Mchungaji kuna mtu huniambia kila wakati nimpee nyota yangu na mimi huku maisha yangu haendelei tangu nimjue yeye .Maombi yangu kupitia Nabii wa Mungu naomba nyota yangu ikaweze kurudi katika jina la yesu.
mtumishi wamungu,naitaji maombi yako ili nipate kurudishiwa nyota yangu yakazi nayandoa.nimeoa zaidi yawanawake watano nakila ninayefunga naye ndoa.hutoekatu baada yakazi yangu kuharibika.nimachungu sana kwakua wanapoondoka,hunibebea kila kitu kwanyumba.hadinina sasa ninaishi maisha ya kuchanganyikiwa.ninayo imani yote yanaenda kuisha kwa jina la yesu
Mutumishi wa Mungu unisamehe kuna siku nili kuhukumu nikizani kama nawewe una tumiya nguvu za ngiza kama wengine kumbi nili njidanganya nilipo kuona una fanya mukutano na mwengine Mutumishi wa Mungu baye nina juwa amemuasha Mungu akifanya kazi na shetani basi nilipo waona wote muki tumika pamonja nikakuhukumu nawewe bila kukuombeya niulize Mungu. Ila sasa nimesha juwa ukweli kuku husu wewe kama ni Mutumishi wa Mungu wa kweli nakuomba unisamehe na Mungu wambinguni ani samehe
🤦♀️😀!!EXCELENCE BABA ASKOFU GWAJIMA KUNA WATU WAMEZALIWA NA NYOTA KUTOKA KWA MUNGU ☝️🎁!!NIMESHUHUDIA HII !!KTK LIFE YANGU KTK UTABIRI WA KUJIRUDIA!! NA WATUMISHI MBALIMBALI TANGU NIKIWA BINTI NIMEBARIKIWA KAMA MALKIA WA MBINGUNI 🎁☝️⭐️LAKINI WATU AMBAOWAMEKUWA WAKIJARIBU KUROGA NYOTA ⭐️☝️🎁YANGU WAMEKUWA WAKI CATCH WILD 😜😨!!KUCHSNGANYIKIWA AKILI 😨!! 🤦♀️😀🙏GOD HEAVEN NETWORK IS NOT AVAILABLE!!TO AMAZING GRACE DAUGHTER OF GOD ☝️💃💪
Amen Bishop asante kwa fundisho nzuri ila nitarudishaje nyota yangu maana nimefanya kazi kwa mda mrefu lakini sijafanya maendeleo na pesa napokea lakini zapotea tu sioni jinsi zinatumika naomba maombi yako
Surely God has given unto you a revelation that uncontestable in all dimension and without it, I would have lived and died in ignorance. May the Lord God continue to use you and bless you mightily.
baba asante nimekuelewa na ninakufatilia sana naomba unikumbuke kwenye maombi mke wangu anasumbuliwa na ugonjwa wa majano anaishiwa damu mara kwa mara baba sema neno tu atakuwa sawa anaitwa jeska Lucas
ubarikiwe mchungaji umenifunza mambo yenye sikuwa, laana za familia, kuvunja laana za udogo, kanisa langu, huwa wanasema hakuna uchawi, lkn Mimi najua kuna uchawi, aki mungu akubariki sana, nko Nairobi
Nilikuwa najuwa kuchora, na, napenda yani mikono hata biashara nikiuza inatoka sana na elimu pia mwepes Wa kushika nakumbu kumbu. Ndio Kuna watu wao tangu wanaanza shule yeye anaongoza tu.
Wakati mwingine aina za watu tunazohusiana nao mfano mapenzi au marafiki hatari sanaa kuna mtu ukianza tu kuhusiana nae mambo yanaenda ovyo Be careful na Mungu atusaidia kuwa na macho ya rohoni
Safi sana.We love you so much Bishop.May God bless you
Amina Kubwa! Naomba nyota yangu na ya mume wangu zilizo ibiwa na maadui wetu zirudishwe Kwa Damu Ya Mwana Kondoo Kristo Yesu.
Mchungaji kuna mtu huniambia kila wakati nimpee nyota yangu na mimi huku maisha yangu haendelei tangu nimjue yeye .Maombi yangu kupitia Nabii wa Mungu naomba nyota yangu ikaweze kurudi katika jina la yesu.
Ubarikiwe Sana baba angu, Asante kwa neno linalohuisha mifupa mikavu
kwa ufafanuzi wa mambo uko vizuri baba, hadi last adoptor anaelewa unachotaka kuelezea
mtumishi wamungu,naitaji maombi yako ili nipate kurudishiwa nyota yangu yakazi nayandoa.nimeoa zaidi yawanawake watano nakila ninayefunga naye ndoa.hutoekatu baada yakazi yangu kuharibika.nimachungu sana kwakua wanapoondoka,hunibebea kila kitu kwanyumba.hadinina sasa ninaishi maisha ya kuchanganyikiwa.ninayo imani yote yanaenda kuisha kwa jina la yesu
Bwana Yesu Kristo aiangaze nyota yangu iwavute walio wengi kunijia.
Amen
Mutumishi wa Mungu unisamehe kuna siku nili kuhukumu nikizani kama nawewe una tumiya nguvu za ngiza kama wengine kumbi nili njidanganya nilipo kuona una fanya mukutano na mwengine Mutumishi wa Mungu baye nina juwa amemuasha Mungu akifanya kazi na shetani basi nilipo waona wote muki tumika pamonja nikakuhukumu nawewe bila kukuombeya niulize Mungu. Ila sasa nimesha juwa ukweli kuku husu wewe kama ni Mutumishi wa Mungu wa kweli nakuomba unisamehe na Mungu wambinguni ani samehe
Hata mimi nilikuwa simuamini huyu gwajima ila hivi sasa namwamini
Ubarikiwe na BWANA, Mungu wa mbinguni Akusamehe bure.
He is a true man of God
Baba Gwajima Wanirudishie Nyota Yangu Leo Kwa Jina La Yesu Mimi Ni Mama Jamani Bwana Yesu Nitetee na Watoto Wangu
Kwell mmi ni Mary kutoka Kenya nairundi kwa jina la yesu
Amina Francis wajina Wa baba yangu kumbe ngwajima uyo kiboko nilikuwa namsikia wanamsifia
Mtumishi, Mungu akuongezee nguvu ya kuokoa na kuwaondoa toka mikono ya wachawi
Mimi nilipewa urembo Sana lakini nyota ya ndoa anty yangu na uncle yangu waliimba lakini kutoka Leo nyota yangu itarudi katika Jina LA yesu kristo 🙏🙏
🤦♀️😀!!EXCELENCE BABA ASKOFU GWAJIMA KUNA WATU WAMEZALIWA NA NYOTA KUTOKA KWA MUNGU ☝️🎁!!NIMESHUHUDIA HII !!KTK LIFE YANGU KTK UTABIRI WA KUJIRUDIA!! NA WATUMISHI MBALIMBALI TANGU NIKIWA BINTI NIMEBARIKIWA KAMA MALKIA WA MBINGUNI 🎁☝️⭐️LAKINI WATU AMBAOWAMEKUWA WAKIJARIBU KUROGA NYOTA ⭐️☝️🎁YANGU WAMEKUWA WAKI CATCH WILD 😜😨!!KUCHSNGANYIKIWA AKILI 😨!! 🤦♀️😀🙏GOD HEAVEN NETWORK IS NOT AVAILABLE!!TO AMAZING GRACE DAUGHTER OF GOD ☝️💃💪
Wakristo nao ni wacawi wanajificha kwenye kanisani kwa siri. Hiyo ni w kweli Mchungaji
Baba unanibariki sana,... Unanifafanulia neno linaniingia kwenye mishipa ya ufahamu wa moyo
Amen Bishop asante kwa fundisho nzuri ila nitarudishaje nyota yangu maana nimefanya kazi kwa mda mrefu lakini sijafanya maendeleo na pesa napokea lakini zapotea tu sioni jinsi zinatumika naomba maombi yako
Ni kweli mchungaji wangu nakupenda sana
Ameeeen,baba umechaguliwa Kwa kazi hii maalum
Amen Baba Gwajima I get you loud and clear and my star is coming back to me from where it had been taken in Jesus mighty name
Amen amen baba gwajima, nashukuru mungu nyota yaku imerudi kwa jina la yesu
Mungu afungue nyota yangu amen warudishe uwezo niliopewa namungu
Uko vizuri Askofu
Narudisha nyota yangu kwa Jina la Yesu🙏
Nyota yangu imeonekana kwa jina la Jesu Ameeen asante Baba Barikiwa
Bwana wangu Yesu Kristo aiangaze nyota yangu na wanaoitafuta wakauriwe mbari
Nataka nyota yangu lrudi kwa jina la yesu
May God bless bishop J.Gwajima.
Asante Sana prophète nimesikiavi zurisana amen
Surely God has given unto you a revelation that uncontestable in all dimension and without it, I would have lived and died in ignorance.
May the Lord God continue to use you and bless you mightily.
baba asante nimekuelewa na ninakufatilia sana naomba unikumbuke kwenye maombi mke wangu anasumbuliwa na ugonjwa wa majano anaishiwa damu mara kwa mara baba sema neno tu atakuwa sawa anaitwa jeska Lucas
Since Day# One Gwajima# ahsanteh.🙏🏿
🤦♀️😀💪💪💪💪..LET THE TRUTH MADE EVERYONE FREE!!WAMBIE UKWERI BABA GWAJIMA!!
Asante kabisa mchungaji kwa hilo🙏
Bishop natamani sana uje huku Arusha kwenye viwanja vy Relini
Ndio somo linaniusu mimi kachukuwa kwel nyota yangu mtu live kachukuwa Maji ya mikono yangu kaogea roho imeniuma
Amen.
Gwajima# My Father...!!!@" Really loving you"🙏🏿
2021 watching
Sisi tulikuwa tunasoma na Daniel yeye alikuwa anaongoza, tu a kafaulu paka akaja fanya Kazi bank
shetani hana mamlaka.yesu nipiganie nipatekurejeshewa nyota yangu
Mtumishi arusha tumekumisi jamani
Ameeeen ameeen
ahsante sana Kwa somo zuri,barikiwa Sanaa mtoto wa Mungu.
amina sema tupone baba asikofu
Amina
Nyota yangu njoooo kwa jina la YESU Njoooooo
Naitaka nyota yangu kwa Jina la yesu Amen
Amen Amen Baba.
Warudishe nyota yangu naza watoto wangu kwa jina la yesu
Napoke nyota yangu kulud kwajina LA yesu nabalikiwa saan naitwa vero kutoka buza naitaj msaada wako zaid
Aminaa
Mungu nikumbuke hii kifungo ya zamaaani Mungu aishikie maombi yangu
Namfuata huko huko alipo
Ndio wengine safar tu Mara America Mara china
Masharki ya Kati watu wake ndo walikuwa wanaongoza kwa maasi na ndo maaana mitume wengi walitokea huko
Ameeeeeeeeen
Somo hili ni sensitive sana baba nakuelewa sana na umeniponya sana kwa somo hili
mim Niko na matatizo,hayo cna raha nilikua mwislamu nikawa mkristo maneno pia Yana Nipa moyo
BASI WAZUNGU WANACHUKUA NYOTA ZETU
Amen Dady that true God bless you! I am blessing too.
Is your dady?
Rhina Regina is your dady
Ndio utawala, pia kwentu ipo ndugu zetu wengi viongoz paka agostino Ramazan na maaskofu wapo John Ramazan wengi. Nyota ya uomgoz hata mimi ninayo
Nyota yangu itarudi Leo kwa jina la yesu
Mchungaji mimi na kufuata hapa Congo RDC nataka namba ya ko ili nipate kukupigiya ubarikiwe
Baba ngwajima watu wanakupenda sana
Pastor live long.
Warudishe nyota yangu na ya watoto warudishe katika jina la yesu
Moyo wangu Kwa dhati naomba emwenyezi mpe gwajima nafasi ya urais,amen
Nyota yangu ludi kwa jina la yesu
Yupo hapa, baba kaja Leo alioniibia
Shangaz zangu hivyo hivyo wana nyota ya kutafuta, pesa
Nimeibiwa majuzi sijui kama itakuwa wameanza kuitumia
Mungu nikumbuke mwanao
Asnte mtumishi wa mungu,niombea Sana kwitu Kuna laana waichana atuolewi Mimi kabisa najua ni nyota lakini imeimbiwa na mama mkumwa
Pokea
Ndio mimi napendwa kila napoenda, na nasaidiwa yani nilipewa nyota kali sana uyo Aliyeiba ameona
Kaka yangu na yeye walimchukulia angekuwa mbal
Nauniombe meno inauma
Miombee nirikuwa nakasi na sai Sina kitu nauombee mtoto ana fugana kivua niombee nivate fesa
Namba Zako mchungaj
Wapigwe huko huko!!!!!!! kwa Jina la Yesu
Ubarikiwe baba
Kama kila mtu ana nyota yake ni kwanini ,mtu asitumie ile ya kwake kufanikiwa ,
Kuna watu wanataka nyota za elimu ila hawanq
Ameen Ameen Halleluuuyha
mbeya unakuja lini jamani
Kumbe nowa ndo nuu
Neno linaingia Hadi kwenye damu
be blessed alot
Hallelujah
Amen
Ndio akil ya darasan haviusian wanasemaga, hivyo
Kakobe ndo anapinga nyota mikufu
Na ni mchapa kazi mimi na kaka yangu
Ndio kila mtu Ana nyota yake nalijuwa hilo wanasemaga hivyo
ubarikiwe mchungaji umenifunza mambo yenye sikuwa, laana za familia, kuvunja laana za udogo, kanisa langu, huwa wanasema hakuna uchawi, lkn Mimi najua kuna uchawi, aki mungu akubariki sana, nko Nairobi
ubarikiwe
Amina amina
Ameeeeniii baba
I mean
Kwel mchungaj nimeligunduwa hilo uku kutokana na mazingira nilipo muda sijaenda kanisan na ndo mana nilikuwa nataka Kuja, na biblia
Nilikuwa najuwa kuchora, na, napenda yani mikono hata biashara nikiuza inatoka sana na elimu pia mwepes Wa kushika nakumbu kumbu. Ndio Kuna watu wao tangu wanaanza shule yeye anaongoza tu.
Wakati mwingine aina za watu tunazohusiana nao mfano mapenzi au marafiki hatari sanaa kuna mtu ukianza tu kuhusiana nae mambo yanaenda ovyo Be careful na Mungu atusaidia kuwa na macho ya rohoni
Asante baba
mazito haya. hayaeleweki haya. kama kukalia chapati za mapenzi
🙏🙏🙏🙏🏼
na wewe mtumishi nyota yako ni ya utumishi achana na mambo ya siasa ya una una karama ya utumishi
Nyota ya uongozi hiyo ina maana anaweza kuongoza kwenye eneo lolote 😊
Ameeeen
NYOTA yangu rudi kwa jina la YESU!
Amina
Mchawi haruki leo