KUTOKWENDA SAWA SERIKALINI NI KWA SABABU HAKUNA UWAJIBIKAJI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 15 ก.ย. 2024
  • Join this channel to get access to perks:
    / @vugaonlinetv
    #actwazalendotv, #siasatz #zittokabwe #jussa #mazurui
    #ZanzibarMpya #ZanzibarMoja #MamlakaKamili
    Habari zote kuhusu Act Wazalendo utazipata kupitia channel hii
    Usipitwe na Habari Moto Moto Kutoka Katika Chama Cha ACT Wazalendo makala Tofauti Tofauti Habari nyengine nyingi Kuhusu Jamii Kwa ujumla Utazipata Hapa Hapa Official Vuga Online Tv

ความคิดเห็น • 8

  • @NoufelSalim
    @NoufelSalim 3 หลายเดือนก่อน +3

    Mashallall hii mzuri sana,then viongozi ni muhimu kuangalia mambo km haya uharibufu wa ardhi. Vijana wengi hawana ajira ndo sababu ya uharibufu wa ardhi

  • @salyali7807
    @salyali7807 3 หลายเดือนก่อน +3

    Natamani wazanzibari wote wanaisikia hii interview

    • @vugaonlinetv
      @vugaonlinetv  3 หลายเดือนก่อน

      Keep share it This Content

  • @salyali7807
    @salyali7807 3 หลายเดือนก่อน +4

    Mashaallah very intelligent man

  • @shaabanmohammed2611
    @shaabanmohammed2611 3 หลายเดือนก่อน +3

    Kweli Mazingira ni Utajiri. Pia mazingira ni pambo Zuri la Nchi. Angalia Leo hii Barabara ya airport Unguja, Barabara ya kutoka Kiembesamaki Mtoni miti mingi sana imekatwa. Hakuna dalili ya kupandwa mingine. Palms zilopandwa kabla zote zimeng'olewa badala yake limejengwa tuta la zege katikati ya Barabara halina haiba yoyote. Limepunguza upana wa Barabara. Pengine chaki ingetosha kuigawa Barabara. Ni dhahir hatupendi miti na hatujui Uzuri wa kupanda miti. Au hata mauwa yangependeza katikati ya Barabara lakini sio tuta la zege. Njia mbili hizi ukipita sasa jua limekuwa Kali mno. Pandeni Miti tafadhali

  • @abunajreenELSESANY
    @abunajreenELSESANY 3 หลายเดือนก่อน +1

    Maaasha Allah

  • @Zanzibar-e4h
    @Zanzibar-e4h 2 หลายเดือนก่อน

    Mm nilikuwa na muembe mdogo unatema embe na kivuli.jama kaukata bila ruhusa na mwanzo alitaka nimuzie nikakataa nikasema watu unawasaidia

  • @Zanzibar-e4h
    @Zanzibar-e4h 2 หลายเดือนก่อน

    Aridhi inauzwa km njugu pia inasababisha ukataji wabpit.kwasab serekali butu haina mipangilio