Mungu wangu hajawahi kuchelewa hajawahi kuniacha hata iwe Kwa Hali gani nitashushukuru Nitamwamini maana mungu wa Musa bado Yuko hata Leo mungu wa enzi zile ndiye mungu Leo hata kesho na milele Kwa uzima Kwa magonjwa hata Kwa kupata Kwa kukosa atabaki kuwa mungu wa nyakati zote najua hata kama atachelewa najua Tu atatenda Kwa wakati wake maana alimfufua Lazaro Kwa wakati uliofaa Kwa mapenzi ya mungu ni mungu wa nyakati zote God of all season namwamini Kwa yote atatenda Amen
Bwana njia zako hazchunguzk! Asante Roho Mtakatifu kwa ufunuo huu,ubarikiwe mtumish,tng nilipotazama ur channel aisee cjawai acha kutazama,yan huwa ctaman kukosa bando
Amina na ashukuriwe Mungu anayetupa kushinda zaidi ya kushinda. BARIKIWA Mtumishi kwa mafundisho. Najifunza kusikiliza sauti ya Mungu ,niwezeshe kukujua🩸🩸🩸
Ooh God,Abba Father!, I'm so thankful for connecting me to this church!."An Oracle of God",exactly as you told me 3 times!.Its big deal to me,Thank you 🙏 🙌
Yani wew unatizama maovu tu ulikua unasubiri chakukosoa tu ebu tutokee apa..ombea maisha yako tafuta kujua vizuri maana kuna kitu anajua ambacho ww hujui ndo mana mnatofautiana
Amen 🙏 baba kwa ufunuo huu wa kiroho najihisi niko sehemu salama kabisa 🙏
Mungu wangu hajawahi kuchelewa hajawahi kuniacha hata iwe Kwa Hali gani nitashushukuru Nitamwamini maana mungu wa Musa bado Yuko hata Leo mungu wa enzi zile ndiye mungu Leo hata kesho na milele Kwa uzima Kwa magonjwa hata Kwa kupata Kwa kukosa atabaki kuwa mungu wa nyakati zote najua hata kama atachelewa najua Tu atatenda Kwa wakati wake maana alimfufua Lazaro Kwa wakati uliofaa Kwa mapenzi ya mungu ni mungu wa nyakati zote God of all season namwamini Kwa yote atatenda Amen
Bwana njia zako hazchunguzk! Asante Roho Mtakatifu kwa ufunuo huu,ubarikiwe mtumish,tng nilipotazama ur channel aisee cjawai acha kutazama,yan huwa ctaman kukosa bando
Amina na ashukuriwe Mungu anayetupa kushinda zaidi ya kushinda.
BARIKIWA Mtumishi kwa mafundisho.
Najifunza kusikiliza sauti ya Mungu ,niwezeshe kukujua🩸🩸🩸
Mtumixh Mungu akurinde napata elim ya kujenga akil na Hali ya kiroho
Hili neno langu kabisa Mungu akubariki mtumishi wa Mungu
Nashukuru pastor nimejifunza kitu kipya kila somo lako jipya nabarikiwa🙏 Mungu azidi kukutunza
Asante mungu nime jifunza jambo kubwa kupitia mjungaji huyu🙏🙏🙏
Amen amen amen kweli kabisa mafundisho mazuri ubarikiwe baba mtumishi wa MUNGU.
Somo nzuri mtumishi....B blessed 🙏🙏🙏
Ooh God,Abba Father!, I'm so thankful for connecting me to this church!."An Oracle of God",exactly as you told me 3 times!.Its big deal to me,Thank you 🙏 🙌
Amina.. Nimepokea mafunzo
Mungu hakumuona Musa kama muuaji bali muokoaji 🙏
Amina nautafakarli uzuri wa BWANA🙏🙏🙏
Amina sana
Thanks man of GOD for powerful word.
Nashukuru kwa neno mtumishi
Amen kila ninachojitajika kumilki kiingie ktk mikono yangu as from now
Amen 🙏🙏 napokea baba
Mtumishi ubarikiwe sana kwa mafundisho yako mazuri sana
Mungu ni mwema.
Amen somo zuri nimeelewa
Ameni Amina 🙏🏻 nimebarikiwa Sana Baba
Amen mtumishi wa mungu
Barikiwa baba. Amen napokusikiliza huwa sibaki mtupu kunakitu napata.asante yesu kwa neema hii unayoiachilia kwangu
Eh Mungu wewe ni MKUU sana
Si kila wakati ukimtii Mungu mambo yako yatakua poa
Amen mtumishi barikiwa sana
AMEN Dady Sanbella 🙏.ilo n neno langu kbsaa la maisha yangu.eeh YESU wangu nisaidieee plzzzzzz... I wish nikuone Dady Sanbella.nataman Sana... Asantee
Amen,sasa nimeanza kuelewa 🤔🤔🤔.. 🙏🙏🙏🙏
This is amazing God is always there for us no matter the situation.Ameeen b blessed
Asante mchungaji kwa neno zuri.
Niko tayari BWANA
Nakusikia Mungu wangu nisaidie 🙏🙏
Amen👏🏾God Bless You Pastor Sir👏🏾
Amen barikiwa mtu wa Mungu
This is powerful and such an eye Opener
Ameen❤
Very true
Barikiwa sana
Amen Amen Amen!!!
Mungu akubariki sana kwa neno zuri la Mungu
Ubarikiwe man of God
Mimi nimmiliki ktk Jina la Yesu!
Amen Amen and Amen I have repeated this Word of God three times Oh God of Jeremiah 32 Let Your Will Be Done in My Life
Jesus thank so much
I connect myself with this church blessed man of god
Such an insightful teaching... May the LORD keep you longer🙏🏾
Asante sana
Sure pastor God bless u
Amen Baba
God is good and all the time God is Good 🙏🙏
Very inspiring
tuned
Sawaaaaa
Ameen
Ameni
Umenifungu sana Pasta God bless you
Ansate yesu
Amen amen
Amen 🙌
amen
Amen. God bless you 🙏
god never make mistake
Tunaomba video ya finish the unfinished day six please
Semina iliishia Day 5 then Day 6 ndo hii ambayo ni Tar 12/12/2021
Sina mafundisho mengine zaidi ya yale tu ya mwanzo naombanipate mafundisho mengi kuanzia mwezi wa 7/023
Badilika na ufate MUNGU anavyotaka MUNGU haluhusu kucheza ndani ya hekalu mahubili nimazuri lakini fanya matengenezo
Wewe ndio Mungu? Au wewe nani?
Yani wew unatizama maovu tu ulikua unasubiri chakukosoa tu ebu tutokee apa..ombea maisha yako tafuta kujua vizuri maana kuna kitu anajua ambacho ww hujui ndo mana mnatofautiana
Its ok to translate but huwa translation inauaha utamu wa neno..stick to one lingual
Ameni
Amen amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amina
Amen
Amen
Amen
Amina
Amen
Amen