Sitakufa Bali nitaishi ,uchawi sio fungu langu,magonjwa,mauti mikosi sio fungu langu,,bwana yesu napokea uponyaji kwa jina yesu,napokea baraka kwa jina la yesu, ameen
nilikua nasikiliza lakin nashangaa nilianza kulia mwenyew nakukamaa gafla nina imani mungu amenitendea nashukur mtumish kwa maombi yako mungu akubariri
Ameen 🙏Asante yesu kristo nasubil siku muhim nitabadili dini yesu ananiita kila siku
Tii sauti ya Yesu.
Ubarikiwe sana Baba Gwajima ...Namshukuru MUNGU kwa maombi haya 🙏🙏🙏 MUNGU azidi kukutumia
Ameen 🙏Asante yesu sitaki Kufa kwa uchawi sitaki kushindwa kwa uchawi sitaki kuugua kwa uchawi Bali nitashinda na ushindi wa yesu kristo nitaishi
Mungu umubariki Mutumishi wako milele🙏🙏🙏
Amen mtumishi wa mungu nimepona na familia yangu katika jina la yesu kristo
Aksante Yesu kwa uponyaji wako🙏🙏🙏
Kwa jina la Yesu mtoto wangu atapona kihozi na wala hata kufa bali ataishi milele yote.Amina
Hii ndo injili ninayoitaka mimi Asante Yesu kwa upendo wako
Nami pia, lakini wengi hawaitaki wanataka zile za njoo upokee gari njoo upokee nyumba,,,,, 😂
Barikiwa Mtumishi wa Yehova, hakika sitakufa kwa magonjwa ya manuwizo ya madhabahu za wachawi na vinyago vyao, ln Jesus name
Amen na shukuru mungu kwa maombi yameniguza sana Ahsate Sana mchungaji kwa maombi
Asante kwa neno,nami naomba nibalikiwe.
Mwanangu apokee uponyaji kwa jina yesu kwa maombi ya mtu wa Mungu Amen
Amen ubarikiwe mutumishi wa Mungu
amen nimepona sitaharibika mimba tena kwa jina la YESU kristo tangu sasa,Amen
Thank you man of God,God bless you so much, nimeumia kwa mda lakini nimekupata na nikapata usaidizi WA Mungu kupitia ww
Amina, napokea uponyaji wangu
Sitakufa kwa uchawi kwa Jina la Yesu Kristo.we are blessed with my children in the Mighty Name of Christ
Amen🙏🏾🙏🏾
Amen mungu napokea uponyaji wangu magonjwa yanayonitesa mwilini katika jina la Yesu
Hongera mtumishi Kwa maombi
Sitakufa kwa uchawi mapepo wala maradhi katka jina la yesu. Napokea uponyaji in blood of Jesus Christ name.
Sitakufa Bali nitaishi ,uchawi sio fungu langu,magonjwa,mauti mikosi sio fungu langu,,bwana yesu napokea uponyaji kwa jina yesu,napokea baraka kwa jina la yesu, ameen
Naamini Mungu amenitembelea hata nami ..jina LA Yesu linaweka huru na lina Nguvu
Ubarikiwee mtumishiwamunguu
Jamani mimi nampenda sana babaangu wa kiroho askofu Gwajima I love more...
Sitakufa Bali nitaishi kwa jina la Yesu..Amen
Naomba uweze kutembea Kenya hivi karibuni
nakukubari sana Mungu akuzidishe zaidi mtumishi wa Mungu
Amen.Maombi haya yameniguza sana I thank God for all he has done for me
Imeandikwa sitakufa bali nitaishi, ili niyasimulie matendo makuu ya Mungu. Amen
ameeeen pastor nimepona kwa jina la bwana
lord gave strength
Amina
Uchawi wao uwarudie katika jina la yesu na pokea uponyaji nikiwa Saudi Arabia Amen.
Emmah Owour amen
Emmah Owour amen
Emmah Owour amen
Asante Sana kwa maombi yako naamini ntapona
Amen dady barikiwa Sana
Mungu ametupa zawadi kwa Wa Tanzania 🇹🇿
Hakika Mungu akubariki sana kwa maombi haya, nimefunguliwa kwa imani
Sitakufa kwa uchawi wala mapepo
Mungu akubarik naakurinde
Bwana yes asifiwe nabalikiwa sana namaombi yamtumish wamungu
nilikua nasikiliza lakin nashangaa nilianza kulia mwenyew nakukamaa gafla nina imani mungu amenitendea nashukur mtumish kwa maombi yako mungu akubariri
Amen
nabarikiwa sana sijuwi nikupate wapi
mungu akubariki
Sitakufa Bali nitaishi katika jina la yesu
Napokea Uponyaji kwa jina la YESU
Uchawi uwarudie kwaoooo amen
Napokea hayo maombi katika jina LA yesu
Baba ubarkiwe Kwa kile ulichopewa na mungu
Nitapona kwa Nina LA yesu kristo sita kufa Bali Nitaishi Amen
Amen nimepona in Jesus name
Amin baba na pokeà upo naji
Napokea uponyaji kwa jina la yesu
Sitakufa bali nitaishi mimi na mtoto wangu kwa jina la Yesu
Sitakufa kwa magonjwa in Jesus name
Napokea muuzaji kwa jina la yesu
Amen. Asante YESU KRISTO.
wow wow wow wow wow/ gwajima hakika wewe ni mkombozi wa tz
there is nothing god cant do,but salvation is important than physical healing,we all need healing
absolutely right
Amen Amen Baba.
Mungu saidia Waafrica wanateseka saana na Mapepo inaumiza saana
amen napona kwa jina la Yesu
Sitakufa kwa uchawi mapepo wala maradhi bali ntaishi kwa jina la Yesu
Mungu mbariki mtumishi wako
Ombea kazi yangu
Napokea uponyaji wangu
Ameeen niko saudi Arabia anisaidie kwa kazi
Ndio maana korona umekimbia
Nchi hii Ina upako,watanzania wanampenda Mungu
Naipenda Sana nchi hii
Ameen nimepokea
Amen mtumishi
Sitakufa kwa uchawi wala mapepo mimi na wanangu kwa jina la yesu
Niponye Kwa jina la Yesu
Wonderful ministry be blessed
👏🇯🇲🇧🇫❤❤
Mungu ni ponye
Amen nipokea uponyaji
Mwangu janeth hatakufa kwa uchawi kwa jina la yesu kristo.
Barikiwa baba
Naomba baba angu apokee uponyaji kirahisi kuanzia sasaa. Batista apokee uponyaji kwa Jina la yesu
AMEEN AMEN AMEEN
Ameeen I receive it!
God is great
Nimepona in jesus name amen
Napokea uponyaji kwa damu ya yesu kristo
Amina mtumishi wa mungu
Ameni
Amiin
Mungu ni Mwema
asante kwa nifunguwa
Amen nikiwa saudia
Napokea uponyaji juu ya mwanangu janeth
Amina baba
Be blessed
the whole dar to heaven!
Ameeeen Ameeen
ASKOFU GWAJIMA TUNAOMBA UJE SINGIDA MJINI .TUNAKUHITAJI MTUMISHI WA MUNGU.ASANE BABA.
Nakusikiza nikiwa Saudi Arabia baba
pepo hawezi kumtoa pepo mwenzake
Washindwe na miungu yao na uchawi wao in JESUS NAME
Betty Andeso lipo ubungo
Yesu yu hai haleluyaàaaaaaa
AMEEEN kubwa
Utukufu baba Mimi Niko simiyu ninaombi nataka kutumia njini ya ushirika wa ufufuo na sijaenda chuo chako nifanyeje baba
shalom
ameni
Ameeeeen
Ameen
Ameeeeeem
ameeeeeee
@@rehemaradhid5716 dadangu nipo mbali nchi ya uarabuni lakini siku nitakapo fika Kenya nita kuja TZ kumwona baba Askofu
Amina
Amen n glory be to God
ameni sitakufa Bali nitaishi kwa jona LA yesu
Amen Baba
Amen
ameen
Sitakufa kwa Nina LA yesu,mi ni mwana was ufalme,yesu ameshinda mauti
Brenda Nasenya m
jina LA yesu liiniliwe
Napokea uponyaj kwajina layesu
aameni