HOTUBA YA MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN WAKATI AKIFUNGUA SKULI YA SEKONDARI YA BALOZI SEIF.

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 8 ม.ค. 2025
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi mara baada ya kufungua Skuli ya Sekondari ya Balozi Seif iliyopo Misufini , Bumbwini Zanzibar tarehe 08 Januari, 2025.

ความคิดเห็น •

  • @khmhipoliti2338
    @khmhipoliti2338 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Habari ya kazi mheshimiwa naitwa kelvin ni mkazi wa mpigimagoe tunaomba barabara ya kiwango cha lami au zege hii iliopo ni yavumbi inachangamoto sana hasa kipindi cha mvua asante kwa kukubali ombi langu /letu

  • @joeandres9744
    @joeandres9744 20 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Well said,Kuwa na wasomi wengi haiisaidii nchi bali kuwa na wataalamu wengi ndio Tija kwa Taifa..Naungana na ww asilimia mia