AHMED ALLY AFUNGUKA DILI LA INONGA KUUZWA/"NI KWA MASLAHI YA SIMBA NA MCHEZAJI/TUTAMKUMBUKA"
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 24 มิ.ย. 2024
- SUBSCRIBE NOW:
🌐 Site: simbasc.co.tz/
📱 App: Iphone User: apps.apple.com/us/app/simba-s...
📱 App: Android User: play.google.com/store/apps/de...
🔵 Facebook: / simbatanzania
📸 Instagram: / simbasctanzania
𝕏 Twitter: / simbasctanzania
🎶 Tiktok: / simbascofficial
About the Official Simba SC TH-cam Channel:
Simba Sports Club is the most successful club in the history of football in East Africa. Enjoy the best goals, highlights, tricks, new players, training's,exclusive interview and live press conference
🔵🔴⚪ #NguvuMoja #Wenyenchi - กีฬา
❤️ ALHAMDULILLAH ❤️ 🇹🇿 🇦🇪
Nakubar sana semaji ra kqfu
Simba nguvu moja
Good semaji langu
👏👏👏👏👏👏👏👏👏 semaji letu la caf 👏👏
Mimi viongozi niwashauri kitu, msikubali mchezaji anawapanda kichwani kama chama anavyowapana,mkishaona mchezaji anawapanda kichwan anadengua dengua nyie mwambieni tu safiri usitusumbue,msiweke mapenzi sana kwa mchezaji ,simba ilikuwepo kabra yake yeye naimefanya vizuri akiwa yeye hayupo,kwa iyo chama asafiri atupshe
Acha utopo Chama ni mnyama
Mkuu niko na wewe kabisa hapo!! Chama sasaiv analeta ushamba sana kwenye club ya simba!! Yaan huu mkataba Kama watampa tena uwe wa mwisho kabisa maana ana tena jipia
Kweli bro waachane nae wamchukue bayatt lekweiry wa Mauritania
Msajili wachezaji Kwa vigezo siyo Kwa matakwa yenu
Alianza kuizoea tim Bora ameondoka
Naomba muacheni chama aende mnambembeleza wa Nini si mkubwa kuliko Simba acheni kumsujudia. Mbona inonga kaondoka wakati alikuwa wa muhimu kuliko huyo Chama wenu.
Okay nami naunga mkono
👍👍
Nguvu1
Huyu jamaa ni jiniass sana nankubali toka Maputo Moçambique
Simba nguvu Moja viherehere lazima wapate tabu mwaka huu
Semaji la caf
Lusajo ni young version ya Bocco
Mjitahidi msimu huu kutafunga mshambuluaji wa mwisho mwenye ubunifu wa hali ya juu zingatieni hilo
Mkimsajili mwamnyeto mtupe na sababu za kumsajili.
Yaani msikurupuke kusajili usajili usio wa maana.
Unamsajili Mwamnyeto atakuoffer nini???
Mwamnyeto hana Marking ya man to man.
Unamleta ili iweje???
Nyie mnasajili sisi tunabaki tunaumia na ushabik wa kushabikia ubovu.
Tuondoeni kwenye misimu mitatu huko nyuma.
Fanyeni kweli mwaka huu hatutaki mazoea na utopolo lazima namba waisome.
Alikuwa mchezaji mzur nawanasimba tukampenda lakin msim huu ndie Alie fanya Simba iwe yatatu nawezie walikuwa wanauza mechi aende tu tutamkumbuka kwamazur yake namabaya wake ametukera sana
Jichoo,mnaona jobee
😂😂😂 eti au hauamini kama semaji kilienda Norway
Wakwanza leo
Achaneni na Chama
Ila ole wenu mtuletee Mwamnyeto
Mwannyetoo wanini amnaa beki paleee
utaishia majigambo hayo wanaridhika nayo simba
Mwamnyetooo wa nini
INONGA ANAKWENDA YANGA AU TIMU GANI?
Hakuna mchezaji mkubwa kuliko clabu
Viongozi wetu tunawaambia wachezaji watakaokuja msimu huu.
Wafanyieni dua kubwa mno wanapokuja kucheza simba wanafanyiwa mambo nje ya uwanja ili wasipaform uwanjani.
Msikae bure bure tu.
Hilo mlijue
Wakwanza leo
Wakwanza leo
Wakwanza leo