Wazee wa 2024 Gonga like hapa Nilichogundua ni kwamba wasanii wengi wazamani walikua wanajua sana kuimba na mziki walikua wanaujua sana sana na kila mtu alikua na talented sana na sio kama hawa wasasa
Nipo nasikiliza mimi hapa nimekumbuka mbali baada ya kusikia ngoma hii nakumbuka wimbo unatoka nipo dar smjui hata mwanaume na nikisimamishwa na mwanaume naacha vumbi linatimka nyuma kama nilikuwa naenda dukani siendi kama nilikuwa naenda kuchota maji siendi yani narudi nyumbani na kukaa tu lakini haya maisha jamani acheni yaitwe maisha tu
Toka 2010 Hadi 2022 nakumbuka mbali sana for first day kusikia wimbo huu alinitumia mpnz wangu aliniacha kjjn akaenda town ndo akanitumia akadai kwenye Iveta yeye anasema Devotha.oooh hayupo duniani mylove 😭😭😭😭😭 alipoteza maisha 2017.
Nakumbuka nilivyo enda kigoma mjini kwa mara ya kwanza nilikuwa nikisikia kumbi mbali mbali za video wakiipiga hii nyimbo Dah, nakumbuka mbali sana mpaka leo 2024 ❤
Kwa upande wangu inaguxa life langu nixameh wangu wa buxh ahad yangu bado dsm nazxaka kidogo nkpatacho unakiona cfch na2ma kuwa mxublfu km iveta i lov u my.......
ST. 7 hapo 2010 dah aisee ikahiti sana 2011 hapa tupo form 1 yusuph mąkamba jeshini dah bonge la nyimbo. Wanangu wa kitambo hicho yusuph mąkamba gonga like nyiiiingii 🔥
I never knew what this song was called untill i heard it in a matatu. Really love it and great massage. My baby is away in Europe bah am waiting on him. Thnx for this lovey song. Lots of love from kenya
The first time I hear this song was at Shamsa Babutale 😭 I remembered well her son Tale jr used to love this song 😢 Rest will my dear friend Shamsa I miss u so much dear,I am crying everyday 😭
This nice song which is in Kiswahili language is by Sagna, an artist from Tanzania. He is singing sending message to his fiancee called Iveta. He tells Iveta to be patient as he is busy working in the city so that he would go back to the village to mary her. Sagna says there are a lot of challenges in the city but he is optimistic that he will make it and they will finally join in a holly matrimony. He went as far as telling Iveta how he is missing her, relatives and even village food and fruits
Jessie Mangala Nyimbo zetu zinapendwa na zinasikilizwa mpaka nje ya mipaka yetu. Tunawasidia kuwafahamisha wasiojua Kiswahili ili waelewe na wazidi kuzifuatilia nyimbo zetu
Nani Yuko hapa 2024? Gonga like
Nipo hapa mpaka baadae sana
Niko hapa
Nipo reo mwezi wa 5 tarehe12 2024
Kama unaisikiliza ngoma hii 2024 gonga like hapa
Naipenda sana ❤
Wale wa 2024 gonga like hapa
Tuko hapa😊
Wazee wa 2024 Gonga like hapa
Nilichogundua ni kwamba wasanii wengi wazamani walikua wanajua sana kuimba na mziki walikua wanaujua sana sana na kila mtu alikua na talented sana na sio kama hawa wasasa
Jamon 😢😢 wanao sikiliza 2024 gonga like
Niko hapa
Anaesikiliza huu wimbo mara kwa mara najua anajua muziki mzuri Sasa tujuane kwa like na comment 2024
Hii nyimbo nilikuwa naipenda sana kama bado upo nayo Leo 2023 gonga like hapa
Kama kawa
Pamoja 👍🏾
Nnayo mkuu
Pamoja
Kaka nyimbo naipenda sana
2023 and still this songs hits as good as if it was released today.
True
Good music lives on
Bado naipenda
Mambo vp
Bado tupo
Wa 2024 wapo apa ? Em like tujuane Wazee Wa TBT
Kama bado unaisikiliza hii ngoma 2021 gonga like
2023 is here and iveta is still on fire 🔥🔥 wapi likes za Sajna
Bro love ❤❤❤❤
GOOD MUSIC NEVER DIE ... AND THIS IS 2022 🙌🙌🙌🔥
old is gold
2024 still vibing with the good music
Kama bado unasikiliza ngoma hii 2020 gonga like yako twende sawa.
Nipo nasikiliza mimi hapa nimekumbuka mbali baada ya kusikia ngoma hii nakumbuka wimbo unatoka nipo dar smjui hata mwanaume na nikisimamishwa na mwanaume naacha vumbi linatimka nyuma kama nilikuwa naenda dukani siendi kama nilikuwa naenda kuchota maji siendi yani narudi nyumbani na kukaa tu lakini haya maisha jamani acheni yaitwe maisha tu
Ziko fit hata kuliko z kisasa
🇹🇿❤❤❤ sajna
Old is gold
@@المهلهلالحراصي kwa Sasa hali ipoje🤓🤓🤓
2019 mpaka 2020 na 2021 bado itafanya vizuri sana
Umzima bro
Ogi asee
2022 and still listening it
Hilo beat taar Mambo bady, Hilo goma firee
Mara yangu ya kwanza kuja mjini kutafta riziki huu wimbo ulikuwa unanipa feelings za mpenzi wangu kule nyumbani.sajna.
vp bado upo nae huyo demu😪
Hizi ndo nyimbo haziishi ladha hadi sasa 2019 nipo tu
100%
Yeah Hadi vizazi vijavyo ladha Ni Ile Ile na ujumbe was kutosha kwa jamii, sio nyimbo za saiv WCB matusi matupu
mwaaaaaaaaah
Hatariii sana ngoma yaukweli sio (masozi)
Umeonaa eeh
This guy was on top of his game.Lyrics galore.
Its 2022 and still it's like it was released yesterday. That's shows you how good music lives! Big tune
2022🥰🥰❤️
We still miss him
Nimekumbuka mbali😢
Sajna fanya urudi popote ulipo bt hakuna MTz asiye kukubali one love my brother
issa machashi sana tyu
issa machashi am ready for support kama atafanyakazi
Umeona eh hadi nataka kulia jamani uko wapi sajna
Tupo hapa 2024 reminds me of a lady called Ivette who broke my heart back then 😅😅 but we still here nice memories 💕
2021 bado naikubalii.. One of my favorite Bongo flavor song of all time..😍
GONGA 👍 Kama unaikubali pia😜😍
Huu wimbo aliutoa mwaka gani?
2008
Kama bado unaakiza 2023 gonga hapa👉👉
noma san❤
Toka 2010 Hadi 2022 nakumbuka mbali sana for first day kusikia wimbo huu alinitumia mpnz wangu aliniacha kjjn akaenda town ndo akanitumia akadai kwenye Iveta yeye anasema Devotha.oooh hayupo duniani mylove 😭😭😭😭😭 alipoteza maisha 2017.
😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Pole mwaya ❤❤❤
Sajna kipaj kikubwa sanaa sichok kurd kumskiza hii 2024 npo hap🎉🎉🎉
I'm I the only one who is still listening to this song in 2019
Nice song 2024 Nakungojea mpenz wangu❤
Who listen it in 2018
Here we are bro.... 2010 and still listening
young boys mm hapa
ningojee der
this still reminds me of my lovely wife who is 30000miles away.
me apa naupenda hatarii
Kama tupo pamoja 2019 twende sawa kwa like
2019 kama tupo pamoja gonga like hapo
Uko pow sajnaaa
Great song..
Mwamba yupo wapi
I just remembered this...used to play in my 1st phone...n am here in 2021 to listen to one of my favourite songs 🔥🔥🔥🔥
Umepotea bro still listening 2019. Good work bro
Nani bado anauenzi mziki wa sajna 2019
Gonga like twende sawa
Yan hii ngoma ad 2050 ntaickiliz tu kam bdo ntakwep.
Ras D the king umeonaaaa ndugu
Omba uhai bro
Nakumbuka nilivyo enda kigoma mjini kwa mara ya kwanza nilikuwa nikisikia kumbi mbali mbali za video wakiipiga hii nyimbo Dah, nakumbuka mbali sana mpaka leo 2024 ❤
I love how TZ Music Industry nurtures young talent!
Nilienjoy enzi hizi za iveta
Uko wapi sai bro love
Still listening iveta 2023 I really love the song it never gets old..much love🎉
Wimbo huu hautawai choka kama uko hapa decemba 2019 nipe like jamani
Uko sawa broo
Vp sajna umetususa
Iveta 2024 team bongo🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Nan anaskiza leo
2018....
Mimi apa 8/10/2018
Naima neema mimiiii
Naupenda sana huu
☝☝☝☝☝☝👆👆👆
Kwa upande wangu inaguxa life langu nixameh wangu wa buxh ahad yangu bado dsm nazxaka kidogo nkpatacho unakiona cfch na2ma kuwa mxublfu km iveta i lov u my.......
Tanzanians sing very well....
Are you still alive bro
Iveta kijijin ningojee mam huku mjin nakutafutia mama😘nice
Wapi sajna jaman
2021 walio hapa tujuane old song reminding us our memory✌
Dedication for my x 2012 enz hizo popote ulipo I miss u SALIM
one of the most beutiful beats I have ever heard..
Me too 😊
Waaah sasa hi music my people kuna sound system pale south nyanza migori 🇰🇪inajiita Omega them days waaah system inagonga hadi unahepa home
One of the best songs of all time from bongo.lovely
Jamniii izi ndz bongo hit
Waĺe wa 2020 tujuane teremsha like zako
Sajina unajua kinoma, ulikuwa hukosei kabsaa mziki daaaah saivi kimya sana daaaah
naimc sanna hii ngoma tangu nipo kidato form 5 had Leo,pasaka2019 BG up sana bror........
When music was music,,,sajna come back am ready to give you any kind of support you will need
Likes za kijana yetu 2024 zikuje
Huu wimbo bado mnausikiliza watanzania wenzangu👈👌👌👌
Best bongo song of all time..!,never old....
The guy selling clothes in the video tops my list of best bongo movies actor..
"Subira ya kheri...ningojee dia..... mistari shakiki..".Hongera kaka !
Sajna
Sam wa Ukweli
Ali kiba
20%
Top c
This pple really rocks me,those day in high schools 2011-2012 waaah nazitamani hizo enzi
Tulikuwa sawa mwamba me enzi hizo nilikuwa tabora
@@erastojackson4252 Tabora sehemu gani?
@@nkurunzizaalainclaude6003 milambo high school mzee baba
ST. 7 hapo 2010 dah aisee ikahiti sana 2011 hapa tupo form 1 yusuph mąkamba jeshini dah bonge la nyimbo. Wanangu wa kitambo hicho yusuph mąkamba gonga like nyiiiingii 🔥
Huu Wimbo Nitausikiliza Hadi kesho Yangu Ili Mradi Mungu Anipe Uzima
Namkubali Sana
Alafu mnaita diamond eti king of music?akina huyu apa ndio making bana bado inahit 2022 much love 🇰🇪
Ahsante Sajna, leo 08.12.2019 lakini ngoma tamu kama imeachiwa leo..naenjoy nyimbo nzuri naenjoy video nzuri. Be blessed.
Dah 2010 bulombora kigoma jkt asee ninoomaa🤝🔥🔥
Dis song iveta iz special 4 myn love halma gud xo much
Wangapi tunacheki music mzuri kama huu mwaka 2019
dah sjui mnapoteleaga wapi 🤦🤦 saiv n utumbo tu tunaimbiwa,, mpo wap jmn ??😔 dah nyimbo tam had rahaaa 2020 still watching 💕❤️😘
Sajna uko wp mzee kimya xan
Dah 2019 utamu uleule sajna kazi ilikaa penyewe
wapi Love 2021..Huu wimbo umenisaidia sana kwa relationship yangu
Oa ivetha ulimkuta kijijini kweli au wanawalipita nae 2022 na feel good na hii goma
2019 weka like yako hapa plz twende sawa.
Watching now,,am from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 current in Beirut city,, Lebanon
I never knew what this song was called untill i heard it in a matatu. Really love it and great massage. My baby is away in Europe bah am waiting on him. Thnx for this lovey song. Lots of love from kenya
Hi Juli, just wanted to know if he is still in Europe
Hahaha..... He never left Europe
Lol 😆 thanks for the update
Sajna fanya urudi popote ulipo bt hakuna MTz asiye kukubali one love my bro
The first time I hear this song was at Shamsa Babutale 😭 I remembered well her son Tale jr used to love this song 😢 Rest will my dear friend Shamsa I miss u so much dear,I am crying everyday 😭
Pole sana felt your pain, May her soul rest in peace
@@noahb2009 Asante dear 😥
Pole Linda❤
😓😓😓
Iveta kumbusha mbaali sn!!10.10.2020 ningojee dear ooooh
never get tired of this jam am i love ata 2025 sajna itanikumbusha tu home as long bado ni mbali na nyumbani
Old is gold, manzee goma za kitambo haziishi ladha
OMG this is not only a definition of awesome but also excellence.. keep up SAJNA
Iveta🔥🔥🔥walishanieleza mapenzi maji ya moto.....2021
Hi still love this song 2023..wapi likes za Ivete
Arie haribu muziki pumbavu zake
zamani laha bwana
Who is still watching with me?miss someone😔+974 watching from Qatar 2018💣
fatuma Ababy +255081131
fatuma Ababy am waching from canada Ontario
Fatuma hivi bado upo Qatar?
Confirm requst yangu Facebook☺jina la si ni mtoto mpole from Qatar
Watching from North America, Minneapolis
December 2020 to January 2021 more 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️ 🤦🏿♂️ nakumbuka mengi jamani
Ladha ya bongo fleva ,message and melody 👌😍😍😍
This nice song which is in Kiswahili language is by Sagna, an artist from Tanzania. He is singing sending message to his fiancee called Iveta. He tells Iveta to be patient as he is busy working in the city so that he would go back to the village to mary her. Sagna says there are a lot of challenges in the city but he is optimistic that he will make it and they will finally join in a holly matrimony. He went as far as telling Iveta how he is missing her, relatives and even village food and fruits
Martin Chambai sawa bro,,kila mtu apa anaelewa kiswahili
Jessie Mangala Nyimbo zetu zinapendwa na zinasikilizwa mpaka nje ya mipaka yetu. Tunawasidia kuwafahamisha wasiojua Kiswahili ili waelewe na wazidi kuzifuatilia nyimbo zetu
Martin Chambai kabisa bro
Ulitisha sana na hii comment kaka
Ni miaka mingapi 😂😂 wueeh likes za Sajna zishuke
2019 na bado naifeel 🔥🔥🔥
Nan anaskiza 2019,likes plz
A hit is a hit no matter the tym ..Iliweza bro #Sajna 🔥
hizi sasa ndiyo mbongo na bado tunazisikiliza 2019
Dah! sijawah kuikinai hii nyimbo#2019👌👌
It's 2022 and am still here
I miss this kind of music
Niko pia
Nainjoi sana na iveta burudani xna nyimbo isiyochuja masikioni mwngu
2020 bado Niko nayo twende sawa wa 2020
Daaahh ngoma iko PW inanikumbusha mbali,bdo inaleta hisia km imeimbwa imetoka Jana tu
Them days when music had its real flavor ❤
I tell you ❤❤❤
Sajna upo wapi wimbo wako umenikumbusha mbali sana nikiwa kiutafutaji yaani basi tu
2018 naisikiliza
Shija Fabiano or mtana shati boy Tabora tuko wengi
wapi sana🤷
mm bado
Nalud kijijin nikugonjeee mama noma sana
Ngomaa kalii 2021 tujuanee rûd sjna 🔥🔥
this song reminds me to my village in mbeya,, I will be there soon guys,,,.