Hafadhaka LLAH akhiy lkariim. Usiwe mnyonge endelea kutunufaisha kwa ajili ya ALLAH A'ZZA WAJALLA. Vitimbi vyao, kejeli,vijembe na kedi zao zisikuvunje moyo. Hiyo ni mitihani kutokana na vitimbi vya Ibilisi na shirika lake. Anaepandisha na kutweza daraja ni MMOJA TU,mengine ni wasiwasi wa shetwani tu.
Qasim ameharibu tabia za wajinga wengi mpaka wanaharibu amali zao na kujisahau kuwa mizani itasimama kwa kila muislamu. Yaani hawana khofu hawajali. Dini yao imekuwa kubeza, kutukana, kusingizia, kuhusudu na ukosefu wa adabu imefikia baadhi yao kuwatukana hata wazee wao. Khusuma na hasadi na uongo ndo mwenendo wao. Na hii inatokana tamaa daraja ambayo ALLAH A'ZZA WAJALLA hajamkadiria. HAPANA APASAE KUABUDIWA kwa Haqqi ila ALLAH SUBHANAHU WATAALA ,AlMuiz Almudhill.
@@saidirashid7552 Kwa hyo Abul fadhwil Ndo anawarithisha watu. Enje na nyiny nani anawarithisha kupenda watu waliopinda??? Mtu ana mikhaalafat mingi na Tanaaqudhaat kibao.
@@saidirashid7552 Hakika Qasim anarithisha chuki kwa wafuasi wake. Ana mengi ya kujibu kwa ALLAH A'ZZA WAJALLA. Anatumika kuuvuruga umma kwa kisingizio cha Daawat Salafiya.
حفظه الله
Hafadhaka LLAH akhiy lkariim. Usiwe mnyonge endelea kutunufaisha kwa ajili ya ALLAH A'ZZA WAJALLA. Vitimbi vyao, kejeli,vijembe na kedi zao zisikuvunje moyo. Hiyo ni mitihani kutokana na vitimbi vya Ibilisi na shirika lake. Anaepandisha na kutweza daraja ni MMOJA TU,mengine ni wasiwasi wa shetwani tu.
Hizbi ktk Uhizbuya wake wa kuleta Talbisi.ktk kuwatatiza watu wajinga.
Qasim ameharibu tabia za wajinga wengi mpaka wanaharibu amali zao na kujisahau kuwa mizani itasimama kwa kila muislamu. Yaani hawana khofu hawajali. Dini yao imekuwa kubeza, kutukana, kusingizia, kuhusudu na ukosefu wa adabu imefikia baadhi yao kuwatukana hata wazee wao. Khusuma na hasadi na uongo ndo mwenendo wao. Na hii inatokana tamaa daraja ambayo ALLAH A'ZZA WAJALLA hajamkadiria. HAPANA APASAE KUABUDIWA kwa Haqqi ila ALLAH SUBHANAHU WATAALA ,AlMuiz Almudhill.
Chuki zako za kurithi au kuiga kutoka kwa Kassim mafuta
@@saidirashid7552 Kwa hyo Abul fadhwil Ndo anawarithisha watu.
Enje na nyiny nani anawarithisha kupenda watu waliopinda???
Mtu ana mikhaalafat mingi na Tanaaqudhaat kibao.
@@saidirashid7552 Hakika Qasim anarithisha chuki kwa wafuasi wake. Ana mengi ya kujibu kwa ALLAH A'ZZA WAJALLA. Anatumika kuuvuruga umma kwa kisingizio cha Daawat Salafiya.
unaumia ukiwa pande zipi