Napata tabu Sana chadema kila MTu msemaji ... Pia why lema anakuwa NDIYE kinara WA kutoa kasoro wengine? Swali langu inamaana anamazuri zaidi ya wengine au anapenda kujiwahi ili aonekane mzuri? Tujiulize Tu ...
Lema. Huna sauti tena Kwa Uma. umeishiwa mipango umehuska na mauaji ya wenzio ndo mana hawakutaki tena. Kapembeni waachie chama wazalendo na sio wewe mteka watu?
Daaaaa hiii chadema sasa kiukweli inapoteza mwelekeo
Chadema hoi😮😮😮
Napata tabu Sana chadema kila MTu msemaji ...
Pia why lema anakuwa NDIYE kinara WA kutoa kasoro wengine?
Swali langu inamaana anamazuri zaidi ya wengine au anapenda kujiwahi ili aonekane mzuri?
Tujiulize Tu ...
Rip Chadema
Laana ya msigwa itawatafuna 😂😂😂
Ndo kifo chenu
Acheni ujinga mnawakatisha tamaa sana
Nadhani Kigaila ana matatizo hata ukiangalia suala la wabunge hewa 19 akina Halima Mdee yumo mke wake na Kigaila.
Nidhamu yetu Chadema niliyoizoea, ni wote kutoka na kauli moja , sio kubishana hadharani. Whats goin on?
Sida tayari kunampasuko ndani kati ya Mbowe na Lissue. Kuna mambo ambayo wengi hawakubaliani na Mbowe.
Nae lema aliharibu kwa msigwa
ww lema njoo ccm tu kaka kuja ccm sio zambi kaka chama chako kimepoteza dila kaka sasa umeanza kutuumiwa unapanga watu wako duuuu
Acha maneno tulieni
Lema. Huna sauti tena Kwa Uma. umeishiwa mipango umehuska na mauaji ya wenzio ndo mana hawakutaki tena. Kapembeni waachie chama wazalendo na sio wewe mteka watu?
mmmmh
Your no.please!
Mdudu kawatafunaa
𝒊𝒏𝒂 𝒎𝒂𝒂𝒏𝒂 𝒉𝒂𝒌𝒖𝒏𝒂 𝒑𝒂𝒌𝒖𝒐𝒏𝒈𝒆𝒓𝒆𝒂 𝒉𝒂𝒅𝒊 𝒖𝒋𝒆 𝒉𝒂𝒛𝒂𝒓𝒂𝒏𝒊 𝒎𝒏𝒂𝒕𝒖𝒗𝒖𝒏𝒋𝒂 𝒏𝒈𝒖𝒗𝒖