Inafaa mutilie mkazo zaidi katika ukuzaji wa zao za karafuu.Hivi sasa uchumaji ni wa ovyo,jambo ambalo linadhoufisha miti ya mikarafuu.Pia utaalam wa kuhifadhi ardhi hamna ni hilo ni janga la baadae
Karafuu haiuzwi nje na mkulima bali huuzwa na mapapa wanaojiegemesha nakufadhili harakati na maendeleo ya chama tawala lkn mkulima kama mkulima hiyo dhambi yakuisafirisha karafuu hafanyi sasa kama serikali tengezeni namna yakuwashughulikia tu bc.
Kazi Iendelee, Rais Samia ni mtu wa maendeleo. Asante Rais wetu
Asante mama yetu nakupenda sana.mama kwa ajili ya Allah na maendeleo ya nchi yetu
Kazi nzuri saana, Ubarikiwe Saaana Mhe SSH
Hongera mh WAZIRI kwa hotuba fupi nzuri ya ukaribisho wa raisi
Allah akubarik akujaalie afya njema akuepushe na hasad. KAZI IENDELEE
Mabati oyeee
Karafuu oye
Miti ya mikarafuu yakatwa ovyo.
Karafuu