TAMBUA NAFASI ULIYONAYO - PASTOR SUNBELLA KYANDO

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 17 ต.ค. 2024
  • Kila mtu kuna kitu ambacho Mungu amekiweka ndani yake.Kuna nafasi ya wewe kukaa na kupitia hiyo ndipo baraka zako zilipo.Watu wengi wanateseka na kuhangaika kwa sababu hawajui nafasi Mungu alizowapa,na kwa sababu hawajui na kukaa katika nafasi zao,nafasi zao zimekaliwa na watu wengine.Ndio maana kuna vitu ambavyo sio vya haki vinavyotendwa na watu waliokaa katika nafasi fulani.Swali la kujiuliza,ni nani kawaketisha hao katika hizo nafasi?na ni nani ambaye kwa haki alitakiwa akae hapo?nini kimemzuia kukaa?
    Je, mahali ulipo ndipo unapotakiwa kuwepo?
    Unaposikiliza neno hili kutoka kwa Mtumishi wa Mungu Pastor Sunbella Kyando Mungu akafungue ufahamu wako ili ujue ni nafasi gani iliyo haki yako na akuwezeshe kukaa hapo.
    #PastorSunbellaKyando#Ukuta#Yeriko

ความคิดเห็น • 34

  • @petermunuo1657
    @petermunuo1657 ปีที่แล้ว +1

    Amen mtumishi barikiwa sana

  • @elishasoka6692
    @elishasoka6692 2 ปีที่แล้ว +1

    ninaachilia mafuta mabichi ya roho mtakatifu katika maisha yangu ya kiroho na kimwili na mambo yangu yote ninayoendelea kuyafanya ivi sasa kwa Jina la yesu rohoo mtakatifu ukayakamilishe.

  • @marianyahenge9529
    @marianyahenge9529 11 หลายเดือนก่อน

    Ninapokea kusudi lako Mungu Katk jina la yesu

  • @marianyahenge9529
    @marianyahenge9529 11 หลายเดือนก่อน

    Nimefikiria Sana pastor umeniamsha

  • @jemaaloyce8096
    @jemaaloyce8096 ปีที่แล้ว

    Amen

  • @marianyahenge9529
    @marianyahenge9529 11 หลายเดือนก่อน

    Amen pastor

  • @Wekesa-m1u
    @Wekesa-m1u ปีที่แล้ว

    Amen asante kwa mafundisho mazuri

  • @samkipandula
    @samkipandula 2 ปีที่แล้ว +1

    Kwakweli Pastor yaan mafundisho yako yana kweli ya Mungu kabisa...aise Mungu azidi kukutumia sana sana

  • @annnduku9879
    @annnduku9879 ปีที่แล้ว

    Glory

  • @innocentcareen818
    @innocentcareen818 ปีที่แล้ว

    😢😢😢 nisaidie Mungu nifike

  • @jeremiahsemei
    @jeremiahsemei ปีที่แล้ว

    Glory be to God

  • @annnduku9879
    @annnduku9879 ปีที่แล้ว

    Powerful

  • @neemasaidisaid1791
    @neemasaidisaid1791 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen amen amen amen. Naiwekwangu kwa jina la yesu

  • @raphaelmirambo248
    @raphaelmirambo248 2 ปีที่แล้ว

    Unapatikana Kanisa gani dady hapa Dar

  • @judithjackson6083
    @judithjackson6083 3 ปีที่แล้ว +1

    Ameeni😪😪😪

  • @samkipandula
    @samkipandula 2 ปีที่แล้ว +1

    Pastor ubarikiwe Sana!

  • @silenceneverson8648
    @silenceneverson8648 2 ปีที่แล้ว

    listening from South Africa man of God may God bless you

  • @P.W.I.P.I_MINISTRIES
    @P.W.I.P.I_MINISTRIES 2 ปีที่แล้ว

    Umetibua maji yaliyokuwa yametulia ndani yangu. Nmesikiliza nmekosa utulivu kabisa.
    Thank you Lord 🙏

  • @dianayesse3904
    @dianayesse3904 2 ปีที่แล้ว +1

    Hello daddy... Man of God please I need tuzungumze nakwama baba yangu😭😭😭

    • @pastorsunbellakyando
      @pastorsunbellakyando  2 ปีที่แล้ว

      0657173322 karibu sana tumia hiyo namba pia karibu sana kanisani

  • @نببابيتقبلتبل
    @نببابيتقبلتبل 2 ปีที่แล้ว

    Ameen 🙏

  • @billionairetz256
    @billionairetz256 3 ปีที่แล้ว +1

    Holy Holy Holy

  • @ibrahimvedasto614
    @ibrahimvedasto614 3 ปีที่แล้ว +1

    That's true

  • @happinessmtani7621
    @happinessmtani7621 2 ปีที่แล้ว

    barikiwa Baba

  • @ivanfaustin9717
    @ivanfaustin9717 2 ปีที่แล้ว

    Leo ni Siku yangu

  • @Jk-ht8rr
    @Jk-ht8rr 3 ปีที่แล้ว

    Nafuatilia nokiwa qatar naomba kuwasiliana na mtumishi

  • @revocatusngomele4905
    @revocatusngomele4905 2 ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏🙏

  • @patrickmwenda382
    @patrickmwenda382 2 ปีที่แล้ว

    Praise be to the Lord

  • @mwaumark4372
    @mwaumark4372 3 ปีที่แล้ว +1

    Hello man of God? My name is Mark Aron from Nairobi Kenya. How can I make appointment with you?

  • @yoshuamakoyeyoshuamakoye1663
    @yoshuamakoyeyoshuamakoye1663 ปีที่แล้ว

    Amina

  • @OS-pf6op
    @OS-pf6op 2 ปีที่แล้ว

    🙏🙏🙏

  • @ladyjackline429
    @ladyjackline429 3 ปีที่แล้ว +1

    Amen