JAPHET ZABRON - FT AMBWENE MWASONGWE -MANENO MAZURI (SMS SKIZA 5430280 TO 811)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024
  • Genre : Gospel
    Artists: Japhet Zabron
    Song : Maneno Mazuri
    Songwriters :Japhet & Ambwene
    Audio : Modern Music (Nsajigwa Mordecai)
    Studio : Creative Sound (CS)
    Video : Dr Crix
    Company : New Era Films
    Cont.
    Po Box 56
    Kahama,Shinyanga
    Tanzania.
    +255755778378
    +255711744091
    Email:zabron56@gmail.com

ความคิดเห็น • 829

  • @mohoniajoseph9067
    @mohoniajoseph9067 4 ปีที่แล้ว +254

    Nilichovutiwa nacho zaidi ni kuwa, kumbe Msabato na Mlokole wanaweza kuungana na wakaimba wimbo mmoja na ukapendeza hakika. Huu ndiyo Ukristo, tupinge ubaguzi wa Madhehebu ndani ya Ukristo. Hongereni sana kwa wazo hili.

    • @mariamidrisa1359
      @mariamidrisa1359 4 ปีที่แล้ว +32

      Imeandikwa sio dini itakayokupeleka mbinguni bali kuishi maisha yampendezayo Mungu . Zaidi ni Neema yake Bwana.

    • @trophainamagogwa7966
      @trophainamagogwa7966 4 ปีที่แล้ว +9

      Tunapishana tu siku ya kuabudu na sikukuu za kidini hapo ndipo pana kelele ,maana msabato kashika sheria na mlokole kashika wokovu na siku ya kufufuka Yesu

    • @trophainamagogwa7966
      @trophainamagogwa7966 4 ปีที่แล้ว +4

      @@mariamidrisa1359 hakika na si siku ya kuabudu

    • @lizzynkifu4179
      @lizzynkifu4179 4 ปีที่แล้ว +4

      Wote tu watu wa Mungu

    • @christophermshuza5648
      @christophermshuza5648 4 ปีที่แล้ว +15

      "Msalaba" hauna mipaka,ukijua thamani ya msalaba utofauti wa madhehebu si kitu,yesu aliwahi kuulizwa,"mwalimu kuna watu wanatoa pepo kwa jinalako,yesu akajibu,"wasio kinyume nanyi mpo pamoja nao.

  • @StephenKasolo
    @StephenKasolo 24 วันที่ผ่านมา +1

    Wimbo mzuri na unaonitia moyo wakati nipo chini, ata Kama mimi ni mtumishi kwa njia ya uimbaji huu wimbo ni sehemu ya maisha yangu. 👏🙏

  • @neymafrancis6219
    @neymafrancis6219 3 ปีที่แล้ว +12

    Huu wimbo utaishi milele na mikele kama unakubaliana nami piga like za kutosha

  • @hadijasalimu5481
    @hadijasalimu5481 4 ปีที่แล้ว +16

    🗣Nimerudia huu wimbo Mara 50 nahuu ndio wimbo wangu bora wa mwaka🔥🔥🔥🔥

  • @sisdell1779
    @sisdell1779 3 ปีที่แล้ว +18

    Who is still here watching, gonga like tuwanenee watu maneno mazuri🥰🥰🥰

  • @namsifucalleb6239
    @namsifucalleb6239 4 ปีที่แล้ว +6

    Hivi mziki huwa una nini jaman??, kuna saa unahamia mahali kwa muda kama vile sio duniani, unahisi aman hata kama uko katikati ya magumu, kuna saa unasikia kasauti kazuri kanashusha mizigo mizito moyoni aaaaah na hiyi melod na bit composer imegusa sana moyo wangu. Mbarikiwe sana na Mungu. Nyimbo zenye ujumbe wa hv ni chache sana siku hizi. Mungu azidi kuwatumia. Glory to God.

  • @monicacosmas6313
    @monicacosmas6313 4 ปีที่แล้ว +39

    Hakika wimbo unaujumbe mzuri mbarikiwe mwende mbali ila msipotee yani nimeona wimbo umekuwa mfupi cjui Kwa sababu ni mzuri sana

  • @officialsuzzy9540
    @officialsuzzy9540 4 ปีที่แล้ว +18

    Muliyahesabu makosa ya mtu, ehh Mungu nipenguvu 😭😭😭😭 kiukweli wimbo huu unazungumuziya Maisha yangu yaaani hakuna tofauti😭😭, Mungu uwe nani siku zote😢😢. Asante kwa wimbo muzuri wimbo wakutiya nguvu. Mungu wangu akuinuwe zaidi🥰🥰🥰🥰

  • @heavenlyprincess1122
    @heavenlyprincess1122 4 ปีที่แล้ว +18

    Wimbo huu una upako zaidi,MUNGU awatumie zaidi na zaidi kwa ajili ya utukufu wake🇰🇪🇰🇪

  • @YadadDeus
    @YadadDeus 2 หลายเดือนก่อน

    Nyimbo zako zina i jenga imani yangu sana mno. Mbarikiwe na Bwana. Nawapenda sana toka Goma, DRC 🇨🇩 ❤

  • @neymafrancis6219
    @neymafrancis6219 3 ปีที่แล้ว +6

    Huu wimbo nausikiliza kwa siku hata mara 10 the best song ever👋🤲💘💘

  • @danielmlanda2546
    @danielmlanda2546 4 ปีที่แล้ว +46

    Wimbo bora wa mwaka🕺🏽 pongezi kwako bro Japheti Zabron

    • @evelenev2877
      @evelenev2877 4 ปีที่แล้ว +1

      Nice song yanibariki kweli nipo Gulf

  • @StephenKasolo
    @StephenKasolo 4 ปีที่แล้ว +75

    Mungu akubariki kwa wimbo huu umenitia moyo sana.

  • @rejinakobali3464
    @rejinakobali3464 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu awaongoze mfike mbali ila msipotee, ukristo hunia mamoja

  • @elishangoma8235
    @elishangoma8235 3 ปีที่แล้ว

    Duh nyimbo zako ni tiba kubwa sana ya moyo, ulicho nifurahisha kwenye hii nyimbo ni kumsirikisha fundi

  • @ngassajuliusmussachallya9034
    @ngassajuliusmussachallya9034 4 ปีที่แล้ว +14

    From Khon kaen- Thailand nimemtafakari sana Mungu kupitia ujumbe wa wimbo huu kwa machozi. Yesu awabariki sana

  • @hadijamlokakuzenza2146
    @hadijamlokakuzenza2146 2 ปีที่แล้ว +3

    Nabarikiwa nikiwa Oman Asante wapendwa kwa ujumbe

  • @manjaugodwin7834
    @manjaugodwin7834 3 ปีที่แล้ว

    Ooh wimbo umenifariji sanasana Mungu azidi.kuwainua watumishi.mpoo.juuuuu

  • @squedertz1735
    @squedertz1735 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu...akubariki...saaana..mtumishi...japhet

  • @justusmyelloofficial2773
    @justusmyelloofficial2773 3 ปีที่แล้ว +2

    Ndivyo walivyo watu. Asante kwa wimbo wenye maadili

  • @NyotaBalolane.
    @NyotaBalolane. 3 ปีที่แล้ว

    Wanadamu hatubadirikake kweli mahubiri kila siku tuna yasikiya kupitiya nyimbo zawaimbaji na tuna soma kila siku bibliya takatifu ila roho zetu mungu. Uwe na tusamehe kila dakika eeee mungu tupendane tungali hai

  • @AudaxBenedictor-vh6nq
    @AudaxBenedictor-vh6nq ปีที่แล้ว

    Wimbo nzr jamn nikiusikiliza nafarijika ndani ya moyo wangu Mungu awabariki watumishi watu bwana

  • @emmanuelsasraku6871
    @emmanuelsasraku6871 3 ปีที่แล้ว

    Mwambie mtu mazuri yake wakati angali hai ili aweze kusikia mwenyewe. Ujumbe mzuri sana. Mungu akubariki JZ

  • @elizabethpaschal8218
    @elizabethpaschal8218 4 ปีที่แล้ว +8

    Nimebarikiwa sana kwa wimbo, nimebarikjwa zaidi kuwaona role models wangu wakiwa wamefanya collaboration...Hakika najifunza

  • @AlphaDaimon
    @AlphaDaimon 25 วันที่ผ่านมา

    Sauti za dhahabu,,
    Huu ndio Ukristo, tukatae kutengwa na madhehebu

  • @kleinmnibi132
    @kleinmnibi132 4 ปีที่แล้ว +21

    Muwanenee watu wenu maneno mazuri.... woow... 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @gracemlavi6648
      @gracemlavi6648 4 ปีที่แล้ว

      Wao wimbo mzuri sana barikiweni aaimbaji na mnaosikia wore sifa kwa Mungu Mkuu!!!

    • @OpportunityTvchambuaonline
      @OpportunityTvchambuaonline 4 ปีที่แล้ว

      Kaka kazi hii imetulia hata wewe umeona 😁

    • @gasparlubaga5866
      @gasparlubaga5866 3 ปีที่แล้ว

      Wimbo mzuri sana huu

  • @alisiaalisitides6362
    @alisiaalisitides6362 3 ปีที่แล้ว

    Ni wimbo wa kuponya magonjwa ya aina mblimbli pia ni wimbo unatupa rehema na baraka zinamiminika kwetu Mungu awakumbke kwny kz yenu mharikiwe kutoka kibaha

  • @joshualutinginyaofficial
    @joshualutinginyaofficial 7 หลายเดือนก่อน

    Wimbo mzuri sana yaani bhebhe nsobha wemba mmmmh Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu.Mungu azidi kukutumia vyema kwa kazi yake.AMEN

  • @japhetmalambi4525
    @japhetmalambi4525 4 ปีที่แล้ว +6

    Nimependa wimbo nimebarikiwa MUNGU awe nanyi hadi ukamirifu wa dahari

  • @johnmwalingo5218
    @johnmwalingo5218 3 ปีที่แล้ว

    Daaa! umejua kukonga Moyo ndg Hongera kwa wimbo mzuri

  • @jeannettekeza6434
    @jeannettekeza6434 3 ปีที่แล้ว +3

    Ambwene wewe napendaga kukufwata wakati nikiwa na njaa kwa sababu nikisha shiba nyimbo zako sizielewagi ! Wewe ni jembe mungu akuzidishie Asante 100 💯

  • @seleman-MW
    @seleman-MW 4 ปีที่แล้ว +17

    I show love💕 from rwanda 🇷🇼

  • @neemabarnaba6041
    @neemabarnaba6041 2 ปีที่แล้ว

    Nimebarikiwa sana huu wimbo nimejifunza mambo mengi mbarikiwe na kazi yenu mungu azid kuwainua

  • @PamelaMillimoOfficial
    @PamelaMillimoOfficial 2 หลายเดือนก่อน

    Mtumishi Umebarikiwa.. natumai Siku moja nitatumikia Mungu pamoja nawewe..

  • @petermpamba7254
    @petermpamba7254 4 ปีที่แล้ว +1

    Asante Jehova kwa muunganiko huu haleluyaaa

  • @allenmanzi9869
    @allenmanzi9869 3 ปีที่แล้ว

    Hahaha Sauti zao ooooh. Hawa jamaa ni Nguli haswa. Zabron salute.

  • @sheboenock7677
    @sheboenock7677 4 ปีที่แล้ว +2

    Natamani huo mwimbo ungekuwa hata na Dak 10hivi mana unagusa moyo balaa ,,, dah! Sifa za mtu nzuri hunenwa wakati akifa "" Hongera Japhet Zabron

  • @davidonlinetv1989
    @davidonlinetv1989 4 ปีที่แล้ว +14

    Kaka hongera sana, huu nikiusikiliza najifunza kitu, na ni wimbo wa kufikirika, Big up bro

  • @kaminyogemwachelwa9884
    @kaminyogemwachelwa9884 3 ปีที่แล้ว

    Duuu kweli tunapata vya jikoni hatutakuwa na cha kujitetea MUNGU ATUSAIDIE
    MBARIKIWE SANA

  • @annakinyami2998
    @annakinyami2998 3 ปีที่แล้ว

    Mungu atutunze pamoja tuendelee kuwafurahia ila mmefanya Jambo zur kushilikiana watu tunaamini wasabato hawapendi kuchangamana mungu awatunze

  • @ceciliamndeme7441
    @ceciliamndeme7441 4 ปีที่แล้ว +2

    Kwakweli huu wimbo ni mzuri una ujumbe mzuri Sana Mungu awabariki Sana watumishi na endeleeni na unyenyekevu huohuo hakika Roho mtakatifu atukuzwe Sana

  • @RizikiMpallateongoogle
    @RizikiMpallateongoogle 4 ปีที่แล้ว +37

    A good song indeed, what an emotional melody. Pass my Congratulations to the beat composer.

  • @ikupamwaisoba4118
    @ikupamwaisoba4118 4 ปีที่แล้ว +7

    Niseme namshukuru Mungu kwa ajili ya vijana wawili hawa wanyenyekevu wimbo huu na uwe manukato mbele za Bwana

  • @fidelbarutwanayo4068
    @fidelbarutwanayo4068 3 ปีที่แล้ว

    Ndio binadamu sio wazuri wanapenda kusema mabaya tu mzuri yake sio tija kwao lakini mungu anawaona atalipa.

  • @magrethngalawa8292
    @magrethngalawa8292 2 ปีที่แล้ว

    Eee mungu nisamehe dhambi zangu, huu wimbo umenibark sana.

  • @jesuschristtvworldwideM1000
    @jesuschristtvworldwideM1000 3 ปีที่แล้ว +2

    Wimbo huu hakika Utaishi siku zote hakika hakika Bwana Ametenda Nanyi Wana WA Mungu Mkuu Mwenye Enzi Zote Kwa Damu Ya Masii Kristo Mfalme Yesu WA Uweza Na Uzima

  • @angelamarlow510
    @angelamarlow510 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu anawapenda nanyi mzidi kudumu katika Imani yake Wapendwa mlitubariki mnoo mtaa wa kibamba 💖

  • @pendobenedict3768
    @pendobenedict3768 4 ปีที่แล้ว +1

    Yaan kabla sijamaliza nimeipenda

  • @lydiahwanjiku9746
    @lydiahwanjiku9746 ปีที่แล้ว

    nimeipenda song hii niliskia mwanzo kwa radio 47 waah kusema kweli asubui hiyo ya kipindi cha nuru na mama eva ya saa kumi subui ...had to download the song

  • @esterkyando1765
    @esterkyando1765 3 ปีที่แล้ว +1

    Asantee Kwa wimbo mzuri mmenibarisana Japheth na Ambwene Asantee kwakutukuza ki lmani maana nimejikuta nimekuwa jasiri zaidi Kwa ajili ya Mungu

  • @DoctorEvarist
    @DoctorEvarist ปีที่แล้ว +1

    Wimbo wangu pendwa
    Mubarikiwe watumishi wa Mungu🙏🙏

  • @lucysamson4720
    @lucysamson4720 4 ปีที่แล้ว +1

    Nabarikiwa sana kaka Japheth & ambwene Mungu azidi kuwainua ili ulimwengu ubarikiwe

  • @georgeoduor9233
    @georgeoduor9233 15 วันที่ผ่านมา +1

    The place that you Zabron use to shoot your songs looks gorgeous keep it up atleast you are showing that our God is not poor mugu awabariki na awape hekima

    • @georgeoduor9233
      @georgeoduor9233 15 วันที่ผ่านมา +1

      Mungu awabariki na awape nguvu na hekima

  • @joycejumashaban3737
    @joycejumashaban3737 2 ปีที่แล้ว

    Kaka mungu akubariki sana aendelekukupati ufunuo mengi akuangazie daima barikiwa sana zabron

  • @robertlusweti2423
    @robertlusweti2423 4 ปีที่แล้ว +2

    Hongera kwa hekima ya kuungana na kuimba wimbo huu unao ujumbe wa Yesu Christo mkombozi wa watu wa tabaka mbalimbali. Mungu akusidizie hekima.

  • @joiceelimu7818
    @joiceelimu7818 4 ปีที่แล้ว

    Ulivyopokea tu kk Ambwene had machoz yamenitoka hongera kwakipaj kizur unasaut yakumtoa nyuki pangon

  • @joshuakiimay4194
    @joshuakiimay4194 4 ปีที่แล้ว +2

    I wish one day niwe kama hawa kaka zangu.....my prayer for god

  • @chrismcks
    @chrismcks 4 ปีที่แล้ว +2

    Wimbo huu ni mubaraka saba kwangu, siwezichoka kuisikiliza,,,,Mungu akujalie kwenye utunzi huu

  • @anethbuhung7544
    @anethbuhung7544 4 ปีที่แล้ว +2

    Mbalikiwe saana jaman wimbo mzuri sana Mungu awatie nguvu mzidi kuitangaza injiri

  • @goodluckleonard1581
    @goodluckleonard1581 3 ปีที่แล้ว +1

    Oh Ambwene unatuliza watu wazimaa

  • @evelineasifiwe9141
    @evelineasifiwe9141 2 ปีที่แล้ว

    Mungu akutiye nguvu, umenijenga moyo kwakweli.

  • @zuberimtemba2104
    @zuberimtemba2104 4 ปีที่แล้ว +1

    Mbarikiwe na Mungu wa tumishi wa Bwana

  • @veronicaeliya8291
    @veronicaeliya8291 4 ปีที่แล้ว +3

    mkubali kushughulishwa na mambo manyonge,,,,wimbo mzur sana mbalikiwe sana

  • @johnkabambala6995
    @johnkabambala6995 3 ปีที่แล้ว +1

    Huu wimbo unastahili kubeba tuzo.
    MUNGU akukumbuke kama unavyo mtumikia kwa njia ya nyimbo "ZENYE MATUMAINI" hongera sana.

  • @wemapanga2108
    @wemapanga2108 4 ปีที่แล้ว +8

    That lyrics i met my self in heaven already playing with Angels, dancing wow so amazing, unfortunate I realise am still on Earth having stay home challenge, gooosh even this will be over in Jesus name, thnx you made my day.

  • @judithrobert3143
    @judithrobert3143 2 ปีที่แล้ว

    Wimbo mzuri san mungu awa tie nguvu Zaid👏👏

  • @anithambanga3183
    @anithambanga3183 3 ปีที่แล้ว

    Kweli wanenee watu wote mema na siyo mabaya,barikiwa watumishi

  • @dorothymuriuki7432
    @dorothymuriuki7432 4 ปีที่แล้ว +4

    Am blessed watching from Dubai.may the Almighty bless you all.🙏

  • @matondokija1950
    @matondokija1950 4 ปีที่แล้ว

    Hakika tuwa neneee watu ma neno mazuri na bwana akubariki msikilizaji utafakari ujumbe huu kwa making nawe utabarikiwa

  • @johntunzo8178
    @johntunzo8178 4 ปีที่แล้ว +2

    Jamani kristo azidi kuwabariki watumishi. Wa krsto asanteni sana

  • @doreendee6273
    @doreendee6273 3 ปีที่แล้ว +3

    Amen bro from kenya. A good song and encouraging. Like your songs.

  • @agnethadeus3394
    @agnethadeus3394 4 ปีที่แล้ว +1

    Jamani huu wimbo naupenda sana nausikiliza kila mda mbalikiwe waimbaji 🙏🙏 mwambieni mtu wema wake bado yuko hai sio msubili akishakufa

  • @MWilly-xu1ki
    @MWilly-xu1ki 4 ปีที่แล้ว +1

    I don’t know kama ni Mimi tu nimesikiya maneno mazito yaliyomo katika huu wimbo. God bless you guys Ambwene you are fantastic

  • @sophiakolimba9217
    @sophiakolimba9217 3 ปีที่แล้ว

    Nakuona Ambwene Mwasongwe ajae ubarikiwe mno

  • @tyttusmurimi6555
    @tyttusmurimi6555 4 ปีที่แล้ว +9

    There is nothing uplifting like lyrics that Attest the true word of God.

  • @masterdaveprojections
    @masterdaveprojections 4 ปีที่แล้ว +2

    MUNGU akubariki sana mdogo Wangu, tunamshangilia MUNGU kwa kukutumia kwa namna Hii ya pekee. Barikiwa sana

  • @zainamathias6761
    @zainamathias6761 3 ปีที่แล้ว

    Hakika haki ya mnyonge ipo mikonon mwako Mungu

  • @mathiaskato2067
    @mathiaskato2067 4 ปีที่แล้ว +1

    Brother Zabron, unajua kunibariki sana. Nakumbuka toka enzi zile umekuja Nyarugusu until today, naona Mungu anatenda makubwa sana. Natamani kupata mawasiliano yako tufanye jambo kaka.

  • @gauedwin1960
    @gauedwin1960 4 ปีที่แล้ว +8

    God bless u big bro Abwene,,Japheth u are just amazing🙏🙏

  • @sarahnjeri6863
    @sarahnjeri6863 4 ปีที่แล้ว +26

    NICE song's blessing listening to you guys here in Kenya

  • @sylviesaidi5740
    @sylviesaidi5740 2 ปีที่แล้ว +1

    Nimejenga san nao wimbo Jana mungu akufanyiye wepesi kk unaye.tunga.nyimboizo

  • @allanshukran2113
    @allanshukran2113 4 ปีที่แล้ว

    Waimbaji bora,wimbo bora barikiwen.

  • @amosmalaba5
    @amosmalaba5 4 ปีที่แล้ว +2

    Hakika ni vyema kusema mazuri ya mtu angali hai kuliko kusubiri aondoke duniani.

  • @jonathansenkondo8093
    @jonathansenkondo8093 4 ปีที่แล้ว +4

    Best song ever, nimeusikiliza zaidi ya mara 10, Mungu azidi kuwainua zaidi. Nimeona ukongwe wa Ambwene katika ubora wake, Big up Brother👍

  • @shaniachanceline2751
    @shaniachanceline2751 หลายเดือนก่อน

    This song has true messages. God bless you all ❤🥰😍🥰😍🥰😍🥰😍🥰🥰🥰🥰🥰🥰😍😍😍😍😍😍

  • @Yvonne-vr1qv
    @Yvonne-vr1qv 4 ปีที่แล้ว +11

    Can't get enough of this song it's real blesses me🙏

  • @alicenalulwe4384
    @alicenalulwe4384 4 ปีที่แล้ว +3

    Ablesd man of God.thax japheth.from kenya

  • @aminafrancismwandu5789
    @aminafrancismwandu5789 4 หลายเดือนก่อน

    Wimmbo wangu pendwa sana 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤

  • @fgutierrezg82
    @fgutierrezg82 หลายเดือนก่อน

    Pole kwa wapedwa wetu😂😂😂😂😂rest in peace lovery brother marco

  • @wakatiponda8557
    @wakatiponda8557 4 ปีที่แล้ว +1

    Barikiwa sana mtumishi wamungu utukumbusha

  • @elishastephano453
    @elishastephano453 4 ปีที่แล้ว +1

    Nabarikiwa Sana na wimbo huu

  • @meleniafrancis9462
    @meleniafrancis9462 4 ปีที่แล้ว +2

    Wimbo mzuri sana mn wamekutana mafundi wa kuimba nyimbo za injili

  • @mako331
    @mako331 4 ปีที่แล้ว +8

    Wimbo wenye viwango huu, well done brethren

  • @theophilusorina4324
    @theophilusorina4324 ปีที่แล้ว +1

    Mob love from Kenya my friend Japheth keep going keep going Japheth...it's a nice song nice set up...good voices...you are blessed dear.....

  • @husseinally1638
    @husseinally1638 3 ปีที่แล้ว

    Onyesha upendo kwa kila mtu.
    Maana MUNGU ni upendo.
    Hallelujah?

  • @rebecadaniel3440
    @rebecadaniel3440 4 ปีที่แล้ว +1

    Wimbo mzuri sana naupenda nikiusikiliza unanifariji sana mbalikiwe kwa umoja wenu

  • @sigstancemichael631
    @sigstancemichael631 4 ปีที่แล้ว +5

    Bros Japhet & Ambwene more grace to you. You are such a blessing

  • @jemaidamdengede9697
    @jemaidamdengede9697 2 ปีที่แล้ว

    Wimbo unatia moyo Sana mungu awabariki sauti zuri

  • @audacenibaruta.
    @audacenibaruta. 3 ปีที่แล้ว

    Ongeleni sana wa Sda wenzangu.Sauti litokalo Burundi.

  • @buligojoyce8069
    @buligojoyce8069 2 ปีที่แล้ว

    Barikiwa sana Kila ninapousikiliza huu wimbo