Bwana apewe sifa mtumishi, nimefuatilia maombi haya wakati unatamka roho za kutokuolewa, kuzaa kabla ya ndoa na uchumi kusikiliwa nimesikia udongo ukipwita kama kitu kipo hai kinahema, ulipokuwa ukiombea roho ya nyoka hizi taya za mdomo zilishikiliwa kwa nguvu zikakaza mdomo ukapanuka kma nataka kumeza mtu na mkono ukakaza wa kulia kama ukanyooka Mungu apewe sifa kwa maombi haya.
Kwa imani nimefunguliwa kutoka kwenye madhabahu za ukoo na za kifamilia Ameen
Amen mtumishi barikiwa sana
Amen Amen nimefuta maagano yote yaliwowekwa kwenye ardhi ya kwetu
Haya maombi yamenigusa sana eee Mungu tenda mujiza wako sasa nifungue vifungo nilivyofungwa na madhabahu ya ukoo
Kwaimani mungu nipandishwe mshahala kazini mwakani 2023 kwaimani mungu emanueli mnyogele afunguliwe moyo wake arudi kwenye mikono yangu Ameni 🙏
Bwana apewe sifa mtumishi, nimefuatilia maombi haya wakati unatamka roho za kutokuolewa, kuzaa kabla ya ndoa na uchumi kusikiliwa nimesikia udongo ukipwita kama kitu kipo hai kinahema, ulipokuwa ukiombea roho ya nyoka hizi taya za mdomo zilishikiliwa kwa nguvu zikakaza mdomo ukapanuka kma nataka kumeza mtu na mkono ukakaza wa kulia kama ukanyooka
Mungu apewe sifa kwa maombi haya.
Bwana yesu unisaidie nitie nguvu
Amina najiunganisha namaombi haya Mungu anifungue namimi Mungu awabariki sana watumishi kwa uduma njema
Ninahisi ushindi moyoni tayari.Baraka tele.
I have prayed today.Asante man of God.
Najiungamanisha na maombi hay katika jina la Yesu Kristo.
Amen Amen Amen, Nazidi kufuatilia nakufunguliwa pia. God bless you mightily
Tumeshinda kwa ushindi mkuu atukuzwe Mungu
Glory to God
Hallelujah yamekua sawa na tulivyoomba kwa jina la Bwana wetu Yesu kristo, barikiwa mtumishi 🙏🙏
Pastor ,I believe that if you pray for me online,I 'll be delivered.Pliz pray with me am from Kenya.
Amen nawapata vizuri nikiwa nchini oman
JESUS REIGNS
Tumeshinda kwa ushindi mkuu atukuzwe Mungu 🙏
Mchungaji mm niko arusha kiukweli naombi yamenigusa sana na nahitaji kupata namba ya mawasiliano
Naomba kuelekezwa lipo sehemu gani?
I wish I get a chance to meet this MOG
Praise the Lord. I was there and blessed. God bless you man of God
Very powerful prayers! Yamenivusha haya maombi
asante Bwana Yesu kwa utukufu wako
Ameeen 🙏 I Turned from Arusha city.
Najiungamanisha na maombi haya ili kufunguliwa kwenye vifungo
Amen 🙏
Dodoma kanisa lipo sehemu gani?
From Dar nafuatilia be blessed
Amen. Barikiwa sana mtumishi.
Amen
GoD is good
God bless you Pastor
Amen God bless you pastor
Dom kanisa lipi jaman, nayatamani haya maombi.
DEAR MAMA HOTEL PALE AREA C
@@anithalivingston2767 ratiba za ibada tafadhali hapo dodoma
Rehema Mkuyu jumatano sa 11 jioni
@@anithalivingston2767 Asante Mungu akubarikii 🙏🙏🙏
Nayatamani haya maombi jamani niko mbali