Mtoto wangu John nakufunika kwa DAMU YA AZIZI YESU KRISTO nakataa roho za giza kwa mtoto wangu John naachilia neema,rehema na baraka katika maisha yako na katika masomo yako John kwa damu ya YESU kristo 🙏 Amen
Alelluyah nashukuru Mungu kw kunipa huzao wa tumbo langu.Mungu mbariki haweze kkujuwa zaidi Baba.namkabidi katika mkono wko Baba mpariki na humwinuwe kialimu
Naombea uzao wangu naombea mzaliwa wakwanza akakue kwa maarifa na hekima kimo kwa kumpendeza Mungu na wanadamu namwepusha na madhabau ya giza akawe mwongozo kiongozi mzuri katika familia akawe kichwa akasome navunja maagano ya ukoo giza katika jina la yesu Amen 🙏
Amen mtumishi wa mungu ubarikiwe sana naomba mungu ukawapee watoto wangu hekima na maarifa wakawe watoto wakulitii neno la mungu na naomba uregesho wa kila kitu kilichotekwa na shetani Kwa Jina la yesu Kristo uwatangulie hata Kwa masomo yao 🙏🙏🙏
Mungu anamuombe mwana ngu merryangelah akafanikiwe na uumpe ujasiri mwanangu wa kwanza huyu...ili afanikiwe kile kilichompeleka huko...ukamlinde kiroho na kimwili ..mungu mtetee Binti mpe kibali Cha kutimiza haja ya moyo wake
Nawaombea watoto wangu brown roho za kurithi mbaya zimuachie awe msikivu na azingatie masomo akawe kichwa na cyo mkia ,pia freeman umlinde katika masomo yake na mitihani yote na atakapokuwa safarini tembea nae baba asafiri salama na afike salama ameeni
No weapon formed against my children shall ever prosper in Jesus name and every tongue That rises against them shall be condemned may my children be blessing to my life in Jesus name 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Amen man of God pray for my kids mtoto wangu msichana shrt yake ya shule ilipotea but the time alikua anaenda afterm akaipata kwa bed ya headgirl wao 😅

Amen 🙏🙏 mungu naomba watoto wangu nyumbani kwetu walipo mungu walinde wafunike na damu ya yesu
Amen Amen, barikiwa sana mtumishi, naombea watoto wangu mungu awape hekima na marifa kwa jina la yesu amen
Naombea uzao wangu naombea mzaliwa wakwanza akakue kwa maarifa na hekima kimo kwa kumpendeza Mungu na wanadamu namwepusha na madhabau ya giza akawe mwongozo kiongozi mzuri katika familia akawe kichwa akasome navunja maagano ya ukoo giza katika jina la yesu Amen 🙏
Amen baba Ee mungu wangu naomba wabarki watoto wangu 🙏🙏🙏🙏
Amen mtumishi wa mungu ubarikiwe sana naomba mungu ukawapee watoto wangu hekima na maarifa wakawe watoto wakulitii neno la mungu na naomba uregesho wa kila kitu kilichotekwa na shetani Kwa Jina la yesu Kristo uwatangulie hata Kwa masomo yao 🙏🙏🙏
Nafunika watoto wangu kwa damu ya Yesu kristo. Na wabariki kila baraka zote kutoka MUNGU. Amen.
Mungu nilindie watoto wangu wafunike na damu ya mwanao Yesu kristo 🙏🙏🙏 uwe mwanga wa minguu Yao yesu wangu
Amen ubarikiwe mtumishi wa MUNGU
Alelluyah bwana kumbuka watoto wetu walinde Yesu wasaidie kukujua wewe Mungu wa wabinguni utupiganie Vita vikali sana via mwili na roho
Nakataa kupokea watoto wasiosikia kutii katika jina la yesu Amen 🙏
Mungu anamuombe mwana ngu merryangelah akafanikiwe na uumpe ujasiri mwanangu wa kwanza huyu...ili afanikiwe kile kilichompeleka huko...ukamlinde kiroho na kimwili ..mungu mtetee Binti mpe kibali Cha kutimiza haja ya moyo wake
Ubarikiwe Sana mtumisi wa Mungu
Amen
Amen mtumishi wa mungu
Amen mutumishi nani naomba maombi kwa ajili ya watoto wangu
Mungu naomba watoto wangu walindwe na wewe Mungu
Amen mtumishi WA mungu kwa kazi unayoifanya God bless you in Jesus name 🙏🙏 pokea shuklani
Amen. Sande kwa maombi mungu akubariki sana baba yangu Ann lngabi sande sana Amen🙏🏻🙏🏻🇰🇪
Amen mutumishi nikweli baba niombee ajili ya Watoto wangu
Amen. Barikiwa mtumishi wa Mungu
Amen mchungaji nani naomba maombi kwa watoto wangu.
Amen mtumishi
Asante mutumishi kwa maombiyako inanisaidia sana
Amen Amen tetea watoto wangu
Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu pia naomba uniombe watoto wangu asa kwenye masomo yao jamani naomba mungu awapiganie
Nawaombea watoto wangu brown roho za kurithi mbaya zimuachie awe msikivu na azingatie masomo akawe kichwa na cyo mkia ,pia freeman umlinde katika masomo yake na mitihani yote na atakapokuwa safarini tembea nae baba asafiri salama na afike salama ameeni
Wattoto wakuwe baraka kwangu amen
Amen God bless you in Jesus name 🙏🙏
Ameni mtumishi
Balikiwa sana mtumishi wa mung🙏🙏
Kupitia maombi haya naomba Mungu akafunike watoto wangu Kwa damu yake, pia uwasaidie kukujua wewe zaidi kuliko kitu chochote
Naombea watoto wangu wakawe watoto wenye akili na hekima. Nawatakasa watoto wangu kwa jina la yesu.
Amen 🙏🙏
Mungu Mbarki mtoto wang na macho ya husda
Mungu awafungue wanangu kuanzia wa kwanza mpaka wa mwisho
Amen,yes, yes, Amen
Amen Amen
Amen
Ameen
Amen 🙏 🙏
No weapon formed against my children shall ever prosper in Jesus name and every tongue That rises against them shall be condemned may my children be blessing to my life in Jesus name 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Ameeeeen
Amen and amen and amen 🙏
Ameen Paster
Amen man of God pray for my kids mtoto wangu msichana shrt yake ya shule ilipotea but the time alikua anaenda afterm akaipata kwa bed ya headgirl wao 😅
Amen
Nawaombea watoto wangu wakawe kichw na walasio mkia wakawe lango
Nawaombea watoto wote Duniani
Usiku wa Leo naombea watoto wangu
Watt wangu nawaweka mikononi mwako,uwafanye vichwa Co mikoa
Nafunika watoto wangu kw damu ya yesu
Askante sana
naomba unisaidie kwa maombi magonjwa ya alsasas na shina ya tumbo kwa mshiana wa kwansa anaitaji sajary ya tumbo mm preser
imeen niukweli paste r
Amen amen 🙏🙏🙏
Amen 🙏
Amen
Amen amen
amen
Amen