Huyu tangia awekwe jela kavurugwa masikini ya Mungu! Kizu ngu hajui,mpira hajui,kelele tu! CHAMA dhamani yake ishashuka zamani! Yanga tuna namba kumi watatu wa nguvu! Chama akienda Yanga,ni Uyanga na usimba,we dont NEED Chama ! Mo ndo shida ya simba, NOBODY else! Club gani duniani inadhaminiwa na MUHINDI!??
Huyu wakujiita GB64 english broken alafu ni mwalimu.sasa kaenda mbali zaidi eti thank you ya kireno anasema cabrigado badala ya obrigado na kwakumuaga mtu kwa kireno awasemi cabrigado ndio nini sasa
Hujui kingereza hafu unaendelea kuropoka. Huyo chama ndo mdudu gani?? Anathamani gani ambayo hawezi kununuliwa? Eti kiboko cha AZIZI KI? haya tutaona mwaka msilete Domo.
Sasa hivi anawasifia eti we flani humjui? ligi ikianza anamsakama mangungu kwamba wamesajiri wachezaji wabovu. Utopolo wa mo dewji aka UTOMO hawana dira, hawana mipango, hawana timu, hawana viongozi na hawana mashabiki wenye akili timamu. Mbona tajiri kijana...mwaka wa 20 sasa tajiri wa utomo bado tu kijana🤣🤣🤣🤣
Hili jamaa buana😂😂😂😂yan anajua kujitia moyo mwenyewe lkn hajui kitu
G64 akili ya lupango aliko pelekwa, haija mtoka. Yaani Chama hawezi akanunuliwa na GSM! Kweli kichwa chake kimejaa Moshi wa lupango
Kuleta wachezaji sio tatizo taztzo je wataingia na mfumo WA kocha mgunda,maana msije mkasema usajli mbovu ,amkawii kususia timu
Yaani makelele meengi halafu hata hajui kinachoendelea kwenye timu yake😅
G 64 usije kugeuka kauliyako au umekua muoga Kwa kua ulipelekwa lokapu kua mkweli
Sio uyotu mbaka ww unaweza kusajiliwa GSM ainamaneno lnatumia pesa tu namtasematu
Naona gb 64 ushakuwa chawa wa mo
Sajili siyo kuanza kuleta mambo ya kila mchezaji mnayemsajili ni kwa ajili ya Yanga,mtaendelea kupotea.
Huyu tangia awekwe jela kavurugwa masikini ya Mungu! Kizu ngu hajui,mpira hajui,kelele tu! CHAMA dhamani yake ishashuka zamani! Yanga tuna namba kumi watatu wa nguvu! Chama akienda Yanga,ni Uyanga na usimba,we dont NEED Chama ! Mo ndo shida ya simba, NOBODY else! Club gani duniani inadhaminiwa na MUHINDI!??
Ili uwa linalopoka tu alijui mpira lilisema yanga aiwezi kuingia robo fainali ya ligi ya mabingwa naikaingia la ovyo
😂😂😂😂😂
Mwisho wa msimu unaanza kuwataja hao wanaokuja kuwa wabaya
Huyu wakujiita GB64 english broken alafu ni mwalimu.sasa kaenda mbali zaidi eti thank you ya kireno anasema cabrigado badala ya obrigado na kwakumuaga mtu kwa kireno awasemi cabrigado ndio nini sasa
Hujui kingereza hafu unaendelea kuropoka. Huyo chama ndo mdudu gani?? Anathamani gani ambayo hawezi kununuliwa? Eti kiboko cha AZIZI KI? haya tutaona mwaka msilete Domo.
Hizo clip zenu mzitunze
Ww nawewe sio mtu wankukusikiliza ngoja uwaaminishe
Gb kitumbua
Sasa hivi anawasifia eti we flani humjui? ligi ikianza anamsakama mangungu kwamba wamesajiri wachezaji wabovu. Utopolo wa mo dewji aka UTOMO hawana dira, hawana mipango, hawana timu, hawana viongozi na hawana mashabiki wenye akili timamu. Mbona tajiri kijana...mwaka wa 20 sasa tajiri wa utomo bado tu kijana🤣🤣🤣🤣
Huyu Huwa anamihemuko
Ulishindwa kununua simu tu
Kwani na nyie GSM kawadhamini?? mbona mmekula goli 7 msimu huu?
Ww mpka uwanunue wachezaji hamna chengine zaid kijana
Beki wa kuvuta jezi
Tunza kauli.
Mkimpta lawi mkatambike
Porku yupi🤣🤣🤣🤣 eti Fei
Wewe kingereza umeona diri wewe ushatombwa kwa kingereza kenge wewe
wewe mtu unae ibomoa team yako kwa mikono yako mwenyewe