🇹🇿 RAIS SAMIA AAGIZA BARABARA ZA MWANZA MJINI - USAGARA NA MWANZA MJINI - IGOMA KUJENGWA KWA NJIA 4

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 12 ก.ย. 2024
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ameielekeza Wizara ya Ujenzi kufanya Usanifu wa kina wa barabara za Mwanza Mjini hadi Round about ya Usagara na barabara ya Mwanza Mjini hadi Igoma ili zipewe kipaumbele katika bajeti ya Mwaka wa fedha 2024/25 kwa ajili ya kujenga barabara ya njia nne.

ความคิดเห็น • 9

  • @fidelfidel-jz4iw
    @fidelfidel-jz4iw 10 หลายเดือนก่อน +1

    Hongera MH Rais Kwa kuwa na moyo huo Ila wasimamizi wetu hatuna wapigaji na hao wachina wanalishwa matango poli lazima iwepo usimamizi wa wananchi wazalendo wanaotoa taarifa Kwa oungozi bila hivyo kutakuwa na barabara mbovu kila Kona ya nchi yetu na pesa za wananchi zikiishia Kwa wezi

  • @laheonlinetv2161
    @laheonlinetv2161 6 หลายเดือนก่อน +1

    suala la njia 4 ni muhimu,liisie kwenye maneno,usanifu mwaka mzima! tangu lisemwe

  • @Hillary_Daudi_Mrema
    @Hillary_Daudi_Mrema 10 หลายเดือนก่อน +2

    Ujenzi wa Barabara za Njia 4 kutoka Mwanza Mjini kwenda Usagara na Ujenzi wa Barabara za Njia 4 kutoka Mwanza Mjini kuelekea Igoma italeta Hadhi ya Jiji la Dar es Salaam na kuondoa Foleni. Kidumu Chama cha Mapinduzi Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendelee 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @Hillary_Daudi_Mrema
    @Hillary_Daudi_Mrema 10 หลายเดือนก่อน +1

    Wizara ya Ujenzi ni Wizara ambayo inabeba Malengo ya kufikia Tanzania ya Uchumi wa Viwanda. Kidumu Chama cha Mapinduzi Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kazi Iendelee🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @MussaKennedy-w3n
    @MussaKennedy-w3n 5 หลายเดือนก่อน

    Stendi tu ya Geita kujengwa ishakuwa shida ije mwanza barabara za njia nne hadisi tu😢😢😢

  • @machaggechacha243
    @machaggechacha243 9 หลายเดือนก่อน

    Yangu macho.!!! Hii ni mbinu chafu maana ccm inafahamu uchaguzi mwakani.

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 7 หลายเดือนก่อน +1

    Hapo mama atakuwa ametizia ndoto za JPM, tunakushukuru mama kwa uvumilivu wako, usikivu wako, na uamuzi wako mzuri. Mikoa ya kanda ya ziwa iliachwa nyuma sana.

  • @MussaKennedy-w3n
    @MussaKennedy-w3n 5 หลายเดือนก่อน

    Nikweli ishakuwa story tu ebu kajengeni kwenyemikoa yenu pendwa huko Arusha Dodoma na Zanzibar Dar -es-salaam mbeya kwani hatujui mnatupita kushoto hamna shida

  • @josephwilliam5813
    @josephwilliam5813 10 หลายเดือนก่อน

    Hizi stori nimeanza kuzisikia MIAKA mitatu NYUMA hakuna lolote