Tundu lisu hayo mambo ya kuchuma office huo ni uchochezi kwasababu siyo kila uhalifu ukifanyika ndo umefanywa na ccm hapna hatukubaliani na hilo wanasiaaa tusipotoshe wananchi kutafuta kura hawo waliofanya tukio ni wahalifu kama wahalifu wengine
Tundu Atipasi Lissu .Nimwanasheria mzuri sana nakukubali lakn magufuli ndiye rais wa watanzania anayetekereza ahadi zake kwa watanzania lissu huwez kwa sasa magufuli hoyeeeeee
Nakuelewa sana mh. Lissu,Mungu wa Isaka,Ibrahim na Yakobo atakuwezesha uwe Rais wa Tanzania mwaka huu 2020 ili utumike kuondoa waovu walio kama wanyama mwitu. Amina
Kama unaamn kwamba mtumbua majipu na la kwake linaenda kutumbuliwa na kukamuliwa like na comment yako ;lisu n mbabe wa mji anaye bisha Nan?mbabe wa mji katia timu
Mmeichoma wenyewe. Nani anamuda wa kukichoma hicho kibanda. Mmechoma wenyewe. Si mnatafuta kiki ninyi tafuteni tu maana mmetumwa na Baba zenu kufanya vurugu.
Njama za chadema mbn tunazijuw wanachoma wao ofic zao ili kuichafua ccm ili wapate chakuwadanganyia wananch wao sasa ccm wachome ofc ili wapate faida gan chadema wot ni wapuuz tu
Siasa ni zaidi ya watu wanavyofikiria, na mwanasiasa ni mtu ambaye anatumia udhaifu wa watu katika kufikiria kwao atawaaminisha kila kitu kwamba ni kibaya.Hiyo ndiyo siasa ndio changamoto ya DEMOKRASIA.Lakini kumshutumu mtu au kikundi ni kosa kwa sababu huna ushahidi halafu pia kwanini ofisi ya kanda haina ULINZI? Hii michezo ya abunuasi kukata kuti alilokalia
Inahitaji utulivu kuwatambua haya lakini pia utoke nje ya ushabiki kidogo ndo unapata majibu. Siasa ni unafiki tu wala hakuna mtu anataka madaraka kwa maslahi ya wengi ukiamini hivyo umepotea na ndiyo maana mpaka sasa watu wamekaa tu wanasubiri enzi za Kikwete zirudi urahisi wa maisha bila kufanya kazi. Tunahitaji taifa lenye uwezo wa kujitegemea, misingi imara ya uzalishaji, usafirishaji soko ambalo kwa kiasi kikubwa ni la ndani na ambalo ndio wananchi wenyewe nk.
silaha nzuri ya kumumaliza adui ni kumpenda hata kama hitaki kumuona na ukisahau ulipotoka huwez kufika uendako TZ niyetu sote hizi siasa za kinafiki Achen ipo siku mtajivunia wananchi lkn hata wananchi hao wata kuwa busy na familia zao binafs nipo tayali kuhamia zambia sitakubal ujinga wa kuumia kwa maslah ya taasisi flan
Mheshimiwa Tundu kwenye kampeni achana na biashara ya kutaja washindani wako. unawapaisha. tell us what you will do right. not what they have done wrong
Sasa lengo la kuchoma jengo makusudi linaonekana wazi, oneni jinsi anavyolitumia tukio kuamsha hasira za Wananchi zidi ya Chama tawala, CCM haiwezi kufanya hilo tukio kwa kuwa litaamsha hasira kwa Wananchi zidi yao.
Subhanallah Amani gani sasa hio Tanzania mnachoma hata ofisi ambazo hazina makosa hapo sasa kwa kweli mmekosea hata kama mlikuwa na haki mtaikosa haki hiyo kwanini litokee jambo hilo kwani uchaguzi si sawa na mashindano ya yanga na simba uliwahi kuona wapi yanga anamvunja simba miguu kwa kuwa anataka kushindana nae
Wewe ni mjinga sana. Saa ngapi chadema wameunguza moto ofisi yao. Hii ni tabia ya ccm na haikuanza leo. Sisi tunajua vizuri sana. Humo kwenye system tulikuwemo ndani.
acha uongo tuwe wakweli bana kabla ya bunge kuisha tulisikia wabunge wa chadema wanalamika juu ya manyanyaso waliyokuwa wanapata huko chadema leo hii mmseahau na kuona kuwa chadema ni watakatifu?kama wanaweza tu kunyanysa wa kwao je watawajali wa njee. tatizo hicho chama ni kwa ajili ya msilihi tu so ikitokea wakageukana ndo hayo hutokea kisha wanasema watu wasio julikan.
The prophecy I had given earlier about the landslide/earthquake on - 24/06/2020 has come to pass in Tanzania 🇹🇿! It happened on 12/08/2020. The earthquake hit the country on the ocean side, the entire country shook and the buildings were trembling violently But Thankful that the damage has not been caused by this and there is no death nor injuries! Your prayers has been answered! Glory to the Almighty Living God The Most High God, JEHOVAH, AMEN 🙏🏾 “🥺 UNABII NILIO TOA KUHUSU MAPOROMOKO AU TETEMEKO LA ARDHI, Tarehe 24/06/2020 UME TIMIA” “ASANTENI KWA MAOMBI YENU WATU WA MUNGU YA KWAMBA HAKUJA TOKEA MADHARA AU MAAFA!” Sifa, Heshima na Utukufu zimrudie yeye MUNGU MWENYEZI YEHOVA KATIKA KITI CHAKE CHA ENZI MILELE YOTE, AMEN 🙏🏾
Sasa ujue Mimi nashangaa sana tz, kwani polisi si wako pale kutulinda mbona kimya sasa.ivi kweli ingechomwa ofisi ya CCM wasingeongea? Acheni ivyo polisi wanalinda Kila raia wa tz.
Kwa JPM umejidanganya sana. Mnachoma hizo kafala za Ofisi hazitakusaidia tunajua mbinu zenu mbaya. Lisu piga ziara yako umalize ukae acha wanaume waijenge nchi
Mtachoma mpaka mtajichoma huyo shoga Ana Pasport yadharura Ana uraia wakenya na uberigiji akiaribu akimbie watz tutaomba wote mnaotakia mabaya tz mabaya yasiyobebeka wakute
Kweli mm nlikuwa naipenda ccm ila kwa vitendo ambavyo wamekuwa wakivifanya wanadhihirisha wazi kuwa wako tayari kufanya hata mauaji kwaajili ya manufaa yao binafsi, sasa inatosha, Kura yangu kwa chadema mara hii maana hawana hata matusi, af wanaongea vitu vya msingi kwa mtu anayejielewa atatatafakari upepo unaendaje
IGP uwakamate waliochoma moto ofisi za Chadema Arusha na Lindi. Na km hujawakamata waliompiga Lisu, waliomuua M/ Kiti Mashaka na waandishi wa habari si ujihuzuru kuonyesha kushindwa kwako kazi?
Lissu ✌✌💪💪🙌
Kura chukua tu Babaa
Wanakufa wao wote. Ila Lissu na Chedema itapona na kubaki hai Daima
Jamaniii Mungu anawaona, Rais Tundulisu Mungu akuongoze
Rais Shoga
Kura yangu unayo bro ipo tyuu ndani imetulia ila usisite kuongea kila kituuuu bro
Nawaona ndg zang wanakaratu pamoja na mh lisu nimefurahi xn ndug zang mwenyezi mungu awalinde
Tundu lisu hayo mambo ya kuchuma office huo ni uchochezi kwasababu siyo kila uhalifu ukifanyika ndo umefanywa na ccm hapna hatukubaliani na hilo wanasiaaa tusipotoshe wananchi kutafuta kura hawo waliofanya tukio ni wahalifu kama wahalifu wengine
kweli
Tundu Atipasi Lissu .Nimwanasheria mzuri sana nakukubali lakn magufuli ndiye rais wa watanzania anayetekereza ahadi zake kwa watanzania lissu huwez kwa sasa magufuli hoyeeeeee
Safr njema rais
😁😁 Dah! Mshikaji analalamika sana. Sasa tukimpa uraisi si ataleta balaa huyu.
Hakuna rais hapa, mvuta bangi tu
Mavi kweli ww
@@mbarukujackson8288 tuliza mkundu huo kuma wewe
Nakuelewa sana mh. Lissu,Mungu wa Isaka,Ibrahim na Yakobo atakuwezesha uwe Rais wa Tanzania mwaka huu 2020 ili utumike kuondoa waovu walio kama wanyama mwitu. Amina
Mavi tu aende na Ukichaa wake Kuwadi wa Mabeberu na Ushoga
@@yassiniferuzi2867 anaeua watu ndo kichaa,Lissu kamuua nani?
Kama unaamn kwamba mtumbua majipu na la kwake linaenda kutumbuliwa na kukamuliwa like na comment yako ;lisu n mbabe wa mji anaye bisha Nan?mbabe wa mji katia timu
Wasenge nyie lisu kuma la mama ako utaisoma nambs
Ahsante sana baba lisu mbele wewe cc nyuma yako kama nyuki wenye hasira kali
Haya mambo ya kuchomeana moto sio poa kabisaaaaa!!
Kiki
Kwa vitendo vyote vya kinyume na shelia tunavyovifanya wanaccm ni kumpigia Kampeni adui tujitafakari
Hakuna kitu km icho... ccm wachome ili iwe nini...hawawezi kufanya hivyo kwa sababu chenyewe kinajiuza bila shida....ni wao wenyewe wamechoma.
Tuko pomoja
Wanatafuta Kiki hawa
@@martinkipenya4592 ndio kilichobaki
Nakupenda lisu Mungu atulinde
CCM ndio waanzilishi wa fujo,haya yapo wazi
Una uhakika gani kama ccm wamechoma?
Masanduku ya kura yatajibu haraka ya nini
mlakapolo mzenji09 uko sahihi wengi hawajui ila wanakalia ushabiki tu!
Hahahaha kiki hizo.
Kweli brother
Allah awajaalie salama na kwa uwezo wa Allah akupeni mnayoyataka Aamin
Tundu is Aman of the people in Tanzania, so we as kenyan people we hope that his going to be the next president of Tanzania?
Maybe next president of kenya abd not Tanzania
Jana na ndiyo niliamini siasa hizi nizakishamba unachoma jengo ili nn sasa nilikuwa naipenda ccm now natafakari hii ni ushamba
Nimeamin siasa ya lissu imejaa uchochez na n kwasabab tukivurugana yy anakwea pipa Ubelgijiiiii.
Umeonaee
Polen saaana wadam kuchoma moto na kutekanatena n upuuz kimaendeleo lazma wajambishwe 2 na utekaj wao
Mmeichoma wenyewe. Nani anamuda wa kukichoma hicho kibanda. Mmechoma wenyewe. Si mnatafuta kiki ninyi tafuteni tu maana mmetumwa na Baba zenu kufanya vurugu.
Mmefanya makosa makubwa sana tutabaki kuwa Masikini kwa mtindo huu
Pamoja sana mh lisu
Njama za chadema mbn tunazijuw wanachoma wao ofic zao ili kuichafua ccm ili wapate chakuwadanganyia wananch wao sasa ccm wachome ofc ili wapate faida gan chadema wot ni wapuuz tu
Wangap wanasoma comment kama mimi
Saf
tunasomaga Watanzania wengi sana ....
Tupo
Siasa ni zaidi ya watu wanavyofikiria, na mwanasiasa ni mtu ambaye anatumia udhaifu wa watu katika kufikiria kwao atawaaminisha kila kitu kwamba ni kibaya.Hiyo ndiyo siasa ndio changamoto ya DEMOKRASIA.Lakini kumshutumu mtu au kikundi ni kosa kwa sababu huna ushahidi halafu pia kwanini ofisi ya kanda haina ULINZI? Hii michezo ya abunuasi kukata kuti alilokalia
Nami najiuliza office za kanda hazina walinzi hadi waichome.
Inahitaji utulivu kuwatambua haya lakini pia utoke nje ya ushabiki kidogo ndo unapata majibu. Siasa ni unafiki tu wala hakuna mtu anataka madaraka kwa maslahi ya wengi ukiamini hivyo umepotea na ndiyo maana mpaka sasa watu wamekaa tu wanasubiri enzi za Kikwete zirudi urahisi wa maisha bila kufanya kazi. Tunahitaji taifa lenye uwezo wa kujitegemea, misingi imara ya uzalishaji, usafirishaji soko ambalo kwa kiasi kikubwa ni la ndani na ambalo ndio wananchi wenyewe nk.
Lissu babalaooo tunakungojea kwa vyovyote vile madarakani tutoke kwenye udiktetaa
Neno hilo
Kinyesi
Viva lisu viva
Aibu aibu aibu miaka 59 ya Uhuru umaskini wa kutisha tundu lisu ndio rais
Umechemka bro,,, nenda kalime
Rais wetu lissu tuko pamoja na wewe tuko nyuma yako
Rais Kinyesi
Hii ni mbaya sana kwa Tanzania yetu
Wamesahau hao ukimpiga chura teke umemuongezea speed 😂😂😂 #ni_yeye2020
silaha nzuri ya kumumaliza adui ni kumpenda hata kama hitaki kumuona na ukisahau ulipotoka huwez kufika uendako TZ niyetu sote hizi siasa za kinafiki Achen ipo siku mtajivunia wananchi lkn hata wananchi hao wata kuwa busy na familia zao binafs nipo tayali kuhamia zambia sitakubal ujinga wa kuumia kwa maslah ya taasisi flan
#Ni yeye Lissu 2020🥰
Allah aendelee kukulinda
Tundulissu unstoppable tsunami ✌✌
Mheshimiwa Tundu kwenye kampeni achana na biashara ya kutaja washindani wako. unawapaisha. tell us what you will do right. not what they have done wrong
You must rais wa watanzania
Safisha njia mfalme apite
Mnachoma ofisi za chadema endeleeni kujaza hasira wananchi
Ni mbinu za cdm hizo propaganda
Hili limenifanya niamini nisapoti chadema kutayangu chadema.
Pamoja rais
Chadema juu zaidi
Mtasubiri sana poleni sana Chadema final Octoba 2020
SAFI SANA
Huna jema ww unajulikana umejaa uchu wa madaraka
Kumbe unafuatilia ? Unaumia? Weka mbali na watoto!
Tunakuomba Mh. Tundu Lissu uishi milele
Vyuma vioze akatwe mguu laana kum
Siasa za chuki mbaya sana
Kuchoma moto hawazuii mafuriki haya mungu tutangulie
SEMA USIOGOPE SETILITE ZIKO ANGANI ZINACHUKUA PICHA ZOTE. PIGA KAZI TUNDU LISU.
Amin
Safi sana sasa moto unawaka na sasa ni zamyetu mana walitunyanyasa sana lisu wewe ni umeletwa na mungu
Ameletwa na kinyesi
Tunasubir tu October 28 tuchakate mtu,ongeeni tu Sisi wapiga kura ndo majaji achaneni na mashabiki.
Uchaguzi mgumu
Sasa lengo la kuchoma jengo makusudi linaonekana wazi, oneni jinsi anavyolitumia tukio kuamsha hasira za Wananchi zidi ya Chama tawala, CCM haiwezi kufanya hilo tukio kwa kuwa litaamsha hasira kwa Wananchi zidi yao.
We mpuuzi sana
Ongeeni yote mzee JPM Octoba 2020 kama kawa kama Kawa
Subhanallah Amani gani sasa hio Tanzania mnachoma hata ofisi ambazo hazina makosa hapo sasa kwa kweli mmekosea hata kama mlikuwa na haki mtaikosa haki hiyo kwanini litokee jambo hilo kwani uchaguzi si sawa na mashindano ya yanga na simba uliwahi kuona wapi yanga anamvunja simba miguu kwa kuwa anataka kushindana nae
Pamoja tumtoe magu
Uko saw
JPM ni chaguo la MUNGU kwetu anarudi ikulu kwa kishindo 97% ya kura atapata zingine lissu utagawana na wenzio
Hapa huyo JPM wako amefikaje? Jielewe bn!
Bado sijaona point,zaidi sana hamna jipya
Hiyo Tanzania ya amani iko wapi sasa wanatuchokoza wenyewe
Hawa CCM kweli ni watu wa amani?,mambo yao ni uadui tu,sasa ofisi imewafanya nini hata waichome moto,CCM acheni mambo haya uadui,Mungu hapendi uadui.
Wewe matako unao ushahidi kwamba CCM wamechoma
Chama cha wahuni,office mmechoma wenyewe mmesahau mlikua mmelewa
Wewe ni mjinga sana. Saa ngapi chadema wameunguza moto ofisi yao. Hii ni tabia ya ccm na haikuanza leo. Sisi tunajua vizuri sana.
Humo kwenye system tulikuwemo ndani.
acha uongo tuwe wakweli bana kabla ya bunge kuisha tulisikia wabunge wa chadema wanalamika juu ya manyanyaso waliyokuwa wanapata huko chadema leo hii mmseahau na kuona kuwa chadema ni watakatifu?kama wanaweza tu kunyanysa wa kwao je watawajali wa njee.
tatizo hicho chama ni kwa ajili ya msilihi tu so ikitokea wakageukana ndo hayo hutokea kisha wanasema watu wasio julikan.
Mhuni baba yako kumfirigisa mama yako ukapatikana wewe mbwa na kaka zako hehehe
Mpuuzi sana wewe
Kwa akili zenu za matope, ipo siku mtasubutu kusema Mh- LISU kajipiga lisasi mwenye!
The prophecy I had given earlier about the landslide/earthquake on - 24/06/2020 has come to pass in Tanzania 🇹🇿! It happened on 12/08/2020. The earthquake hit the country on the ocean side, the entire country shook and the buildings were trembling violently But Thankful that the damage has not been caused by this and there is no death nor injuries!
Your prayers has been answered! Glory to the Almighty Living God The Most High God, JEHOVAH, AMEN 🙏🏾
“🥺 UNABII NILIO TOA KUHUSU MAPOROMOKO AU TETEMEKO LA ARDHI, Tarehe 24/06/2020 UME TIMIA”
“ASANTENI KWA MAOMBI YENU WATU WA MUNGU YA KWAMBA HAKUJA TOKEA MADHARA AU MAAFA!”
Sifa, Heshima na Utukufu zimrudie yeye MUNGU MWENYEZI YEHOVA KATIKA KITI CHAKE CHA ENZI MILELE YOTE,
AMEN 🙏🏾
Wafungaji wamenyanganywa nqo'mbe wengi sana
Pppplplppppp
CCM wanaogopa aisee
Pamoja saana kamanda lisu mungu tuko pamoja naye
Mnyeezi Mungu hawezi kuwa na Kichaa kama huyo Lissu
Sasa ujue Mimi nashangaa sana tz, kwani polisi si wako pale kutulinda mbona kimya sasa.ivi kweli ingechomwa ofisi ya CCM wasingeongea? Acheni ivyo polisi wanalinda Kila raia wa tz.
Unaongea km unamjua aliechoma siumtaje . 🐜 pasi tundu bwn.. na mbona unamfokea Rais wetu babu niaje jombaa
Hawezi kuja mtu ajichomee ofic bila sababu hiyo sio sawa
Ikulu ina wenyewe asanteni kwa kushiriki ila mjue ikulu anakwenda MTU timamu si huyu toi lisu tukutane kazini
Mwona ee
Na Tena tunamuelewa sana
Nakuelewa sana pamoja
Kweli huu ni Utawala wa Kidikiteta, tena Shetani kbsa hd wanachoma Ofisi za Chama tena Chama kikubwa tunacho kipenda
Mavi tu
Kwa JPM umejidanganya sana. Mnachoma hizo kafala za Ofisi hazitakusaidia tunajua mbinu zenu mbaya.
Lisu piga ziara yako umalize ukae acha wanaume waijenge nchi
Amina
Bahati..mbaya imergench
Bro uko uko tunakuja
Lissu ndo mtetezi wa Watu wanao onewa
Inafaa na sisi tuchome moto ofisi zote za wasenge wa ccm.
Vua suruali tukuoneshe Shoga we
@@yassiniferuzi2867 wewe unafirwa na Diwani tunakujuwa wewe kuma msenge unafirwa hata huyo makufuli anafirwa vile vile wasenge wafukuza mwenge mnafirwa firwa mnapewa sahani ya pilau kuma wewe msenge.
Mungu wetu hajawahi kushindwa
Kuchomamotochadema
Chadema kama ni uraiss wa Tanzania hamuupati ng'ong'o
#Pangaclassictv
#Mishashonlinetv
#Rogathpangaonlinetv
Huyu jamaa sijawahi kumuelewa
Kabisa
siyo lazima umuelewe, mimi na wengine tunamuelewa zaidi ya sana
Kumbe na nyie mna ofisi, 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 poleni
Safisana rissu
Ndugu zangu siasa sio uadui kuchomeana ofisi wakati chama kipo moyoni hakuna maanaa
Chama kiko matakoni
Sijuwi hawa wana matizo gani, kwa kuchoma ofisi zetu,hoja hawana wamebaki porojo
Uwezi kuchafua raisi wetu magu ww
Ofisi mmechoma wenyewe mnamsingia Mjomba magu acheni kutafuta kiki nyie
hawa wachochez tu hawana lolote
Mmekutana? Huku mmefuata nini?
Mtachoma mpaka mtajichoma huyo shoga Ana Pasport yadharura Ana uraia wakenya na uberigiji akiaribu akimbie watz tutaomba wote mnaotakia mabaya tz mabaya yasiyobebeka wakute
Kweli mm nlikuwa naipenda ccm ila kwa vitendo ambavyo wamekuwa wakivifanya wanadhihirisha wazi kuwa wako tayari kufanya hata mauaji kwaajili ya manufaa yao binafsi, sasa inatosha, Kura yangu kwa chadema mara hii maana hawana hata matusi, af wanaongea vitu vya msingi kwa mtu anayejielewa atatatafakari upepo unaendaje
Kapakatwe huko shoga we
Mmechoma wenyewe msingizie ccm nimmechoma ilimpatemaneno yakampeni maanammeishiwa sela
Nyie wehu utapigiwa kula na familia yenu kwanza nyie ndio mnachoma lisasi mnapigana wenyew mnakashi chama lisi ataandamana na familia yake
Huyu mjinga ni mchonganishi sera zake mbovu
Wemetumwa wachome mbona za ccm hazichomwi
mmeanza kutafuta kiki wengine walilewa wakaanguka wakazingizia wamepigwa na sasa mtachoma wenyewe halafu msingizie wengine
Mungu Ndiyo anajua tumuachie yeye
Magu tunampenda
Mateso yapi wewe unapigania tumbo lako vijana tupambane na maisha kampeni zikiisha wao wamepiga luzuku wewe unahimizwa kuandamana ngoja mjichanganye
IGP uwakamate waliochoma moto ofisi za Chadema Arusha na Lindi. Na km hujawakamata waliompiga Lisu, waliomuua M/ Kiti Mashaka na waandishi wa habari si ujihuzuru kuonyesha kushindwa kwako kazi?
Hasbunallah Waneemal wakiil
Tupo pamoja sana
100
baba ukwel wako unawaumiza watu
Tutavumilia mwishowe tutachoka sasa sijui itakuaje