Well-done Momo,endelea kuwafundisha lugha hao wanahabari kizazi kipya --- Mara nyingi wanakosea sana kutamka baadhi ya misamiati --- mfano , Simba Sports Club,wao wanasema Simba Spot Club ---- Young Africans Sports Club --- utawasikia wakisema Young Africans Spot Club --- Thank you ,ndio hivyo,wanasema Senk yu " Wanakera!!! "
Jambo jingine ambalo waandishi au wanahabari mnapaswa kujifunza,ni KUZINGATIA ITIFAKI linapokuja suala kutaja timu mbalimbali ktk maelezo yenu , kwamba ipi inapaswa kutajwa kwanza kabla ya nyingine. --- waandishi waliopevuka na wanaozingatia,humpa bingwa heshima kwa kumtaja kwanza --- " lakini kwenu,umekuwa kama utamaduni,kila Mara utasikia Simba,Yanga,Azam and so on."
Simba msisajiri mchezaji kutoka Yanga ni hatari sana
Well-done Momo,endelea kuwafundisha lugha hao wanahabari kizazi kipya --- Mara nyingi wanakosea sana kutamka baadhi ya misamiati --- mfano , Simba Sports Club,wao wanasema Simba Spot Club ---- Young Africans Sports Club --- utawasikia wakisema Young Africans Spot Club --- Thank you ,ndio hivyo,wanasema Senk yu
" Wanakera!!! "
Jambo jingine ambalo waandishi au wanahabari mnapaswa kujifunza,ni KUZINGATIA ITIFAKI linapokuja suala kutaja timu mbalimbali ktk maelezo yenu , kwamba ipi inapaswa kutajwa kwanza kabla ya nyingine. --- waandishi waliopevuka na wanaozingatia,humpa bingwa heshima kwa kumtaja kwanza --- " lakini kwenu,umekuwa kama utamaduni,kila Mara utasikia Simba,Yanga,Azam and so on."
Yanga kumsajili chama hatofanya kama alivyofanya simba
Utopolo wakiacha mchezaj wanamwombea mabaya