Yanga SC 3-2 Mwadui FC | Highlights | VPL 20/06/2021

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2024
  • YANGA vs MWADUI: Yanga SC wamezitumia dakika nne za nyongeza kupata magoli mawili muhimu yaliyowapa ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya Mwadui FC katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam.
    Magoli ya Yanga yamefungwa na Bakari Mwamnyeto, Yacouba Songne na Wazir Junior wakati magoli yote mawili ya Mwadui yakifungwa na Aniceth Revocatus.
    Katika hatua nyingine, Fiston Abdoulrazack wa Yanga amekosa penati kwenye mchezo huu, iliyopanguliwa na golikipa Mussa Mbisa.
    Tufuatilie kwenye mitandao mingine ya kijamii:-
    ►INSTAGRAM: / azamtvtz
    ►INSTAGRAM: / azamsports2
    ►TWITTER: / azamtvtz
    ►FACEBOOK: / azamtvtz
    ►WEBSITE: www.azamtv.co.tz

ความคิดเห็น • 99

  • @mwanahamisseif5506
    @mwanahamisseif5506 3 ปีที่แล้ว +11

    Daaah ili gemu sichoki kuliangaliaa wallah wananchiii tulisha kata tamaa jamani Mungu ni mwemaaaaa🙏🙏🙏💛💛💛💚💚💚💚

    • @zuchuwcb8655
      @zuchuwcb8655 3 ปีที่แล้ว +2

      Yaan ata mm😂😂

    • @paulshaban8933
      @paulshaban8933 3 ปีที่แล้ว +1

      He is also the chief of Hassan's 🤢💚💯👨‍🏫💟💯🗨🚵‍♂️ this is Future wash

  • @elliky2wo2wo95
    @elliky2wo2wo95 3 ปีที่แล้ว +11

    Wakwanz naomben like wananchii💛💚

  • @edibilychaula.3753
    @edibilychaula.3753 3 ปีที่แล้ว +5

    Moja kati ya mechi ambayo wana Yanga hatuta kuja kuisahau ni hii💚💚💚

  • @deogratiuskalolo256
    @deogratiuskalolo256 3 ปีที่แล้ว +5

    Daah wanaume waliiga sana kazi nilijua hii game tunafungwa kumbe kuna watu walikua na magori nilifurahi sana

  • @shaninaftary1693
    @shaninaftary1693 2 ปีที่แล้ว +7

    Hii mechi haichoshi kuirudia kutazama..I love u Yanga❤

    • @officialmtangakingkassimu5291
      @officialmtangakingkassimu5291 2 ปีที่แล้ว +1

      Katika mechi za msimu ulio pita ninazo rudiaga ni hii

    • @edibilychaula.3753
      @edibilychaula.3753 2 ปีที่แล้ว

      Yani hii match nairudia kila wakati kuangalia na hainichoshi dah haita kuja kusahaulika hii match

  • @emmanuelmtonyole9958
    @emmanuelmtonyole9958 3 ปีที่แล้ว +6

    Daàaaa Hadi saivi sauti yangu haijarudiiiii goli la 3 lakausha sautiii aiseeee 😂😂😂😂😂😂😂💪💪💪💪💪💛💛💛daima mbele nyuma mwiko

    • @sakinachamshama1398
      @sakinachamshama1398 3 ปีที่แล้ว +1

      hunishindi mimi yani nilifurahi mno ila sijui kwanini sikuwa na hofu kabisa

  • @dianajeremiah5662
    @dianajeremiah5662 2 ปีที่แล้ว +2

    Sitaka ni isahau hii mechi 🙌🙌🙌

  • @kudramzee5769
    @kudramzee5769 2 ปีที่แล้ว +6

    Wangapi wanaangalia hii

  • @ashurakanyaru7366
    @ashurakanyaru7366 3 ปีที่แล้ว +11

    HII MECHI ITABAKI KUWA HISTORIA VIZAZ NA VIZAZ

    • @shafiikhamis2336
      @shafiikhamis2336 3 ปีที่แล้ว +2

      Sana...ilikua n game ya aina yake kwa kweli

    • @theodorycharles4959
      @theodorycharles4959 3 ปีที่แล้ว

      kwakupakatwa2 hamjambo ila mngefungwa nyie hilo goli ungesikia Tff wanatuhujumu ila sababu mlipakatwa mkatulia2 ila kwani mnachelewa

    • @sakinachamshama1398
      @sakinachamshama1398 3 ปีที่แล้ว

      @@shafiikhamis2336 mnoooo mikia wanaumia hatari

  • @sadikidaudi460
    @sadikidaudi460 10 หลายเดือนก่อน +2

    Timu kubwa ilionyesha ukubwa😂

  • @designeridrisa6079
    @designeridrisa6079 3 ปีที่แล้ว +3

    Wa kwanza leo

  • @iddyjuma7166
    @iddyjuma7166 3 ปีที่แล้ว +9

    Afu watu wa simba wanasema eti gol la 3 alikuwa kazidi hahahaaaa yanga nihatari watu wanaumia

  • @edinaboss1835
    @edinaboss1835 2 ปีที่แล้ว +2

    Mtaa wa pili domo zegeee💪

  • @samweliolengaya9942
    @samweliolengaya9942 3 ปีที่แล้ว +5

    Hakika yanga sasa inakuwa timu haiii natamani sana hawa wangekuwa simba jamani

  • @charitymkombozi1800
    @charitymkombozi1800 3 ปีที่แล้ว +4

    😀😀😀😀😀mpenja alibaki anasema tu waziiiir waziiiir waziiir cha kusema kilikosekana

  • @peterkamara5911
    @peterkamara5911 3 ปีที่แล้ว +5

    Lilikuwa swala la muda tu..katika match mashabik wa yanga watakumbk bs ndo hii

  • @Murtini2023
    @Murtini2023 3 ปีที่แล้ว +2

    What an incredible ending.

  • @sakinachamshama1398
    @sakinachamshama1398 3 ปีที่แล้ว +7

    sichoki kuangalia haya magoli,

  • @sakinachamshama1398
    @sakinachamshama1398 3 ปีที่แล้ว +5

    bakari nondo anastahili kitambaa cha ukaptaini anapambana sana

  • @joshuamwambene6041
    @joshuamwambene6041 2 ปีที่แล้ว +3

    Mmmmh tulibanwa na hivi vitoto lakini mkubwa nli mkubwa tu.

  • @filipengog3362
    @filipengog3362 2 ปีที่แล้ว +1

    Nakubali

  • @addelineantony3622
    @addelineantony3622 2 ปีที่แล้ว +2

    Match tamu hatari

  • @charitymkombozi1800
    @charitymkombozi1800 3 ปีที่แล้ว +4

    Yanga wanaimarika kila kukicha, ilikuwa ni nadra sana kuona timu inatengeneza nafasi nying kama hizi siku za karibuni huyu nabbi ni bonge la kocha tumpe muda azidi kutengeneza kikosi pia tupate striker za maana

  • @yacenharuna380
    @yacenharuna380 3 ปีที่แล้ว +6

    Yanga SC jana mlnifanya usku nikojoe ktandani kabsa 😀😀😀😀, goli la Waziri Jr nlliota nikiwa na kbinti cha KITANGA kitandani 😀😀😀😀😀😀, Dadeq jana nliamin mpira n dak 90 kwel ndo ujue umeshinda au la🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙏🙏

  • @hatari9591
    @hatari9591 9 หลายเดือนก่อน +1

    Ilikuw ni off side

  • @johnnyoloni5888
    @johnnyoloni5888 3 ปีที่แล้ว +1

    Yanga baba lao

  • @iddimngazija1957
    @iddimngazija1957 3 ปีที่แล้ว +3

    Hii mechi sichoki kuitazama

  • @adamamin8148
    @adamamin8148 3 ปีที่แล้ว +3

    Mpira ulikuwa mzuri sana mwadui wamecheza sana lkn yaanga walifit kila sehem saidi ntibazolkiza akiacha ubinafs yanga itakuwa inapata magoli mengi sana ntibazokiza aache ubinasi najua kila mchezaji anataman kuwa na magoli mengi ushaur wangu panapo nafasi funga ukiona auna nafasi ya kufunga toa pasi kwa mwngine afunge kuinusuru tim yanga ni tm kubwa pia ongera kocha

    • @athumanimbaya9509
      @athumanimbaya9509 3 ปีที่แล้ว

      Ni kweli kabisa, unachoongea, maana, hata Kaseke, na Tk master, wangekuwa, wabinafsi, hii mechi, tulikuwa, tumelala, yombo.

    • @onesmojustice2348
      @onesmojustice2348 3 ปีที่แล้ว

      Tatizo la saido ni ilo jina god father ni laana hiyo

    • @mathiasulaiti5665
      @mathiasulaiti5665 3 ปีที่แล้ว

      kwa ujumla hali ya ubinafsi inaanza kupotea tumpe muda. coz mwanzoni wachezaji wote walikua na umimi. hii timu ni nzuri na ina matumaini sana . wakiondoa ubinafsi mamo yatakua mazuri siku za usoni

    • @mwanahamisseif5506
      @mwanahamisseif5506 3 ปีที่แล้ว

      @@mathiasulaiti5665 Sanaaaa umenenaaaaa

  • @albertlukoo7386
    @albertlukoo7386 3 ปีที่แล้ว +2

    Washangiliaji wa simba ni waimba taraabu

  • @pascalpaul3596
    @pascalpaul3596 2 ปีที่แล้ว +1

    Ukweli mbaya ila mechata ulikuwa unaihujumu yanga

  • @onesmojustice2348
    @onesmojustice2348 3 ปีที่แล้ว +1

    Kwakweli hii game ichunguzwe vizr kwa nini ata kabla refa hajapuliza kipyenga cha mwisho mwadui walale chini na kulia?

  • @msabato.6947
    @msabato.6947 3 ปีที่แล้ว +5

    Raisi wa tff ombilangu sheria ya dakika za nyongeza ifutwe

    • @busnaoman9981
      @busnaoman9981 3 ปีที่แล้ว +2

      Nautapat tabu San 👌👌👌👌dume km jike bhn hovyoo

    • @yacenharuna380
      @yacenharuna380 3 ปีที่แล้ว +2

      😀😀😀😀 na Mkia FC kwa game ya Tz prison maana nae alsawazisha goli dak ya 95, TFF irudiwe hyoooooo

    • @charitymkombozi1800
      @charitymkombozi1800 3 ปีที่แล้ว

      😀😀😀😀😀

    • @mathiasulaiti5665
      @mathiasulaiti5665 3 ปีที่แล้ว

      kwani ww umetokea waapi mtaa huu??

    • @lisasilisasi2653
      @lisasilisasi2653 3 ปีที่แล้ว

      Haifutwi sawa

  • @jamesmahatane2723
    @jamesmahatane2723 3 ปีที่แล้ว +2

    😅 somaiyoooooooooooooo

  • @zaunafelix3522
    @zaunafelix3522 3 ปีที่แล้ว +3

    Yani unajikuta choz linadondoka

  • @allymandunda3095
    @allymandunda3095 3 ปีที่แล้ว +3

    Yanga damu

  • @dartnatuscharles8268
    @dartnatuscharles8268 3 ปีที่แล้ว

    mechi zinazo chezwa leo talee 6-9-2021

  • @samweliolengaya9942
    @samweliolengaya9942 3 ปีที่แล้ว +2

    Mhmhmhm mpenja nawe unaweka chumvi dah

  • @dayanalema2351
    @dayanalema2351 2 ปีที่แล้ว +3

    Hii mechi sito sahau

  • @loishiyesamwel1374
    @loishiyesamwel1374 3 ปีที่แล้ว +3

    Goli la offside hili la mwisho we angalia mfungaji alikuwa wapi? Mmefichiwa aibu tu.

    • @yacenharuna380
      @yacenharuna380 3 ปีที่แล้ว +1

      Tatzo Education kwako

    • @lokole22tv
      @lokole22tv 3 ปีที่แล้ว +1

      Sio offside angalia usawa wa beki anaemfukuza Tuisila kisinda na usawa alipo Waziri Junior, achana na hao mabeki wawili wa kati wa mwadui.

    • @yosiamakago6224
      @yosiamakago6224 3 ปีที่แล้ว +1

      Nyoook

    • @thadeylyimo9772
      @thadeylyimo9772 3 ปีที่แล้ว +1

      kwani mfungaji alikuwa wapi wakati yacuba anapiga pass mbele ya kisinda.. mpira ulipita mbele.. Kisinda na waziri waitoka nyuma ya mabeki wakawapita wakati mpira uko mbele.. hakuna offside apo bro... LADBA KAMA HUNA IDEA YOYOTE KUHUSIANA NA SHERIA YA OFFSIDE NDIPO UNAWEZA SEMA NI OFFSIDE... kisinda anapiga pass kwa waziri angalia kama waziri yuko mbele ya mpira au nyuma ya mpira..

    • @youngsnipertz9415
      @youngsnipertz9415 3 ปีที่แล้ว

      Tatizo hukucheza hata mpira

  • @user-pb5gd7uy8o
    @user-pb5gd7uy8o 9 หลายเดือนก่อน

    Hata simba warifungwa ya ofsadi

  • @jisenalukeleshajisenalukel8689
    @jisenalukeleshajisenalukel8689 ปีที่แล้ว

    Duh

  • @fid-focwayesu2759
    @fid-focwayesu2759 3 ปีที่แล้ว

    Kiufupi ya jua mpira sema ndiyo hivyo tuu..yanga jaman dah

  • @lameckrambert7444
    @lameckrambert7444 2 ปีที่แล้ว

    Mbao fc

  • @momadeissa752
    @momadeissa752 2 ปีที่แล้ว +1

    L

  • @silviasebastian2094
    @silviasebastian2094 2 ปีที่แล้ว

    😅😅😅

  • @mato4g818
    @mato4g818 3 ปีที่แล้ว +1

    Tizzo

  • @machinefannatic99
    @machinefannatic99 3 ปีที่แล้ว

    Mwadui hawana mapumbu

  • @alfredmashala4062
    @alfredmashala4062 3 ปีที่แล้ว

    0

  • @machinefannatic99
    @machinefannatic99 3 ปีที่แล้ว

    Goli la mwisho offside lakini sijajua kwanini timu kubwa zinasaidiwa na marefa na mtangazaji anajifanya haoni

    • @mathiasulaiti5665
      @mathiasulaiti5665 3 ปีที่แล้ว +3

      angalia vizuri weka slow motion. msipende kuwa na macho ya matege.

    • @machinefannatic99
      @machinefannatic99 3 ปีที่แล้ว

      @@mathiasulaiti5665 wewe ndio una macho ya kishoga embu tumiaga akili sio kila kitu ushabiki, ndio maana afrika hauendelei. Clear offside alafu bado unaleta siasa.

    • @sephaniaayubu1877
      @sephaniaayubu1877 2 ปีที่แล้ว

      Yan Apo nisawa naboko awe onside amvuke beki ok chama nae awe alivuka naboko mda uwo wakipasiana nikosa? Ko mpira hauitaj macho tu nauerewa piah

  • @davidbahati8327
    @davidbahati8327 3 ปีที่แล้ว +1

    Yanga kwel mmeishiwa yaan mlishangilia kuwafunga mwandui Kama vile ndo fainal mnachukua kombe, makelele mitaa yote, yaan wewe ni wa kushangilia kwa kuifunga timu iliyoshuka daraja tokea mwez wa 4

    • @kwamefidel736
      @kwamefidel736 3 ปีที่แล้ว +1

      Kama unalijua hilo mbona mwadui walikuwa wanalia na kunyong'onyea Kama ndo mechi iliyowashusha daraja waliahidiwa mrungula hao

    • @laipazergy7938
      @laipazergy7938 3 ปีที่แล้ว +1

      Kama huelewi kaa kimya mbwa wewe, unaona kawaida kufunga magoli mawili ndani ya dakika nne za nyongeza

    • @charitymkombozi1800
      @charitymkombozi1800 3 ปีที่แล้ว

      Acha ujinga

    • @onesmojustice2348
      @onesmojustice2348 3 ปีที่แล้ว

      Nyie mlikuwa mnashangilia nini kumfunga namungo na ruvu?

    • @sakinachamshama1398
      @sakinachamshama1398 3 ปีที่แล้ว

      @@kwamefidel736 asante umemjibu vizuri sana

  • @aud548
    @aud548 9 หลายเดือนก่อน +1

    Sema tumetoka mbali sana asee🙌🙌🙌😂😂😂