Makongoro Nyerere Alipua Wala Rushwa

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 25 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 20

  • @simonmadiba2053
    @simonmadiba2053 6 ปีที่แล้ว

    Nina bahati kubwa kumuona na kumsikia makongoro Nyerere. This speech will be remembered for many years to come

  • @DrFatmaKhanPanAfrikan
    @DrFatmaKhanPanAfrikan 5 ปีที่แล้ว +1

    ❤️ Nyerere continues to LIVE ❤️
    Magufulification Yes Forever and Ever ❤️🇹🇿🌻👍🏽💪🏽👊🏽👏🏽🙂😅😂
    Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Magufuli Daima Milele na Milele Mbele kwa Mbele ❤️🇹🇿🌻👍🏽💪🏽👊🏽👏🏽🙂😅😂
    CCM Juu Daima Oyeee ❤️🌻🇹🇿👍🏽💪🏽👊🏽👏🏽👏🏽👏🏽
    Tunakushukuru, Tunakuhitaji, Tunakipenda, Tunakuthamini na Tukonyuma yako Kipenzi Chetu Rais wetu Mwema Mkweli Jasiri Mwenye-Enzi-Mungu-Allah-Subhana-Mlezi AkuTangulie AkuLinde na AkupeAfya njema na AkuZidishie Ujasiri. Aamiyn Ya Rabbil Aalamiyn
    CCM Juu Daima Mbele kwa Mbele ❤️🇹🇿🌻👍🏽💪🏽👊🏽👏🏽🙂😅😂

  • @mjsenso9773
    @mjsenso9773 9 ปีที่แล้ว

    Safi, watu majungu hayaishi!

  • @goodlucklutabila7527
    @goodlucklutabila7527 3 ปีที่แล้ว

    Mh. Makongoro 2025 chukua form.

  • @eliassamwel9172
    @eliassamwel9172 8 ปีที่แล้ว

    Mtoto wa simba ni..... Daaa mwambie u kweli mzee kapumzike wachie Vijaya.

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 3 ปีที่แล้ว

    Safi!!!

  • @saidimohammed407
    @saidimohammed407 5 ปีที่แล้ว

    Sema tuu

  • @yusufuchinunga2620
    @yusufuchinunga2620 9 ปีที่แล้ว +2

    Haya bwana yetu macho na masikio mwaka huu.

  • @renatusmatungwa6506
    @renatusmatungwa6506 3 ปีที่แล้ว

    Comedian ktk ubora wake

  • @saciidhussein493
    @saciidhussein493 9 ปีที่แล้ว

    Ze comedy show tbc 1

  • @elisariapalagyo3827
    @elisariapalagyo3827 9 ปีที่แล้ว +1

    Ccm wamepoteza mwelekeo.wtz tuache ushabiki wa siasa .siasa sio Mpira,tutajuta tukifanya makosa .huu utitiri wa wagombea ndani ya ccm si demokrasia hata kidogo Bali ni uchu wa madaraka.mwl nyerere alisema tuwaogope kama ukoma.tafakari Tanzania.

  • @sikapendinakapenda4170
    @sikapendinakapenda4170 9 ปีที่แล้ว

    Hapa naona suala la urais wa nchi mnaliona kama kutafuta uongozi wa baa na kamati zake ambazo zinakuwepo mabaunsa kwa kuthibiti walevi na vimalaya kuchuma pesa za walevi , Watanzania bado ni wanazi sana na hili linaletwa na elimu ndogo sana tuliyonayo ya msingi. Ha ha haaaaa .

  • @jacobkunduma4901
    @jacobkunduma4901 9 ปีที่แล้ว

    huyu ndie

  • @kasafu
    @kasafu 9 ปีที่แล้ว

    Hakika anastahiri hata tukimwangalia usoni ataweza kukemea rushwa

  • @wasafitelevision7619
    @wasafitelevision7619 9 ปีที่แล้ว

    Kiongozi ni alama ya taifa

  • @oswardbeatus8707
    @oswardbeatus8707 9 ปีที่แล้ว

    uyu ndio Raisi anayefaha sio hao wapiga domo na wala rushwa

    • @sahales9944
      @sahales9944 9 ปีที่แล้ว +1

      kweli anafaa bro tunataka viongozi kama hawa mungu ibariki inchi yetu tanzania na tupate mtu mzuri kama huyu

    • @aizakiantony9688
      @aizakiantony9688 9 ปีที่แล้ว

      sahale F

  • @sikapendinakapenda4170
    @sikapendinakapenda4170 9 ปีที่แล้ว +1

    Hapo ni zero plus , alikuwa mbunge wetu hapa Arusha mjini hakuna alichofanya hadi Baba yake JK Nyerere akacheka na kusema nawashangaa sana watu wa Arusha kumchagua huyu sijui ni vigezo gani mlivyotumia hasa kumchagua huyu mwanangu.
    Kuna siku kaenda kona ya Nairobi na kumpiga mama mmoja vibao akimwambia mimi naletewa mashtaka eti wewe unawauzia watu maji ,huyu jamaa mzuri kwa watu wa Comedy kwani analipa akitumika vyema.
    Sio kiongozi hata level ya mtaa.

  • @islmchbsclinic3406
    @islmchbsclinic3406 9 ปีที่แล้ว

    facebook