Dada umeimba kimipasho sn, uchaguzi wa maneno umekufelisha. Ambwene amekuficha, maneno yake na utulivu wake ndio unakupa viewers yan kipande chake kinasikilizwa zaidi. Wimbo ni mzuri ila ushauri wng fanya nae remix ila ww badilisha maneno yako. God bless you
Jama huyu ambwene kila nkimsikiliza najkuta kuna kitu kinanijaa moyon hata yan ananifrahsha sana nakupenda sana broo daah nabarkiwa sana japo cjaokoka bado naamin nakarbia
Giza,mawe,nyavu,kamwe haitanasa miguu yangu......wimbo mtamu Mungu awabariki.
...Giza..mawe..nyavu..misumali..kamwe..haita..NASA..miguuni..mwangu...💃💃💃💃💃💃💃
Dada angu huu wimbo sikusikiliza vzr jaman umeimba vzr Dada ang
Mungu azidi kuwabariki sana .Wimbo mzr sana kama kuna mtu anazikiliza gonga like hapa
We dada mwenye wimbo njoo ututie hata moyo kwenye comment bando linaisha kila cku kila saa kuckilza huu wimbo alfu hujibu hata comment zetu
asante
Pale anapoanzia Ambwene sasa👌👌👌....alafu instrumentals pia ni A1 level.
Yaani kwakweli nimeipenda hii nyimbo ni fayaaaaaa yaani Ambwene umefanya huu wimbo ukanoga Sana dada Mungu akubariki Zaid
Ambwene meneno yako yamenigusa baba
kweli kumbe unajua
Wimbo mzuri sana ila tunaomba mjilekebishe mavazi mkiwa kama watumishi wa Mungu mbarikiwe
Mavazi yamefanyaje mbona yko vizuri au wivu unakusumbua
Ambwene wewe ni mwalimu hata Mungu ajua hilo
Wale waliotumwa wanidhuru watalia Kama wazaz wa sesira#nipo nurun#
Hawataimba kamwe amekoma wala hawatapelekeana tena zawadi Ahsante Mungu
Ameeen
Alienifanya niitafute hii nyimbo Ni Ambwene ubarikiwe baba Abwene
Hata mm
Baad ya kuickiliz hii nyimb nkawa ciijui jina nmeangaik san kuitafut,😄😄😄
Heshim kwenu watumish wa MUNGU 🙏
Amen ubarikiwe
Aaaaah nimependa hapo alipoanzia ambwene Ni fire Hongera Sana Madam Wangu wimbo mzuri mno
asante sana
mimi pia
Mimi happy alipoanzia Ambwene,nausikili kwa ajili ya happy.
Ni kweli Ambwene level nyingine, Lakini na huyu dada kaimba ki unique unique vile ikawa poa.
Pamebamba sana hapo kwa Ambwene, GIZA, MAWE, NYAVU, MISUMARI kamwe haitanasa miguu yangu
Kwa kweli hii nyimbo bila Ambwene haikuwa sio kabisa mdada mashauzi yamezidi kha! Unatufanya tunatenda dhambi!
Is there anyone feel #Ambwene_mwasongwe as anointed man!? 🕊🕊
Uko vizuri dada mungu akutie nguvu uzidi kutoa nyimbo nzuri Tena na tena
Wow wale waliotumwa wanidhuru watalia kama wale wazazi wasisera kwa jina la YESU
amen
Ubarikiwe Dada kazi nzuri mnooo
Huu wmbo Kwa sasa nauelewa sana Mungu awabarik waimbaji
Baba yangu ananilinda, nawapa pole wanaoniwinda o lord!!?🙏🙏🙏
Naaaaaam Barikiwa sana mapambano yako sii Buree kwakwelii Tajii ni Kubwa 🔥🔥🔥🔥🔥
Ameeeen
Kama una dhambi mungu akusamehee Kwa kazi unayoifanya ameen ambwene
Dada umeimba kimipasho sn, uchaguzi wa maneno umekufelisha. Ambwene amekuficha, maneno yake na utulivu wake ndio unakupa viewers yan kipande chake kinasikilizwa zaidi. Wimbo ni mzuri ila ushauri wng fanya nae remix ila ww badilisha maneno yako. God bless you
Hata sio maneno, Apunge marangi kwa USO please, kabla niskize maneno au mausia.. At first I thought sio Gospel
wimbo ulionifanya ni-subscribe kabisa kwa mengine mazuri
Ambwene i love u man of Jesus
Hongera ila kakumeza Ambwen
ndio maana ya kumshirikisaha
nilijua amenizidi
Barikiwa mtumishi Mungu akuinue
Kazi nzuri hongeren ambwene huyu jamaa anamafuta sana
Yaan mungu aendeelee kukuweka ambwene jaman nabarikiwa sana Na nyimbo zako
Mama fatha umetisha mnoo dada yangu songs mbele mungu hatakuacha 👏👏👌👌
Kazi nzuri sana ubarikiwe
ameeeen
Ambwene mwasongwe mwamlenga Mungu tutunzieee
Jama huyu ambwene kila nkimsikiliza najkuta kuna kitu kinanijaa moyon hata yan ananifrahsha sana nakupenda sana broo daah nabarkiwa sana japo cjaokoka bado naamin nakarbia
Kwakweli nyimbo zake zina upako sana
Fanya uokoke kaka
Unasubiri nini frank mbogo
@@asteriankwera9317 mdogo mdogo c unajua hadi moyo uamue
Na shukuru Mungu kwa huduma hii amboyo ame wapa ninyi.nime barikiwa sana na nyimbo,ambwene mubarikiwe na bwana
Hongera sana Mtumishi
Asante
Ambwene ni noma Sana mungu aendelee kukutunza Sana Kaka yetu mpendwa🙏🙏🙏🙏
Yaaan nataman ningekuwa mm nabarikiwa saana kweli nipo nurun
Kazi nzuri mungu azidi kukuinua dada
Amen
Wooooow, Dada Entu ninakupendag bureee, Mungu azidi kukupa mafunuo nyimbo iko vzr mnoooo everrr.
asante sana
Dada angu umeimba vzr kwakwel sikuusikiliza wimbo vzr umeimba vzr my dear
Wazepya Mau Na-Musangi,songela
Wakusingda nee
Ezee
Wow giza, mawe, nyavu, misumari kamwe haita nasa miguu yangu
Ubarikiwe sana na hongera pia
Ameeen
Mbarikiwe mnoo watumishi wa Mungu
amen
nyimboo nzurii sana MUNGU akubarik kazi hiii
ameeen
Nimebarikiwa mno, Kazi za mikono yenu ipate kibali zaidi mbele za Mungu aliye Mbinguni
Barikiwa
Nimebarikiwa sana..... nimemkumbuka rafiki angu marehemu alinitumia kipande alichoimba Ambwene
Niko nuruni bila shaka lolote. Ndani yangu kuna Neno, nuru ya kila jambo na maisha yangu. Sifa kwake Bwana Mungu.
Ubarikiwe saana sana dear kwa ujumbe mzuri sauti nzuri.. hakika hata mimi nalindwa bure
Barikiwa sana mtumishi kazi ni nzuri
Ubarikiwe sana wimbo mzuri
amen
Entujael Msangi na Ambwene, asanteni kwa huu wimbo. Nafsi yangu inazidi kuimarika. Naucheza huu wimbo on replay. Mzidi kubarikiwa
Ameeen
Hongera sana mtumishi....
Nyimbo nzuri mama wa mie
Bwana azidi kkubariki katika kazi yko
Umeimba vzr sana dada nimejikuta nimekupenda burreee
Kazi nzuri best Mungu akuinue
Kawimbo kananibariki hadi raha,hasa kipande alichoimba abwene,
Ambwene , hongera Sana, umeubeba Sana huo wimbo , hyo dada bdo aendelee. Kufanya mazoezi atakuwa fresh
Kiramtuu kaimba jamani kasoro nikorasi aiko poa kabisa
Amen..nabarikiwa sana..dada na kaka mbarikiwe sana nawapenda..Mungu awainue
Nimehisi kubarikiwa, Ambwene umeimba maneno mazito sana, Bwana awatunze watumishi Wa Mungu
Wimbo umenoga kuanzia hapo kwa Ambwene,nakushauri kaka kabla hujashirikishwa kagua Kwanza mazingira ya mwimbajia anaetaka kukushirikisha maana looo
Nyimbo nzuri kweli kweli ubarikiwe Sana mtumishi wa Mungu
King 🤴 of gospel (ambwene)we nomaaaa
Narudiaaaaaa kutazama uwiiiii
ubarikiwe
Ambwene sauti yako haijawahi niacha katika huzuni,,,, barikiwa sana
Kwel kabisa
Barikiwa kwa ujumbe mzuri
Nimependa sana umenitia moyo kwa wale wanaoniandama
Hongera sana dada na kaka ambwene MUNGU awape afya njema ila alipo imba ambwene kaimba kipisi kidogo mno
My favorite artist (ambwene)
Amen amen barikiwa sana nyimbo nzuri sana
amen
My very humbled bro Abwene,the wisdom in Ur words🔥🔥good one tujael🙏
Thank you
Watakuja njia moja, watatawanyika kwa Njia saba. Wale waliotumwa kunidhuru watalia
Amen,,, Kwa kweli Mungu akubarikie Obadia
Nabarikiwa sana na kazi yako Ambwene Mungu akupe miaka mingi uzidi kutufundisha barikiwa sana
Ambwene fireeeeeeee
Kazi nzuri Sana nahisi Sasa nimebarikiwa
Ameeen
Ambwene uuuuuuh your blessed bro hiyo decoration uliyoweka Mungu akutunze Umenogesha wimbo mnoo ujumbe mzuri na umeeleweka...am speechless
Amen wimbomzuri umenibariki sana
Kazi nzuri Akika Mungu Azidi kukutumia 😍
Ubarikiwe sana mtumishi kwa ujumbe mzuri Mungu akubariki.
Wimbo Mzuri sana
BARIKIWA SANA MTUMISHI WA MUNGU nabarikiwa xana na huduma yako
Ambwene anaimba kwa unyenyekevu kwa Mungu,
Ubarikiwe
Wimbo unabariki Sana. Mungu awabariki sana watumishi wa Mungu.
Kaz nzur nzur Sana inabariki
Barikiwa sana na jehova
🎉🎉🎉🎉🎉 ambwene kutisha sana wimbo huu
Abwene mungu akubariki kuinua waimbaj wapya kam huyo dada wimbo umeunogesh sana abwene ubarikiwe mpk ushangae
This is a rich song musically and message.. bless you.
Kazi nzuri dada inabariki 😍😍
Amen
Oooh amina
Hongera sana aisee Nimeona umekuja kuteka soko ile balaaa ni wimbo mzuri sana nimebarikiwa zaidi.
asante sana
Weeee msangi Hatariiiii sana hiiiii kitu ni tibaaaaa
Daaaaa sina neno la kusema kwenu ninyi ndugu kazi imenibariki wacha niseme MUNGU NI MWEMA
Kazi nzuri sana
ENTUJAEL it a lovely song may God bless you. No one is powerful than Jesus.
amen
Jmn huu wimbo umenibariki sana.kaka ambwene mungu akutunze
Kawimbo kazuri jamani nimekapenda mno jamani!!!? Kanafariji kwelikweli!!!?
Asante sana
Niko NURUNI ee bwana wangu