HATARI: MBINU YA VIGOGO WA DAWA ZA KULEVYA, WANASWA "WANAPITISHIA ZANZIBAR, WANAWEKA KWENYE RUNINGA"

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 42

  • @Vike333-l8o
    @Vike333-l8o 9 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki viongozi wote wanaopambana na Madawa ya kulevya wanatuharbia Jamii hongereni sana kwa kazi nzuri

  • @Allybinamour
    @Allybinamour 9 หลายเดือนก่อน +1

    hongera sana mamlaka.
    na nasikitika kuskia zanzibar ndio chaka lakujifichia wahalifu hao.
    ikiwezekana mkiwakamata wauweni hasa

  • @EmmanueliZani-ur9bi
    @EmmanueliZani-ur9bi 9 หลายเดือนก่อน +2

    Bahari ndiyo njia kubwa inayotumika sasa kupitiaha mizigo halamu.
    Afadhali mmeligundua hilo.
    Asante.

  • @aziza9093
    @aziza9093 9 หลายเดือนก่อน

    Kazi zr

  • @HafidhOmar-rs4ty
    @HafidhOmar-rs4ty 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kamishna mungu akulinde .hku znz kazi ifanyike sna hasa kwaupande wa polisi na mahkma cfkirii kma kuna kesi ya kigogo wowote wa madawa kma ushahdi utatimia coz mpka unajiuliza hawa police wanakosa kufata utaratbu wakati wa kukamata madawa2 ? mambo mengne utaratbu unafatwa?

  • @YahayaKiobya
    @YahayaKiobya 2 หลายเดือนก่อน

    Zanzibar ni shidaa kwa Tanganyika

  • @DpN-rk8xz
    @DpN-rk8xz 9 หลายเดือนก่อน +1

    Mungu mwema kwa kweli tuokoa Taifa kweli hatari watu wetu watoto wetu sionea huruma wote maisha jela au konyogwa wote no discussion mbarikiwe wakuu wetu

  • @alibinali_
    @alibinali_ 9 หลายเดือนก่อน

    Congratulations Tanzania kwa jambo hili munalo fanya
    Kenya hawawezi kufanya kama hivyo kwa sababu ata huko Madawa yana ingia kupitia kwenye bahari na serekali inaogopa kuwataja wausika

  • @adiaygo8546
    @adiaygo8546 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kha majina yao Mazur vwaislakl

  • @sabrinapogal9463
    @sabrinapogal9463 9 หลายเดือนก่อน +2

    Mungu awabariki awawezeshe kuisimamia nchi

  • @dorothmsuya1686
    @dorothmsuya1686 9 หลายเดือนก่อน

    Makonda aliwahi kusema hili hao mapapa wakamishia maisha. Mungu awalinde makamanda wetu kizazi kisalimike jamani!😢😢😢

  • @joycemashikolo9096
    @joycemashikolo9096 9 หลายเดือนก่อน +1

    Kwa namna hiyo kweli uwekezaji lazima uwe kwenye mioyo yetu maana ukiujua huu nao wanaujua ule wanajua kuficha sn

  • @sr.elizabethmbuligwe5540
    @sr.elizabethmbuligwe5540 9 หลายเดือนก่อน

    Mimi nashangaa mbona wanajidai Wana msimamo mkali hayo majina yasadifu yaliyomo

  • @sabrinapogal9463
    @sabrinapogal9463 9 หลายเดือนก่อน +3

    Sote tuwe walinzi wa nchi yetu ili kunusuru vizazi vyetu

    • @Jurbeg
      @Jurbeg 9 หลายเดือนก่อน

      Ukosefu wa ajira ndyo unaleta yoote Hayo malizeni Hayo ndyo muwe walizi 😡

  • @milley7185
    @milley7185 9 หลายเดือนก่อน +1

    Duh ..majina sio mageni ..

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 9 หลายเดือนก่อน

    Serikali ya Tz inafahamu kabisa Akitokea kiongozi km Mh Makonda mnamuataki na kumsakama vilivyo.

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 9 หลายเดือนก่อน

    Wanzenji utashanga hafanyi kazi wala nini kanatajilika tu halafu kaislam swala tano Juba hadi macho

  • @madahaisack1268
    @madahaisack1268 9 หลายเดือนก่อน

    Ndo maana wanataka tuingie Kwa passport znzbar

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 9 หลายเดือนก่อน

    KAZI IPO NZITO KWELIKWELI, YATAKA MOYO, NI BIASHARA YA AJABU SANA KUMALIZA VIZAZI VYETU KWA MADAWA YA KULEVYA. HAWAKOMI MBONA. VIJANA WAMEKUWA MAZEZETA , KISA PESA NYINGI MFUKONI, ASKARI WANA KAZI KUBWA.

  • @Its_Goodluck
    @Its_Goodluck 9 หลายเดือนก่อน

    Vijana tunamalizwa na mambo mengi sana

  • @ThomasfrancisMvella
    @ThomasfrancisMvella 9 หลายเดือนก่อน

    We jamaa n mzakendo haswa...taifa linahitaji watendaji wengi wa Mfano wako. ...mungo na akupiganie

  • @Kingstonbagamoyo
    @Kingstonbagamoyo 9 หลายเดือนก่อน

    😊😊😊😊😊😊😊😅😅

  • @LUGOMEMTAMAYAYE
    @LUGOMEMTAMAYAYE 9 หลายเดือนก่อน

    Kunduchi mmerasimisha lakini taasisi zingine wanaleta ugumu kama T.R.A.

  • @AliMkumbukwa
    @AliMkumbukwa 9 หลายเดือนก่อน

    Aaaaa kwel mtoto anakula s ngp mchna

  • @theoriginals3240
    @theoriginals3240 9 หลายเดือนก่อน

    Muungano uvunjike tu, tukiwakata hao wapemba tuwanyonge

    • @Jurbeg
      @Jurbeg 9 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 9 หลายเดือนก่อน

    Simnamuona makonda muongo

  • @hailinhelen4675
    @hailinhelen4675 9 หลายเดือนก่อน

    Ndio maana wazanzibar wanataka passport

    • @Allybinamour
      @Allybinamour 9 หลายเดือนก่อน

      kua na adabu na zanzibar wewe.
      kwa hio hao wanaosafirsha madawa wametumwa na wazanzibar sio.

    • @hailinhelen4675
      @hailinhelen4675 9 หลายเดือนก่อน

      @@Allybinamour fahamu niliviandika ndio utukane watu mmmh wazanzibar midomo tuuu..nimesema ndio maana wazanzibar wanataka watu waigie kwao na passport kwa mambo kama haya

    • @Allybinamour
      @Allybinamour 9 หลายเดือนก่อน

      @@hailinhelen4675 muungwana wa kweli ni yule ajuae kua kakosea akaomba radhi. na mimi hapa hakika nmekosea mana nilifaham negative na ulivokusudia. afwan ndugu yangu

  • @pastorzakariatv1786
    @pastorzakariatv1786 9 หลายเดือนก่อน

    Watu wa dini ya haki majina yao yako kwenye matukio mazito mazito wakati furani walikamatwa mashoga 7 wote majina yao yalikuwa yanahusiana na kile kinachoitwa dini ya haki' sasa kuna dini ya haki hapo akati majini wanawatumikisha kwenye uovu.

    • @SalimaMauki
      @SalimaMauki 9 หลายเดือนก่อน

      Dini ni kitu kingine na tabia ya mtu ni kitu kingine, hivyo kama unavosema dini ya haki ni kweli dini ya haki ila hao wenye hayo majina au wanaofata hiyo dini ndio hawafuati haki

    • @mohamedisalimu
      @mohamedisalimu 9 หลายเดือนก่อน

      Lakini so unaijua dini iliyoruhusu ushoga rasmi(ndoa za jinsia moja )

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 9 หลายเดือนก่อน

    Hizo dawa mumekamata baadae munaza nyie.nyote ndio wale wale.

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 9 หลายเดือนก่อน

    huyu jamaaa wakulia mbona kanuna

    • @babuloliondo74
      @babuloliondo74 หลายเดือนก่อน

      Kanuna mtoto wake basilika na madawa

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 9 หลายเดือนก่อน

    Hizi ngonjera huwa ni nzuri sasa utekelezaji 0+×÷=0