MAKONDA AKANA KUMSHAMBULIA KWA RISASI TUNDU LISSU/"SIKUWEPO DODOMA SIKU YA TUKIO"
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 18 พ.ย. 2024
- 🔘JE, NA WEWE UNA HABARI?
🔘WASILIANA NA MwanaHALISI TV (+255 767 400402),
🔘WhatsApp (+255 692 318213)
🔘Email: mwanahalisitvnews@gmail.com
🔘KWA HABARI ZA KILA SIKU: mwanahalisionli...
Hekima ya Mungu inakuongoza❤
Huyu jamaa hana akili muda utasema akiwa mkuu wa mkoa dar alidhurumu uhai wa watu
Tunao viongozi wa hovyo sana nchi hii! Unaulizwa swali makini unajibu mablabla maji yasiyo na maana😂😂😂 Makonda ndiye aliyepaswa kwenda mahakamani,
Una akili sana mwanangu ❤
Hivi nyie mnaopiga makofi hapo kikao Cha Makonda muna akili kweli? Makonda shurti ajihami, ukweli hatauondoa. Sirro ni wakumuamini? Makonda subiri hatamu zishikwe na vyama vingine, mbivu mbichi zitakuwa wazi.
Swali na jibu ni tofauti aisee hii nchi inawatu wa hovyo sana, ila Mungu ndio anae juwa, kila alie tenda uovu atalipwa kutokana na uovu alio tenda.
Wewe ulitaka ajibu yeye ndiye alimshambulia wakati hakufanya hivyo?
Jinga kweli unaulizwa swali unajibu tofauti
Mungu pekee ndo anayejua ukweli
Watu wapuuzi hawapo cku hz we know everything
Jibu ni kwann wamarekani wamekublacklist,tunachojua wewe una shida hata kama sio lisu lkn umehusika kuumiza maisha ya watu wengi.malipo yako yapo yamewekwa akiba.
hii siri anayejua ni Mungu tu ndo aliye umba watu wake
Aletwe dereva aliyewaona washambuliaji. Kwa nini anamficha?
Mituo Cha tvkilichotekwa nanyum a ya GSM vipi navyo sijaona utetezi Bora kukaa kimya
Huyu ndio mwanasiasa
Ccm hawa kumchangia lisu"ni watanzania ndo tumemchangiaa
Akili tope kabisa inashangaza anapigiwa makofi jinga uwaji
Ulihusika usibishe yatakufika tuu
Unakwepa swali
Ni hatari sana
Sio marehemu sema hayati haeshimu hata taratibu makonda vipi mheshimiwa wewe?
BWANA MAKONDA...WATANZANIA SIO WAJINGA....WENGI WANAJUA UKWELI WA KUHUSIKA KWAKO KATIKA SUALA LA KOMREDI TINDU LISSU....UMEFANYA MAMBO YA 'OVYO' SANA ULIPOKUWA MKUU WA MKOA WA DAR WAKATI WA HAYATI JPM.