaambie wenzie nipo kweny TV 😢😢😢
@@suleymanally4729 😂🤣🤣🤣
Na hawa wa ku dislike ni hao wa kutoka ghamboshi??
😂😂😂😂😂
Kwakwel
Watakufata shauri yk
Kauthar Mickidad @Damu ya YESU ime ni zunguka hawawezi niona ata..🙇♀️🙇♀️
Davista muulize unaweza kwenda gamboshi kujifunza uchawi wa kusaidia watu?
Umegonga ndipo broo,iyo sehemu ipo karubu na Australia visiwani,inaitwa burmuder triangle....twakupata vipoa huku qatar
Huyu mwamba story yake inasisimua....... wow!
Davista unapenda wamama eeh
Zam yng leo....tupo macho
Tusihingilianeee kabisa waamokoooo kama kawaaa 😂😂
Kaka umepitia mengi sana
Mji wa kwanza kugundua gypsum GAMBOSHI.
Doh story hii safi sana
Wapenzi wa Mungu nawaomba m subscribe channel yangu.Ni neno la Mungu. plz
Pamoja broo
Duuh pole ndugu umepitia magumu sana ila mi nashkulu upo sallama
Duuuuh kumbe huku kuna Chuo cha wachai sio mchezo 🇩🇪
Malika hashindwi na polite,kwanza malika gabriel ako na mabawa karibu elfu 3 ama laki tatum kama sijakosea
Davister tafta maiki ndogo uwe unawachomekea naona Kama unateska kushka hvyo kwa mda
Na ule mti wa cristmas tree ndio ule mti wa gambush ila hawajuwi to au kwa jina jingine ni timberland upo ktika kiatu.umechorwa . Na hiyo minara yote dunian ndio mfano wa huo mti wa gambush
Hiyo story ya uchaw mmh mbona za utoton zile
Yeah 👍
Huku chuga ungalimi sisi tutahadithia mauwaji ya vibaka tuu sehemu zinatofautiana...
Jaman naona zinachelewa sana kuendelea
Ila waliopitia uchawi wote story zao zinafanana sana hii kipande cha karatasi nilishawai kusoma kitabu flani kikaelezea hvy hvy kuwa uchawi uliopo ni karatasi moja sasa hiko kitabu kingekuwepo sijui huo uchawi ungekuwajee
nilikua naiwinda sana hii...
Kama mimi
Mimi wakwanza leo saluti kaka
Hongera
SAFI DAVISTAR KESHO PLS 17.18 19
Duu kuna sehemu mtandao unakwenda speed mpaka nimechelewa pamoja na kukaa macho muda wote kusubiri 16
Wangap tumeshinda kuisubir
Wengi
Wachawi wote motoni🔥🔥🔥🔥
Davista Usiwe unachart wakat una hoji mtu unapoteza concentration kwa audience
Duuuuuuh! Kumb nimtandao wakishetan mkubw sana daaah!!
Hiyo ya roho 1000inafananana muvi ya ghost Rider
leo nimeweza
Ukikatwaa ulimi hunachako msukulee unakuhusu😱😱😱😱😱😱😱wewe sio mtu sana
Davistar kijan wang hp mtu mweny utu wang
TYR unachelewa sanaaa
Sijachelewa sana
Umeteseka kaka dar😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
Mungu akurinde kabisa
Dah.... NAONA KM NISHAANZA KUMUHISI UONGO NOW ... tofauti na mwanzo
Uongo wake nini kwani hujawahi kusikia Mambo ya gambush?
Emu uje utuletee ya kwako ambayo ndo ya kweli
Huyu ni mmoja wa walinz wa gambosh ndo maana anachukia iz story
@@matridalule6477 😂😂😂😂
Au WWE utakuwa ni kachero wa kutoka gamboshi
Zabron kumbe unajua mengi
Wakwanza kwa kila kitu ila DM unatutesa tupunguzie mda
Wale wanao ekti filamu za ngono ulaya wote wanakuwa ni miongoni mwa geraza la gambush
Unaushaidi
Nako gambushi Kuna hospital
duuh kuna watu wana pata tabu uko gambushi😭😭😭
Uwongo Sasa mwingi
Wachawi duniani wanakutana Gambushi ina maana sisi ni wachawi kuliko nchi yoyote ila sishangai siku moja nilikuta faili USA ya lawyer mmoja mkubwa sana huku amefanya uchunguzi akagundua kuwa Tanzania ndio nchi superstitious duniani nimeliona hilo faili
Mambo ya story live iliyojengeka ki imla zaidy...
Duuuu n hatari cna
Da mpaka saa 7 ndio tunaendelea nayo
Hapo aliposema ujerumani kuna shule ya uchawi c uongo ni kweli hicho chuo kiko
Wanadanganya kua watoto wa nuhu walikua mzungu mwarabu na mweusi tangu lini baba mmoja na mama mmoja wazae viumbe tofauti ..ujanja tu wa ibilisi
😂😂😂😂😂😂
Hio ni mipang yamungu kuenez viumb dunian ww kwajinsia tofaut
I know where you are heading to..can u explain why a black man and a black woman haven't given birth to a white child since that time?
Ibirisi muongo sana
tamu ee kumbe tz kuna chuo cha uchawi gamboshi hatariiii
Nilingoja nikalala ndio naamkia
Sasa 17 davista ni back to back bana 🤣🤣
Wale jamaa pale nyuma wamefanya kelele.
Mzee kabeb roho 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 umekua malakul maut nn!
Hii story kali kuliko zote ni yakipeee kwakwel ila inamafunzo mengi ntamtafuta zabron anipeleke gambushi nikasalimie
Hata hado DW wenyewe walirecord tu mazingira ya kijiji tu cha kawaida kinachoonekana kwa macho hapo kwenye haburi ambapo hapaoti nyasi DW wameonesha kuna nyasi na kuna mti kwahiyo walimbwela tu.