RAIS MAGUFULI ALIVYOINGIA MSIKITINI, ASIMULIA ALIVYOULIZWA MASWALI NA MFALME

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025

ความคิดเห็น • 400

  • @jumakasim8784
    @jumakasim8784 4 ปีที่แล้ว +164

    Gonga like kama na wewe ni miongoni mwetu tukao mpa kula ya ndio jembe letu Magufuli

    • @shariffaki8836
      @shariffaki8836 4 ปีที่แล้ว +2

      Atakae kupa like uyo hajui nin anafanya kam ni muislam

    • @ramamtetu2327
      @ramamtetu2327 4 ปีที่แล้ว +5

      Huyu ni Mtu wa Mungu JPM

    • @omarialfaaruuq6643
      @omarialfaaruuq6643 4 ปีที่แล้ว +1

      Wagonge like makafiri wenzenu was dini mseto dini aliyoicha Muhammad sio ya kampeni

    • @bfsgsvfweshdbfh3353
      @bfsgsvfweshdbfh3353 4 ปีที่แล้ว +2

      @@omarialfaaruuq6643 ata we unnaweza kuwa kafiri

    • @bfsgsvfweshdbfh3353
      @bfsgsvfweshdbfh3353 4 ปีที่แล้ว +3

      @@omarialfaaruuq6643 usihukumu watu kuita makafiri

  • @edsonleonci5113
    @edsonleonci5113 4 ปีที่แล้ว +63

    Wewe ni namba moja ktk marais bora kupata kutokea Africa.... nitakuchagua tena..!!! 👏👏👏👏👏👏👏

  • @capitainrogers4990
    @capitainrogers4990 4 ปีที่แล้ว +27

    M.Mungu akujaalie Misho Mwema ufe hali yakua umeshahidilia Insha Allah

  • @muhammadabdi8023
    @muhammadabdi8023 4 ปีที่แล้ว +65

    Nani Kama magu mungu akuongoze mahala pa hali insha Allah 👌🇹🇿

    • @muhammadabdi8023
      @muhammadabdi8023 4 ปีที่แล้ว +3

      Akuongoze mahala pa haki insha Allah**

    • @zaituniswai6390
      @zaituniswai6390 4 ปีที่แล้ว +3

      Ndoma Maana hata corona iliogopa Tz Rais wetu ana Mungu kwakweli

    • @ayshakayeko2043
      @ayshakayeko2043 4 ปีที่แล้ว

      Kwa amani tuliyonayo hatunabudi kukushukuru kwa upendo mengine tumuachie mungu amina

    • @engzuberir.akilenza1764
      @engzuberir.akilenza1764 4 ปีที่แล้ว

      @@muhammadabdi8023 hili litakuwa siyo jina lako.

    • @zakiahussein9764
      @zakiahussein9764 4 ปีที่แล้ว

      Ujinga mtupu

  • @pillkassimwakike2474
    @pillkassimwakike2474 4 ปีที่แล้ว +115

    duuh mm chadema damu lkn kula yangu ya ulaisi nampa magu tu akuna kingine napenda sna baba yangu mungu akuzedishe sna kila lakheli

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 4 ปีที่แล้ว +4

      Wakikuskia watakununia

    • @masoudsalum9514
      @masoudsalum9514 4 ปีที่แล้ว +2

      ww muongo kwann usingesema ww ni cuf au chadema inawachoma moyo tu

    • @J4UPro
      @J4UPro 4 ปีที่แล้ว +4

      Upo vizuri sana

    • @selector728
      @selector728 4 ปีที่แล้ว +3

      Siyo kula sema kura

    • @yasinshaban4933
      @yasinshaban4933 4 ปีที่แล้ว +2

      JPM teenaaa✅✅✅🤸🤸🤸

  • @salmaathuman9156
    @salmaathuman9156 4 ปีที่แล้ว +34

    Ahsante mungu na umlinde rais wetu magufuli ashinde kwa kishindo huyu rais kwakweli mungu umejua kutupa rais tunajivunia na uendelee kumpa nguvu 💪💪💪🙏🤲

    • @haithamalharthy68
      @haithamalharthy68 4 ปีที่แล้ว +4

      M Linde ya ALLAH. kiumbe chacko mkweli
      Mpe Afya. Nguvu. Umri. Mjaliwe awe kipenzi chakila binadam. Ndani na inje ya Tzd. Mimi siyo mtzd. Lakini nampenda Sana Magu. Nimuwazi. Mpenda nchiyake.usalama NamaEndeleyo. Yuko tayari kutowa maisha. Yake. Ajili ya maendeleyo ya waNainchi wake.waliyedhulumiwa. Myaka. Mingi. Maraisi. Kama yeye. Ni umoja katika million. Hawapatikani. Mlindeni. waNainchi watz. These
      kind of people are rare to
      find.
      Tanzania Oyè. Oman oyè

    • @abdulrahmansalim9773
      @abdulrahmansalim9773 4 ปีที่แล้ว

      Mashehe wapo ndani miaka minane watoto na wajane aliovyo wafanya pumbavu magufuli 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Finar jahanam 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

    • @salmaathuman9156
      @salmaathuman9156 4 ปีที่แล้ว +1

      @@abdulrahmansalim9773 nenda kawatoe usitupigie kelele mitandaoni wewe ndo mungu unaetoa hukumu kwa nn wakae jela mpaka sasa hivi mungu anawahukumu hapahapa duniani kwani magufuli ndo aliyewafunga au wamefungwa kisheria we vp MBONA unaropoka Kama mlevi

    • @tatuhongeranurushaus485
      @tatuhongeranurushaus485 4 ปีที่แล้ว +1

      @@haithamalharthy68 😏😏😏😏😏😏😏hujitambui ww mtu hawez kufungwa bila kosa

    • @khamisrajabu6082
      @khamisrajabu6082 4 ปีที่แล้ว +2

      @@abdulrahmansalim9773 huyu nimiongo mwa wale wanaharakati hata ulitakiwa uwe ndani maana nyinyi ndio mnaechafua uisilam harafu Leo unajifanya kuwatetea mbona ww hujakamatwa kwahiyo ukiwa shekhe ndio ukiuke maadili ya nchi nakatiba wakuache dini imetualisha tuheshimu mamlaka ya vingozi Wa nchi Leo unakiauka kwahiyo unapingana namaneno ya Allah unakuja kubwabwaja kwenye mtandao chunga ulimi wako unapopinga serikali umempinga allah

  • @siafuvideo2541
    @siafuvideo2541 4 ปีที่แล้ว +18

    JPM FOR LIFE 👊🇹🇿🙏💪 MITANO 🖐️ TENA 👊 KAZI IENDELEE

  • @ramadhaninyari9525
    @ramadhaninyari9525 4 ปีที่แล้ว +17

    Alhamdullilah ya karim. Ya Allah umesema. Niite nami nitakuitikia, niombe msaada nami nitakusaidia, niombe ulinzi nami ntakulinda, wapende ndugu na jamaa zako nami nikupa siha njem na ndefu. Eee Mola mtukufu. kw ukarim wako, kwa ruhusa yako, kwa uwezo wako, kw rehma zako, nakuomb utulinde ndhidi ya wasiyo wema. Na umjalie raisi wetu mpendwa siha ndefu na iliyo njema. Amen.

    • @zakiahussein9764
      @zakiahussein9764 4 ปีที่แล้ว

      Inaonekana at a Qur'an ujasoma

    • @ramadhaninyari9525
      @ramadhaninyari9525 4 ปีที่แล้ว +1

      @@zakiahussein9764 hongera na mungu akubariki wewe uliyesoma

  • @ramadhaniadammakange3639
    @ramadhaniadammakange3639 4 ปีที่แล้ว +57

    This is how it means to be a leader.

  • @salamakaloloma1098
    @salamakaloloma1098 4 ปีที่แล้ว +21

    Wallah uyu mwamba huyu ana nifanya nimpende kilazima wallah mungu akuhifadhi MAGUFURI my president

    • @wazirikhamisi4828
      @wazirikhamisi4828 4 ปีที่แล้ว +1

      UKO SAHIHI NA ALLAH AMUONGOZE KTK HAKI

  • @rojamancaxter8387
    @rojamancaxter8387 4 ปีที่แล้ว +11

    MUNGU akurinde Raisi wetu JPM akukinge na maadui na akupe kheri daima InshaAllah

  • @ahmeddarweysh3158
    @ahmeddarweysh3158 4 ปีที่แล้ว +2

    God bless you mr president magufuli

  • @rehemaaithumani3076
    @rehemaaithumani3076 4 ปีที่แล้ว +9

    Mungu akubariki sana Raisi wetu 💪💪Allah akuongoze kila kona uendayo pamoja na family yako yote 🙏

  • @dorothychusi7643
    @dorothychusi7643 4 ปีที่แล้ว +30

    Magufuli you are blessed. May God cover you in every area of you are life.

  • @aishamussa7246
    @aishamussa7246 4 ปีที่แล้ว +36

    Allah akupe afya njema na mwisho wako uwe mwema hapa dunian!!!🤲🤲🤲🙏

  • @mariamuseifu3065
    @mariamuseifu3065 4 ปีที่แล้ว +6

    Allah akupe maisha marefu Rais wetu Inshallah 🙏🙏

  • @deogratiaslukoo5163
    @deogratiaslukoo5163 4 ปีที่แล้ว +17

    Mungu akulinde Raisi wetu na wabaya wote akufunike na ubawa wake siku zote za maisha yako,kiukweli unafanya mambo makubwa

  • @tilisho1960
    @tilisho1960 4 ปีที่แล้ว +7

    Ukweli naamini Magufuli katumwa na Mungu! Hongera Sana Rais wetu, Mungu aendelee kukulinda!

    • @zakiahussein9764
      @zakiahussein9764 4 ปีที่แล้ว

      We mpiuzi unamjua alie tumwa na Mungu?

    • @tilisho1960
      @tilisho1960 4 ปีที่แล้ว

      @@zakiahussein9764 Kwan wewe unamjua ambaye hajatumwa na Mungu?

    • @zakiahussein9764
      @zakiahussein9764 4 ปีที่แล้ว +1

      @@tilisho1960 ndio namjua c mwenyekuwaua watu wara kuwa nyima huru wao

    • @zakiahussein9764
      @zakiahussein9764 4 ปีที่แล้ว +1

      @@tilisho1960 sasa uyo baba yko pombe katumwa na jini shetani takadamu ndio lililo mtuma uyo pombe wenu

    • @zakiahussein9764
      @zakiahussein9764 4 ปีที่แล้ว

      @@tilisho1960 na kumbukab mtu we mwisho kutumwa n nani?

  • @salimliemba3458
    @salimliemba3458 4 ปีที่แล้ว +13

    Lisu at asubiri Sana Kw a huyu rais wetu na atashidna kwa 85%

  • @husnahassan6289
    @husnahassan6289 4 ปีที่แล้ว +54

    Kura zetu tunakupa baba yetu kipenzi rais wetu ambae huna ubaguzi rais wa wanyonge kura zetu unazo zote baba na kishindo chako kitakuwa cha kimataifa duniani kote MUNGU atusaidie
    Tupo baba kwa kukupigia tena ili utuongoze tena kipenzi chetu nimetoka mbali mzee wangu ili nikupigie kura tuu then nirudi nilipotoka lnshaallah MUNGU atuwezeshe tufike salama siku hiyo Allahumma Ameen

    • @hawakitoi6840
      @hawakitoi6840 4 ปีที่แล้ว

      Amina

    • @abubakarisadikshoo4693
      @abubakarisadikshoo4693 4 ปีที่แล้ว

      Amini

    • @adidjarams5196
      @adidjarams5196 4 ปีที่แล้ว +2

      Allah amuongezee umri mreeeefu Magufuli, vous êtes un président unique de son genre, mpaka Congo tunakupenda baba wa wanyonge, eee ya Allah Congo tumekwama wapi ? Tujalie one day insha Allah tupate Raïs kama wa Tanzania

    • @chikuluchidodokochiitingan340
      @chikuluchidodokochiitingan340 4 ปีที่แล้ว

      Kwanzaa RAIS WETU WEE UNGEBAKI HATAA CHATOO UPUMZIKEE NA KULAA ZA NDIO NI ZAKWAKOO.HAOO WENGINGINEE NI MIJUSII TUU

  • @mytelecom2019
    @mytelecom2019 4 ปีที่แล้ว +90

    msipo mchagua Tena tutampaa urai wa Congo, na ma trilioni ya pesa Juu

    • @maryamabdallah3140
      @maryamabdallah3140 4 ปีที่แล้ว +13

      Weeee hebu nyamaza, tunampenda rais wetu

    • @alisele5299
      @alisele5299 4 ปีที่แล้ว +13

      Kweli mjomba waambie watanzania

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 4 ปีที่แล้ว +2

      Tutakufata namapanga

    • @mytelecom2019
      @mytelecom2019 4 ปีที่แล้ว +3

      @@m.mmarckus6298 hahahaha msifanyi kosa tafazali tunawaomba

    • @mytelecom2019
      @mytelecom2019 4 ปีที่แล้ว +6

      @@maryamabdallah3140 mchagueni kwa kishinda na ongeara kwakumpenda anastaili kupewa mapenzi

  • @alimaadhiinofficial6451
    @alimaadhiinofficial6451 4 ปีที่แล้ว +7

    No one like magufuli walahi nawaambia tujitokeze kumpigia kura ya magufuli mtampata wp raisi kama magufuli

  • @ArarsoAli
    @ArarsoAli 4 ปีที่แล้ว +3

    Masha Allah 🔥🔥🔥🔥😘🥰❤❤❤ JPM MUNGU AKU PATIYE LONG LIFE NAKUOMBEYA ALLAH AKUFANYE MU ISLAAMU AUFAI KUINGIYA JAHANAM .BABA YA WANYOGE IM NOT FROM TANZANIA BUT I LOVE JPM 🇭🇲🇰🇪🇭🇲🇰🇪 CCM HOYEEEEEE

  • @azizamohamed7692
    @azizamohamed7692 4 ปีที่แล้ว +11

    Mungu mlinde Raisi wetu asiekuwa na ubaguzi akupe afya njema miaka 10 mingine sio mitano

  • @germanomuanga3153
    @germanomuanga3153 4 ปีที่แล้ว +45

    Mungu Akupeni nini tena wa Tanzania Mozambique Tunakutamani Magufuli. Rais Bora wa Africa.

    • @مارثاتنزانيا
      @مارثاتنزانيا 4 ปีที่แล้ว

      Tunafurai sana kuwa na raisi jasili namwenye upendo

    • @solangeandjelani4913
      @solangeandjelani4913 4 ปีที่แล้ว +2

      Hata congo tunamuhitaji rahisi kama huyu wataanzania munahichezea amani chaguweni huyu baba jamani kama munaipenda amani misidanganywe

    • @مارثاتنزانيا
      @مارثاتنزانيا 4 ปีที่แล้ว

      Uyu kashapita tayali

    • @rashidalihamad7228
      @rashidalihamad7228 4 ปีที่แล้ว

      adhabu ya kaburi aijuaye maiti, taman tu ila usiombe kabisa tuulize sisi huku ndio utajua

  • @husnahassan6289
    @husnahassan6289 4 ปีที่แล้ว +32

    Nakupigia debe baba yetu rais wetu kipenzi kura zetu uzipate kwa wingi nakishindo chako cha ushindi kiwe cha kimataifa MUNGU TUSAIDIE
    NIMETOKA MBALI NA WATU WANGU ILI TUKUPE KURA ZETU KISHA TURUDI TULIPOTOKA KURA YANGU NA NDUGU ZANGU NA MARAFIKI ZANGU NI ZAKO BABA KIPENZI DR JONH JOSEPH POMBE MAGUFULI MUNGU AKUSAIDIE AMEEN AMEEN AMEEN

    • @nurualamoody4305
      @nurualamoody4305 4 ปีที่แล้ว +4

      Keshapita huyo toka alipofungua kampeni. Wenye shida hao wabunge wasiojua wajibu wao km bona kaluwa wa segerea . Leo tunaogerea madimbwi SBB ya kutotimiza wajibu wake. Lkn hawa wabunge wangekuwa km magu tungekuwa mbali sana

    • @nurualamoody4305
      @nurualamoody4305 4 ปีที่แล้ว +5

      @@shariffaki8836 lkn uislam aukatazi asiye muislam kuingia masjid. Wakaribisheni wajue uislam wenu Kwa maneno na vitendo

    • @husnahassan6289
      @husnahassan6289 4 ปีที่แล้ว +3

      Sharif Faki dini yetu kaka nzuri Alhamdulillah

    • @shariffaki8836
      @shariffaki8836 4 ปีที่แล้ว

      @@husnahassan6289 kumbuka hao masheikh wote ao ni wanafiq cos serikali ukisimamia ukweli tu utskia unaitwa gaidi

    • @shariffaki8836
      @shariffaki8836 4 ปีที่แล้ว

      @@nurualamoody4305 Hakuna urafiki kati ya muislam na kafiri unajua ilo

  • @ammarsalah5693
    @ammarsalah5693 4 ปีที่แล้ว +10

    This was big May Allah show you the right way to pass JOHN POMBE MAGUFULI....and all other humans ....love you all my lovely brothers and sisters....May Allah bless us with a beautiful life in this world and in other life too.....Thank you♥️♥️♥️🥰🥰🥰

  • @alhajikipingu1661
    @alhajikipingu1661 4 ปีที่แล้ว +13

    Mungu akubaliki raisi wetu

  • @omarisjuma3198
    @omarisjuma3198 4 ปีที่แล้ว +5

    Barakallah fii mzee Magu afya njema

  • @dengeman4814
    @dengeman4814 4 ปีที่แล้ว +29

    Rais wetu kipenz cha watanzania kula yangu umeipat cjui wenzang

  • @khalidballeth5957
    @khalidballeth5957 4 ปีที่แล้ว +4

    Taqbiiirrrrr🙏🙏🙏🙏
    Allah Akbar🙏
    Mh rais mi 5 tena💪

  • @ashasaidi1895
    @ashasaidi1895 4 ปีที่แล้ว +2

    Kwa hili mheshimiwa umeweza cna ubishi mungu akuongoze ufanye mengi zaidi ya haya ktk uislam

  • @errydeo8865
    @errydeo8865 4 ปีที่แล้ว +45

    rais wa Tanzania!

  • @peterideka3479
    @peterideka3479 4 ปีที่แล้ว +7

    JPK!God bless you and honour you in this election 2020

  • @zainabmkomwa2064
    @zainabmkomwa2064 4 ปีที่แล้ว +2

    Allah akulinde Rais wetu n husda shari n akujaalie umri mrefu ww nibaraka kwetu

  • @rashidalshaid445
    @rashidalshaid445 4 ปีที่แล้ว +53

    Yaani ungeturuhusu na sie tulioko nje ya nchi tungekuchagua kwa kishindo. Lkn hata hivo amini ushashinda kwa dua zetu tu

    • @obedkiswaga2790
      @obedkiswaga2790 4 ปีที่แล้ว +2

      Usijali, tulioko huku tutakuwakilisha

    • @hashimabdallah673
      @hashimabdallah673 4 ปีที่แล้ว +2

      Rashid aishaid tunakuombea kwa uzalendo wako

    • @lovenessgodson1075
      @lovenessgodson1075 4 ปีที่แล้ว +1

      Kabisa naunga mkono hoja

    • @gloriamichael3698
      @gloriamichael3698 4 ปีที่แล้ว +1

      Asante sana jpm atapata kura za tetemeko siyo kishindo tena

    • @obedkiswaga2790
      @obedkiswaga2790 4 ปีที่แล้ว +1

      @@gloriamichael3698 Umeonaee, makelele kelele ya Lisu yamenifanya nipate hasira ya kwenda kupiga kura

  • @YusufAli-ib6xu
    @YusufAli-ib6xu 4 ปีที่แล้ว +9

    Blessed president Tanzania 🇹🇿 we have

  • @idrissatuppa3997
    @idrissatuppa3997 4 ปีที่แล้ว +9

    Ukimpinga huyu mzee uwe na sababu za Msingi.JPM mi 5 Tena Wale wengine ✌🏿 Tunaomba watupishe.

  • @andulilemwakihabha2048
    @andulilemwakihabha2048 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu akupe afya njema raisi wetu Magufuri

  • @abdallahbakari6154
    @abdallahbakari6154 4 ปีที่แล้ว +51

    Jamani watanzania tumepewa zawadi na mungu wetu magu tumpend jaman

  • @yasinshaban4933
    @yasinshaban4933 4 ปีที่แล้ว +5

    JPM teenaaa ✅✅✅🤸🤸🤸

  • @samsungj7pro64gb5
    @samsungj7pro64gb5 4 ปีที่แล้ว +16

    Allah akudhidishie moyo wa imani insha'Allah

  • @maryambarayan7599
    @maryambarayan7599 4 ปีที่แล้ว +17

    Wallahi nawaapia 🇹🇿 mkimbwaga jpm nyinyi ni wazembe na mafala. Mtapata wapi a leader who is honest and fair nowadays like him

    • @sagayefamily5149
      @sagayefamily5149 4 ปีที่แล้ว +2

      Sio tu tutkuwa mafara,,,,bari hata shetani atatucheka

  • @bernardoleonard7331
    @bernardoleonard7331 4 ปีที่แล้ว +5

    Mimi Act lakn kura yangu kwako mzee wangu na kwa bwege🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @rwandaafrika6173
    @rwandaafrika6173 4 ปีที่แล้ว +11

    Amen baba wawanyonge RAIS Magufuli ni mustarabu kwakweli

  • @dorothychusi7643
    @dorothychusi7643 4 ปีที่แล้ว +36

    Machizi waongee sasa Yani hapa keshaweka agano na mungu hamumuwezi jamani muache ni magu wa watu! Acha kabisa magu kanistua Kura yake hata iweje😀

  • @temkezatv4381
    @temkezatv4381 4 ปีที่แล้ว +1

    Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI

  • @naimasaid7763
    @naimasaid7763 4 ปีที่แล้ว +1

    Magufuli ana moyo sana, mungu akubariki ww baba, naamini mungu atakujaalia tena katika uchaguzi huu

  • @fdhjffdhjfsjdjfjfi9477
    @fdhjffdhjfsjdjfjfi9477 4 ปีที่แล้ว +1

    Mungu akuongoze uiyone njia ya haki inshaallah

  • @mrfix6596
    @mrfix6596 4 ปีที่แล้ว +5

    Kwa Zanzibar sisemi kitu, ila kwa bara Mjomba magu nakupa 100000%

  • @michaelndilima6210
    @michaelndilima6210 4 ปีที่แล้ว +22

    Safi sana

  • @abelkazil589
    @abelkazil589 4 ปีที่แล้ว +2

    kama Tanzania hamtaki magufuri Tunamwomba Kenya sis Tunaona anatufaa Zaidi maana. naona Hamna shukrani wakati watu wanamlilia mungu wapate rais kama wenu

    • @abelkazil589
      @abelkazil589 4 ปีที่แล้ว

      @@dicksonsisya349 yaani Tanzania tunawatamni kwa Amani mliyonayo afu mnaichezea mnataka kuongozwa na MTU katoka nje huko

  • @nabsgilo4896
    @nabsgilo4896 4 ปีที่แล้ว +4

    Beautiful through it represents the spirit of togetherness regurdless of the religion #we ar all one blood #lots of love #I see in President Magufuli alot that No other President in East Africa has the seem long liv East African President #leave along the dictators #I see no use for them to keep visiting ur country #love from augandan who is not in uganda now

  • @engzuberir.akilenza1764
    @engzuberir.akilenza1764 4 ปีที่แล้ว +4

    Hawa mashehe wengine mimi hata siwaelewi. Kwenye misimamo waroma wapo vzr.

  • @vumbakingvumbaking9571
    @vumbakingvumbaking9571 4 ปีที่แล้ว +1

    Magufuli mungu akulinde na husda akupe maisha marefu hii ni Alama ume tuachia (legers)🙏

  • @prettyh7509
    @prettyh7509 4 ปีที่แล้ว +23

    Mim ni mwislam lkn naona bora kuwa na rais mkiristo siyo mwislam anaetafta kuwaridhisha???? Penda maguuu🥰

    • @mulokozikatanga3430
      @mulokozikatanga3430 4 ปีที่แล้ว +1

      Raisi ni wa watu wote asichaguliwe kwasababu ya Dini yake au kabila lake ...bali ni kwasifa na uwezo wake wa kuongoza ....tafadhali hii kauli yako ni ya kibaguzi futa iyo dhana kichwan kwako ...tushatoka huko

    • @fatumachagudadui3138
      @fatumachagudadui3138 4 ปีที่แล้ว +3

      @@mulokozikatanga3430 hujamwelewa soma ujumbe wake upya pole lkn

    • @prettyh7509
      @prettyh7509 4 ปีที่แล้ว +3

      @@mulokozikatanga3430 hapana wala sifuti yaani kila nikiangalia tangu mwanzo angalau naona hvoo, we uliona wap rais anaamuru raia wake kudek barabara et rais wa nchi tajir anakuja na kubemb omba omba woote kwny gar bila kusahau wafanya biashara wdg wdg kuharibiwa mali zao et maisha boora

    • @hildabatromayo7518
      @hildabatromayo7518 4 ปีที่แล้ว +1

      Sana hata mm hivyo hvyo

    • @farisytanzania6566
      @farisytanzania6566 4 ปีที่แล้ว +1

      Huna akiri, hujitambu, pole sana Muislamu jina.

  • @hawakitoi6840
    @hawakitoi6840 4 ปีที่แล้ว +1

    Umetufanyia kitu kikubwa waisilamu nasi hatu budi kukupenda na kukushukuru.tarehe 28 tukamalize kazi.asante sana rais wetu

  • @georgeisdory9998
    @georgeisdory9998 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyu ndie Rais Magufuli 👍👍👍 hoyeeee

  • @dicksonmatulile1523
    @dicksonmatulile1523 4 ปีที่แล้ว +4

    Hongereni sana ndugu zetu waisilam

  • @Nyaso5417
    @Nyaso5417 4 ปีที่แล้ว

    NI NANI ASIYEYAONA ANAYOYAFANYA???!!
    YES THAT IS MY PRESIDENT KWETU HAKUNA UDINI SISI SOTE NI NDUNGU , WATOTO WA MAGUFULI ❤️❤️❤️❤️❤️❤️🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI AFRICA 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🌹🌹❤️❤️❤️❤️❤️🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @emanuelmtura5087
    @emanuelmtura5087 4 ปีที่แล้ว +2

    Magu5tena👊👊👊

  • @safiyatheonlything7848
    @safiyatheonlything7848 4 ปีที่แล้ว +7

    Mashallha alhamdullha Asante Mungu kwa hii zawadi rais anaongea kwa unyenyekezu mashallha jamani mpige kula kwa wingi kwa rais wetu lnshallha mm siko tz lakini naona maendeleo ya nyumbani yalivyo rami nasikia adi mtaani nafarijika sana

  • @omariswafuru9399
    @omariswafuru9399 4 ปีที่แล้ว

    Mwenyezi Mungu akulinde Raïsi le plus aimé de l'Afrique.Vive la Tanzanie ,vive l'Afrique.JPM unaleta furaha sana.......Aksanti.

  • @swalehfarid5466
    @swalehfarid5466 4 ปีที่แล้ว +2

    ALLAH Akupe Hidaya Uingie Katika Dini Ya ALLAH 🖑🖐

    • @tumainiumbe6313
      @tumainiumbe6313 4 ปีที่แล้ว +1

      Ndugu wote tunamuamini Mungu mmoja, huo ubaguzi wa kidini sio mzuri, muheshimu kila MTU na dini yake, huwezi ukatoa hukumu au ukajiona wewe ni zaidi ya wengine

    • @swalehfarid5466
      @swalehfarid5466 4 ปีที่แล้ว +1

      Sijabagua ndugu Yangu Na Sijakashif Dini Ya Mtu,Hata Wewe Pia Unaweza Kuniombea Nije Kwa Yesu Kristo.Mbona Nyinyi Ni Ndugu Zetu Wa Karibu! Tungekuwa Na Ubaguzi Rais Wetu Mpendwa Asingeweza Kuingia Ndani Ya Msikiti

    • @swalehfarid5466
      @swalehfarid5466 4 ปีที่แล้ว

      Tumaini Tunatakiwa Tuwe Na Upendo.Na Upendo wa Kweli ni Kuombeana Mema.

    • @tumainiumbe6313
      @tumainiumbe6313 4 ปีที่แล้ว +1

      @@swalehfarid5466 yaani ulivyosema aingie kwenye Dini ya ALLAH Maana yake Dini zingine za mashetani? Pia watu wengine huwaita wenzao makafiri wakati hakuna aliye muumba mwingine, hakuna kitu kibaya kama ubaguzi wa Dini na ukabila utakufanya umchukie mwingine bila sababu. Tumwombe Mungu atujalie Upendo

    • @swalehfarid5466
      @swalehfarid5466 4 ปีที่แล้ว +1

      Hapana Ndugu Yangu Sikumaanisha Hivo,Kwa Maombi Nilioomba Nimetamani Tuwe Tunashinda Nae Msikitini Kwakuwa Tunampenda Rais Wetu.Unachokipenda Unatamani Uwe Nacho Karibu Zaidi.Alafu Uislamu Unatulazimisha Tupendane Sote Na Unatukataza Tena Kwa Makatazo Makali Sana Kubaguana.Sisi Sote Tumeumbwa Na Mungu Mmoja Tu.Kinachotakiwa Nikushikana Na Kupendana Sio Kubaguana Na Kutengana

  • @CizaDangote
    @CizaDangote 4 ปีที่แล้ว +18

    Balozi ana elewa kiswahili. mbona Rais akisema Nampongeza balozi na Mfalme yeye hutingisha kichwa .

    • @marcodaud1005
      @marcodaud1005 4 ปีที่แล้ว +5

      Waarabu wengi hasa wa omani wanajua kiswahili vizur kabisa

    • @Hottatto816
      @Hottatto816 4 ปีที่แล้ว +1

      cfa ya balozi ya kwanza nikujifunza rugha ya eneo husika,hivyo kiswahil anakijua tena mpaka chamtaani

  • @isacknyaga4265
    @isacknyaga4265 4 ปีที่แล้ว

    Waoooo amaizing president da

  • @zulfahussein6784
    @zulfahussein6784 4 ปีที่แล้ว

    MashaAllaah Reis anayejali watu

  • @juliusmgoo7735
    @juliusmgoo7735 4 ปีที่แล้ว +1

    Magufuli baba lao

  • @hashimabdallah673
    @hashimabdallah673 4 ปีที่แล้ว +1

    Nakushukuru JPM kwa ubinadamu wako hata wanaokusingizia mungu atawahukumu

  • @budahboss3300
    @budahboss3300 3 ปีที่แล้ว

    the best prezo in the world😍😍😍

  • @ibrahimismail7591
    @ibrahimismail7591 4 ปีที่แล้ว +1

    Baba magufuli ww ni baba tunayafata maono yako hongera kwa kumtanguliza mungu

  • @KhalidAli-xx4vk
    @KhalidAli-xx4vk 4 ปีที่แล้ว

    Wewe kweli ni kiongozi wa kwali hongera sana na utashina kwa kishindo

  • @azizabdallah585
    @azizabdallah585 4 ปีที่แล้ว +7

    Kila mtu kuanzia Mfalme wa Morocco, Rais JPM na wengine wote waliohusika katika kufanikisha ujenzi wa Msikiti huu Mwenyezi Mungu Mtukufu anajua atawalipa kwa malipo kiasi gani baada ya safari ya kuondoka duniani....akhera na siku ya Qiyama.

    • @jumaswalehe907
      @jumaswalehe907 2 ปีที่แล้ว

      Umesoma historia ya masjid madhara enzi ya mtume?

  • @erodeshayo8672
    @erodeshayo8672 4 ปีที่แล้ว +1

    Mwenyewe waislam nawapenda Sana Co Siri Mung akujalie Jpm uzidi kuwakumbuka wacje wakasema unabagua tunakupenda sana

  • @ramamtangi7776
    @ramamtangi7776 4 ปีที่แล้ว

    JPM nakukubali Sana raisi wetu mitano tena Kwa kishindo

  • @fauzishma8033
    @fauzishma8033 4 ปีที่แล้ว +1

    Hiyo ni zawadi tosha kwa waisilam wa Tanzania ahasante yetu kweko ni kupigia kura wingi hatuna vile tunaweza rudisha shukran kwako hii litabadilisha mpaka nyoyo za waliokua wanakuchukia labda mwenye chuki binafsi Shukran shukran sana

  • @daslamonline4665
    @daslamonline4665 4 ปีที่แล้ว +5

    Huyu mwamba hana mfano ndio maana ntampa kura. Siasa za uchonganishi wa dini ubaguzi hana.

  • @asiaissa976
    @asiaissa976 4 ปีที่แล้ว

    Safi sana mh allah akujaaliye nawewe uipate neema yakujiunga na uislam ili ukafanikiwe akhera

  • @mutomubaya
    @mutomubaya 4 ปีที่แล้ว

    Pongezi Raisi, wewe ni kiongozi mwenye hekima sana ya uongozi wa ki siasa. Allah akujaalie oune vyema hekima yake na akujaalie umtambue inavyostahiki na akujaalie kufaulu duniani na akhera.

  • @mwanakombaabbas93
    @mwanakombaabbas93 4 ปีที่แล้ว

    Ma shaa Allah namuomba Allah akuonyeshe njia ya haki yaa rabb Allah Akuongoze akupe umri mrefu

  • @hashimsalum5231
    @hashimsalum5231 4 ปีที่แล้ว

    Milad nakukubali sn mungu akupe wepesi

  • @julihanjosephyjs6361
    @julihanjosephyjs6361 4 ปีที่แล้ว

    Jamani magufuli ataanavoongea mpaka anatia huruma yaani kwa unyenyekevu wake mungu awe nawe akupe nguvu rais wetu nakupenda Sana magufuli nakumbuka mbali nikikuona,

  • @aishasmoni5881
    @aishasmoni5881 4 ปีที่แล้ว +11

    Masha Allah

  • @habibamhina9075
    @habibamhina9075 4 ปีที่แล้ว +1

    Magu mungu akupe khery nyingiiii duniani na ahera pia,🙏

  • @julihanjosephyjs6361
    @julihanjosephyjs6361 4 ปีที่แล้ว

    Mfalme wa tz magufuli wetu nampenda Sana uhu baba akiongea mwili unasisimka machozi yanalengalenga upendo umepitiliza,mungu akupe afya mfalme wetu,Ila baba mjitahidi kupeleka maji vijijini na umeme Kama wenzetu wa omani ,Dubai,umeme mpaka mstuni mungu atawezesha tunamuitaji raisi anartiza mambomuhimu kea wanainchi wake tz sasaivi hakuna Ile unanijuwa Mimi Nani.

  • @asinatjuma8088
    @asinatjuma8088 4 ปีที่แล้ว

    Mwenyenzi mungu amjaalie umri mrefu rais wetu

  • @chikusangalala7759
    @chikusangalala7759 4 ปีที่แล้ว

    Mungu akupe maisha marefu rais wangu magu fuli

  • @eliaslukumay1661
    @eliaslukumay1661 4 ปีที่แล้ว +1

    Amen umoja ninguvu utengano niuthaifu.Pongezi sana Rais Magufuli Critiano na Msilim nikitu kimoja.

  • @jenyyusuph4973
    @jenyyusuph4973 4 ปีที่แล้ว +2

    Mungu mbariki jpm na viongozi wetu wote TAZAMA JINSI ILIVYO VEMA NA KUPENDEZA SISI TUKAE PAMOJA KWA UMOJA HAKI AMANI YA TANZANIA NI NZURI SANA SANA SANA HADI MACHOZI YA FURAHA

  • @ahmedalsalmi6327
    @ahmedalsalmi6327 4 ปีที่แล้ว

    Nakupenda bure magufuli umepita bla.wiv

  • @khadijahassan290
    @khadijahassan290 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyu baba ni jembe jmn watu wengine wanamchkia tyu lkn baba songa mbele nna iman mungu yuko pamoja na ww ucyebagua dini wala kabila💚💚💛💛 ccm ndo chama lao lina viongoz imara

  • @rukiaaminibwanamkuu1309
    @rukiaaminibwanamkuu1309 4 ปีที่แล้ว +1

    Mjomba magu kura yang inakuja kwako bila gagaziko llte mungu atufikishe salama hiyo sku na utashinda 90%

  • @husseinloyy1912
    @husseinloyy1912 4 ปีที่แล้ว

    Allah akupe afya njema jpm....kura kwake

  • @hawahabibu661
    @hawahabibu661 3 ปีที่แล้ว

    Mungu akuweke pamoja na mitume🙏🙏😭😭Rais wetu

  • @mrbayuali6916
    @mrbayuali6916 4 ปีที่แล้ว

    God bless my President JPM

  • @athumanmreta6552
    @athumanmreta6552 4 ปีที่แล้ว

    Mhh huyu baba anadaraja kubwa peponi kweli

  • @peterkailembo4101
    @peterkailembo4101 4 ปีที่แล้ว +1

    Huyu baba jamani sijui ni zawadi gani kubwa apewe kwa kazi nzito, watu wanabeza tu utafikiri wao wangeweza hata nusu ya kazi ya huyu mzee

  • @rahimamkumbo3238
    @rahimamkumbo3238 4 ปีที่แล้ว +1

    Magufuli akisema itakuwa inakuwa sasa ww unayesema anabagua sijui unakaa nchi gani uliza tukusaidie tulikotoka na hapa tulipo

  • @abdularuffin9308
    @abdularuffin9308 4 ปีที่แล้ว

    Wewe Ni rais wa mfano Allah muingize pale unapopanda pepon na dini yako,innshaallah

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 4 ปีที่แล้ว

    Raisi we2😍😍