Kwakweli Shekh Muhammad wewe ni Mwalimu unapaswa upewe haqi yako. Hawa waganga njaa hawajuwi ni kitu gani wanapaswa kukisimamia hapa duniani ili kikawafae kesho akhera mbele ya Allaah Sub'haanahuu Wata'aalaa
Wallahi Sheikh Muhammad bachu nakupenda kwa ajili ya Allah kama nilivo kua ninkimpenda babaako Allah amrahamu na ampanulie qabri lake. Pia nawapenda waislamu wote waki Ahli sunnat wal jamaa kwa ajili ya Allah. Ahmad Umar Said Mozambique Nampula city
Allah akuhifadh sheikh bachu m/mungu akuzidishie Elimu yenye hekima na yenye faida kwa Ummah wa kiislam Tusomesheni kama hivi msifarakane watu wa sunnah kwa sunnah 🤲🤲🤲
Shia golo jibu hizo hoja Wacha kurukaruka kama chura nakukumbusha hii ni nba 3 jibu sasa hoja Wacha maneno wewe shia golo ... shukran Sheikh wangu Sheikh Muhammad bachu Allah akuhifadhi
Ndiomana wanakubali kuwa watumwa kwenye iimani zao, na kubebeshwa fikra zisizokua za sawa, lkn Walimu munapo shika nafasi zenu basi mambo yanakua safi kabisa. Mi nimemsikiliza mwanzo hadi mwisho hili shia golo, lkn sikuona majibu ambayo yanafaa kuitwa majibu au raddi ya kielimu, bali ni kubebeshana takataka za itikadi na kubeba mijineno ya ovyo na kukwepa pwent na kujitia ujuzi asiokua nao. Lakini nilimwambia hapa umeingia chakike kibwengo, sasa mambo ndio haya, watu wanahitaji elimu isimame mahala pake, na ukweli uwekwe wazi, shia na sufi hawana ukweli huo, inabidi walazimishe kusema urongo na kuwazulia Maulamaa ambao qiyama kitasimama hakuna atakae wakosea adabu kwa kuwatuhumu vibaya au kuwasema vibaya, ispokua watu waovu, majitu maongo, mazindiiq.
sipendi kuona waislamu wakibishana mambo ya ushia na usunni ilhali sote ni waislamu......sahi maadui zetu wanawauwa waislamu uko Gaza na maeneo mengine....mbona hawasemi uyu ni mshia ama ni msunni....tutumieni akili majamaaa...tuungane sote kama waislamu dhidi ya maadui zetu ambao ni makafiri
Ishallah shelhe bachu allah akulinde na mahasidi unajitahidi sana kutetea sunna ya mtume na kupambana na mapote ya batwili allah akumiminie rehma zake akulinde na maadui zako, akupe umri mrefu tuendelee kunufaika na ww mshushie nyundo za uso huyo shia mswahili anaewachafua wanazuoni wetu hawa jamaa mashia viumbe waovu sana wanatakia kuficha batil kudhihirisha hakki ukiingia tu kwao umeritad uislamu na umekwenda na maji maana wanaitikadi nyingi mbovu xana xana tumshauli huyu shia golo asafixhe kwani uovu wa kwenye vitabu vyao vimejaa kufru nyingi na matusi kwa mtume na kashfa nami namshangaa mtu anae wapenda mashia atakuwa nae hana akili sawa sawa watu wamemtukana mtume wako ww bado unawatetea hawa makafiri au kupata pesa ya sabuni au kufata kula vyakula njaa ndo zitawapeleka kubaya waislamu na kuangamia
Na uzuri nikua umemkamata mahala pazuri sana, tunataka athibitishe kwa kutumia vitabu vya Ibnu Taymiyyata Allaah amrahamu, mwenyewe nasio kunukuu maneno ya saggaaf na wahuni mfano wake, kumsemea mwamba Ibnu Taymiyyata ambayo haja yasema. Asikwepe, athibitishe kua Ibnu Taymiyyata anasema Mtume Alayhisswalaatu Wassalaam, kamuona Allaah Azza Wajalla kwa macho khasa!!! Ataweza wapi, na akija atakuja kwa sura ipi wakati keshavuliwa nguo muhuni huyu shia golo!!! Ndugu zangu wazushi niwatu waongo, khalafu niwatu wenye khiana, sio watu wakweli, hata umuone vipi, akisha kua mzushi basi sifa hizi atakua nazo tu. Allaah amlinde na amuhifadhi Shekh Muhammad Bachu, na amzidishie Elimu na Maarifa ktk Dini, na amnanyuwe Daraja yake na Hadhi yake, Waislamu wazidi kunufaika kwa juhudi kubwa anayo ifanya ya kupambana na watu wachafu, washirikina na wazushi, na waongo....... Masufi na Mashia, hawa ni watu waongo sijapata kuona kwakweli, na niwatu wenye khiana ya khatari kwakweli, na sio watu wakweli hata chembe......
Assalam Alaykum tunaridhika na majibu yako Allah akuhifadhi bali kwa yoyote anaemfata huyu Shia golo km haon tabu kusema uongo tena ktk dini ya Allah je ni mtu sahihi kumsikiliza akuongoze ktk dini yako? Ila na wewe ni muongo mwenzako au mzushi mwenzako NB Km unataka kua mbal na moto na makasirikio ya Allah itafute DINI yako kwa watu sahihi 🤗
Ndugu zangu iskizeni mwanzo hadi mwisho muone uovu wa huyu shia golo, na uongo wake, na khiana yake!!! 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 Nilimwambia na namwambia tena golo umeingia choo chakike! 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂. Wallaahi Wabillaahi Watallaahi huwezi kua mtu wa bidaa na shirki khalafu ukataka kushindana na wasomi wa wana Sunnah ispokua utafedheheka tu na kudhalilika, na mwisho wako utakwama tu, hautakua na upenyo wa kupenyea. Baaraka Allaahu fiika yaa Shaykh Muhammad.
Asa si bora na hilo je wanaposema tupu ya mtume itakwenda motoni sababu mtume aliwangilia wanawake wqwili washirikina aiysha na afsa et kwakuwa aisha na afsa kwa itikadi zao mashia Hawa ni makafiri wanamakubwa zaidi ya wanayodhihirisha
Wanipa Raha duniani wallahi Raha ya elimu, ni elimu ya baatwili na elimu ya haki zikikutana tena bila kupendelea side yeyote na Allah akupe uwelewa pande zote,, yaani Mimi kaa mtafuta elimu hapa Shia amepigwa kumi bila na cha zaidi ni kwamba aliezama kabisaa Kwa hii kitabu ni sheikh Mohamed ila Shia mantiki uliotumia imekufedheesha Kwa wenye kuelewe elim si Bora kusikiza Tu.
Shekh mohammad naamin huyo golo shia atakimbia hawezi pambana na haqi hata siku moja kama hajakimbia atavua kilemba na miwani atatoa وقل جاء الحق وزهق البطل ان البطل كان زهوقا
hawa mashia wajanja wajanja na ukitaka kuwaumbua usijadiliane nao kupitia vitabu vya Ahlu sunna. Hawaviamini vitabu vya Kisunna wala hawapendi wanachuoni wa Sunna. Wanavitumia kuwavuta masufi waingie kwa ushia, kwasababu tayari washawapandikizia ubida. Kujadiliana na mashia, watolee majanga kutoka vitabu vyao, uone watavyopagawaa
Makosa kama haya hatujamwona akitubia hadharani kama alivyopotosha hadharani ni ujasiri wa ajabu sana kukaa kimya. Hii itamdhuru th-cam.com/video/Taj7CziAWHM/w-d-xo.htmlsi=9TGJBhfT3dgTsL8P mkumbushe huyo Sheikh wako.
Sasa wewe Muhammad Bachu mbona unasema kuwa Barzanji ni Muongo ilhali na yeye amenukuu Hadithi ya wanyama walitamka katika vitabu vya Maimamu walio mtangulia Karne za nyuma, akina Abuu Nuaim,? Ndo Maan lile suali la Ustadh Saudi hukuweza kulijibu kwa sababu Abuu Nuaim huwezi kumuita nayeye kuwa ni Muongo
Muhammad bacho katoa dalili juu ya hayo unayosema kuhusu barzanji na mlishindwa kutetea Kwa hoja mana kasema barzanji ni muongo na katoa hoja zake na hamjajibu hata Moja hadi Leo zaidi ya porojo mnazotoa masufi
Huu ulimii wa Muhammad bachu una fasaha kubwa sana Na baraka tele sana.. M/mungu amuhifadh wanafunz wake wanafaidika sana
Kwakweli Shekh Muhammad wewe ni Mwalimu unapaswa upewe haqi yako.
Hawa waganga njaa hawajuwi ni kitu gani wanapaswa kukisimamia hapa duniani ili kikawafae kesho akhera mbele ya Allaah Sub'haanahuu Wata'aalaa
Wallahi Sheikh Muhammad bachu nakupenda kwa ajili ya Allah kama nilivo kua ninkimpenda babaako Allah amrahamu na ampanulie qabri lake. Pia nawapenda waislamu wote waki Ahli sunnat wal jamaa kwa ajili ya Allah.
Ahmad Umar Said Mozambique Nampula city
Maaashaaallah Allah akulipe heri nying sheikh bachu
Shekh Muhammad bachu usingemjibu huyu shia golo angetamba sana Allah akuhifadhi shekh wetu
Sheikh bachu Allah akuhifadhi Zaid
Allah akuhifadh sheikh bachu m/mungu akuzidishie Elimu yenye hekima na yenye faida kwa Ummah wa kiislam Tusomesheni kama hivi msifarakane watu wa sunnah kwa sunnah 🤲🤲🤲
MashAllah Muhammad bachu Allah yup pamoja na ww kwa kazi unayoifanya
Shia golo jibu hizo hoja Wacha kurukaruka kama chura nakukumbusha hii ni nba 3 jibu sasa hoja Wacha maneno wewe shia golo ... shukran Sheikh wangu Sheikh Muhammad bachu Allah akuhifadhi
ماشاء الله تبارك
الله يحفظك ويحميك ياشيخ
الحمد لله
زادك الله علما النافعا يا شيخ محمد
Allah akuhifadhi
Allah akuhifadhi sheikh muhammad
MAASHAA ALLAH SHEIKH ALLAH AKUHIFADHI
Huyo shia golo saivi anapata kichaa Kwa nondo izi mana zinashukia kwenye ubongo 😂😂 ALLAH akuhifadhi sheikh Muhammadi bacho
😂😂😂
Maa shaa Allah,endelea kuwanyoosha sheikh
السلام عليكم ورحمة الله وبركاته. نسأل الله أن يهدي بلسانك الكثير من الشعوب 👅، آمين. أعلم أن الآخرين يجدون أنفسهم مشهورين من خلالك
Baaraka llahu fik,namuomba M'mungu akupe mwisho mwema
Mashallah Allah akuhifadhi sheh wangu Hao mashia waje nahoja so porojo
Mmh kweli maana wanaporojo so mchezo, yaani mpaka unachoka kumsikiliza.
Mashaaallah Allah akuhifadhi na akuzidishie elimu
Mashallah mungu akuhifadhi shekh wetu
Hivi ndivyo elimu inavyo fanya kazi, na mwenye itikadi ya sawasawa unamjua kwa zaidi kwenye nondo kama hizi.
Allah akulinde na mahasid na akupe umri mrefu tuendelee kupata ilmu
Yes
Masha alla tunazidi kusoma
Maashallah vzr sana shekh allah akuhifathi
Barakallahu fiyka
Allah akulinde sheikh wetu
Amiin
Mashawwa Alla akulnde shkh wetu
Ndiomana wanakubali kuwa watumwa kwenye iimani zao, na kubebeshwa fikra zisizokua za sawa, lkn Walimu munapo shika nafasi zenu basi mambo yanakua safi kabisa.
Mi nimemsikiliza mwanzo hadi mwisho hili shia golo, lkn sikuona majibu ambayo yanafaa kuitwa majibu au raddi ya kielimu, bali ni kubebeshana takataka za itikadi na kubeba mijineno ya ovyo na kukwepa pwent na kujitia ujuzi asiokua nao.
Lakini nilimwambia hapa umeingia chakike kibwengo, sasa mambo ndio haya, watu wanahitaji elimu isimame mahala pake, na ukweli uwekwe wazi, shia na sufi hawana ukweli huo, inabidi walazimishe kusema urongo na kuwazulia Maulamaa ambao qiyama kitasimama hakuna atakae wakosea adabu kwa kuwatuhumu vibaya au kuwasema vibaya, ispokua watu waovu, majitu maongo, mazindiiq.
Mashaallah
Ibn taymiya hawezi kutetewaaa
Itikadi yake dhidi ya mungu ni ukafiri wallah mutake musitakeee
Ninyi munataasub hapo ni ukafiri sijaona kilichotetewa
الله يحفظك من كل شر
اللهم آمين
Wanafunzi wako wananeema kubwa
Wewe bachu nimwalim kwelikweli
و الله قد أجاد ... يحفظه الله و يهديه
MASHALLAH NIMEKUFAHAMU
sipendi kuona waislamu wakibishana mambo ya ushia na usunni ilhali sote ni waislamu......sahi maadui zetu wanawauwa waislamu uko Gaza na maeneo mengine....mbona hawasemi uyu ni mshia ama ni msunni....tutumieni akili majamaaa...tuungane sote kama waislamu dhidi ya maadui zetu ambao ni makafiri
Allah akuhifadh na mahasidi wote. Mimi hua naifaatilia mijadala yako yote kuanzia wa kina sabasi na Saidi mpaka hivi sasa. Kutoka Msumbiji
Tumenufaika kweli
Ishallah shelhe bachu allah akulinde na mahasidi unajitahidi sana kutetea sunna ya mtume na kupambana na mapote ya batwili allah akumiminie rehma zake akulinde na maadui zako, akupe umri mrefu tuendelee kunufaika na ww mshushie nyundo za uso huyo shia mswahili anaewachafua wanazuoni wetu hawa jamaa mashia viumbe waovu sana wanatakia kuficha batil kudhihirisha hakki ukiingia tu kwao umeritad uislamu na umekwenda na maji maana wanaitikadi nyingi mbovu xana xana tumshauli huyu shia golo asafixhe kwani uovu wa kwenye vitabu vyao vimejaa kufru nyingi na matusi kwa mtume na kashfa nami namshangaa mtu anae wapenda mashia atakuwa nae hana akili sawa sawa watu wamemtukana mtume wako ww bado unawatetea hawa makafiri au kupata pesa ya sabuni au kufata kula vyakula njaa ndo zitawapeleka kubaya waislamu na kuangamia
Kweli kabisa
Shia gola sijui golo akauze mandazi😂 huyu Shia si msikilizi tena aise😂😂...(alafu inaonekana hapendi wafuasi wakd huyu)
Mashallah
Muhamedi usteteh ukafri
Ukafiri unaujua ww poyoyo
Mashaallah❤
Inaskitisha sn wanapewa pesa na masĥia. Wameacha dini ya haki.
😢muhamedi uyu kunawatu walimpi nga ibni taymia kwaiyo alinukuhu ktk vitabu wewe nikafiri Kama ibntaymia
Na uzuri nikua umemkamata mahala pazuri sana, tunataka athibitishe kwa kutumia vitabu vya Ibnu Taymiyyata Allaah amrahamu, mwenyewe nasio kunukuu maneno ya saggaaf na wahuni mfano wake, kumsemea mwamba Ibnu Taymiyyata ambayo haja yasema.
Asikwepe, athibitishe kua Ibnu Taymiyyata anasema Mtume Alayhisswalaatu Wassalaam, kamuona Allaah Azza Wajalla kwa macho khasa!!!
Ataweza wapi, na akija atakuja kwa sura ipi wakati keshavuliwa nguo muhuni huyu shia golo!!!
Ndugu zangu wazushi niwatu waongo, khalafu niwatu wenye khiana, sio watu wakweli, hata umuone vipi, akisha kua mzushi basi sifa hizi atakua nazo tu.
Allaah amlinde na amuhifadhi Shekh Muhammad Bachu, na amzidishie Elimu na Maarifa ktk Dini, na amnanyuwe Daraja yake na Hadhi yake, Waislamu wazidi kunufaika kwa juhudi kubwa anayo ifanya ya kupambana na watu wachafu, washirikina na wazushi, na waongo.......
Masufi na Mashia, hawa ni watu waongo sijapata kuona kwakweli, na niwatu wenye khiana ya khatari kwakweli, na sio watu wakweli hata chembe......
Assalam Alaykum tunaridhika na majibu yako Allah akuhifadhi bali kwa yoyote anaemfata huyu Shia golo km haon tabu kusema uongo tena ktk dini ya Allah je ni mtu sahihi kumsikiliza akuongoze ktk dini yako? Ila na wewe ni muongo mwenzako au mzushi mwenzako NB Km unataka kua mbal na moto na makasirikio ya Allah itafute DINI yako kwa watu sahihi 🤗
Ndugu zangu iskizeni mwanzo hadi mwisho muone uovu wa huyu shia golo, na uongo wake, na khiana yake!!!
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Nilimwambia na namwambia tena golo umeingia choo chakike!
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂.
Wallaahi Wabillaahi Watallaahi huwezi kua mtu wa bidaa na shirki khalafu ukataka kushindana na wasomi wa wana Sunnah ispokua utafedheheka tu na kudhalilika, na mwisho wako utakwama tu, hautakua na upenyo wa kupenyea.
Baaraka Allaahu fiika yaa Shaykh Muhammad.
😅😅😅😅😅 umefurahi moyon hasa Maashaa Allah. Washakipata walokitafuta elim hawana lkn ayo malemba makubwaaaaaa
Dah wachuoni walifanya jitihada sana emu angalie huo ufafanuz wa hadith moja tu kisha mtu anakuja kuwatukna wanachuoni.
Acha2 kaka
Golo na vijishia wenzako. Umelewa vitabu jinsi vinavosma?..sasa utasilimu au
Mashia wanaitakidii kuwa Muhammad SAW hakustahiki kuwa Mtume Bali Ali ndie Mtume mashia wanasujudia udongo unatoka Karbala
Asa si bora na hilo je wanaposema tupu ya mtume itakwenda motoni sababu mtume aliwangilia wanawake wqwili washirikina aiysha na afsa et kwakuwa aisha na afsa kwa itikadi zao mashia Hawa ni makafiri wanamakubwa zaidi ya wanayodhihirisha
Wanipa Raha duniani wallahi Raha ya elimu, ni elimu ya baatwili na elimu ya haki zikikutana tena bila kupendelea side yeyote na Allah akupe uwelewa pande zote,, yaani Mimi kaa mtafuta elimu hapa Shia amepigwa kumi bila na cha zaidi ni kwamba aliezama kabisaa Kwa hii kitabu ni sheikh Mohamed ila Shia mantiki uliotumia imekufedheesha Kwa wenye kuelewe elim si Bora kusikiza Tu.
Mashia eidha hawamuelewi ibun taymiyya AU wanapindisha tu maneno
Hichi kitato cha bachu kikafiri kweli
kuna habari imetufikia shia golo baada ya kupata raddi hii kapanda pressure hoi bin taabani
1
Shekh mohammad naamin huyo golo shia atakimbia hawezi pambana na haqi hata siku moja kama hajakimbia atavua kilemba na miwani atatoa وقل جاء الحق وزهق البطل ان البطل كان زهوقا
Mohamed bachu...tuwache yote...nakuomba tuichambu hiyo khaditi ni sahihi au laa
Amekimbia munaaqsha kuhusiana na Ibn Taimiya na kwa sasa amekuja kwa sheikh Barbahari😂😂😂
Shia amejipata pabaya !!!!! hakutarajia
Mtanange mawahabi wote wanajuwa mashia ni makafiri na mashia wote wanajuwa mawahabi ni makafiri
Na masufi wote mawahabi wanajua ni majaahil
Usalama zaidi ni kusema Shia Ithnasharia ma ghulaat waliofikiwa na hoja kisha wakabakia kule ndo Makafiri.
Na masufi wote ni ??
Jamani tusomeni unaweza kujiona ww ni Ahlu sunna kumbe ww nijishiya lililopeya kabsaaaa
hawa mashia wajanja wajanja na ukitaka kuwaumbua usijadiliane nao kupitia vitabu vya Ahlu sunna. Hawaviamini vitabu vya Kisunna wala hawapendi wanachuoni wa Sunna. Wanavitumia kuwavuta masufi waingie kwa ushia, kwasababu tayari washawapandikizia ubida. Kujadiliana na mashia, watolee majanga kutoka vitabu vyao, uone watavyopagawaa
Muhamedi wewe nimuhongo 19:30
Jina lenyewe unalikosea, mengine nadhan ufahamu wako Ni finyu
Eti golo
،sinzani KAMA atarudi tena shia ngolo
Harudi hhhhhhhh😅😅
Mshia muongo mkubwa
Mimi Ahlu sunnah sufi ibn taymia ana itikadi ya kikafiriiiiiiii huwezi kumteteaaa hata kidogo kiddogoooo
M Baki hivyo hivyo ukitukana mashekhe wa wenzenu na wenu pia watatukanwa hishimu mashekhe wa wenzenu nao wenu watahishimiwe .
Shehe wenu yupi katukanwa
Pumbavu wewe kama shekhe lako. Kuna tofauti ya kukosolewa na kusingiziwa. Sasa wewe ulivo pumbavu kama shekhe lako hujui kutofautisha
Hakutukanwa shekhe someni vijana
Kwa kumchafua Mtume Muhammad Swalla Llahu Alayhi Wasallam na kumzulia kisha tukae kimy mtasahau
Wanajali Shekhe hawamjali Mtume wao atukamwe shehe zogo akitukanwa Mtume wakae kimya ivi mnaakili nyinyi
Shia atakimbia tu najua maan kajiingza sehem ambayo han uwzo wa kujitetea
Sheikh huyu shia hajamkufurisha ibn taymiyyah tuuh amemtusi sahaba muawiyah, tafadhali raadi hio ndio muhimu zaidi
Na huyo Shafiiiii sio shia ni sufi muneamua mumchafuee ibn taymia kafiri
Wee shia golo njoo fuata man haji ya haki .au lau kama ci hivyo jibu nondo hizo wee kichaa
Bachu ANGALIA kiboko YAKO Sheikh Said Alshirazy kutoka MAMBRUI
th-cam.com/video/2SHPHN6bgbk/w-d-xo.htmlsi=-M-G_p9rBHMxfmlC
Km kiboko mbona hakujibu kabaki mm nipo hapa hapa haendi mbele nyinyi kula inawasumbua lkn mtajuta ipo sku
Saidi Aliongea uwongo sana atubie th-cam.com/video/Taj7CziAWHM/w-d-xo.htmlsi=9TGJBhfT3dgTsL8P
Makosa kama haya hatujamwona akitubia hadharani kama alivyopotosha hadharani ni ujasiri wa ajabu sana kukaa kimya. Hii itamdhuru
th-cam.com/video/Taj7CziAWHM/w-d-xo.htmlsi=9TGJBhfT3dgTsL8P mkumbushe huyo Sheikh wako.
Njoo kwa Bachu akusomeshe
Maana sufi na shia damu moja
Kiboko mpiga mnanda? Dj
مع أننا لا نتفق مع الوهابية فى العقيدة لأنها فرقة التفكير وعقيدتها ضالة لاكن لانكفر أهلها من أنهم أهل لا إله إلا الله محمد رسول الله
Hueleweki unaonge kitu gani yani
@@MB-yq3tycyo haeleweki Bali hajielewi
Shafi ni msuni sio Shia ww nimuhongo
sio muhongo asee hh😂😂 muhongo ndio nini😅😅 kiswahili tu kuandika mtihani...na wewe ni shia golo 2 maana mishipa yakutoka kumtetea golo mwenzio😅😅
huyo Shaafi ni jahmiyya na jahmiyya na shia na ibadhi ni wale wale katika Aqyida
Sasa wewe Muhammad Bachu mbona unasema kuwa Barzanji ni Muongo ilhali na yeye amenukuu Hadithi ya wanyama walitamka katika vitabu vya Maimamu walio mtangulia Karne za nyuma, akina Abuu Nuaim,?
Ndo Maan lile suali la Ustadh Saudi hukuweza kulijibu kwa sababu Abuu Nuaim huwezi kumuita nayeye kuwa ni Muongo
Wewe nawe ni muongo mtu wa maulid wewe acha kumtoa kasoro sheikh letu bachu
Muhammad bacho katoa dalili juu ya hayo unayosema kuhusu barzanji na mlishindwa kutetea Kwa hoja mana kasema barzanji ni muongo na katoa hoja zake na hamjajibu hata Moja hadi Leo zaidi ya porojo mnazotoa masufi
Allah Azidi Kukujaza Kheri
Wewe acha porojo. Acha Sheikh Muhammad bacho atupe faida. Allah akulinde
Ushajua kwanza kupiga gitaa hahaha
Mashallah