Assalam alaykum Dr.Islam. Naomba kufahamu, JE,Inakubalika katika gari yangu kuchora maneno yenye kutoa UJUMBE kama:1.Swali kabla hujaswaliwa. 2.Ishi na watu vizuri. 3.Wacha zinaa. 4.Swallallahu alayhi wasallam. 5.Mswalie Mtume Muhammad. 6.Mwisho wa ubaya aibu. 7.Mche Mola wako. 8.Mungu anakuona. 9.Mengineyo yenye kutoa ujumbe.
Allah Akuhifadh sheikh wetu 🙏
Mashaallah Mungu akuhifadhi shekhe Islam Mungu akujazi kheri inshaallah akuwepushe najicho lahasadi inshaallah
Allah akuhifadhee ya shekhe katka dini yake . Amiin allah huma amin
Allah akuzidishie hekima
Mashallah shukran sana sheik wangu jazaaka Allah kheir
Assalam alaykum Dr.Islam.
Naomba kufahamu,
JE,Inakubalika katika gari yangu kuchora maneno yenye kutoa UJUMBE kama:1.Swali kabla hujaswaliwa. 2.Ishi na watu vizuri. 3.Wacha zinaa. 4.Swallallahu alayhi wasallam. 5.Mswalie Mtume Muhammad. 6.Mwisho wa ubaya aibu. 7.Mche Mola wako. 8.Mungu anakuona. 9.Mengineyo yenye kutoa ujumbe.
MashaAllah sheikh wetu,Mwenyezi Mungu akuhifadhi na kila baya na akujaliye umri mrefu ili tuzidi kupata ilmu yenye manufaa tuzidi kuongoka
mashallah mashalla Allah akulipe sheikh wetu nasi Allah atuongoze njia njema inshallah
Allah yahfadhka yaa sheekh
Allah akuzidishie hikmah
Jazzakallah khairaa
Baaraka llahu ya sheikh
Maa shaa Allah
Allah akuongezee umuri murefuu umetuokoa ya Rabbi
Shukran shekh kwa darsa Allah barakat fiih
Jaza kaallah khairah
DARSA ZAKO NI ZENYE FAIDA MNO
ALLAH AKUHIFADHW
Shukrn jazaka Allaah khayrn
Shukran jazila Ustadh
حفظه الله
Jazzaka Allah khaira
Mungu akuzidishie ilmu
Mashallah
Assalaam alaykum warahmatuLLAAHI wabarakatu Baraka llahu
Masha Allah
Sheikhs wetu naomba namba nna maswali nikuulize
Sami'ihnaa waa twaana...
Vipi Hali yako shekhe,,,
Maa shaa Allah
Mashaa allah nuhibuka fillah yaa sheekhanaa