Umeme | SIO HABARI

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 มี.ค. 2024
  • SIO HABARI ni maudhui ya comedy yanayohusisha matukio ya kijamii na vichwa vya habari katika maono ya tofauti na fikra zetu za kila siku.
  • ตลก

ความคิดเห็น • 88

  • @ricktales96
    @ricktales96 4 หลายเดือนก่อน +6

    Kaka this is amazing message sent iioooooooo😂😅😅😅😅😅😅

  • @judithkantimbo4369
    @judithkantimbo4369 4 หลายเดือนก่อน +8

    Ukiiba BANK utapewa hela😂😂😂

  • @TFTMnosa-up5sw
    @TFTMnosa-up5sw 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂asante nimeogeza siku

  • @kdloon2030
    @kdloon2030 4 หลายเดือนก่อน +4

    Wahaya wana maji,sababu ya katerero!😊

  • @Mbeyaconscious
    @Mbeyaconscious 4 หลายเดือนก่อน +1

    Nime 😂😂😂😂 Sana! ila mwambie editor atoe green kwenye Kipara 😂😂😂

  • @TFTMnosa-up5sw
    @TFTMnosa-up5sw 4 หลายเดือนก่อน

    Wewe umesemaje apo wahaya si wanakisiwa 😂

  • @wenceslausmpanduji134
    @wenceslausmpanduji134 4 หลายเดือนก่อน

    Nzuri sana sema ilitakiwa studio kwa mwandishi wa habari umeme ukatike

  • @STARLINKFILMPRODUCTIONS
    @STARLINKFILMPRODUCTIONS 4 หลายเดือนก่อน +4

    Umeme na radi😂

  • @jadendax2040
    @jadendax2040 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hii kipindi nakipenda sana Toka zamani yan

  • @maishamax
    @maishamax 4 หลายเดือนก่อน +1

    😅😅 tukachagua umeme au zege

  • @blanz44tcherno7
    @blanz44tcherno7 4 หลายเดือนก่อน +5

    Mnakalia umeme baana

    • @smilingjackson2923
      @smilingjackson2923 4 หลายเดือนก่อน

      Baada ya Kumpa mkono mwenye wazo la umeme wa bio gas angenusa mkono ingekuwa bora zaidi😂

  • @don_mullertz
    @don_mullertz 4 หลายเดือนก่อน +4

    Haya mmekua wakwanza na hampat likes😂😂😂

  • @mkutamajuto1549
    @mkutamajuto1549 4 หลายเดือนก่อน +9

    Wakwanza like zangu

  • @eliabucraft1
    @eliabucraft1 4 หลายเดือนก่อน +3

    Kweli akili ni nywele🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @Iamraychris
      @Iamraychris 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂

  • @kenedyrocky4641
    @kenedyrocky4641 4 หลายเดือนก่อน +2

    Kweli kabisa umeme tumeukalia. 😢😢😢😢😢😢😢

  • @neyjackson4507
    @neyjackson4507 4 หลายเดือนก่อน

    Serikali njoeniiiii

  • @buberwajohn1312
    @buberwajohn1312 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂 ni masihara lakini kweli

  • @ezekielmatondane714
    @ezekielmatondane714 4 หลายเดือนก่อน +2

    Tanzania hatuna viogozi tuna majizi tu

  • @EphraimWekesa-je7gy
    @EphraimWekesa-je7gy 4 หลายเดือนก่อน

    Ata maji aiwezi bora Normar

  • @abubakarabasi7489
    @abubakarabasi7489 4 หลายเดือนก่อน

    Oya hii huwa ni the best show

  • @hamzazianmisana508
    @hamzazianmisana508 4 หลายเดือนก่อน

    Usiulize kitu hakipo 😂😂😂
    I mean biogas 😂😂😂

  • @MiriamAbdallah
    @MiriamAbdallah 4 หลายเดือนก่อน +3

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @snashbwaii170
    @snashbwaii170 4 หลายเดือนก่อน +1

    Umeme gani😂😂😂 we ulipotoka upo??? Usiniulize kitu ambacho hakipo

  • @MiriamAbdallah
    @MiriamAbdallah 4 หลายเดือนก่อน +3

    Idrisa jiaandae😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂polichi😂😂😂😂😂😂😂😂polichi😂😂😂😂inakujilia😂😂😂😂😂😂 mi naondoka mwanashiria wangu kasafiri😂😂😂😂

    • @abuuabdul1792
      @abuuabdul1792 4 หลายเดือนก่อน +2

      Me mwenyewe naanika nguo kwenye nyaya za umeme

    • @IdrisSultans
      @IdrisSultans  4 หลายเดือนก่อน +3

      🤣🤣🤣

  • @emanuelwilliam1607
    @emanuelwilliam1607 4 หลายเดือนก่อน +2

    Gonga kama umelewa kipara cha idriss😔

  • @EmmmaTembo
    @EmmmaTembo 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mtumishi wa TANESCO akiamka asubuhi akienda kazini inamaana anaenda kukata umeme

  • @asherytv
    @asherytv 4 หลายเดือนก่อน

    Dah hii iko very creative, sjui kwanini haiendi mjini kama ipasavyoo😢

  • @djbenkim2272
    @djbenkim2272 4 หลายเดือนก่อน

    Kaka kayamaliza wame muunguzia radio na pasi😂😂😂

  • @braystuskibassa3842
    @braystuskibassa3842 4 หลายเดือนก่อน

    Duuuh hii ndo bongo😅😅😂

  • @majestyswaggermusic6682
    @majestyswaggermusic6682 4 หลายเดือนก่อน +1

    Sio habariii

  • @gRaY_S9N
    @gRaY_S9N 4 หลายเดือนก่อน +1

    wahaya wamekukosea nini kaka...😂😂😂😂

    • @IdrisSultans
      @IdrisSultans  4 หลายเดือนก่อน +2

      Wameyapatia maji 🤣

  • @sadathahmada9066
    @sadathahmada9066 4 หลายเดือนก่อน +1

    The brain!

  • @emmanuelzao
    @emmanuelzao 4 หลายเดือนก่อน

    😎

  • @dicksonkisanga7380
    @dicksonkisanga7380 4 หลายเดือนก่อน

    Tunayataka wenyewe

  • @bennettbennett2915
    @bennettbennett2915 4 หลายเดือนก่อน +1

    😂😂😂😂😂😂noma

  • @njiaya6833
    @njiaya6833 4 หลายเดือนก่อน

    AYA SAWA

  • @user-vz9dt8nv1i
    @user-vz9dt8nv1i 4 หลายเดือนก่อน

    Hii shoo imekuwa wapi😅😅😅😅 mimi nawakilisha wakenya.

  • @hezronrichard5597
    @hezronrichard5597 4 หลายเดือนก่อน

    very creative

  • @muuh_barber8578
    @muuh_barber8578 4 หลายเดือนก่อน

    Watoa maoni 😅😂

  • @StephanoCharles-nq8tf
    @StephanoCharles-nq8tf 4 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅😅...Inabidi wafny ivi bongo

  • @iamnormal8648
    @iamnormal8648 4 หลายเดือนก่อน

    Naona umemuiga jamaa alikuwa anajiita *Mr. Bond* enzi za utawala wa Mzee Ruksa.

  • @abdulnadhif3423
    @abdulnadhif3423 4 หลายเดือนก่อน +2

    Umeme

  • @ayubumsongole5640
    @ayubumsongole5640 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂

  • @danielmllay8332
    @danielmllay8332 2 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅

  • @Beingnoela
    @Beingnoela 4 หลายเดือนก่อน

    Nezo unann lkn 😂😂😂

  • @JeronimoSimon65
    @JeronimoSimon65 4 หลายเดือนก่อน +4

    Umeme umeukalia 😂😂

  • @Melvinkalinga
    @Melvinkalinga 4 หลายเดือนก่อน +1

    Duh😅😅

  • @youthadvocacypartners8765
    @youthadvocacypartners8765 4 หลายเดือนก่อน

    😂

  • @chimnyengeUpdate
    @chimnyengeUpdate 4 หลายเดือนก่อน +3

    Wa kwanza Leo

  • @muujux
    @muujux 4 หลายเดือนก่อน +1

    Hahahaahahh

  • @jakobongwara3038
    @jakobongwara3038 4 หลายเดือนก่อน

    Aaaanimichogo yowanaojinadi kumbe ndio mbinuzao Safari hii Mimi tumewachoka viongozi wamichongo

  • @omarybakunda2554
    @omarybakunda2554 4 หลายเดือนก่อน

    Hahahahaha

  • @MbashaRobert
    @MbashaRobert 4 หลายเดือนก่อน

    Maji ya wapi, sijasikia vizuri hapo

  • @mohamedyrogat3666
    @mohamedyrogat3666 4 หลายเดือนก่อน

    😜😜😜😜

  • @Oppah_
    @Oppah_ 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂

  • @Hussein-gx4qu
    @Hussein-gx4qu 4 หลายเดือนก่อน

    mama Samia kaferi

  • @eliabucraft1
    @eliabucraft1 4 หลายเดือนก่อน

    Wahaya typing.............

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 4 หลายเดือนก่อน

    Kenesco 😂😂 shirika la umeme Kenya linaitwa KPLC.

    • @RojaMwinyi
      @RojaMwinyi 4 หลายเดือนก่อน

      Ndo maana ukaambiwa sio habari😅

  • @eliabucraft1
    @eliabucraft1 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @JustinGama-qy1tp
    @JustinGama-qy1tp 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @neyjackson4507
    @neyjackson4507 4 หลายเดือนก่อน

    😅😅😅😅😅

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 4 หลายเดือนก่อน

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣❤

  • @adiliwasanga4521
    @adiliwasanga4521 4 หลายเดือนก่อน

    Umeme utoke labda marekani huenda hautokatika au kutoka china

  • @ashachitemo7816
    @ashachitemo7816 4 หลายเดือนก่อน +1

    Jiandae kwenda kuandika maelezo polisi

  • @Gkonlinetv
    @Gkonlinetv 4 หลายเดือนก่อน

    Like zangu wa nne hapa

  • @victormsefi9095
    @victormsefi9095 4 หลายเดือนก่อน

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 4 หลายเดือนก่อน

    Its not Kenesco..its Kenya power and lighting😂..niljua wataka tu kutuvunja mbavu😂😂😂biogas

    • @IdrisSultans
      @IdrisSultans  4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

  • @mtaaruma
    @mtaaruma 4 หลายเดือนก่อน

    Wa pili nipo apa au tufanye wa tatu

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 4 หลายเดือนก่อน

    RC charamila bange punguza mbona ndugu yako Rey c kaacha bange na unga

  • @devisshirima6780
    @devisshirima6780 4 หลายเดือนก่อน

    Kwani wewe huijui siasa? Kazi ya mwanasiasa ni kumpa matumaini mwananchi anapokosa matumaini kwamba matumaini yapo hata kama yeye mwenyewe hana matumaini !!

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 4 หลายเดือนก่อน

      sema wanasiasa uchwara wa Africa

  • @bonabonala5559
    @bonabonala5559 4 หลายเดือนก่อน

    huyu ffiisssadii papa jk hana shida ys umeme anajeneretabkubwa kuriko lolote africa anaongea nini mpotoshaji huyu mbona wakati wa mwambs jpm alijificha???

  • @judithkantimbo4369
    @judithkantimbo4369 4 หลายเดือนก่อน +2

    @Salumu kassimu

  • @andrewraphael3098
    @andrewraphael3098 4 หลายเดือนก่อน +2

    😂😂😂😂😂

  • @franciscassian
    @franciscassian 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂

  • @sumamelody6197
    @sumamelody6197 4 หลายเดือนก่อน

    😂

  • @kenmawira3088
    @kenmawira3088 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂

  • @hermanmpanda8584
    @hermanmpanda8584 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂

  • @clintonystarson7121
    @clintonystarson7121 4 หลายเดือนก่อน

    😂😂

  • @surykizz1698
    @surykizz1698 4 หลายเดือนก่อน

    😂