Sheikh Muhammad bachu Allah akulinde na Mahasidi na Adui na hila zao zote. Sisi tunakupenda kwa ajili ya Allah na tanakufaatilia hatua kwa hatua kutoka Msumbiji Nampula Ahmad. Huyo shia amepagawa kwa Kweli baada ya kushindwa hoja wallahi. Allah amuongoze
Wallahy alivyoshundwa kujibu hoja huyu Shafii ilikua nasubiri sana Toka jana umjibu..tuelimike zaidi wallhy..Sheikh bachu wanufaisha watu wengi wengi sanaaaa wallhy..twakupa moyo uzidi kuendelea na Daawa yake Allah
Baarakallahu feek Sheikh, waambie kama mimi niseme,Namuona Sheikh Nassor Bachu wakati nakuangalia....huenda Namuona kwa sifa yake flani ulionayo vile vile,hio hakanushi kua wewe sio Sheikh Muhammad Bachu wala haitokua vengine kwa muono wangu bali dhati itabaki katika Hali Yake tusioijua kwamba Allah Yuko nà ndoto zetu hazitoathiri Dhati yakee wala haitoswadikisha ndoto zetu.
Maashaa Allah sheikh Muhammad umewapiga na kitu kizito kichwan. Ivi mm sielei awa wanachagua maisha ya dunia kuliko maisha ya milele Allah awaongoze na atujaalie sisi wengine atuthibitishe ktk dini hii 🤲🏽
Sheikh mahammad tunakufuatilia sana na tunaelimika sana Allah akubarik ila na huku pemba tunatamani sana ipatikane siku uje kwenye miskiti yetu ya kisunna.Allah alijaalie hilo lifanikiwe
Shukran sana sheikh wetu Muhammad bacho Asili ya nguruwe zote za Kishia ni kukimbia mada Nguruwe Iyo ya Kishia isikutowa kwenye mada Kama ilivyo anza Iyo nguruwe la Kishia kukutowa kwenye mada
Shekhe Muhammad Bachu kwa hivi ulivyo watu wa bidaa watakufanyia hila za kila aina, lkn usirudi nyuma, kumbuka hapa karibu tu mihna alio pitia baba yako ambae mimi nili ijua Sunnah na bidaa, Tawheed na shirki, kupitia yeye, Allaah Mtukufu amrahamu Shekhe wetu Mlezi wetu, washirikina na wazushia walimfanyia madhila yakila aina. Nahii ndio njia ya Maulamaa , Mashaayikh na Madu'aat wa Haqqi wote. Kwaio Shekh Muhammad simama imara hivyohivyo na Allaah Alie juu ya Arshi yake atakutia nguvu, na wale wanao kutamania mabaya, udhalilifu, Allaah atakulinda na shari zao, nao siku ktk masiku watakuja kutambua nafasi yako na hadhi yako. Subra inahitajika.
SHEIKH MOHAMMAD TWAELWA SANA HIYO POINT UNACHOKIONA USINGZINI SIO REAL. NA ASIETAKA KUELEWA ALLAH KAWAPIGA KUFULI NDANI YA NYOYO ZAO @mohmmad nassor bachu
BarakaAllah sheikh kwa kutuelimisha. Walaakin maoni yangu usingebishana na hawa kuwapa umaarufu. Kuna watu wengi imani dhaifu watapata kuchanganikiwa kisha ndio watoroke dini kabisa. Wale haja yao ni kutatanisha dini. Tumekuelewa sheikh mwache usiendeleze. Kuna mengi yenye kutufunza haya maneno yana shubuhaat na watu wanapotea. Heri umebainisha na uiachie hapo. Allah atuongoze sote.
Waislamu tuacheni ushabiki. Tukae chini tusome. Wanawazuoni wamefanya kazi kubwa sana katika kuisimamisha, dini. Nasi tufanye Jitihada katika kusoma ili tuweke athari katika dini hiii. Allah atuoneshe njia ya haki ili tuweze kuifata. Amiin 🤲
Mnapoelekea nikwenye Shirk,wacheni kujadili mambo ambayo hayana uwasilia maneno tu yawatu.ALLAH hana mfano wowote Qur an imeshasema.Hayo maelezo yenu eti nikakijana kana nywele zimejikunja keupe!!,Subhanallah. ALLAH HANA MFANO,wacheni ujinga nahayo mavitabu yenu.
Shekhe Bachu amekuja kueka sawa ili watu wasije hifadh kua Ibn Taymia ni Kafir kama huyu Shia anavyodai na Lau asingali yasema haya Wala hili lisingalitokea. Kwasabab Maghurafi wengi wangekuja kuamin kua Ibn Taymia ni Kafir. Kwaio hapa amekuja kusawazisha maneno mabaya ya Shafii tu.
Mashia chaka muliloingia mara hiii silo.....kazi munayo na hiiii mijadala ninavyomjua huyu mjipange vizuri..... Salama yenu mukubali hamna majibu na asende kwenye mjadala mwengine....dini yenu haina mashiko ni ujanja wa maneno ya kuunganisha tu.... Sasa mukipata mtu km huyu anaeweza kusoma vitabu akavifahamu na akafahamisha umma kwa ufasaha mashia mushavuka nguo.....Allah awaongoze Amin Dini ye
Mashallah mashallah mashallah akhy Muhammad bacho sisi masalaf kwahili tunakuunga mkono Asante sana kwa kumtetea shekhe ibin taimiyyah juu ya huyu kijana aliye mkufurisha Akhy nendanae kimasuwali Zaid bila shaka ameshaanza kushindwa hoja na hii ndio hakii (الحق يعلو ولا يعلى عليه)
Lakini nyinyi masalafiya jadidah mko na matatizo sheikh Muhammad bacho na doctor Islam na sheikh salimu barahiyani munawaita kuwa ni watu wa bidah Nyinyi masalafiya hamna uwadilifu kabisa
@@dawud6065Bachu anapenda sana usalafi lkn tatizo lake ameshikana na mahizbiy na kuwaacha masalafy,,,Sasa hii ndio shida yake yani kwa masalafy ataka na kwa mahizbiy yupo...hio team yake ni yeye tu pekee anaejinasbisha na usalafi ...
@@saidimkwinzu9106Tunasubiri ajibu swali je Suyuth naye ni kafiri😁 Na kama sio kafiri imekuaje Ibn Taimiya awe kafiri na Suyuth asiwe kafiri ilihali wote wawili msimamo wao katika hadith hiyo ni sawa sawa😁😁😁
We unaonekana upo kwenye upinzani ila kama utamsikiliza vzr Shekhe Bachu utamuelewa nn tofauti ya Ibn Tayymia na Imamu Shuyut ambapo Ibn Tayymia tunasema ni WA Mahabi Yy Kafir je Imamu Suyut ambae anafuatwa na watu wanaojiita ahli Sunna( Ghurafi) yy atakua na nn? Hilo ndio linalofafanuliwa ww Shia.
@@SugowFarah-up3db atakuja kubwabwaja huyu shafii na mashia wengine ni watu wa hovyo tu wachafuzi wa dini nishawahi kufanya majadiliano na shia mmoja Yuko Iran mwaka juzi ni watu wapotovu sana Kwa kweli wanataka kuangusha suna na niwaongo sanaa
Huyu shia golo alijifinya kwenye mgongo wa twariiqa sasa atateseka sana labda amuombe mzeee jalala kama ataweza kupamba na mtoto wa simba kihojo na kielim
@@CytneSikilo kuna kufru zaidi ya kuwa na mungu kijana kwa mwislamu kuamini hivi kuna tofauti gani na wenye kuamini kuna Mungu aliotumwa kwa kuokoa dhambi zao
Mawahabi watujibu " jee hii hadithi wanaoiamini mawahabi ni sahihi au laaaa?!. Nabiy Yusuf kaota watu. Hili suala la Mungu ndio tunauliza. Haihusiani ndoto za kibinaadamu
Mwambie huyo khabiith anapomjeruhi bn Taymiyyah kuwa ni muongo atowe na ushahidi wa kielimu juu ya uwongo wake. Vinginevyo akae chini ajifunze ilmul jarh watta'diil na misingi tegemezi katika kumjeruhi majruuh
Mijitu inamkufurisha hadi mtume na swahaba zake watamuacha mtu salama hawa we kama mtume wamemtukana matusi makubwa watashindwa hilo mbona kunaakubwa na machafu walomsingizia mtume mi ushauli wangu wapuuzeni tu hao Sabu Shia so dhehebu Ni dini kama dini zingine za makafiri tuu.iyahudi ukristo mama jusi so dhehebu hilo ushauli wangu shekhe bachu achana na mikafiri hiyo
ikiwa mashia wanamtukana mtume swallallahu alaihi wasallamu na maswahaba wake watamuacha nani baada yao hao ndio mashia washirikina waabudu watu badala ya Mungu wa wawatu
Kamuona mungu katika mfano wamtu hizo hadithi za israailiyaat namtume kasema itakapo mijieni hadithi na ikanasibishwa kwangu basi ipimeni katika quraan ikiwa haipingan naqran basi ichukueni lakini ikipingana nakitabu cha mungu basi ipigeni عرض الجدارyani ipigeni ukutani yani msiichukue

Huna lolote ulilomjibu shekh shafi huwezi ukatetea jambo alilolisema ibn taimiyya likawa linapingana na quran ati ndoumeilimisha yaani tuikanushe qulhua llahu kwa mapenzi yenu na ibn taimiyya? Kasomeni acheni upuuzi ibn taimiyya hawezi kua juu ya quran halafu watu wasibainishiwe au nyie mnaona sawa allah kufananishwa nakijana barobaro mwenye nywele vipilipili huu si ukaafir dhahir? Hakuna chandoto wala nini kuweni makini msiwe majuha
Kwani Ibn Taymiyyah ndio katunga hiyo hadithi?Hiyo hadithi imepokelewa kutoka kwa mtume na Swahaba kwa hiyo wewe wajua zaidi kuliko Ibn Abbas aliyesimulia ? Soma wewe
@HumeidKimazi01 hakuna hadith itakayoweza kuikhalif quran iwe sawa hata kama mtamsingizia ibn abbas r a ni bure tu nahao kina ibnu abbas unaowataja katika hii hadithi hawakuelezea kama ibn taimiyya alivyoeleza imefanana baadhi ya maelezo lakini hawakusema habari za ubarobaro au nywele za kipilipili
Yani bachu na mawahabi wenzake ni vichwa mchunga hawaelewi kabisa.Ishu si kwamba ibn taymiyah anasema kuwa hiyo hadith ni ndoto au si ndoto ,ishu ni kwamba hiyo hadith ni ya uwongo inayo pingana n Quran. Haiwezekani kumuona Allah aidha kwa macho wala usingizi kwasasa mungu haonekani kwa macho wala usingizini kwasababu huwezi kujenga taswira yakitu k8sicho na mfano wala akili haiwezi kujenga taswira yake. Ukikiona kitu usingizini maanake umejenga taswira yaki kiakili. Nahili haliwezijani kwa Allah kwasababu mwenyewe kwenye Quran amesema " latudrikul absar". Labda bachu atwambie maana ya aya hii. Pili hadith hii ya bachu inapingana na hadith nyengine ya mtume ambapo mtume amesema tukimuona yeye ndotoni basi ni yeye kweli. Kwahiyo maana ni ileile kuwa kama tukimuona Allah ndotoni ni yeye kweli.na hili haliwezekani. Pia bachu amedanganya alipo linganisha hadith hii ya uwongo n ndoto ya nabii yusuf. Inajulikana ndoto yanabii Yusuf ilikuwa na tafsiri ya majazi kuwa nyota na mwezi zina msujudia yusuf maanake na bii yusuf atakuwa kiongozi juu ya ndugu zake. Sasa nataka bachu atape tafsiri ya majazi ya hadith hii ya uongo. Bila Shaka hana tafsiri ya majazi.maanake kilichokusudiwa ni hakika kuwa mtume kamuona mungu.na hili sikweli kwasababu Mungu haonekani. Pia tunataka bachu atueleza nini hikma ya mtume kutupa hadith ambayo haiyionyeshi ukweli kitu kilivyo na pia haina tfsiri yakimajazi.ni mtume alitaka tujifunze kwa hadithi hii ya uwongo.Au mtume alijisemeya tu.na hili haliwezekani kwa mtume. Pia bachu ni muongo alipo linganisha kauli ya suyuti na kafiri ibn taymiyah. Imama Suyuti ameifafanua vizuri hiyo hadith kwa kusema kumuona mungu ndotoni haimaanishi kuwa yeye. Lakini ibn taymiyah hakutoa ufafanuzi huo. Na kama bachu anao ufafanuzi hui wa ibn taymiyah autoe namuahidi zawadi shilling laki moja.ibn taymiyah anaamini kumuona mungu ndotoni ndiyo yeye.ndiyo maana tukasema ibn taymiyah ni kafiri kwa amini mungu anasura yakitoto kidogo chenye rasta.kwahiyo bachu bado hajaweza kutetea ukafiri wa ibn taymiyah.
@@khalidabas252 Ndiyo ibn taymiyah atakuwa kafiri na Imam suyuti na Ghazali si makafiri kwasababu. Imam suyuti haamini kuwa kumuona Allah kwenye ndoto ni yeye ndo maana akaitolea ufafanuzi hadith hiyo.lakini ibn taymiyah anaamini kumuona Allah kwenye ndoto ni yeye ndo maana hakutoa ufafanuzi. Na nakupa challenge nipe ushahidi wapi ibn taymiyah kasema kumuona Allah kwenye ndoto si yeye. Kwahiyo kuamini anavyo amini ibn taymiyah ni ukafiri
@@khalidabas252 Haha wewe wahabi ndo inaonekana Hujasikiliza. Nimesikiliza zote hakuna hata clip moja bachu alivyoweza kuonyesha kuwa ibn taymiyah anaamini kumuona Allah kwenye ndoto ni tofauti na uhalisia. Wewe kama umesikiliza ukasikia nambie 1.ni clip namba gani na dakika ya ngapi 2.pia taja kitabu cha ibn taymiyah bachu alichotumia na ukurasa wake.
Muhabi wewe au mjinga wewe shafi kasema kwamba hadithi hizo nizauwongo kazitunga ibn taymia na wenzake hajabu suyutwi leo ni Shia?Muhammed wewe nimuhongo
@@YahyaYahya-vp2pp daa yani unaona kila mwenye jina lakikiristo wajua nimkiristo nikuulize kitabugani cha aqida na fiqih umesoma au nawewe niwale wamihemko tu
Huyu shafii hajui kwamba jambo hili lipo kielimu, na lishajadiliwa na wanazuoni tangu karne na makarne na hadithi ni swahihi, leo yeye anaona ajabu,na ahlu sunna wal jamaa ndio aqiida ya kwamba tunamuamini mtume swalallahu alaihi wa salamu katika nususi zilizo thibiti,.wewe shafii hujui ukimkufurisha muisilamu huenda wewe ndio kafiri?
Mashallah mashallah mashallah akhy Muhammad bacho sisi masalaf kwahili tunakuunga mkono Asante sana kwa kumtetea shekhe ibin taimiyyah juu ya huyu kijana aliye mkufurisha Akhy nendanae kimasuwali Zaid bila shaka ameshaanza kushindwa hoja na hii ndio hakii (الحق يعلو ولا يعلى عليه)
Sheikh Muhammad bachu Allah akulinde na Mahasidi na Adui na hila zao zote. Sisi tunakupenda kwa ajili ya Allah na tanakufaatilia hatua kwa hatua kutoka Msumbiji Nampula Ahmad. Huyo shia amepagawa kwa Kweli baada ya kushindwa hoja wallahi. Allah amuongoze
Allah akulipe kheir sheikh muhammad bachu shia golo ata haeleweki
Alhamdulilah namuomba ALLAH amuhifadhi Sheikh MOHAMMED BACHU tuzidi kustafid nawe
Namuomba allah auhifadhi uma wa kisilam na watu wa fitna kama hawa
Wallahy alivyoshundwa kujibu hoja huyu Shafii ilikua nasubiri sana Toka jana umjibu..tuelimike zaidi wallhy..Sheikh bachu wanufaisha watu wengi wengi sanaaaa wallhy..twakupa moyo uzidi kuendelea na Daawa yake Allah
Mashaanllah mashaanllah barakanllahu fiiika anllaha akuhifadhi na akiepuahe na kila Shari dunia na akhera
Mungu akuzidishie elimu tena na tena tunufaike hapa duniani na kesho akhera.
Baarakallahu feek Sheikh, waambie kama mimi niseme,Namuona Sheikh Nassor Bachu wakati nakuangalia....huenda Namuona kwa sifa yake flani ulionayo vile vile,hio hakanushi kua wewe sio Sheikh Muhammad Bachu wala haitokua vengine kwa muono wangu bali dhati itabaki katika Hali Yake tusioijua kwamba Allah Yuko nà ndoto zetu hazitoathiri Dhati yakee wala haitoswadikisha ndoto zetu.
Maashaa Allah sheikh Muhammad umewapiga na kitu kizito kichwan. Ivi mm sielei awa wanachagua maisha ya dunia kuliko maisha ya milele Allah awaongoze na atujaalie sisi wengine atuthibitishe ktk dini hii 🤲🏽
Sheikh mahammad tunakufuatilia sana na tunaelimika sana Allah akubarik ila na huku pemba tunatamani sana ipatikane siku uje kwenye miskiti yetu ya kisunna.Allah alijaalie hilo lifanikiwe
Shukran sana sheikh wetu Muhammad bacho
Asili ya nguruwe zote za Kishia ni kukimbia mada
Nguruwe Iyo ya Kishia isikutowa kwenye mada
Kama ilivyo anza
Iyo nguruwe la Kishia kukutowa kwenye mada
Shekhe Muhammad Bachu kwa hivi ulivyo watu wa bidaa watakufanyia hila za kila aina, lkn usirudi nyuma, kumbuka hapa karibu tu mihna alio pitia baba yako ambae mimi nili ijua Sunnah na bidaa, Tawheed na shirki, kupitia yeye, Allaah Mtukufu amrahamu Shekhe wetu Mlezi wetu, washirikina na wazushia walimfanyia madhila yakila aina.
Nahii ndio njia ya Maulamaa , Mashaayikh na Madu'aat wa Haqqi wote.
Kwaio Shekh Muhammad simama imara hivyohivyo na Allaah Alie juu ya Arshi yake atakutia nguvu, na wale wanao kutamania mabaya, udhalilifu, Allaah atakulinda na shari zao, nao siku ktk masiku watakuja kutambua nafasi yako na hadhi yako.
Subra inahitajika.
Sadakta
Mawahabi mna shida kweli
SHEIKH MOHAMMAD TWAELWA SANA HIYO POINT UNACHOKIONA USINGZINI SIO REAL. NA ASIETAKA KUELEWA ALLAH KAWAPIGA KUFULI NDANI YA NYOYO ZAO @mohmmad nassor bachu
Maaashaaallah bachu Allah akuzidishie mema zaid
BarakaAllah sheikh kwa kutuelimisha. Walaakin maoni yangu usingebishana na hawa kuwapa umaarufu. Kuna watu wengi imani dhaifu watapata kuchanganikiwa kisha ndio watoroke dini kabisa. Wale haja yao ni kutatanisha dini. Tumekuelewa sheikh mwache usiendeleze. Kuna mengi yenye kutufunza haya maneno yana shubuhaat na watu wanapotea. Heri umebainisha na uiachie hapo. Allah atuongoze sote.
Allah akupe afya na siha Muhammad Bachu uendele kusafisha uchafu wa mashia
Shukran
Mungu atuepushe na maruwaibidhwa kama hawa
JazakaAllahu khayral jazaa Sh Muhammad Bachu, umeshamjibu huyu Shia sura yake ni kinyago asili
Chekh bachu nakupenda sana Kwa ajili ya Allah, Allah akupe unmur mrefu ili tufaidike Niko nampula Mozambique.
Waislamu tuacheni ushabiki. Tukae chini tusome. Wanawazuoni wamefanya kazi kubwa sana katika kuisimamisha, dini. Nasi tufanye Jitihada katika kusoma ili tuweke athari katika dini hiii. Allah atuoneshe njia ya haki ili tuweze kuifata. Amiin 🤲
Mashaallah zidi kutupa elimu ndungu yetu
ربنا يسعدك ويفرح قلبك يارب ويبارك في عمرك
Mnapoelekea nikwenye Shirk,wacheni kujadili mambo ambayo hayana uwasilia maneno tu yawatu.ALLAH hana mfano wowote Qur an imeshasema.Hayo maelezo yenu eti nikakijana kana nywele zimejikunja keupe!!,Subhanallah.
ALLAH HANA MFANO,wacheni ujinga nahayo mavitabu yenu.
Shekhe Bachu amekuja kueka sawa ili watu wasije hifadh kua Ibn Taymia ni Kafir kama huyu Shia anavyodai na Lau asingali yasema haya Wala hili lisingalitokea.
Kwasabab Maghurafi wengi wangekuja kuamin kua Ibn Taymia ni Kafir. Kwaio hapa amekuja kusawazisha maneno mabaya ya Shafii tu.
Wafunsishe mashia golo
Nyie MAWAHABI na SHIA wacheni kujadili ujinga!!,ALLAH hana mfano,Allha hana vinywele wala vilivyojikunja wala hana mfano.
Ww hayakuhusu Aya yaache tu
Sisi wenyewe tunafaham kinachosemwa!
Jazaaka Allaahu khayran
Mashia chaka muliloingia mara hiii silo.....kazi munayo na hiiii mijadala ninavyomjua huyu mjipange vizuri.....
Salama yenu mukubali hamna majibu na asende kwenye mjadala mwengine....dini yenu haina mashiko ni ujanja wa maneno ya kuunganisha tu.... Sasa mukipata mtu km huyu anaeweza kusoma vitabu akavifahamu na akafahamisha umma kwa ufasaha mashia mushavuka nguo.....Allah awaongoze Amin
Dini ye
Mashallah mashallah mashallah akhy Muhammad bacho sisi masalaf kwahili tunakuunga mkono Asante sana kwa kumtetea shekhe ibin taimiyyah juu ya huyu kijana aliye mkufurisha Akhy nendanae kimasuwali Zaid bila shaka ameshaanza kushindwa hoja na hii ndio hakii
(الحق يعلو ولا يعلى عليه)
Sisi " Masalaf" tunakuunga mkono kwa hili.. bi maana Sheikh bachu hajinasibishi na Manhaj Salaf au nimekuelewa makosa?
@@dawud6065 kuna kipindi alikhalifu na kuwa RADD masalaf na kuwatetea watu wamatamanio
Lakini nyinyi masalafiya jadidah mko na matatizo
sheikh Muhammad bacho na doctor Islam na sheikh salimu barahiyani munawaita kuwa ni watu wa bidah
Nyinyi masalafiya hamna uwadilifu kabisa
@@dawud6065Bachu anapenda sana usalafi lkn tatizo lake ameshikana na mahizbiy na kuwaacha masalafy,,,Sasa hii ndio shida yake yani kwa masalafy ataka na kwa mahizbiy yupo...hio team yake ni yeye tu pekee anaejinasbisha na usalafi ...
@@MariamUmandehawajaitwa watu wa bidaa Bali wameitwa mahizbiy,,,,alafu na wewe mbona wawaita masalafiya jadida?
Masalafy wa ukweli ni kina nani Sasa?
Bachu uwezi kutetea ukafiri wa ibn teymia pili mungu wenu nikinyago pili suyutwi ninani nimtume
😂😂😂 nyie wete ndo shia golo Akili kisoda mjanitoa Akili manakwepa MADA mnatoka nje ya mada hamsikilizi mnacomment bila kusikiloza 😂😂 ALLAH akuongoze
Huwezi jua Sututwi ni nani kwa kuwa wewe si Ahlul Sunna wewe ni Shia
@@saidimkwinzu9106Tunasubiri ajibu swali je Suyuth naye ni kafiri😁
Na kama sio kafiri imekuaje Ibn Taimiya awe kafiri na Suyuth asiwe kafiri ilihali wote wawili msimamo wao katika hadith hiyo ni sawa sawa😁😁😁
We unaonekana upo kwenye upinzani ila kama utamsikiliza vzr Shekhe Bachu utamuelewa nn tofauti ya Ibn Tayymia na Imamu Shuyut ambapo Ibn Tayymia tunasema ni WA Mahabi Yy Kafir je Imamu Suyut ambae anafuatwa na watu wanaojiita ahli Sunna( Ghurafi) yy atakua na nn? Hilo ndio linalofafanuliwa ww Shia.
@@SugowFarah-up3db atakuja kubwabwaja huyu shafii na mashia wengine ni watu wa hovyo tu wachafuzi wa dini nishawahi kufanya majadiliano na shia mmoja Yuko Iran mwaka juzi ni watu wapotovu sana Kwa kweli wanataka kuangusha suna na niwaongo sanaa
بارك الله في علمك اخ محمد
Masha-allah sheikh wangu
Barakallahu fiyka
اللّهُــــــــــم آمين يَـــــــــارَب العَالَمِيــــــــــن
Bachu ni Muhabi Kafiri Wauwaji wa Hussein, Hassan, na Fatwima
Huyu shia golo alijifinya kwenye mgongo wa twariiqa sasa atateseka sana labda amuombe mzeee jalala kama ataweza kupamba na mtoto wa simba kihojo na kielim
Jamani tuzidishe kumuombea mhammadi bachu maan anafany kazi kubw saan
Kazi gani
Kusafisha taka taka za mashia golo na kuwalingania kwenye Dini sahihi ya kiislamu @@abdulomari4932
@@abdulomari4932 ya kuwafukunyua watu wapotevu kama wewe hapo jishia
Ni hakika anafanya kazi kubwa sana ya kufaraqanisha na kuwatia waisilam kwenye fitna na kuwafanyisha mwisho waisilam wauwane na wartad
@@Superbasil-h3x kwaiyo msiambiwe haki Yani hapa Kila shia mpotevu lazma akasirikr Kwa nondo hizi
Mungu kijana mwenye nyele koto mungemleta aichezee taifa stars yetu huenda tukashinda world-cup
Kufuru hizo, ukiwa umejaaliwa uelewa mdogo mshukuru Allah baki kuwa msikilizaji bila kuchangia chochote
@@CytneSikilo kuna kufru zaidi ya kuwa na mungu kijana kwa mwislamu kuamini hivi kuna tofauti gani na wenye kuamini kuna Mungu aliotumwa kwa kuokoa dhambi zao
Kwani mashia wanamkubali ibnu abbas (R A)
Huyo shia hana ajualo kwaiy haina hja ya kujadiliana naye , yy hataki kufahamu anataka ushindani..
Tunakuelewa akhy bachu allah akulipe kheri nyingi .
Du huu ni mtihani kweli wa mawahabi
Laysa kamithlihi shay-un
وهو السميع البصير
Mashallah
TOKOMEZA USHIA
Du huu ni mtihani mkubwa kwa mawahabi
Utaelewa tu. Ushia hapa hauna nafasi
Wakome wanaosema kwamba natuk ana bachu uwu ni ujinga
Mnapingana ninyi kwa niyinyi
hapana hapo kuna muislam na mshia
Ushia ni ukafiri .
Jaman nauliza Shia golo manaake nini?
Bachu UKITOKA NENDA KWA SHEKHE DIWANI ANASEMA UWAHABI NI TAWI LA UKATOLIKI TENA KESHATOA CLIP NYINGI SANA.
Swuyutwiy kwa hiyo huo ndio uthibitisho wa kwamba mungu ana sura ya kijana bachu hata mm sijaona ulichojibu
Kufuru hizo, ukiwa umejaaliwa uelewa mdogo mshukuru Allah baki kuwa msikilizaji bila kuchangia chochote
Hamna kitu ambacho hakija jibiwa mbona kila kitu Shafii amekijibu vizuri
Hawezi kujibu lazima akwepe huyo shafi wenu
Kweli
NAOMBA NIWAULIZE MAWAHABI HII HADITHI SAHIHI?? AU NDO MAWAHABI MNATUMIA HADITHI DHAIFU KTK TAUHID ILA WAKITUMIA WENGINE KTK HISTORIA INAKUWA SHIDA??
Mawahabi watujibu " jee hii hadithi wanaoiamini mawahabi ni sahihi au laaaa?!. Nabiy Yusuf kaota watu. Hili suala la Mungu ndio tunauliza. Haihusiani ndoto za kibinaadamu
Hapo anasemaje shafii .huyo ashaaira, anakubali kwamba ameparamia mwendo kasi kwa mbele tena ikiwa imefeli breki?
Mwambie huyo khabiith anapomjeruhi bn Taymiyyah kuwa ni muongo atowe na ushahidi wa kielimu juu ya uwongo wake. Vinginevyo akae chini ajifunze ilmul jarh watta'diil na misingi tegemezi katika kumjeruhi majruuh
Tatizo bachu unamaneno mengi,anachosema sheik shafi kuwahadirhi hii ni uongo mtume hawezikuota kitukamahicho,
😂😂saiv shafii shia golo maji yamemfika kooni😂😂
MAALIM HIYO NDOTO INA MAANA GANI??
Ushia kwishaaaaaa habar yake ndowamwbaki kina goli sjui golo Hilo jin
Huyu bwananishat kweli
Mijitu inamkufurisha hadi mtume na swahaba zake watamuacha mtu salama hawa we kama mtume wamemtukana matusi makubwa watashindwa hilo mbona kunaakubwa na machafu walomsingizia mtume mi ushauli wangu wapuuzeni tu hao Sabu Shia so dhehebu Ni dini kama dini zingine za makafiri tuu.iyahudi ukristo mama jusi so dhehebu hilo ushauli wangu shekhe bachu achana na mikafiri hiyo
Yani shafii bora anyamaze huyu sheikh wanamuongezea followers tu😂😂 wakijua wanamrudisha nyuma
Sio kumuongezea followers shafii hana hoja anafanya mambo kimirengo!!
Sisi tunajua Shafi hawezi kujibu maswali ya sheikh Muhammad Bachu. ndiyo maana Shafi anakwenda akirudi hana chochote.
Laazima wachanganyikiwe makafili wa kishia kwani kwasababu wabajuaukweri wote nibasitu ukafiliumewazidi
ikiwa mashia wanamtukana mtume swallallahu alaihi wasallamu na maswahaba wake watamuacha nani baada yao hao ndio mashia washirikina waabudu watu badala ya Mungu wa wawatu
Weebwan mwenyezimung kashasema hafanani nakitu chochote inakuwaje ibn taiyymiya anasema mtumekak
Kamuona mungu katika mfano wamtu hizo hadithi za israailiyaat namtume kasema itakapo mijieni hadithi na ikanasibishwa kwangu basi ipimeni katika quraan ikiwa haipingan naqran basi ichukueni lakini ikipingana nakitabu cha mungu basi ipigeni عرض الجدارyani ipigeni ukutani yani msiichukue
Kamuona mungu katika mfano wamtu hizo hadithi za israailiyaat namtume kasema itakapo mijieni hadithi na ikanasibishwa kwangu basi ipimeni katika quraan ikiwa haipingan naqran basi ichukueni lakini ikipingana nakitabu cha mungu basi ipigeni عرض الجدارyani ipigeni ukutani yani msiichukue
@@dauddavid6837wewe unajua dini kuliko Ibn Abas?
@@HumeidKimazi01 ndugu yangu hadithi yoyote ambayo itapingana nakitabu chamungu haikubaliwi k7b kitabu chamungu ndo mizan yamwisho yakuzipimahadithi zamtume
Anasema Ibn taymia ni kafiri, imam suyuti, imam ghazal na imam ahmad wao watakuaje?
Tupo pamoja
Kibur ni hatar, unamwitajee jina ambalo yeye halitak
Kwani yy anamuitaje
Shia golo haelewi bhana anajibaraguza tu
Mashia watakimbia mwaka huuu salaleeeeeee
Du kwa mtazamo huu mawahabi mmekula hasara
Wewe muhammedi nikikaragosi cha mayaudi m mungu anamfano pumbavu mnaswara wewe
Huna lolote ulilomjibu shekh shafi huwezi ukatetea jambo alilolisema ibn taimiyya likawa linapingana na quran ati ndoumeilimisha yaani tuikanushe qulhua llahu kwa mapenzi yenu na ibn taimiyya? Kasomeni acheni upuuzi ibn taimiyya hawezi kua juu ya quran halafu watu wasibainishiwe au nyie mnaona sawa allah kufananishwa nakijana barobaro mwenye nywele vipilipili huu si ukaafir dhahir? Hakuna chandoto wala nini kuweni makini msiwe majuha
Kwani Ibn Taymiyyah ndio katunga hiyo hadithi?Hiyo hadithi imepokelewa kutoka kwa mtume na Swahaba kwa hiyo wewe wajua zaidi kuliko Ibn Abbas aliyesimulia ? Soma wewe
@HumeidKimazi01 hakuna hadith itakayoweza kuikhalif quran iwe sawa hata kama mtamsingizia ibn abbas r a ni bure tu nahao kina ibnu abbas unaowataja katika hii hadithi hawakuelezea kama ibn taimiyya alivyoeleza imefanana baadhi ya maelezo lakini hawakusema habari za ubarobaro au nywele za kipilipili
Shia Hawa makafiri na haifai kushilikina nao kwa Jambo lolote nguruwe wa motoni wale
Yani bachu na mawahabi wenzake ni vichwa mchunga hawaelewi kabisa.Ishu si kwamba ibn taymiyah anasema kuwa hiyo hadith ni ndoto au si ndoto ,ishu ni kwamba hiyo hadith ni ya uwongo inayo pingana n Quran. Haiwezekani kumuona Allah aidha kwa macho wala usingizi kwasasa mungu haonekani kwa macho wala usingizini kwasababu huwezi kujenga taswira yakitu k8sicho na mfano wala akili haiwezi kujenga taswira yake. Ukikiona kitu usingizini maanake umejenga taswira yaki kiakili. Nahili haliwezijani kwa Allah kwasababu mwenyewe kwenye Quran amesema " latudrikul absar". Labda bachu atwambie maana ya aya hii.
Pili hadith hii ya bachu inapingana na hadith nyengine ya mtume ambapo mtume amesema tukimuona yeye ndotoni basi ni yeye kweli. Kwahiyo maana ni ileile kuwa kama tukimuona Allah ndotoni ni yeye kweli.na hili haliwezekani.
Pia bachu amedanganya alipo linganisha hadith hii ya uwongo n ndoto ya nabii yusuf. Inajulikana ndoto yanabii Yusuf ilikuwa na tafsiri ya majazi kuwa nyota na mwezi zina msujudia yusuf maanake na bii yusuf atakuwa kiongozi juu ya ndugu zake. Sasa nataka bachu atape tafsiri ya majazi ya hadith hii ya uongo. Bila Shaka hana tafsiri ya majazi.maanake kilichokusudiwa ni hakika kuwa mtume kamuona mungu.na hili sikweli kwasababu Mungu haonekani. Pia tunataka bachu atueleza nini hikma ya mtume kutupa hadith ambayo haiyionyeshi ukweli kitu kilivyo na pia haina tfsiri yakimajazi.ni mtume alitaka tujifunze kwa hadithi hii ya uwongo.Au mtume alijisemeya tu.na hili haliwezekani kwa mtume.
Pia bachu ni muongo alipo linganisha kauli ya suyuti na kafiri ibn taymiyah. Imama Suyuti ameifafanua vizuri hiyo hadith kwa kusema kumuona mungu ndotoni haimaanishi kuwa yeye. Lakini ibn taymiyah hakutoa ufafanuzi huo. Na kama bachu anao ufafanuzi hui wa ibn taymiyah autoe namuahidi zawadi shilling laki moja.ibn taymiyah anaamini kumuona mungu ndotoni ndiyo yeye.ndiyo maana tukasema ibn taymiyah ni kafiri kwa amini mungu anasura yakitoto kidogo chenye rasta.kwahiyo bachu bado hajaweza kutetea ukafiri wa ibn taymiyah.
Ishu ni kwamba ibn taymia kafiri kwa hoja iyo? Imam suyuti na imam Ghazali watakua nani?
@@khalidabas252 Ndiyo ibn taymiyah atakuwa kafiri na Imam suyuti na Ghazali si makafiri kwasababu. Imam suyuti haamini kuwa kumuona Allah kwenye ndoto ni yeye ndo maana akaitolea ufafanuzi hadith hiyo.lakini ibn taymiyah anaamini kumuona Allah kwenye ndoto ni yeye ndo maana hakutoa ufafanuzi. Na nakupa challenge nipe ushahidi wapi ibn taymiyah kasema kumuona Allah kwenye ndoto si yeye. Kwahiyo kuamini anavyo amini ibn taymiyah ni ukafiri
Hiv ww unakua unasikiliza au unakimbilia kuandika magazeti tu. Hebu rejea tena kuisiliza raddi no 2.
@@khalidabas252 Haha wewe wahabi ndo inaonekana Hujasikiliza. Nimesikiliza zote hakuna hata clip moja bachu alivyoweza kuonyesha kuwa ibn taymiyah anaamini kumuona Allah kwenye ndoto ni tofauti na uhalisia. Wewe kama umesikiliza ukasikia nambie
1.ni clip namba gani na dakika ya ngapi
2.pia taja kitabu cha ibn taymiyah bachu alichotumia na ukurasa wake.
Swali langu shekh wetu
Nini maana ya shia golo??? Kama inavyoonesha anuani yako
NiQAQSH na mjinga kama huyo shia golo. Haufai. Mimi siwashauri. Yatawakuta yalowakuta kwa. Kwa. Dj saidy mandege itawakuta majibu. Ya shubha
Huyu yatakiwa umtandikie. Kwa mbali. Tu .
Hii mijitu ya bidaa sijwi inataka nini msana haki wanaikataa na hawajuwi hata kusom
Muhabi wewe au mjinga wewe shafi kasema kwamba hadithi hizo nizauwongo kazitunga ibn taymia na wenzake hajabu suyutwi leo ni Shia?Muhammed wewe nimuhongo
😂😂 shindano imekuingia naona
Yani hawa mawahabi kilamtu anaye bainisha uovuwao wanasema nimshia mashia wakiingia katika uwanja huo mtakimbian wote
@@dauddavid6837 haahaa hiyo dp tako shajieleza huna ujualo ktk hii dini
@@YahyaYahya-vp2pp daa yani unaona kila mwenye jina lakikiristo wajua nimkiristo nikuulize kitabugani cha aqida na fiqih umesoma au nawewe niwale wamihemko tu
Wenzake wapi ?
Shia goro halijielewi anatafuya pakutokea nandivyo walivyo watu wa bidaah na mashia wanashindwa kujibu hoja wanaleta fujo
Muhammed bachu wewe wewe dini yako nimshahara ni mtumishi wa mayaudi unadini
Huyu shafii hajui kwamba jambo hili lipo kielimu, na lishajadiliwa na wanazuoni tangu karne na makarne na hadithi ni swahihi, leo yeye anaona ajabu,na ahlu sunna wal jamaa ndio aqiida ya kwamba tunamuamini mtume swalallahu alaihi wa salamu katika nususi zilizo thibiti,.wewe shafii hujui ukimkufurisha muisilamu huenda wewe ndio kafiri?
Mashallah mashallah mashallah akhy Muhammad bacho sisi masalaf kwahili tunakuunga mkono Asante sana kwa kumtetea shekhe ibin taimiyyah juu ya huyu kijana aliye mkufurisha Akhy nendanae kimasuwali Zaid bila shaka ameshaanza kushindwa hoja na hii ndio hakii
(الحق يعلو ولا يعلى عليه)
Yaani mnashangilia kutetewa Mungu kijana 😂😂enyewe mawahabi mna matatizo
@@muhibbualii4580 wewe ni jahili hujui hata Muhammad bacho anazingumza nini
@@muhibbualii4580 Muhammad bacho hatetei kua Allah ni kijana ebu FUWATILIA uwelewe usikurupuke ndugu yangu huwenda ukajakujua baadae
@@SaidAbdallah-sm1ft Ahaadeeth zenu ni wazi kabisa kutetea fikra ya Ibn taymiya ni kutetea manhaj potofu
@@muhibbualii4580 wewe haujaelea mbona huyo shia kakimbia
Maaashaaallah bachu Allah akuzidishie mema zaid