God bless you one soul. You have given him a good send off. Kuweni na UJASIRI mtashinda. Kutoka Kenya 🇰🇪 rambi rambi zetu zetu pokeeni. Rest well Mr Maghufuli
Yaani wale wote napenda songs zao ni WA TZ. Then you guys are doing so well in this industry. Keep it up my brothers and sisters. God comfort you. It is well
Napata faraja kuwaona watanzania tumefikia mahali tunaweza kufarijiana kwa hali ya namna hii. Mungu aendelee kuwaangazia wasanii wa aina zote Tanzania. RIP Magufuli, kaa slama kwenye nyumba yako ya milele.
This song has ministered to my Heart so Greatly...Bado tuna Ujasiri mioyoni. We didn't expect you to Leave us this Early Our Father Magufuli 😭😭😭 Rest in Eternal Peace!
Kwakweli hili ni bonge la nyimbo na itaishi kwa muda mrefu sababu hamkuface jina lolote mmeimba kwa hisia kubwa hongereni watumishi wa mungu kwa kazi nzuri mungu aendeelee kuwaongoza maana yeye ndo mpaji wa vitu vyote apa duniani iwe kipaji sauti maarifa najua tunapitia kipindi kigumu watanzania ila mungu yeye ndo mpangaji wa haya yote yatupasa kumshukuru kwa yote 🙏🇹🇿❤️🌹🤝🤛
Sauti za simanzi,ujasiri bado upo moyoni MUNGU anaishi,dunia Kama Maya,nyakati zote humkuta mwanadamu,kila Jambo Ni jema,hata hili litapita tumaini letu lipo kwa MUNGU,mapenzi yako yatimizwe,umeweka kifo ili uogopwe kwa kuheshimiwa, katika yote wewe Ni kila kitu, msiba mzito baba MUNGU utufariji,Kuna mahali umetutoa,uzuri kila Jambo linawakati wake,na yote Yapo mikononi mwa BWANA,sifa utukufu apewe BWANA,japo umeondoka.NAFSI BADO YAULIZA ROHO NINI KIMETOKEA,Adui Ni moali lakini MUNGU Ni daktari agangae mioyo na mbele tutaendelea na tutazidi kutembea ,na atatuinua tutapanda mlima huu kwani tumaini halijafa tumefunzwa kumtegemea MUNGU AS TANZANI STILL WE HAVE CONFIDENCE IN OUR HEART UTUKUFU KWA BWANA
Super talented people, vocals zote ni hatari and i know we were mourning, lakini man we are so very lucky mlichagua kuimba injili. We are so lucky Tz has you all. His ways are not our ways, he's kind and loving, he's merciful and forgiving, he is
Poleni sana jameni watanzania. This song has touched my heart . i cant help but cry. eeeeh the pain is too much. May the almighty God strengthen all Tanzanians.
Japhet Zabron Walter Chilambo Ambwene Mwasongwe Miriam Mbepera Miriam Lukindo Beda Andrew Paul Clement Rehema Simfukwe Jessica Honore Iren Robert Godfrey Steven Mathias Walichupa Gwamaka Mwakalinga Dr.Ipyana Kibonge Wa Yesu Madam Flora Neema Mudosa Upendo Nkone Producer wa audio hii ni Fredric Masanja Mwl Vacal - Zamoyoni Alex Studio (S & M ) Sound Music Video Director Yotham Lyobha Mungu awabariki sana
Hakika tuna ujasiri mioyoni mwetu! Najua Bwana hawezi vumilia machozi na vilio vyetu hivi vizito, kuna jambo kubwa juu ya nchi yetu Bwana anakwenda kuliachilia, kwani tulianza na Mungu na bado tunaendelea na Mungu. Mungu ibariki Tanzania 🙏🙏
Bado tuna ujasiri miyoni my deepest condolences to you my brother and sister late Dr John was Indeed a great leader .big love from Kenya stay focused and believe in God he his eble. I wish we can get leader here in Kenya with a soul who can care for anomal citizen .
Hakika ametuachia ujasiri mkubwa mioyoni mwetu mungu ni mwema kabisa kwani kila analopaga kwake ni jema pia ktk majonzi haya bado mungu atabaki kuwa mungu
How many of us have we been playing this song the whole of this month? This song got all it takes to be the a dedication song of a decade,You are unarguably the real stars ⭐️
WOOW, THIS IS THE SONG I WANTED TO HEAR, it is my number one of all the songs za wakati huu mzito. Hakika. Hongereni waimbaji, composers, producers, na hasa walioleta idea ya TANZANIA ONE SOUL. That is it. PAPA MSEGU
Asante kwa wimbo wa faraja na tumaini jipya ktk kipindi kigumu tunachopitia,hakika bado tunaujasiri moyoni katika Yesu atutiaye nguvu,hata hili litapita,looking for new beginning,R.I.P JPM
Waimbaji gosple ni wabinafsi sana na wanafki💯, the whole song of (9min) mmeona ni haramu kuu-dedicate wimbo kwa Rais wenu hata kwa kusema tu #byemagufuri hamna!!! Sasa si mngeuimba siku kabla au baada ya kifo chake TU?? ndio nyie wana israel mliopotea kwa upepo kabisa! #ripmagufuli🙏🙏
Ajali ya ghorofa Kariakoo imenikumbusha huu wimbo. Mungu atasudaie watanzania
Acha tu ndugu yangu
Godfrey Steven,ambwene mwasongwe halooo mmeniweza
God bless you one soul.
You have given him a good send off.
Kuweni na UJASIRI mtashinda.
Kutoka Kenya 🇰🇪 rambi rambi zetu zetu pokeeni.
Rest well Mr Maghufuli
Leo nimejua waimbaji wengi kutoka taifa zuri. Baraka za Mungu ndani ya maisha yenu. Nawaombea, nawapenda kaka na dada zanguni.
Upendo Nkone
Wewe mama ni mwombolezaji by nature
Wewe ni mmoja wa Wamama wanaozungumziwa kwenye Yeremia 9:17
Mungu akubariki kwa karama hii
This song has almost all the best Christian song leads in Tanzania
Ambwene Mwasongwe...powerful lyrics!
Yaani wale wote napenda songs zao ni WA TZ. Then you guys are doing so well in this industry.
Keep it up my brothers and sisters.
God comfort you. It is well
Mmejua kutunga na kuimba asanteni sana kwa wimbo huu wa kutupa nguvu sisi Watanzania
TZ tunavipaji sana
Na bado tuna ujasili moyoni
RIP magufuli wetu we still love u🇹🇿❤️
Bado tunakumbuka rais wetu mpendwa, hakika hatujawahi kuzowea, haswa Kwa haya yanayo endelea Tanzania yetuu
Upendo nkone unamanisha hata unapoimba
Jessica Honore Killed the last chorus, wish could lead for next 8 minutes. Jessica Is superb 👌
Napata faraja kuwaona watanzania tumefikia mahali tunaweza kufarijiana kwa hali ya namna hii. Mungu aendelee kuwaangazia wasanii wa aina zote Tanzania. RIP Magufuli, kaa slama kwenye nyumba yako ya milele.
Living song,nikiusikiliza namkumbuka Magufuli rais wetu 😭😭😭
Wimbo mzur Sana 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩😭😭😭🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Rehema semfukwe wewe ni hatar kwa kuimba.
Mema yote uliyotutendea utayakuta kwa Mungu 😭😭 RIP Magufuli
This song has ministered to my Heart so Greatly...Bado tuna Ujasiri mioyoni.
We didn't expect you to Leave us this Early Our Father Magufuli 😭😭😭
Rest in Eternal Peace!
Japhet Zabron killed it, super talent, amazing voice
Dr ipyana
Yohana 5:8-9 Bado tunaujasiri mioyoni mwetu, tutainuka tena.
I Love this song. Mungu awabariki wasani wote mliomba huu wimbo. RIP Magufuli
This is an emotional song,jaman wasanii wamejitahidi kutunga in a short period,polen sana watanzania.condolonces kutoka 🇺🇸
Moyo unasema loo kuna nn kimetokea something is not Nomorl ............. Nafarijikaa
Upendo Nkone umenifanya nilie😭😭 Nakupenda Mama
Kwakweli hili ni bonge la nyimbo na itaishi kwa muda mrefu sababu hamkuface jina lolote mmeimba kwa hisia kubwa hongereni watumishi wa mungu kwa kazi nzuri mungu aendeelee kuwaongoza maana yeye ndo mpaji wa vitu vyote apa duniani iwe kipaji sauti maarifa najua tunapitia kipindi kigumu watanzania ila mungu yeye ndo mpangaji wa haya yote yatupasa kumshukuru kwa yote 🙏🇹🇿❤️🌹🤝🤛
May God bless this people..... the best song in this year. Ujumbe uliotolewa humu ni mzito sana
Mama wwwsaas/r e
Dr. Ipyana, Gwamaka, Walter, Paul clement, Japhet Zabron, Ambwene, Rehema Simfukwe, Godrey steve, Upendo nkone, Kibonge wa Yesu, Beda andrew🔥🔥🔥🔥🔥😭😭😭
Praying for you 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 may the Lord comfort you Tanzania...watu wazuri sana.
Upendo Nkone made me cry 😭😭
Sana! Mama kaguswa Sana dah
anaimba kwa hisia sana 😭
Tutabaki nayo milele fly over,stend za kisasa, madaraja ,shule!
Sauti za simanzi,ujasiri bado upo moyoni MUNGU anaishi,dunia Kama Maya,nyakati zote humkuta mwanadamu,kila Jambo Ni jema,hata hili litapita tumaini letu lipo kwa MUNGU,mapenzi yako yatimizwe,umeweka kifo ili uogopwe kwa kuheshimiwa, katika yote wewe Ni kila kitu, msiba mzito baba MUNGU utufariji,Kuna mahali umetutoa,uzuri kila Jambo linawakati wake,na yote Yapo mikononi mwa BWANA,sifa utukufu apewe BWANA,japo umeondoka.NAFSI BADO YAULIZA ROHO NINI KIMETOKEA,Adui Ni moali lakini MUNGU Ni daktari agangae mioyo na mbele tutaendelea na tutazidi kutembea ,na atatuinua tutapanda mlima huu kwani tumaini halijafa tumefunzwa kumtegemea MUNGU
AS TANZANI STILL WE HAVE CONFIDENCE IN OUR HEART
UTUKUFU KWA BWANA
Super talented people, vocals zote ni hatari and i know we were mourning, lakini man we are so very lucky mlichagua kuimba injili. We are so lucky Tz has you all.
His ways are not our ways, he's kind and loving, he's merciful and forgiving, he is
Mbarikiwe saana kwa wimbo wa kututia moyo Mungu awalipe
Poleni sana jameni watanzania. This song has touched my heart . i cant help but cry. eeeeh the pain is too much. May the almighty God strengthen all Tanzanians.
i am from europe but i was with nigerian 9 years married but i like tansanija i think i have in my other live a connection with tansanija
The man is gone, from the dust; we all came, to the dust; we all shall return. Glory be to the Lord in the highest.
Amen
Japhet Zabron
Walter Chilambo
Ambwene Mwasongwe
Miriam Mbepera
Miriam Lukindo
Beda Andrew
Paul Clement
Rehema Simfukwe
Jessica Honore
Iren Robert
Godfrey Steven
Mathias Walichupa
Gwamaka Mwakalinga
Dr.Ipyana
Kibonge Wa Yesu
Madam Flora
Neema Mudosa
Upendo Nkone
Producer wa audio hii ni Fredric Masanja
Mwl Vacal - Zamoyoni Alex
Studio (S & M ) Sound Music
Video Director Yotham Lyobha
Mungu awabariki sana
Woow.this is really encouraging. I love the song. God bless Tanzania.Tunawapenda🇰🇪
Nalia nanyi Tanzania...Lakini la Muhimu ni Mungu atukuzwe maana anajua zaidi.
Tunashukuru na kulisifu jina lake Yesu
Bado tunaujasiri miyoni mwetu utabaki kuwa mungu
Hakika tuna ujasiri mioyoni mwetu! Najua Bwana hawezi vumilia machozi na vilio vyetu hivi vizito, kuna jambo kubwa juu ya nchi yetu Bwana anakwenda kuliachilia, kwani tulianza na Mungu na bado tunaendelea na Mungu. Mungu ibariki Tanzania 🙏🙏
Amina ......sio tunavokaa kukiri mabaya tu.....Mungu aipokee Sala hii🙏
@@atupakisyerighton2629 Amen
@@atupakisyerighton2629 Amen
Exactly, huu uchungu na maumivu ambayo Mungu ameyaachia kwa Tanzania sio wa bure aisee kuna mema makubwa yanakuja.
Poleni sana ndugu zangu wa Tanzania 🇹🇿
Bado tuna ujasiri miyoni my deepest condolences to you my brother and sister late Dr John was Indeed a great leader .big love from Kenya stay focused and believe in God he his eble.
I wish we can get leader here in Kenya with a soul who can care for anomal citizen .
Namshukuru Mungu kwa waimbaji Hawa.. tuna msiba mzto lakin tuna ujasiri usio kifani...
Hakika ametuachia ujasiri mkubwa mioyoni mwetu mungu ni mwema kabisa kwani kila analopaga kwake ni jema pia ktk majonzi haya bado mungu atabaki kuwa mungu
Magufuli jamani! Magufuli.
bado tuna ujasiri mioyoni
Asante Mungu kwa yote 🙏😭
Jina lako baba liimidiwe.
How many of us have we been playing this song the whole of this month?
This song got all it takes to be the a dedication song of a decade,You are unarguably the real stars ⭐️
Hakika Bwana Tunaomba utuinue
Hatukutegemea our lovely president JP Magufuli could leave us soon like this. Rest In Power BABA😭😭🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
😭😭😭 this is so deep .. let us put on a belt my dearest friends. God will not forsake us
Japhet,Godfrey nyie n noma
Mungu asimame na Tanzania. For the sake of this country oh Lord do not rest.
Amen
Amen
Nyimbo imenifanya nipate faraja Mungu awabariki sana waimbaji wetu
Such a comforting song mbarikiwe waimbaji wote
I love this song soo much...🙏🙏
Wewe ni Mungu utabaki kuwa Mungu, hata kama hukujibu tulivyotaka,...........
Hakika bado tuna ujasiri moyoni, katika kipindi hiki kigumu Mungu atusaidie tusimtende dhambi. 😭😭😭😭, God bless Tanzania🇹🇿, God bless Africa🙏
Nyimbo nzr snaa
Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿In our Prayers....Mungu awafariji🤗🤗
tekyumnaimamzuri
Mungu bado utabaki kuwa Mungu
WOOW, THIS IS THE SONG I WANTED TO HEAR, it is my number one of all the songs za wakati huu mzito. Hakika. Hongereni waimbaji, composers, producers, na hasa walioleta idea ya TANZANIA ONE SOUL. That is it. PAPA MSEGU
Amina
Ahsante sana brother..... Haya maneno yamenipa nguvu
Japhet Zabron killed it
twatazamia mema makubwa zaidi ya haya magumu tulonayo now
Asanteni watunzi kwa wimbo huu mzuri wa kutufariji ktk kipindi hiki kigumu cha majonzi cha kumpoteza mpendwa wetu Magufuli
Wimbo mzuri sana nimeupenda sana unaujumbe mzito
Sijamuona Shusho na Joel Lwaga,ama tayari nivile walitoa song yao na wasafi so no need watokee mara2?
Dunia kama Maua Leo twachanua kesho twanyauka😭😭😭😭😭
Bado Mungu wetu Unaishiiiii😭😭😭😭😭😭🤦, Yesu tupe Ujasiriiii💪,
Months after and I still feel the gap...keep resting in peace 🕊️🕊️...I love this song from kenya
This is a powerful and encouraging song. Mungu habadiliki..Daima milele tutakuwa washindi
Amen! Tumaini letu ni kwake shujaa wa msalaba....RIP our president
Aiseee this song Tunaujasiri..dah ..Mungu awabariki sana watu wa Mungu..Wimbo mzuri mno .Japo machozi yananitoka ila Naamini Mungu atatuvusha.
Be blessed for the good song never happen before
Asante kwa wimbo wa faraja na tumaini jipya ktk kipindi kigumu tunachopitia,hakika bado tunaujasiri moyoni katika Yesu atutiaye nguvu,hata hili litapita,looking for new beginning,R.I.P JPM
Amen wimbo huu utaishi milele
no no no no no no no no 😢😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭
siwezi kuvumilia hii kitu inanitoa mchozi thanks sana Ministers kwa faraja hii
Upendo jaman flora I love you ambwene nimwfurahi zabron Mungu awe nawe
Zabron kweli ni singer ..melody kali hadi kwenye nyimbo ya
Msiba
Wa mpanho😢😢
Mungu awatieni nguvu ndugu zangu 😭😭😭😭😭😭
Hongereni sanaa, Mungu awabariki kwa kazi yenye matumaini mapya..na Ujasiri juu ya safari yetu
Bado TUNA UJASIRI in Jesus mighty name 🙏
Mi Wala hata siamini nahic Kama ndoto bado😭😭😭😭😭😭😭
Amen bado tunaujasiri mioyo mwetu 🙏
Wimbo unatia faraja mno Mungu atupe nguvu watanzania bado tuna ujasiri moyoni 🙏🏽
Kati ya nyimbo zote huu ni the best unatia moyo
Sana best song kwakwel very comforting
God bless Tanzania.
Yooooo mupaka naliya dada neema Mudosa barikiwa
Katika huu wimbo my fav parts ni za Paul,Beda na Mathias.. you Guys did this song justice,bless you
Waimbaji gosple ni wabinafsi sana na wanafki💯, the whole song of (9min) mmeona ni haramu kuu-dedicate wimbo kwa Rais wenu hata kwa kusema tu #byemagufuri hamna!!! Sasa si mngeuimba siku kabla au baada ya kifo chake TU?? ndio nyie wana israel mliopotea kwa upepo kabisa!
#ripmagufuli🙏🙏
Aisee kazi ya Mungu hain makos, dunia haiwez kumuach mtu salm. Wote tunapita,tuendlee kua na hofu ya Mungu.
Aisee godfrey Steven sauti yako dah.?.mpaka mtu unasisimka...Mungu awape ujasiri
Such a comforting song! Pole TANZANIA.
God bless you Tanzanian Gospel singers. You are great!
Best song, bado Mungu yuko nasi
Tuna ujasiri
4:41 - 5:08 Asante Mama Umeimba naSisi watanzania Nilikungoja ufike ulipo imba 😔😔💪
Pole pole Tanzania
Mungu ni mwems