Nabii naomba unisaidie gari Moja ata kma nilazamani napokea baba nimetembea namguu mpaka miguu imesagika kwamwendo mpaka naota gari alilochoma godlack Bora angelitelekeza barabarani niliokote mim😭😭😭😭😭😭
Wavaa vimini humo Tena hivi mnamfanya Mungu kama mwanasesere siyo acheni kumfanyia sihaka Mungu hubirini kweli iletayo ondoleo la dhambi kemea dhambi ujitae nabii acha kufuga waovu
Hakuna mungu anaeabudiwa kanisani tafuta nabii yoyote wa mungu alieanzisha zehebu lolote la ukristo ukimpata soma ibadayeke alikua anakaaje au alikua anasimamaje wakat wa ibada mimi nimekaaperee kwa kukusaidia tu kasome nehemia 8.4 endereanayo mpaka hata aya ya 8 kisha jitathmini je wewe unamuabudu mungu au unapenda miujiza?
Yuuu karibu kurud yalio semwa na manabii sasa yanatimia mwenye dhambi endelea kuitenda mwenye kujitakasa usichoke yuko malangoni😢😢😢 watu wote mnisikie anakuja kila goti litapigwa na Kila ulimi utakiri yeye ni BWANA
Lazima kuna kitu hakiko sawa. Mimi nategemea mtu kama huyu basi aanze na waumini wake na wasiojiweza. Charity begins at home. Anza na anayekupa sadaka. Hapo huenda kuna muumini hajala mwezi. Instead of luxury cars, jenga nyumba, improve the living conditions of your followers.
Mchungaji akitaka gari munamchangia muumini akitaka pikipiki munamuombea asiri ya ukristo ni Roma na Roma ni utawala wa zamani dunia nzima ilikua inavamiwa na waroma hata israel ilibamiwa na watoma na wakaacha watuwao akina poul na luka walikua matabibu wa tiba za asiri sasa ili umtawale mtu razma uwe na utajiri sasa ukitaka kujua shida ilipoanzia chunguza ukristo ni nini? Ulianzaje ? Je yesu alianzisha kanisa kile kwao? Je linaitwaje? Alikua akiabuje? Elim ni muhim ukiiacha tu razma utapeliwe
Haya maisha Nyerere aliyakataa kabisaa na magufuli hii life inamliza sana yule aliyekosa miambili ya maji ya kadoro😢ila Tz mmh lkn nchi za nje mbona watu ni matajiri lkn wawachapi maskini na utajir wao wako tu kawaida sana msafara ni wa maraisi TU
Huyo ndio Nabii Mkuu elewa neno mkuu, sio mtu legelege wala sio maskin, kwake sisi ndio tuna jifunza mafanikio, wengine mna wivu na elemu zenu za kimaskin zina watesa,
Ila ukumbuke Yesu mpaka anaondoka hakua hata banda la nyumba, alisema Mbweha ana pango na ndege wana viota ila yeye Mwana Adam hana hata pa kulaza kichwa.
@@MariamMwalongo-x3q dini inataka elim na dini ni jambo la mungu ukilitia uchumi tu lnakua siodini ni biashara sasa fikiliia wauminiwake anawapangiabei ya sadaka siku ikishuka inaanzia 10000 ila maranyingi inaanzia 20000 alaf akija mkaliwenu anapewa mamilion ipande kwenyemadhabahu atumbuize hapo kunadini?
@@Sheba4651 yesu hana uhusiano na dini inayoitwa ukristo ambayo kwenye biblia haipo yeye alikua kristo tafsiri ya jinahilo kwa kiswahili ni mteule kwa kiarabu mi masihi kwa kiyunani ndo kristo sasa watu acha waache kusoma vitabu vya dini waguate miujiza watapelekasana pesa mkalenu apewe magari eti nabii mkuu hivi nabii ibrahim nae aitweje?
Ni ngumu Sana kuizima trendi ya kuchoma gari,, hata angeliingia na kutoka na Meri za baharini Kwa kanisa lake Bado tukio la kuchomwa gari halizimiki milele na milele,,
Kwa level yake hawezi tikiswa na hiyo trend ya kuchoma gari huyo hajaanza kupigwa vita leo lakini bado anapaaa juu tu.Hata waliompiga vita wengine walisharudi kuungana nae na kupewa misaada.
Sawaaa ibakie tu hivyo Kwamba ningumu kuizima trendi hii ya kuchoma gari,, haiwezi zimwa Kwa misafara ya magari ya kifahari milele na milele@@MCNgakungaJunior
Mentality ya kimasikini ni pale unapoamini uchawi una nguvu kuliko Mungu kwani kuna wachawi wa ngapi unaowajua wewe mbona hawana Marshall kama hayo? Acheni umasikini
Pesa za waumini ndo unawatesea tena sadaka zao ndo unanunulia magari yako ya kutembelea na unakuja tena kuwalingishia ata awashutuki naooooo si bora ata izo pesa ungekuwa unatoa misaada hospital na ata kwenye mashule na kwa watu wasio jiweza
hii inasababisha ukristo kuonekana ni dini ya wapiga pesa kwa mtaji wa maskini wenye shida kuna umuhimu wa wakristo kujitafakari maana dini inapoelekea hakuna atakaebakia salama
Uta toa sadaka ya shilling ngapi adi aweze nunua iyo V8 na kwa miaka mingapi alafu piga hesabu magari yote ayo na maisha yake kwa ujumla sadaka yako inabidi iwe kiasi gani sasa?
Kweli kabisa maana hata yeye nabii si kafungua kanisa ili apigepesa watu naowakitaka utajili wamuige tu wafungue makanisa na wapangebei nzuri ya sadaka watatajilika baada ya miaka kadhaa watakua matajiri kama nabii mkuu mimi nakuungamkono watu waache kukosoa
Nabii mkuu, Nakukubali sana ulikaa nasi johari Rotana Wakati ukienda China mwishoni mwa mwaka 2024. Ulituachia Tips wakati unaingia na wakati unatoka ile tip imebadilisha Maisha na kuwa bora zaidi. Huna baya wewe Ndugu Karibu tena na tena.
Ukiambiwa ukristo sio dini elewa sasa ulishawahi kuona ibada ya kuchanganyika wanaume na wanawake sehemu moja tena wanawake wengine wamevaa suruali zinabana wengine wamevaa vimini vinawabana magoti nje akikaa mtu mbele yake ataona mpaka ikulu, ni kweli hakuna binadamu aliyekamilika ila kwenye suala la Mwenyezi Mungu tuache utani jamani mbona tunamletea sana utani Mwenyezi Mungu tutasalimika kweli, dah msiba mzito, mara wengine waseme myahudi ndo Mungu mara wengine wajiite manabii, msiba mzito. INALILLAH WAINNA ILAYH RAJUUN
Huo unao uona hapo sio ukristo ukitaka kuujua ukristo njoo nikifunsishe habari za kristo tunae mwabudu MUNGU wetu huruhusu mambo kama haya kutoka maan yeye atakuja Kwa upesi atachambua walio wake mbuzi na kondoo nafasi bado ilpo mkiri Leo uwe mmoja wa wanafunzi wake
2 Mambo ya nyakati 20: 20 Wakaamka asubuhi na mapema, wakaenda nje katika jangwa la Tekoa; nao walipokuwa wakitoka, Yehoshafati akasimama, akasema, Nisikieni, enyi Yuda nanyi wenyeji wa Yerusalemu; mwaminini BWANA, Mungu wenu, ndivyo mtakavyothibitika; waaminini manabii wake, ndivyo mtakavyofanikiwa.
Mimi sina shida na pastor kuwa tajiri, (pengine pia una biashara zako halali mimi sijui) lakini unakuwa na magari hivyo halafu una kanisa na madhabahu ya mabati? Really? Yaani Mungu sehemu ya kumuabudu hata air conditioning hamna na sakafu nzuri hamna, na hakupendezi, halafu una magari hivi. Uza magari kadhaa angalau sehemu zs ibada zipendeze. Na mtumishi wa Mungu kweli una maadui wengi mpaka uwe na security hivyo?. Au mbwembwe tu zote hizi😅. Kama ni kweli una maadui hivi, basi Mungu akulinde.
If there is true God within u then no need bodyguards or security.though it doesn't matter people are employed to feed there families.were do they go after nabii pass.
No no no this is not the man of God ... This video has a lot to reveal if you was keen in watching.... Jesus have mercy on us that we may discern you are elects, holy priests.
Ikiwa wafanyabishara wa Baar wanatafuta wasichana wanaova uchi na kuwaweka hadharani kuvutia wanaume na makanisani tukawaweka wanaovaa uchi kuweka mauwa kwenye capert ya nabii tuna tofauti gani je atawaza maandiko au? Tujisitili kwa kweli
Ulimwe hawana jema paster asipotoa kama gwajima,au mwaposa anaibia masikini akitoa kama joedevi huyu sio mtumishi wa MUNGU anapesa sana ashukuriwe MUNGU mhukumu wa haki sio kama binadam
jengo la kanisa lina thamani ya gari moja tu ukichukua na uwanja gari nyingine yaani gari mbili tena sio hiyo G wagon sio kwa chuki ila hakuna injiri hapa 🚮🚮🚮
Hivi hao waliopo hapo kwa mwingi huo nikweli wote hawautambui ukweli wa mtumishi wao inasikitisha sana kweli na amini wajinga ni wengi kuliko wanao jitambua
Hana hata ukuu hawez gusa ukuu wa sureimani bin daud huyo kaziyake ni kuwaibia wachaga tu et sadaka 200000 kilamuumini kumbe wachaga munakaza dar tu hahaha
KILA NAFSI ITAONJA UMAUTI NA HAKUNA AMALI ILIYO BORA MBELE YA MWENYEZI MUNGU KAMA MATENDO MEMA, PESA, MAGARI NA MAJUMA, NA STAREHE ZOTE ZA DUNIA NI ZA KUPITA TU
Tena hata banda la kulala hakua nalo, aliishi akilala hapa na pale, hata akasema mbweha ana pango na ndege wana viota ila yeye Mwana Adam hana hata pa kulaza kichwa. Jamaa sasa hivi wanauza pombe na guest house ili tu mtu awe tajiri
Nimesoma comment za pipo nimeamin watu wana makamasi kichwani...Tafuten hela acheni kelele na nyie hamjakatazwa kuwa matajir,, achen kamdomo ,,hzo nguvu elkezen kwnye kaz na nyie mjipate..
Ipo cku itajulikana,tusitishwe na vitu vionekanavyo vya Duniani,mhimu sana kumwabudu Mungu wa kweli ktkt Roho na kweli
Amina wataumbukat mungu achezewi
Hizi media Acha tu
Na Mimi Nina mashaka kwa Nini umwabudu Mungu wa kweli alafu akuache masikini
Acha wivu ww tafuta naww
@@majaliwamsigwa6206 njoo kabanga huku mpige kazi acheni kukakaa na kusifiasifia watu wafenyeni kazi
Nabii mkuu ni YESU kristo pekea akuna mwingine duniani
Amen
😂😂😂😂😂bado hamjasema na mtasema tu inshaa Allah Allah awajaliye hidya
Dah🙌🔥🔥🔥fedha na dhahabu ni mali ta Bwana Bwana ameanua kmpa mja wake
Unatombwa akili kia's kwamba unarosoka shahawa
@@TeophilBuilding Teo jina lako kubwa kwenye Bible usitukane bwana
😂😂je umejiuliza kayapata vp?
Nabii naomba unisaidie gari Moja ata kma nilazamani napokea baba nimetembea namguu mpaka miguu imesagika kwamwendo mpaka naota gari alilochoma godlack Bora angelitelekeza barabarani niliokote mim😭😭😭😭😭😭
Ukiwa na pesa ukisema... Mungu anakuamini ndiyo maana tunakulilia pesa ndiyo maana tunakuangaikia.... siyo maneno yangu ni ya Tunda man wimbo pesa.
😂😂😂
Bora umejiwahi mapemaa 😂😂😂. Maana watu wangekurukia
😂😂😂
@@JohnBenedict123 🤣🤣🤣🤣
Wavaa vimini humo Tena hivi mnamfanya Mungu kama mwanasesere siyo acheni kumfanyia sihaka Mungu hubirini kweli iletayo ondoleo la dhambi kemea dhambi ujitae nabii acha kufuga waovu
Hakuna mungu anaeabudiwa kanisani tafuta nabii yoyote wa mungu alieanzisha zehebu lolote la ukristo ukimpata soma ibadayeke alikua anakaaje au alikua anasimamaje wakat wa ibada mimi nimekaaperee kwa kukusaidia tu kasome nehemia 8.4 endereanayo mpaka hata aya ya 8 kisha jitathmini je wewe unamuabudu mungu au unapenda miujiza?
Yuuu karibu kurud yalio semwa na manabii sasa yanatimia mwenye dhambi endelea kuitenda mwenye kujitakasa usichoke yuko malangoni😢😢😢 watu wote mnisikie anakuja kila goti litapigwa na Kila ulimi utakiri yeye ni BWANA
Lazima kuna kitu hakiko sawa. Mimi nategemea mtu kama huyu basi aanze na waumini wake na wasiojiweza. Charity begins at home. Anza na anayekupa sadaka. Hapo huenda kuna muumini hajala mwezi. Instead of luxury cars, jenga nyumba, improve the living conditions of your followers.
Mchungaji akitaka gari munamchangia muumini akitaka pikipiki munamuombea asiri ya ukristo ni Roma na Roma ni utawala wa zamani dunia nzima ilikua inavamiwa na waroma hata israel ilibamiwa na watoma na wakaacha watuwao akina poul na luka walikua matabibu wa tiba za asiri sasa ili umtawale mtu razma uwe na utajiri sasa ukitaka kujua shida ilipoanzia chunguza ukristo ni nini? Ulianzaje ? Je yesu alianzisha kanisa kile kwao? Je linaitwaje? Alikua akiabuje? Elim ni muhim ukiiacha tu razma utapeliwe
Haya maisha Nyerere aliyakataa kabisaa na magufuli hii life inamliza sana yule aliyekosa miambili ya maji ya kadoro😢ila Tz mmh lkn nchi za nje mbona watu ni matajiri lkn wawachapi maskini na utajir wao wako tu kawaida sana msafara ni wa maraisi TU
Akifaa watazikutiya juu😂😂
@@Kristen-y2b duuh huzuni walah agetizama hata mtaa anapopita na hayo mandiga Kuna maisha ya watu yanagusa sana aki
viongoz wa serikali nao wanapita kwenye mazngra hayo hayo nao wamepewa dhaman ya kuongiza nchi
Hapo Mungu hayupo hapo, goodluck uko sawa
Jamaa wmekua chizii now anaongea hovyo 😭😭
Acha wivu fanyabkazi mungu atakuona kwa nafasi yako
Wewe ni una akili mbovu
@barikimushi97 wewe ni una akili imara
Kwa kigezo gani mkuu?
Huyo ndio Nabii Mkuu elewa neno mkuu, sio mtu legelege wala sio maskin, kwake sisi ndio tuna jifunza mafanikio, wengine mna wivu na elemu zenu za kimaskin zina watesa,
Haina shida Annah Davie ni mchaga kwahyo wewe ukisema hvyo unayo haki
Ila ukumbuke Yesu mpaka anaondoka hakua hata banda la nyumba, alisema Mbweha ana pango na ndege wana viota ila yeye Mwana Adam hana hata pa kulaza kichwa.
Sadaka za watu maskini zinawanufaisha watu wachache biashara ya dini imekubali
@@MariamMwalongo-x3q dini inataka elim na dini ni jambo la mungu ukilitia uchumi tu lnakua siodini ni biashara sasa fikiliia wauminiwake anawapangiabei ya sadaka siku ikishuka inaanzia 10000 ila maranyingi inaanzia 20000 alaf akija mkaliwenu anapewa mamilion ipande kwenyemadhabahu atumbuize hapo kunadini?
@@Sheba4651 yesu hana uhusiano na dini inayoitwa ukristo ambayo kwenye biblia haipo yeye alikua kristo tafsiri ya jinahilo kwa kiswahili ni mteule kwa kiarabu mi masihi kwa kiyunani ndo kristo sasa watu acha waache kusoma vitabu vya dini waguate miujiza watapelekasana pesa mkalenu apewe magari eti nabii mkuu hivi nabii ibrahim nae aitweje?
Ni ngumu Sana kuizima trendi ya kuchoma gari,, hata angeliingia na kutoka na Meri za baharini Kwa kanisa lake Bado tukio la kuchomwa gari halizimiki milele na milele,,
Kabisaa na anaonekana analipwa huyu Milard kwa sababu kama ni taarifa wanatupa mbona wasimtafute Goodluck wakamhoji wanalalia upande mmoja
Kwa level yake hawezi tikiswa na hiyo trend ya kuchoma gari huyo hajaanza kupigwa vita leo lakini bado anapaaa juu tu.Hata waliompiga vita wengine walisharudi kuungana nae na kupewa misaada.
Sawaaa ibakie tu hivyo Kwamba ningumu kuizima trendi hii ya kuchoma gari,, haiwezi zimwa Kwa misafara ya magari ya kifahari milele na milele@@MCNgakungaJunior
Nakupenda sana mzee ungekuwa mbeya 😂😂😂😂😂😂❤❤❤ daaaah
Muongoo tamaa tuu izo nyoko ww
Yamungu mpe mungu yakahisali mwachie kaisalu.
Huyu ni nguvu za giza sana..poleni sana
Suleiman alikua anachinja ngombe wangapi kwa siku,
Mentality ya kimasikini ni pale unapoamini uchawi una nguvu kuliko Mungu kwani kuna wachawi wa ngapi unaowajua wewe mbona hawana Marshall kama hayo? Acheni umasikini
Hii nchi imeharibika kabisaaaa
WEWE SI NABII,ULINZI WOTE HUO WA NINI SASA MZEE KAMA WATENDA MEMA!???
Hakika uyo nabii ni Tajili mno ana Benz G wagon 💯💯💯
Anapata wapi?
@rechokusilimka5739 ndio nashanga atamimi
Sadaka za watu maskini
@@MariamMwalongo-x3q hakuna maskin anae toa sadaka, ukisha kuwa maskin maanaa yake ni Huna hela
. Labda biashara zingine. Kwa sadaka zipi! Hizo gari tu sadaka hazinunui
Mh Nabii Mkuu Dk GeorDavie tunakupenda sana Mungu azidi kukupa maisha marefu ya kuishi hapa ulimwenguni🙏
Mwminn Mungu mdhibite waaminni manabii wake mfanikiwe Nyakat 20:20
Yess
nyakati ngapi ngapi ww
Duuu sijui bhana kama niyaMungu au Niya Yule wa motoni😮
Pesa za waumini ndo unawatesea tena sadaka zao ndo unanunulia magari yako ya kutembelea na unakuja tena kuwalingishia ata awashutuki naooooo si bora ata izo pesa ungekuwa unatoa misaada hospital na ata kwenye mashule na kwa watu wasio jiweza
hii inasababisha ukristo kuonekana ni dini ya wapiga pesa kwa mtaji wa maskini wenye shida
kuna umuhimu wa wakristo kujitafakari maana dini inapoelekea hakuna atakaebakia salama
Majeneza hayo siyo magari
Jeneza lako liko wapi??
Wewe ni mshambaa
Hahahaha akili za kimasikini hizo eti majeneza tafuta pesa acha makasiriko
Masikini ana muamini zaidi shetani kuliko Mungu ndiyo maana na yeye akitaka kutanikiwa utashangaa anaenda kwa waganga akidhani ndo atapata mafanikio
Huyu jamaa ameshanogewa na promo za mitandaoni, kuonyesha mali na wanavyovimiliki kuliko ku concentrate na kuhubiri
We ndio una concentrate na mali zake huna muda na mahubiri yake,, mbona anahubiri sana
Mbona kama live band ya bar kama wakongo😂😂😂😂
Mmeikumbatia Dunia wakati Ahera ni bora zaidi na ya milele
mtoto mdogo mwenye pesa nyingi aangalie magar hayo sio zile takataka zake pumbavu
😂😂ujinga mwingi marina hakuna unajua kayapataje
Hilo sio kanisa takatifu Bali ni pango la wanyanyanyi!!!!
Pango la wezi na na washirikina kabsa 😂😂😂
Roho za wivu
Ukute Hii issue ya Goodluck ilipangwa na huyu jamaa ili iwe kiki ama wapate mazao zaidi na zaidi😎
Alafu Kuna Lofa anaenda kutoa sadaka kanisani kwake 😅
Uta toa sadaka ya shilling ngapi adi aweze nunua iyo V8 na kwa miaka mingapi alafu piga hesabu magari yote ayo na maisha yake kwa ujumla sadaka yako inabidi iwe kiasi gani sasa?
Hilo kanisa lake hawatoi sadaka. Ni maamuzi yako
Ndii tuna toa kwa sabau pesa ina takiwa iende kwenye pesaa,
@@MwalimuJellylittle by little fill a basket 🧺!
Kuna mahojiano alifanya nabii mkuu na milad akasema waumini wanatoa kuanzia 20000
Mshambulieni G Gosbet, ila sili IPO yeye sio mjinga, niamini IPO siku ualisia utajulikana
Kabisa ,ukweli utajulikana.Walio wa Mungu na wa shetani watajulikana tu
Daahh Raisi uyu wa nchi gan 😅
Mmmh! Hao wadada wanaomwaga maua nikama waudumu wa bar vile wamevaa😅
Hao wahuni ndugu ynguu
Mtihani wallah 😅@@EmmanuelChrispin-bo5xh
😁😁😁😁
Mbona wakati wa Magufuli haya mambo ya kuonyesha magari na utajiri usioeleweka hayakuwepo
Muacheni nabii wetu ale mema ya nchi .acheni wivu tafuteni pesa pia kuweni na ufahamu
Kweli kabisa maana hata yeye nabii si kafungua kanisa ili apigepesa watu naowakitaka utajili wamuige tu wafungue makanisa na wapangebei nzuri ya sadaka watatajilika baada ya miaka kadhaa watakua matajiri kama nabii mkuu mimi nakuungamkono watu waache kukosoa
Watu wana ma roho ya wivu Sana kama mnasema mikataba baba zenu mbona wamezunguka kwa waganga wengi na sasa wanakufa masikini?
Wenye roho mbaya wanaumia sana Mzee anazidi kubariiwa msafara kama Raisi magari Yote yakwake
Hata yesu hakuwa tajiri wa mali kiasi hicho ila tajiri wa imani sasa hapa naona imani hakuna ila kuna utajiri wa mali
Hakuna tajiri aliyemziidi Suleiman
Ni sadaka tu au anakazi ingine..maana sio mchezo
Huyu baba godaver ana hali nzito. Mikataba aliyoingia ni mikubwa sana ya kishetani na kafara nzito mnoooooooo
Nabii mkuu, Nakukubali sana ulikaa nasi johari Rotana Wakati ukienda China mwishoni mwa mwaka 2024.
Ulituachia Tips wakati unaingia na wakati unatoka ile tip imebadilisha Maisha na kuwa bora zaidi. Huna baya wewe Ndugu Karibu tena na tena.
😂😂😂ww akili ishatekwa hujitambui
Mcheni Allah acheni kudanganywa na binadamu wenzenu
Ulimwengu hauna jema usipotoa wanasema unaibia masikini sadaka ukitoa kwanini tajili na anatoa ?MUNGU ni muhukumu wa haki sio binadam
Ee mungu tusameh ukute waumini wake hawna hat uhakika wa Milo 2 kwa siku
Amina napokeya hiyo neema yanabii mkuu iwekwangu
Tamaa mbaya
Ukiwa napesa hata uwe nakosaa utapendwa tu
Acha Tamaa
Dah jamaa ana helaa😂😂😂😂😂
Ukiambiwa ukristo sio dini elewa sasa ulishawahi kuona ibada ya kuchanganyika wanaume na wanawake sehemu moja tena wanawake wengine wamevaa suruali zinabana wengine wamevaa vimini vinawabana magoti nje akikaa mtu mbele yake ataona mpaka ikulu, ni kweli hakuna binadamu aliyekamilika ila kwenye suala la Mwenyezi Mungu tuache utani jamani mbona tunamletea sana utani Mwenyezi Mungu tutasalimika kweli, dah msiba mzito, mara wengine waseme myahudi ndo Mungu mara wengine wajiite manabii, msiba mzito. INALILLAH WAINNA ILAYH RAJUUN
usihusishe ukristo na vitu vya ajabu🙄
Sema kwa huyu nayejiita nabii sio ukristo... Kuwa muislam usidharau dini zingine, usi generalize
Tengua kauli hyo ukristo unahusiana VP hapo ..tafuta cha kuzungumza c huo upuuzi
Huo unao uona hapo sio ukristo ukitaka kuujua ukristo njoo nikifunsishe habari za kristo tunae mwabudu MUNGU wetu huruhusu mambo kama haya kutoka maan yeye atakuja Kwa upesi atachambua walio wake mbuzi na kondoo nafasi bado ilpo mkiri Leo uwe mmoja wa wanafunzi wake
Achakukalili dini zmeletwa na wagen mbona nyie mnaongea kiarabu
Ipo Siku hapa watu watakuja kulia kilio cha kusaga meno
Hao wadada wanao mwaga maua nd akina nan na wamevaaje
Uyu mbwa Ana hela🙌🙌🙌
😂😂😂😂😂😂😂😂
Alianza akiwa kijana
Ayupo peke yake,,wako wengi, iyo ni system ya upogaji
Sasa sadaka kanisanikwake kola muumini 20000 atakosa kua tajiri?
Ataziacha
Natooa…natoooa ..natoooouwa mwishoni lzm Nivuneeee sio maneno yangu
2 Mambo ya nyakati 20: 20
Wakaamka asubuhi na mapema, wakaenda nje katika jangwa la Tekoa; nao walipokuwa wakitoka, Yehoshafati akasimama, akasema, Nisikieni, enyi Yuda nanyi wenyeji wa Yerusalemu; mwaminini BWANA, Mungu wenu, ndivyo mtakavyothibitika; waaminini manabii wake, ndivyo mtakavyofanikiwa.
Hamna kitu,sio sadaka za walala hoi hz,kuna nguvu ya ziada ,itakuwa anapewa gari hz kutoka ,,,,,,
Mimi sina shida na pastor kuwa tajiri, (pengine pia una biashara zako halali mimi sijui) lakini unakuwa na magari hivyo halafu una kanisa na madhabahu ya mabati? Really? Yaani Mungu sehemu ya kumuabudu hata air conditioning hamna na sakafu nzuri hamna, na hakupendezi, halafu una magari hivi. Uza magari kadhaa angalau sehemu zs ibada zipendeze. Na mtumishi wa Mungu kweli una maadui wengi mpaka uwe na security hivyo?. Au mbwembwe tu zote hizi😅. Kama ni kweli una maadui hivi, basi Mungu akulinde.
From #EconomicallyGrowthMusicians Nabii hiyo Barabara uwekee Lami inachafua Magari ya kifahari😅😅
Enjoy Muziki Mzuri kutoka EGM
Iko siku mungu ataonyesha tu dalili ya mvua mawingu yameenza
Mambo ya kumwaga mauwa nimeyaona kwenye movie ya came to amelca
Asee huyu sasa ndio tajiri yule chief godlove muongo sana 😂 hana ela huyu ana FEDHA😂
Uso na mikono vimekataa kutoa ushirikiano 😊
Nyuma ya Pazia📌📌
Yahni
Kweli hizi ndy nyakati zenyewe
Mchungaji Tajiri alafu Waumini wake Masikini 😂😂😂😂😂😂😂
Wafanye kz wapate pesa kwani wamekatazwa
Nabii Mkuu mheshimiwa dokta😢
If there is true God within u then no need bodyguards or security.though it doesn't matter people are employed to feed there families.were do they go after nabii pass.
Poor thinking
@henrymatebe inshallah.
Watu hawapendi kweli wanapenda uongo
No no no this is not the man of God ... This video has a lot to reveal if you was keen in watching.... Jesus have mercy on us that we may discern you are elects, holy priests.
TUNAIMANI NA BABA MTAKATIFU GEOR DAVIE BALOZI WA AMANI
Gozbert ni Lastborn wa GeorDavie .
Endeleeni kuombewa tyu yeye akitaka mchangieni
Ikiwa wafanyabishara wa Baar wanatafuta wasichana wanaova uchi na kuwaweka hadharani kuvutia wanaume na makanisani tukawaweka wanaovaa uchi kuweka mauwa kwenye capert ya nabii tuna tofauti gani je atawaza maandiko au? Tujisitili kwa kweli
Ulimwe hawana jema paster asipotoa kama gwajima,au mwaposa anaibia masikini akitoa kama joedevi huyu sio mtumishi wa MUNGU anapesa sana ashukuriwe MUNGU mhukumu wa haki sio kama binadam
Ah huwezi kutumikia mabwana wawili (feza, na Mungu)
Roho za umasikini hizo
Masikini hawaendi mbinguni
Naomba kuuliza hivi nabii isaya,nabii mika walikuwa na ufahari kama huu???😭😭😭😭😭🤣🤣
Huyu mzee hategemei sadaka, hayo magari mbn ni pesa ndefu sana
sadaka unaiona ni pesa ndogo syo?
@@breymbasa3451 .Mtajijuwa mnaonyang'anywa bila yakujitambua huku mkifurahia.
Wakat kila muumini anatoa 20000 kila jimapili ww mjingakweli ebu fikilia kwanza
jengo la kanisa lina thamani ya gari moja tu ukichukua na uwanja gari nyingine yaani gari mbili tena sio hiyo G wagon
sio kwa chuki ila hakuna injiri hapa 🚮🚮🚮
Hivi hao waliopo hapo kwa mwingi huo nikweli wote hawautambui ukweli wa mtumishi wao inasikitisha sana kweli na amini wajinga ni wengi kuliko wanao jitambua
Kweli nyakati za mwisho
Hana hata ukuu hawez gusa ukuu wa sureimani bin daud huyo kaziyake ni kuwaibia wachaga tu et sadaka 200000 kilamuumini kumbe wachaga munakaza dar tu hahaha
KILA NAFSI ITAONJA UMAUTI NA HAKUNA AMALI ILIYO BORA MBELE YA MWENYEZI MUNGU KAMA MATENDO MEMA, PESA, MAGARI NA MAJUMA, NA STAREHE ZOTE ZA DUNIA NI ZA KUPITA TU
Samahanii wanamlindaa hivii kwamba watamuuwa au mimi ndioo sielewii
Nabii mkuu duh, izi PESA bhana izi
Bwana yesu hakuwa tajiri.
Sasa yeye yesu??
Alikua masikini ili sisis tuwe matajiri
Tena hata banda la kulala hakua nalo, aliishi akilala hapa na pale, hata akasema mbweha ana pango na ndege wana viota ila yeye Mwana Adam hana hata pa kulaza kichwa.
Jamaa sasa hivi wanauza pombe na guest house ili tu mtu awe tajiri
Mmm jengo la kanisa mbona silielewi?
Yy tajiri ,nyie masikini mpka kufa , namuamini sana mwandambo
😂😂😂 Oya unamjua Mwandambo?!!....comment yako imenichekesha sana....kila siku lazima nipite kwenye account yake tiktok...huwa nacheka sana 😂
😂😂wajinga ndo waliwao kwahiyo hapo police wa nn watu wenyewe wako wachache hivi visichana kama viudumu vya bar😂
Hakuna mjinga mwenye pesa kaa ujuwehilo sawa
Watu wanamzawadia Hera za mafuta😅😅 Hawa manabii ndo wanaharibu ukristo
Umaskini wa akili ni njanga kubwa ka nchi za Afrika kwa kweli so sad
Nyie mmeona hao wadada wanaomwaga mauwa hizo sket zao zilivyofupi guy guy
Acha umbea fanya mambo yako😂😂😂
Malaya tu hao hakuna kanisa hapo
2:36
Nimesoma comment za pipo nimeamin watu wana makamasi kichwani...Tafuten hela acheni kelele na nyie hamjakatazwa kuwa matajir,, achen kamdomo ,,hzo nguvu elkezen kwnye kaz na nyie mjipate..
Sadaka za waumini maskini zimaenda kununua magari ya kifahari eeeeh mungu tusaidie sikuizi dini ni biashara kama zilivyobiashara nyingine
Hapan wala sio sadak ,hakun ela inatosh kunnua izo ndinga kwa idad ya washirika wa hapo hao niwatumish wa shetan ndo anae walipa wala sio mungu
Ona huo msafara wa magari alafu waumin wake kuna mtu hana hata baskel, Hv akil za watu zmekuwaj
Mungu fundi yaan yote hayo ila anapanda moja tu😅
Torati 8:18
Mafuta ya gari hizo na manunuzi yoote ni sadaka za waumini sawa hatukatai ila hichi ndio chanzo cha uibukaji wa makanisa uchwara
Alijichanganya kumbe angefaidi vingi😅😅😅
Jamani watanzania mnaibiwa hela na hawa wachungaji sijui eti manabii kweli watu waelimishwe vipi huo ni ujambazi wa hali ya juu
Wewe unahela ya kuchangia gari zote hizo?kwa sadaka za bukubuku unafikiri mtu anaweza kumiliki gari zote izo? huo ni ufinyu wa akili!
@@PraiiseHisnamewewe ndo huna akili 😅😅😅
Kumbe akina mwamposa niwengiii aiseee
Ni dini au ufahari wa magari?!
Nonsense