MAOMBI YA KUONDOA VIPINGAMIZI VINAVYOZUIA MATOKEO - PASTOR SUNBELLA KYANDO
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 28 ต.ค. 2021
- UNAWEZA WASILIANA NASI AU KUTUMA SADAKA YAKO KWA NAMBA HII : 0657 173 322
Unaweza kutufuatilia katika mitandao yetu ya kijamii
Like our Facebook: / therealityof. .
Follow our Instagram: / realityofch. .
Subscribe our TH-cam: th-cam.com/channels/67L.html...
Also Subscribe Roc worshippers youtube channel: / @rocworshipperz
and Subscribe Pastor Sunbella Kyando TH-cam
/ @pastorsunbellakyando
Damu ya yesu kristu wa Nazareth ikaninenee mema ndani yangu na maisha yangu
Naamini chochote kilicho changu ambacho shetani amekichukua kinarudishwa katika jina la yeah, Amen
Amen🙏🙏🙏
Asante Roho Mtakatifu kwa sababu upo kunisaidia na kunipigania kwa sababu wewe unajua kile nilichoumbiwa ndani yangu. Kuanzia leo hii kinaenda kudhihirika kwa jina la Yesu
Napokea na kurejesha kila kilichocheleweshwa na adui!
Katika Jina La YESU
AMEN
Asante YESU Kwa maana unaenda kuniweka sehem niliyokuwa nastahili kuwepo kiuchumi,kiafya,kimahusiano,cheo changu katika kazi yangu
Nimepokea Kwa Jina la Yesu Kristo,Amen👏👏👏👏👏👏
Kwaimani nimefunguliwa kwa jina layesu kristo wanazareth amen
amen mtumishi barikiwa sana
I RECEIVE MY PROSPERITY AND MY STATUS IN THE NAME OF JESUS.
AMEN.
Amen amen unekuwa Kwangu Kwa Jina la Yesu Christo
Sunbella you the best teacher in bible teaching
Mungu nipe maisha yangu halisi, nipate kukutukuza ,ameni
Yesu nisaidie na mimi nataka kuwa mimi kwenye maisha yangu yote
Amen nimepokea kwa jina la Yesu
Nmefunguliwa kwa jina la Yesu amina
Ameeeeen👏👏👏
AMINA MTUMISHI WAMUNGU
Amen.
AMINA
AMEN
amen kubwa
Asante Mungu, nimepokea ukombozi, nimepokea upako, nime pokea neema, nimepokea baraka zako, nimepokea breakthrough. Amen
Amen
Natamani kujua hili kanisa lipowa maeneo gani jmn,
Nawezaje kukutana na mtumishi wa Mungu jamani?