Wenzetu hawaelewi maana na tofauti ya agano jipya na la kale .Haya maagano ni tofauti sana . Agano jipya ni jambo halisi.wakati Agano la kale si jambo lenyewe bali ni kivuli cha jambo halisi
Hakika Daniel mwankemwa anakichwa kigumu sanaaa, haelewi kabisaa, yaani hata swali rahisi umeulizwa unashindwa kulijibu. Mbona unakuwa mwingi wa maneno matupu bila maandiko. Je wale wanaoungoja ukweli wa neno la Mungu wataupataje ukweli huo. Unataka watu wasome akili zako badala ya neno la Mungu, punguza uongo na uulegeze moyo wako uwe mwepesi na uwe msikivu, pia kwa sababu uma utaupotosha pakubwa aisee
Usikumbatie madhehebu Bali fundsheni maneno matakatifu ya mungu Kwani maandiko ayohayo yamekataza kuwa na walimu na manabii Kwani mutaingiza maneno yenu kinyume na maneno ya mungu.musiandike vitabu Kwa akili zenu Kwani mutaingiza biashara katika dini.fundisheni watu kuacha dhambi na kuishi kitakatifu ili muingie peponi sio kujenga hoja za malumbano Kwa waumini wenu.yesu alisema muwe kitu kimoja na zaeni matunda ya injili ya yesu.
@Msemakweli058 kila mtu akae kwa imani anayo iamini. Kwangu mimi ni mkweli kaka unaona si mkweli amini imani yako usihukumu imani ya watu wengine, kama unaamini yako ni ya kweli kaa nayo usituletee tusiyeikubali. Kaa na imani yako.
Hhhhhh kibano kwa wasabato !,hongera Mwl Daniel uko sahihi ,safi kabisa ubarikiwe mwl !.
Wenzetu hawaelewi maana na tofauti ya agano jipya na la kale .Haya maagano ni tofauti sana . Agano jipya ni jambo halisi.wakati Agano la kale si jambo lenyewe bali ni kivuli cha jambo halisi
Tafuteni watu waaa kuwafundisha sio marehemu mwankemwa
Hakika Daniel mwankemwa anakichwa kigumu sanaaa, haelewi kabisaa, yaani hata swali rahisi umeulizwa unashindwa kulijibu. Mbona unakuwa mwingi wa maneno matupu bila maandiko. Je wale wanaoungoja ukweli wa neno la Mungu wataupataje ukweli huo. Unataka watu wasome akili zako badala ya neno la Mungu, punguza uongo na uulegeze moyo wako uwe mwepesi na uwe msikivu, pia kwa sababu uma utaupotosha pakubwa aisee
Usikumbatie madhehebu Bali fundsheni maneno matakatifu ya mungu Kwani maandiko ayohayo yamekataza kuwa na walimu na manabii Kwani mutaingiza maneno yenu kinyume na maneno ya mungu.musiandike vitabu Kwa akili zenu Kwani mutaingiza biashara katika dini.fundisheni watu kuacha dhambi na kuishi kitakatifu ili muingie peponi sio kujenga hoja za malumbano Kwa waumini wenu.yesu alisema muwe kitu kimoja na zaeni matunda ya injili ya yesu.
Daniel mwakemwa tupa nondo kwa wenzetu wasabato wapate kuokolewa jamani ,maana ibilsi kawakamata kwelikweli.
😂😂 endelea hivo MWALIMU
Hii mada surely sio kucheka ama nini but naomba Mwankemwa juu nampenda sana one day he shall change. Kudos xtians
Mwandishi mwongo kwa kuleta Heading ya uongo. Dawa gani? Au ndo wale wale? Daniel upo vzr walizoea kutudanya. Hingera sn!
injili iko sawa.
MWANKWEMWA ndo mkweli au?
@Msemakweli058 kila mtu akae kwa imani anayo iamini. Kwangu mimi ni mkweli kaka unaona si mkweli amini imani yako usihukumu imani ya watu wengine, kama unaamini yako ni ya kweli kaa nayo usituletee tusiyeikubali. Kaa na imani yako.
Amedanganya wapi wewe wa pope😂😂😂?
@@nicodemuswidambe5132 Ya mungu au tufuate Imani zetu?