#LIVE

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 5 ก.ย. 2024
  • #LIVE 🔴: MKUTANO WA HADHARA WA CHAMA CHA ACT WAZALENDO MAKUNDUCHI KUSINI UNGUJA #JUSSA #OMO #ACT

ความคิดเห็น • 11

  • @salumnassornassor9733
    @salumnassornassor9733 หลายเดือนก่อน +4

    Inshaallah kwa uwezo wa Allah atajaalia nchi yetu Zanzibar yetu itoke ktk muungano tumechoka kudhulumiwa

  • @DaudsalumMohd-x1w
    @DaudsalumMohd-x1w หลายเดือนก่อน +4

    Asanteni viongozi

  • @salyali7807
    @salyali7807 หลายเดือนก่อน +2

    ACT 🔥🔥🔥

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382 หลายเดือนก่อน +6

    DR MWINYI ANAIANGAMIZA ZANZIBAR NA WAZANZIBARI KWA UJUMLA👁️👁️

  • @Aisha-lj8bu
    @Aisha-lj8bu หลายเดือนก่อน +5

    Kuteka watu wao

  • @Is-hakaRuweikh-k9s
    @Is-hakaRuweikh-k9s หลายเดือนก่อน

    Inshaallah Mungu ataleta kher mwaka huu tumeshachoka kula muhogo mchungu bila ya ata dagaa!! Mungu yaa Raab liondoshe hili janga la ccm linatuongezea ucku wa giza TOTORO WAZANZIBAR ACLIMIA 85 Tumackini yaa Raab lione hili na MAOVU PIA YANACHANGIWA PIA NA unongozi wa chama cha mapinduzi WAZANZIBAR watuoi Wari wamekuwa wengi mahari hapana maisha magumu viongozi hawajashtuka maisha yanazidikuwa magumu😢😢😢 HASBIYALLAH WANEEMALWAKIYYL YAAB TUNAJUWA UNAYAJUA HAYA YOOTE NA UNAYAONA na wala hatukupaangii wew ni mjuzi wa wajuzi ila kwa udhalili wetu hatuna wa kumuomba isipokuwa wewe yaa ALLAH tunakuomba ufanye mageuzi mwaka huu inshaallah

  • @binmasoud4150
    @binmasoud4150 หลายเดือนก่อน +3

    Watawala kazi yao kula tuu hawajali wananchi hata kidogo. Kusini watu wameamka sana washachoka kuhongwa pesa za sabuni

  • @SudiKhamisi
    @SudiKhamisi หลายเดือนก่อน

    Marahii kazi ccm munayo kwa ACT

  • @abhamidtz9320
    @abhamidtz9320 หลายเดือนก่อน

    CCM hawatuweziii

  • @abhamidtz9320
    @abhamidtz9320 หลายเดือนก่อน

    Mung tupenguv wajawak tushind

  • @Aisha-lj8bu
    @Aisha-lj8bu หลายเดือนก่อน +3

    Wajinga hao ccm wanakudhalilisheni jamaazangu