@@MchaFakih-ij8khhao ni vipofu ndani ya nyoyo zao hawajui kinachoendea na uwongo wa CCM umo ndani ya mishipa yao ya damu wamepofolewa nyoyo zao kabla macho basi hawa fahamu lolote watu kama hao wapuuze
Ndugu yangu amka barabara madara hospitali hivi unaona ndiyo maendeleo au ni majukumu ya gavment kutengeza,usiwe mjinga maendeleo kwa zanzibar ni viwanda ambavyo ndugu zako watanganyika hawataki viwepo na vilokuwepo vyote vimekufa ,unafurahiya barabara hata baskeli huna ukiamka hujuwi nini unakula pumbavu mkubwa wewe
Swadakta mwinyi akimaliza miaka yake kashiba hela za ufisadi kashamiliki ardhi ya fumba na bweleo kma viwanja vyake binafsi anataka kujenga hotels zke
He! Kila atakaeiongoza Zanzibar kwa dhulma hakika hatoiletea maendeleo ya wananchi walio wengi kuridhika.
Nyie hamuna sera hebu semeni mukipata uongozi kutafanya nini Zanzibar tupeni ahadi sio ufezuli to
😂😂 naona siasa sio fani yko ww fuata upepo huu sio mda wa sera(kampeni)
Wapumbavu wakubwa nyie nyote vipofu wa maendeleo
😂😂 acha makasiriko ukweli unauma ufisadi mwingi acheni
Hatuoni ufisadi tunaona maendeleo Dr mwinyi mitano tena Dr mwinyi oyeee
😂😂 ccm oyeeéeeeee maendeleo y kupanda kodi na bei za bidhaa na umeme safiiiiiii mapinduzi daima njaa maisha magumu daima mbele
Unamsifia samia kwa sababu hatuwezi kuchukua nafasi huko
Sio kw ubaya
Kwa mwinyi awezi kufanya ufisadi ila wewe una uroho wamadaraka na atukupi ng. Oo
Tupe usibitisho wa maneno yako
Jmn hebu tuwe wakweli ivi jaribu siku Moja kuyasema mazr tu yaliyofanyika. Na hii leo co Jana km matatizo yalitokea ila kuondoa kwa haraka mtihani.
Hakuna et ayo madhuri
@@MchaFakih-ij8khhao ni vipofu ndani ya nyoyo zao hawajui kinachoendea na uwongo wa CCM umo ndani ya mishipa yao ya damu wamepofolewa nyoyo zao kabla macho basi hawa fahamu lolote watu kama hao wapuuze
Mpumbavu mkubwa iyo njia mkandarasi keshalipwa muda wwte kazi inaanza huna jipya tafuta mke uoe na mahari tutakupa...sio unasema pumba tu hapo😂
Ndugu yangu amka barabara madara hospitali hivi unaona ndiyo maendeleo au ni majukumu ya gavment kutengeza,usiwe mjinga maendeleo kwa zanzibar ni viwanda ambavyo ndugu zako watanganyika hawataki viwepo na vilokuwepo vyote vimekufa ,unafurahiya barabara hata baskeli huna ukiamka hujuwi nini unakula pumbavu mkubwa wewe
@@abdallahmohd3777😂😂mfahamishe akamate kalamu vizr hyo wa darasa la 7 siasa sio fani yake