ขนาดวิดีโอ: 1280 X 720853 X 480640 X 360
แสดงแผงควบคุมโปรแกรมเล่น
เล่นอัตโนมัติ
เล่นใหม่
Dr.Mo mm nakukubali sana broo akili nyingi sana nakuombea siku Moja uwe mwenyekiti wa Simba yaani unahakiki nyingi mnomno congrats bro
Ipoa cku utakua na NAFASI kubwa sana ila kwenye usajili na mtazamo wa mapungufu ya wachezaji nakukubali kaka
Ingekua ni uwezo wangu hapo simba we jamaa ungekua na NAFASI kubwa sana
Big brain 🧠 doctor
Ibenge sawa na Robertino
Manura aondoke tu
Kifungo kimeisha😃😃😃
Huyu jamaa si kafungiwa au?😂
Alijiuzulu wadhifa fulani ... Simba VIP A... NDIO alifunguwa na Aggy Simba
We hamna kitu si yanga
Vikombe vya Simba! ni vipi hivyo?au umekosea ni vya ligi? Heshimu mabingwa wako wa ligi mara 30
Yanga Nbc haeajachukiwa mara30 Bc limeanzishwa mwakagni?
Haya mabingwa mara 30, kwaiyo?
Huwa najiuliza ni kwa nini timu moja inashabikiwa na watu wenye akili zinazofanana?
@@davidsimbeye1548 ni sawasawa tu na timu nyingine inavyoshabikiwa na akili za kulandana.
@@Sanjey-vp1fm akili ni nywele!
Huyu jamaa si amefungiwa mbona anaendelea kujihusha na klabu ya SIMBA?